Tuliorudi kuisikiliza hii ngoma 2024 tujuane apa weka like yako
@nicodemusjohn23094 жыл бұрын
Huyu bele9 akipata management nzuri kweri watamkoma jamaa anajua sana love u bro Mimi shabiki wako toka sumu ya penzi gonga like kama mnakubariana nami
@princefever31153 ай бұрын
2024 and its on April 5th.I know most of you won't believe bt a've been coming here everyday after job to listen to this magical song🔥🔥🔥🔥and am not stopping coz honestly umefanana nae
@Mbeyaconscious4 жыл бұрын
Brother Wewe Ndiyo nakukubali Toka enzi hizooooooooh
@jumamwarabu86034 жыл бұрын
Jamaaa anajua
@gorillaman22944 жыл бұрын
Hivi huyu broo anakwama wapi mana anajua sana hadi anake nowra
@Mbeyaconscious4 жыл бұрын
@Asdan 4rever sanaaa
@denyoentertainmentcompany15594 жыл бұрын
Huyu jamaa anatakiwa apewe heshima yake kwenye huu mziki sijui kwa nini wana mchukulia poa
@bambone19384 жыл бұрын
My vocalist 🙏🙏
@Gentriez4 жыл бұрын
Denyo Entertainment Company true
@AmosBPeter4 жыл бұрын
Huyu jamaa hana nyimbo mbaya na hajawah kuchuja ila hawamuon wajinga wanashabikia mizik ya ajab
@shubackmashinga35354 жыл бұрын
Sana
@anthonyshuma98124 жыл бұрын
I swear huwa sielewi shida iko wapi this guy is da best
@divadaqueen65584 жыл бұрын
Jaman sijawahi kupata like hata 2 basi leo naomba hata 5 kama unamkubali belle 9@ 🙏🙏
@alexkilumilealexkilumile76854 жыл бұрын
Hzo like utazila au🙄🙄🙄
@stevenpius5734 жыл бұрын
Daaaaah my best rnb record so far.. Ebu gonga like kama umetazama na kuickiliza zaidi ya mara moja hii ngoma... Belle wee mkal
@juliusfungo27544 жыл бұрын
Munao kubali vitu vya live kama mimi fanyeni vile vitu vyetu vya kupita na like sasa
@clatmelo89144 жыл бұрын
👏👏👏👏
@RandyMwanaKin4 жыл бұрын
Mr msogange anasataili kupewa heshima nyingi na tuzo pale TZ 🇹🇿 . Mimi nilimjuwa since 2008 kwetu congo kinshasa 🇨🇩 adi leo 2020 namusikiliza #belle9 kutoka marekani 🇺🇸 ajawai chuja kila ngoma ni hit 🔥
@morinisaiah4674 жыл бұрын
"Underrated artist" belle u r the king of ths mambo,killing it
@liliankimaro11684 жыл бұрын
l
@revelationtz78423 жыл бұрын
No way
@unjuukhamisi11553 жыл бұрын
Nakukubali beel 9
@alianzarodger5384 жыл бұрын
Enyewe mziki ni bahati tu..ingekua ni talanta belle nine angekua top five bongo
@bulilojuma72264 жыл бұрын
RnB yenye uzito wa mizani tunayotaka 🙌🙌🙌, You deserve the best Belle9+ The Magician Artist
@isayagangster10484 жыл бұрын
Homeboy umetisha
@tomasnyuguyu10013 жыл бұрын
Loved song. B9
@citylinkproject99012 жыл бұрын
the magician indeed..!
@joansjbl86514 жыл бұрын
tatizo wasanii muda mwingine uwa wanajifelisha wenyew...me naona msanii wa kuimba akiimba wimbo kwa feeling na passion hua inaleta maana zaidi 💯 hata chege alisema (kama muimbaji bas imba sana imba kwa isiaaa) we skiza wimbo kama masogange...skiza sumu ya penzi ....yan song unaimba mtu anaelewa zile feeling inakuaga poa sna...bele hii ngoma umeua sanaa 🔥
@emanuelkasiano69344 жыл бұрын
Verse 💯% Corause💯% Uimbaji💯% Uandishi 💯% Hakika huyu ndo belle9 tuliyemtambua siku zote hii ndo Back up nzuri sana keep it up broo🙏👍♥️♥️💥
@mrbionicman20053 жыл бұрын
ile ambae ulisema corause , hai andikwi hivi . inaandikwa hivi --- CHORUS
@angelfience5213 жыл бұрын
Nooma sana
@praygodmakundi25174 жыл бұрын
Fundiiiii sana we we MTU
@janetnjunge50943 жыл бұрын
Belle 9 is my favourite TZ artiste.Toka enzi za Sumu la Penzi. Hiyo time walikuwa wakishindana na Diamond.Belle 9 lyrics always make so much sense and are very deep! With lots of love from Kenya.
