Endelea kufuatilia mfululizo wa mafundisho haya kutoka Kanisa la Wa-Adventista Wasabato Magomeni. Mchungaji Baraka Butoke anakuletea mfululizo wa mahubiri - BADO MUNGU ANAKUPENDA
Пікірлер: 4
@ellenmbota12414 жыл бұрын
Amani Ps kwa huduma nzuri kwa kufafanua maandiko matakatifu, lnjri lnapenya kote duniani Mungu awabariki 🙏🙏