Zuhura Yunus amhoji aliyekuwa mgombea urais kupitia chama cha upinzani Tanzania, CHADEMA aliyewasili Ubelgiji asubuhi kwa madai ya kutishiwa maisha yake.
Пікірлер: 15
@langatouch46773 жыл бұрын
Rais. Wa tz kauwa watu wengi kipindi cha uchaguzi ashtakiwe icc
@immamwandolela68513 жыл бұрын
Dada zuhura upo vizuri sana maswali mazuli sana
@africafreedom96213 жыл бұрын
Mungu simama na Lissu
@emmanuelsulle9114 ай бұрын
Huyu Lissu ni Mwamba Kweli Kweli ✌️✌️,
@samweltv20643 жыл бұрын
uyu kaishakuwa mtumwa aaache uongo yeye nani ktk ili taifa, ata ivo sidhani kama unamsahada wowote weee sepa wazarendo wacha tuendeleee na maisha yetu.
@aminahamisi86723 жыл бұрын
Pole maana unakuwa kama mkimbizi
@faustinejemsi14883 жыл бұрын
Jamani
@sarahalex83803 жыл бұрын
Mungu mwema umefika salama lissu wangu
@faustinejemsi14883 жыл бұрын
Asante
@mkhandimoody6963 жыл бұрын
Huyu mtu sio BBC Tanzania yetu yeye mdomo wake mchufu watu wenye busara wanaona hanamaana na umoja wa mataifa uagalie sana muongo sana
@shariffphares.42933 жыл бұрын
majibu yake siyo kuntu....maana siju hizi line haiwezi kupiga kabla yakusajiliwa...y hawajaangalia kwenye usajiki????