@eliadaniel95704 жыл бұрын
Belle this is a master piece ..i cant get it off my ears..
@geofreykiller67924 жыл бұрын
Idea ya huu wimbo cjawah skia tangu tanzania ipate uhuru.. yaan tangia nizaliwe never seen before.. much respect bro Belle9 #Umefanananae
@thabitdaudi98154 жыл бұрын
Unless umezaliwa 2000s ila usher alishafanya you remind me mwaka 2001 same idea bt the rest ni tofaut nyimbo kal sana
@jumannemfaume9 ай бұрын
Wimbo wangu Bora zaid wakat wooteeee🙌🙌🙌
@flova70222 жыл бұрын
Niwe mkweli naumiaa Sana kuona belle anakuaa average artist..and underated...yaan anatakiwa kuwa level za alikiba
@johngongana6704 жыл бұрын
Bro I call that talent,umekitendea haki kipaji mwana.... from tz to the world..much love from +254🇰🇪
@officialdabring98293 жыл бұрын
Belle cjui shida iko wap broo ur the best of dis risk tunakudai badilika
@obadiakapinga53154 жыл бұрын
the king is finally back....we missed belle
@pwoka52084 жыл бұрын
This guy never disappoints toka kitambo....
@D-Man.B-Free4 жыл бұрын
That’s international music 🎵
@BLACK-zy6bx3 жыл бұрын
GOod xn
@dokasalim9434 жыл бұрын
Hivi waTz mnajua uyu jamaa ndo king🔥🔥🔥of rnb bongo mbona hakuna eshima kwake na kumuhenzi.!!?
@daviddaninga17454 жыл бұрын
1 Hakuna madawa au pombe 2 hakuna wadada walio uchi 3 hakuna watikisa matako 4 haujacopy nyimbo 5 150% kazi nzur sana
@emmanuelmollel79774 жыл бұрын
david daninga 1⃣ usher raymond, remind me
@sideboy12994 жыл бұрын
nyimbo Kama hii club kweli itachezeka muziki biashara ukiimba kimapambio utapokelewa kimapambio
@mataamiry67204 жыл бұрын
Kama unapata shida sana kuinjoy katika hili dimbwi la burudani maana maneno yako nahis ni taaarbu flani,pole broo itabid uzoee
@kenybenjiz78504 жыл бұрын
Hii ndy miziki tunayoitaka kusikia na kuona
@iluminatamlay1614 жыл бұрын
@@sideboy1299 mbona hata ukipiga kwaya club wanacheza tuu, club watu hawachagui nyimbo
@emmanuelykwavi56824 жыл бұрын
The only problem of this song,just only it ends.... another hit keep it up bro....Umefanana nae🎵
@glorianyambeki26253 жыл бұрын
A friend was listening to this song today in my car as we were running errands after a bad heartbreak,bottom line it has been on repeat song the whole day and the next. Belle you going places,you are super talented hands down. This is among my most fave songs
@saidibhinda67853 жыл бұрын
❤️❤️❤️ Morogoro.. My Second Home.. What a 💞💕💓❤️❤️ from the City Without Ocean...hii ngoma inaniSafirisha kihisia mpaka Moro Town.. 😪😭
@francismacha25844 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kuzaliwa katika karne ya kushidia Kipaji chapo Belle 9..... Hatar sana...
@godlovegeorge23344 жыл бұрын
We jamaa unakwamaga wap mzee, mbna Una mavocal makali Sana hv
@shaibumandova61084 жыл бұрын
Kibongobongo labda alazimishe scandals kama za kiaibu au za kugombana na wasanii fulani ila kwa kawaida tu inakuwa ngumu sana kufatiliwa. Ni sisi watu wazima tulioanza kumkubali tangu zamani ndo tutamfatilia na kazi zake nzuri.
