BAHARIA YUZO: MAISHA YA MELINI/ NILICHOMWA MOTO/ WALIJUA NIMEKUFA/ NILIENDESHA MELI PEKEE YANGU-09

  Рет қаралды 4,462

Dar24 Media

Dar24 Media

7 ай бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Dar24 #Dar24Media

Пікірлер: 40
@omarisadallah5695
@omarisadallah5695 7 ай бұрын
Unayumba unaichelewesha pia hauipangilii vizur
@athumaniomary1245
@athumaniomary1245 7 ай бұрын
Nakubali shoo mwanetu YUZO
@TALLUBOY
@TALLUBOY 6 ай бұрын
Raaha sana kuwasikiliza du! Rahaa sana #VHF maana yake Voice hai faster
@mohamedkisenga6654
@mohamedkisenga6654 7 ай бұрын
Namkubali sana mwambaa
@user-zd1bu5zd8p
@user-zd1bu5zd8p 7 ай бұрын
Kubuz mjombaa anasema kweli real talk
@BarakaJames-nu2be
@BarakaJames-nu2be 7 ай бұрын
Yuzo mwamba nakubar
@masukehaluyi7421
@masukehaluyi7421 7 ай бұрын
Wewe nawe unamchomekea sana jamaa maneno muache yeye aongee na wewe sikiliza.
@omanhh2875
@omanhh2875 7 ай бұрын
Wakwanza
@bobboris4859
@bobboris4859 7 ай бұрын
Baharia wa kikwel
@salumsamesame1741
@salumsamesame1741 7 ай бұрын
BOB SIYO IRAN TU NI WARABU NA WAZUNGU KARIBUNI WOOOTE WANATUBAGUA WAAFRICA AU WEUSI DUNIANI. NIPO OMAN HAPA NAJIONEA KWA MACHO YANGU🇹🇿✌️👍
@jumamajid7557
@jumamajid7557 7 ай бұрын
Lakin pamoja na yote wanakubali mziki wetu
@Laizer3
@Laizer3 Ай бұрын
Waachie wakina milliad ayo kazi wew unazingua
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 7 ай бұрын
Sipendi mtangazaji muongeaji kuliko anayemuhoji ndio nini sasa anapoteza ladha ya interview kwa kukosa kumsikiliza msimuliaji utafikiri yeye ndio anafanyiwa interview kama anataka naye awe anahojiwa basi Ebooooo😏😏😏
@MuddMunishi
@MuddMunishi 3 ай бұрын
Simba wa bahari Og
@user-dk8dr4kt7r
@user-dk8dr4kt7r 7 ай бұрын
Dumpa due to the public demand...tuongezee midaa......
@mohrecaps
@mohrecaps 7 ай бұрын
Mtangazaji unazingua we si utulie usubir asimulie
@Laizer3
@Laizer3 Ай бұрын
WAACHIE WAAKINA MILIAD AYO KAZII WEW UNABOA
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 7 ай бұрын
Unyama
@dominicfrancis4073
@dominicfrancis4073 7 ай бұрын
Mwanetu kweli umekipakaza Dunian
@Laizer3
@Laizer3 Ай бұрын
POLE BROO
@nindemkeremi3708
@nindemkeremi3708 7 ай бұрын
Ndungu mtangazaji...unaonaje maswali yako ukauliza mwisho wa story...muache mtu asimulie kwanza
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 7 ай бұрын
Mtangazaji unaongea sana!maswali mengi kama unataka kujifunza mambo ya meli nenda Shule si tunataka jamaa atupe story
@nehemiakiswaga1819
@nehemiakiswaga1819 7 ай бұрын
😀😀😀
@yohanasimba581
@yohanasimba581 7 ай бұрын
Mtangazaji unaboa kinoma, maneno mengi unaharibu story, kwani ukiwa msikilizaji tu utapungukiwa nini acha ufamba, pia unachelewesha story kiku** next episode ukichelewesha na ukaleta ufamba wako wa kuchomekea story na unsubscribe nyambafu kabisa
@lenniefei6710
@lenniefei6710 7 ай бұрын
Ndege waliwabookia CHEAPEST AIRLINE ndio maana muda wa kusubiri unakua mrefu kuliko kawaida
@jumamajid7557
@jumamajid7557 7 ай бұрын
Yeah sure
@jennifersongani2734
@jennifersongani2734 7 ай бұрын
Turkish Air ni cheapest Airline au sijakuelewa
@lenniefei6710
@lenniefei6710 7 ай бұрын
@@jennifersongani2734 Turkish airline sio cheap, flight route(njia) aliyolipiwa ndio ndefu na ina muda mrefu wa kuabiri ndege nyengine hadi mwisho wa safari yao...UPO ?!
@stanastana3199
@stanastana3199 7 ай бұрын
Tafuta baharia kamili,huyu story zake hazieleweki bro
@jumamajid7557
@jumamajid7557 7 ай бұрын
Baharia kamili ni wewe huyu ni simba wa bahari. Mana hujalazimishwa kuskiliza walakutazama
@user-dl6bq5ty2l
@user-dl6bq5ty2l 7 ай бұрын
Ww baharia wawapi acha izo
@stanastana3199
@stanastana3199 7 ай бұрын
@@user-dl6bq5ty2l sauzi jbogi blo
@Anuaryomary-su9cd
@Anuaryomary-su9cd 7 ай бұрын
Wew wa wap unafata nin umu kwa mabaharia wew pita kule nyandenga wew
@jumamajid7557
@jumamajid7557 7 ай бұрын
@@Anuaryomary-su9cd wajukuu wa nyankongolonuksi hao yan wanaumia na maisha ya watu hata kama hawawajui acha roho mbaya kijana utakuja kua mchawi uzeeni babu @stanastana3119
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 7 ай бұрын
Sipendi mtangazaji muongeaji kuliko anayemuhoji ndio nini sasa anapoteza ladha ya interview kwa kukosa kumsikiliza msimuliaji utafikiri yeye ndio anafanyiwa interview kama anataka naye awe anahojiwa basi Ebooooo😏😏😏
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 7 ай бұрын
Sipendi mtangazaji muongeaji kuliko anayemuhoji ndio nini sasa anapoteza ladha ya interview kwa kukosa kumsikiliza msimuliaji utafikiri yeye ndio anafanyiwa interview kama anataka naye awe anahojiwa basi Ebooooo😏😏😏
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 34 МЛН
БИМ БАМ БУМ💥
00:14
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 3,1 МЛН
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku,01 Agosti 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 2,5 М.