Icheki mfumo wa banda la kuku 1000 - 3000 jinsi ilivyo na faida kwa mfugaji #0654737373 #0768220438 #0682242312 @joelnanauka @changamkiafursa @AGALUSTV @millardayoTZA
Local cage ina tofaut gan na zile cage nyngne zinakuw chuma tupu? Kwny gharama, nafasi ya banda inayochkua na idadi ya kuku inayobeba?
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Tuwasiliane kwanza tuyajenge; 0654737373
@kelvinmarick74982 жыл бұрын
Hongereni Sana , "Fuga kisasa na Charity Kuku Farm"
@charityfarm12262 жыл бұрын
Karibu sana, usisahau kusubscribe na kubonyeza alama ya kengele ili upate kila video mpya mara baada ya kuwekwa
@rosemakoa10392 жыл бұрын
Mmnahitaj kuja bands Kama hili ghalama sh ngapi
@charityfarm12262 жыл бұрын
Karibu wasiliana nasi kwa namba hii hapa: 0654737373.
@mohammedusamah52072 жыл бұрын
Asante sana,zanzibar tutapataje huduma zenu??
@charityfarm12262 жыл бұрын
Tupigie: 0654737373
@geoffreyotienoooro823111 ай бұрын
Hongera sana kwa kazi nzuri na mafunzo bora ya ufugaji wa kuku niko kenya nitafanyaje ili niweze kujifunza zaidi kaka?
@charityfarm122611 ай бұрын
wasiliana nasi ndg
@charityfarm122611 ай бұрын
tukukaribie
@josephatngua7914 Жыл бұрын
Nimependa sana somo hili,nipo sumbawanga je naweza kupata hizo cage
@charityfarm1226 Жыл бұрын
0624015376
@thomasgachoka9350Ай бұрын
excellent work,🙏 haven't seen this in Kenya 🫢
@charityfarm122617 күн бұрын
Thanks for your support, we provide our service in all east Africa country
@lewiskaraba14222 жыл бұрын
Nice job... Can you give the measurements of about 600 birds
@charityfarm12262 жыл бұрын
Yes, please call this number for more info: +25565737373
@yumbukadege5922 Жыл бұрын
@@charityfarm1226 why numbers are not in whatsapps?
@charityfarm1226 Жыл бұрын
@@yumbukadege5922 They are in WhatsApp Mr
@charityfarm1226 Жыл бұрын
@@yumbukadege5922 +255654737373
@nivanoy60512 ай бұрын
Sh ngapi ujenz wote
@charityfarm1226Ай бұрын
Wasiliana nasi 0654737373 tutakupa mchanganuo wa garama
@zainazaina8711 Жыл бұрын
Hi charity farm nimependa Sana nataka kuanza hiyo biashara nikiwa tayari nitawatafuta nataka design ya hiyo banda ya kisasa kazi mzuri sana
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Asante sana karibu
@user-ex5jc4vn9t11 ай бұрын
Naomba no
@charityfarm122611 ай бұрын
Wasiliana nasi Whatsap +255 624 015 376
@emmamarijani66572 жыл бұрын
Somo
@johannesishengoma12322 жыл бұрын
Nimefarijika na kazi zenu, je mabanda ya kuku wenye umri wa kati ya siku moja hadi majuma kumi yakoje?
@charityfarm12262 жыл бұрын
Tupigie: 0654737373
@fatmahemed2189 Жыл бұрын
Kaz mzuli Mfano eneo langu dogo mita 2 ulefu mita4 naweza kujenga banda labiashara na galama ya ujenzi ipoje
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Pg simu: 0654737373
@RevJosphatWahinya7 ай бұрын
Je muna offisi Kenya
@charityfarm12266 ай бұрын
Ndiyo: +255624015376
@brianatuti5279 Жыл бұрын
Do you do your services in Kenya juu nimependa hizo cages sana
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Ndiyo, tuwasiliane: +255654737373
@leedsoldat29612 жыл бұрын
Hiv kweny square meter Moja wanaweza kaa kuku wangap
@charityfarm12262 жыл бұрын
Karibu wasiliana nasi utajibiwa kupitia namba hii: 0654737373
@mbarakabduldood2817 Жыл бұрын
niko chala taveta kenya mnaweza kuja
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Ndyo, piga hii namba au tuma ujumbe whatsap unaosema "banda" :+255624015376
@ibrahimnadir44902 жыл бұрын
Kwa io ni aina ya mabanda ya kuku wa mayai au kienyeji
@charityfarm12262 жыл бұрын
Zote tunazijenga
@user-le4vx3bv7f11 ай бұрын
Naomba makisio ya banda la kuku 1000
@charityfarm122611 ай бұрын
pigie 0754015010
@johannesishengoma12322 жыл бұрын
Mie nina ufahamu wa kiufundi, nahitaji nijenge mwenyewe, je ninaweza kupata kijitabu chenye muongozo wa kujenga banda chenye picha, michoro, vipimo, aina na idadi ya vifaa vya ujenzi?
@charityfarm12262 жыл бұрын
Ndiyo, tupigie simu namba: 0654737373.