@godlovegeorge23344 жыл бұрын
@@shaibumandova6108 Namkubali Sana huyu jamaa
@carrelafilms37794 жыл бұрын
Huu Unyamwezi sana Belle, Come onnnnnnnnnnnnnnn 🔥🔥🔥🔥
@queenmariana58874 жыл бұрын
I wish hujafanana naye😢😢
@dominicnzai82564 жыл бұрын
Kipaji,mziki Unawenyewe jmni...Sio mziki Biashara....Belle9 Since Sumu ya penzi Mpaka waleo.....#Umefanananaye.
@damasprotas41264 жыл бұрын
This is what we call Music!!! Mm nilikufatilia Sana mpaka nikajua Kuwa jina lako halisi unaitwa ABEDNEGO DAMIAN najua wengi hawajui!!! 🥰🥰🥰🥰
@jimmyx84124 жыл бұрын
Best R&B Singer from Africa....najitahidi kuangalia Kila baada ya dakika 5 nachokitafuta Ni million views wanazopata wasanii wabovu
@anesansibert88964 жыл бұрын
James Julius yaan kitu kinachoniumiza mim binafs kama nafas aliopo bell9 kweny game hii
@jimmyx84124 жыл бұрын
@@anesansibert8896 yeah #belle9 Ni msanii ambaye anastahili kuwa mbali Sana....his underated.
@amoloamolo81383 жыл бұрын
Been listening to Belle 9 for over a decade and he never disappoints🙌🏿
@goddamwakimi58894 жыл бұрын
Daaaah HII NGOMA INANIGUSA NA KUNITOA MACHOZ KABISA DAAAH
@tonylasway59974 жыл бұрын
belle 9 wa enzi zetu ndo huyu sasa. VITAMIN MUSIC
@deemarschambou11154 жыл бұрын
Bravo: Genious of music. Unyamwezi + creativity mingi. You kill it dame 🙌
@sheldonford95044 жыл бұрын
Belly9 This is superflous, for real it is a true vibe and taste of a true R & B
@yohanasaidi34464 жыл бұрын
Wimbo mkali sana Kama sumu yapenzi
@geoffreycalvin22884 жыл бұрын
Moja kati ya wanamuziki bora kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania .... Stay blessed #Belle
@bobbybobby29643 жыл бұрын
Belle 9 Unajuaa bro Sanaa t Your top fan from 254 kenyaa💯💯💯💯
@hightechofficial2554 жыл бұрын
Belle 9 Hii Ngoma Imenibamba sio Siri
@AhazyStanley10 ай бұрын
07.09.2023 kumbukizi Ya siku Yangu ya kuzaliwa ❤❤🎉Nimemkumbuka mpnz wang Marry alikua anaipenda hiii Ngoma Jaman ❤️❤️❤️🙏
@jacksonmaroa4568 ай бұрын
❤ one love bell 9 nakupata fresh kutoka anga za Kenya 🇰🇪
@montestz70944 жыл бұрын
Usher: You Remind me Belle: Umefanana nae Me: Yesss
@mnganojonathan15964 жыл бұрын
Hahaha a kzfaq.info/get/bejne/p6p4YKZnnL7Qj6M.html
@jenipherlusekelo92122 жыл бұрын
Hii nyimb adi leo aijafikisha view m.nyie kweli amzijui nyimbo hv mnaisklza hii nyimbo vzuri kbsaa
@LilmbunahАй бұрын
Na mm nashangaa yan
@byamungujuma58214 жыл бұрын
I'm the first to watch this video in USA big up bro bell 9
@tituskijanjwa4 жыл бұрын
Aiseeeeee hiki kipaji ni motooooooooooo. Kwani nimekosea nini kumpenda Belle9.kama upo kama mimi like hapa
@janeymhando4 жыл бұрын
Wasanii wachache mmebaki ambao mnaimba mikasa na maisha ya kweli.... 🎤 Keep it up, good music 🔥
@reyfuraha75614 жыл бұрын
BELLE 9 Sauti Safiiiii!!!!! GET BACK UP THERE!!! MOBLOVE 254
@donskipper17854 жыл бұрын
Masogange mwenyewe aka Belle9,yaani hizi ndio pure R&B,sio sijui kanyaga, babalao ushenzi tu wa hichi kizazi, watanzania enueni legends kama hawa, MWANA FA, AY, Z ANTO tena kwa game...