@happinessedward5696 Жыл бұрын
Habari? Kwa kweli nimevutiwa sana na maelezo yako. Ningependa kujua gharama na kutengeneza keji ya kuku 300 kuku wa nyama kuanzia vifaranga. Ninaomba bei
@charityfarm1226 Жыл бұрын
0624015376
@veronicadisney67762 жыл бұрын
Na kenya jee mtakuja
@charityfarm12262 жыл бұрын
Ndiyoo: +255654737373.
@wjfiston4612 жыл бұрын
Charity kuku farm mpo sawa kiubunifu mimi ni up coming ninafuga kuku na ninajitahidi kubuni cage ila elimu zaidi toka charity kuku farm asanteni sana
@charityfarm12262 жыл бұрын
Barikiwa sana, karibu Charity Farm, kama bado huja subscribe bonyeza alama ya kusubscribe kisha alama ya kengele ya kwanza, utakuwa umejiunga nasi, Fuga kibiashara
@charityfarm12262 жыл бұрын
Tuma namba yako hapa tutawasiliana
@josephineokama2200 Жыл бұрын
@@charityfarm1226 Hilo Banda bei gani kaka?
@charityfarm1226 Жыл бұрын
0624015376
@akidaally283521 күн бұрын
Tajeni Bei basi
@charityfarm122619 күн бұрын
Unahitaji Banda la ukubwa gani
@charityfarm122619 күн бұрын
Wasiliana nasi 0654 737373 Tujadili na kupeana ushauri
@user-li4kt7lz1r Жыл бұрын
Samahani banda kama hili linachukua kiasi gan cha pesa ili nijipange
@charityfarm1226 Жыл бұрын
wasiliana na sisi kwanza tujue unataka kuanza na kufuga kuku wangapi tukupe na ushauri +255 654 737 373
@qurannasunnahtzonlinetv7432 Жыл бұрын
Hii inafaa kwa kuku chotara?
@charityfarm1226 Жыл бұрын
wasiliana na sisi tukupe ushauri 0654737373
@andersonnyonyi38593 ай бұрын
Nyakato Mwanza mpo sehemu gani niwaone
@charityfarm12263 ай бұрын
Tunakufikia Tanzania, wasiliana nasi 0654737373
@rhobinyabasi204 Жыл бұрын
Ni Tsh. ngapi kwa idadi hiyo ya kuku?
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Tupigie: 0654737373
@wambimbwelo51415 ай бұрын
Naomba kujua bei zenu kwa kujenga banda kuanzia kuku 200
@charityfarm12265 ай бұрын
Unaweza kutupigia kupitia 0654737373 tukakupa Grama nafuu zaidi
@kagomajmbaraka220 Жыл бұрын
Banda kama hilo linacost bei gan, i mean banda lishajengwa bado kutengeneza hizo za ndani tu
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Tupigie simu; 0654737373
@ismailomary66262 жыл бұрын
Naomba unitumie Hilo Banda nilione wakati limekwisha sijaona hapo mayai yanapoangukia nami nifanye maamuzi
@charityfarm12262 жыл бұрын
Sawa, SUBSCRIBE kisha bonyeza alama ya kengele, utapata mara baada ya kuwekwa
@user-bv9tg1dh1g10 ай бұрын
Niko kenya,naomba number
@charityfarm122610 ай бұрын
+255624015376
@kiparaused Жыл бұрын
Unaweza kuweka wa nyama
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Ndiyoo, nipigie simu namba: 0654737373.
@fadhilsoud39572 жыл бұрын
kwa ujenzi wa banda la kuku 200 kwa kuku wa mayai jee ni kiasi gani
@charityfarm12262 жыл бұрын
Tupigie: 0654737373.
@michaeljanuary3736 Жыл бұрын
Je kwa kuku wa kroila wanaweza kupanda na humo
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Ndiyoooo
@qurannasunnahtzonlinetv7432 Жыл бұрын
Wanapandana vp mbona naona seemu ndogo
@charityfarm1226 Жыл бұрын
Hamna tatizo hapo
@khalfanallbusaid20358 ай бұрын
Banda kama hilo na kila kitu samani yake inafika kiasigani nipo Zanzibar
@charityfarm12268 ай бұрын
Garama zinategemea na mahari ulipo na Bei ya vifaa, pia ukubwa WA Banda , ilikuweza kupata garama kamili tutumie Whatsapp ukubwa WA Banda lako 0654737373
@NduwimanaSammy-nf9ix2 ай бұрын
Jambo Niko Zambia naeza apata aje??
@charityfarm12262 ай бұрын
Kalibu charity farm, tunatoa huduma zote kwa ncho karibu na Tanzania unaweza kuwasiliana nazi kupitia +255 654737373
@olivermahenge83662 жыл бұрын
Kuku wa kienyeji mbegu kubwa mnao
@charityfarm12262 жыл бұрын
Wasiliana nasi: 0654737373
@ROSEMULEI2 ай бұрын
Kuhusu Banda la kuku Niko Kenya taveta mtu atawapataje
@charityfarm1226Ай бұрын
Wasiliana nasi +255654737373 tunatoa huduma zetu ndani na nje ya tanzania
@MouriceOduor7 ай бұрын
Naitaji vitabu
@charityfarm12266 ай бұрын
Kalibu sana wasiliana nasi 0654737373
@lusakaone7782 Жыл бұрын
Mimi nipo zanzibar nahitaji hiyo cage wasting bei gani