@sekelamwangosi32894 жыл бұрын
Nampendaga bele nine why havumi jaman mbona anaweza kuimba😌😌
@magdalenajohn53273 жыл бұрын
Toka 2009 nakuamin na nymbo zako ni moja ya nyimbo za tbt yangu saut yako na mahudhui yananifanya nizid kukupenda daily # umefanana nae bell 9
@fikirijames57654 жыл бұрын
Hajaimba lugha chafu ujumbe mzuri lak waja Mna dislike mkoje lakn sijapenda ninyi mliofanya hivo show love maisha ni mafupi
@shukurujohn12424 жыл бұрын
shout out belle 9 for keeping the good music alive
@saidsalim50414 жыл бұрын
Fanya mziki wako bro wote wanajua we mkali endelea kugonga mioyo ya watu respect Belle9
@angelinadanfrey81392 жыл бұрын
Everything about this song is just so perfect 😊😊 a masterpiece I can say.. they don't make these anymore in bongo..real music
@geniusfamily64394 жыл бұрын
Moja ya wasanii ambao wako Underrated sana hapa bongo, lakini uwezo wake ni wa kiwango cha juu sana
@senimashauri66963 жыл бұрын
Sana huyu jamaa ana kipaji cha ukoo lakn vyombo vya habari vinawasanii wao wanaowajua wenyewe
@franciscomsomi78883 жыл бұрын
Nakubaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@emflashtv62114 жыл бұрын
Like za bell9 hapa 🙏🙏🙏🙏
@ridhwanabdallah17504 жыл бұрын
Nice song
@nicksondena52974 жыл бұрын
King of Rnb his back. Good music the Belle 9 ninae mjua enzinza Masongange na Sumu ya Penzi.
@Malkey4real.Alleytha_d3304 жыл бұрын
Unaweza bro
@iamzillahx69014 жыл бұрын
King Of Real RnB after Rama Dee
@edwardsichilengwe23304 жыл бұрын
Sahihi kabisa
@sheggybizzo19394 жыл бұрын
Kabisa
@deomichael30814 жыл бұрын
Ora hommie this is Belle wa sumu ya penzi, keep the good music Alive 🎶🎵🎧💪💪💪
@dericelly7059 Жыл бұрын
Tnz kuna vipaki vikubwa sana sana tatizo sisi fans ndio hatujui wasanii wanaojua mziki wengi wetu tunapotezwa na promo zinazofanywa na media ndio sababu tunawapa Kiki wasani ambao hawajui mziki ndio wanapata mafanikio "Hivi myu kama huyu Bell 9 anafeliwapi kufanikiwa kwa kipaji cha pekee alichonacho kama si media zinazomfelisha huyu ni nini asee so fans tusaport kazi za watu kama hawa sio tunadanganyika na matapeli wasiojua kuimba hawana sauti ni computer tuu ndio zinawabeba na ujanja ujanja mwingine Big up Bell 9,Big up Mario Big up Konde,fans tutambue kunawatu wanajua mziki tusaport kazi zao tusiwapote zaidi kama walivyopote kina Kasimu,Madonna,Steve RnB dah tena wamepotea mapema bila kupata mafanikio waliyostahili daah wapi Rama D asee Bongo hii tuna assert kubwa sana ya musician ila wabongo wenyewe ndio tunafeli.
@agathamathias34044 жыл бұрын
Shem ongera sana kipaji mwenyezi mungu kakujalia nyimbo nzuri ujumbe pia mungu hakaubariki Sana aiseeee
@ismailmzee42234 жыл бұрын
BELLE 9 CITY WITHOUT OCEAN
@VeroniqueMikato-gc1ek11 ай бұрын
wimbo wangu wa kila siku ,nahusikiliza kila siku,bell9 endelea kutoa vitu hadimu kama hii
@saidibhinda67854 жыл бұрын
Sina zaidi ya machozi kwa Ngoma hii😭...Belle9 Still Rock
@rusizitv69104 жыл бұрын
Huyu jama noma xana anasauti noma xanaaa gonga like kama tnakubaliana.
@D-Man.B-Free4 жыл бұрын
Angekuwa Diamond Platnumz ingefikisha 1M in 1 day ila kwa muzik mzuri hujafikisha hata 100k
@senimashauri66964 жыл бұрын
Hata kama hutaki kumwelewa bell9 nakuapia kwa Jina la Bongo flava utawemwelewa tu Amina
@magadehazard94754 жыл бұрын
Utabakia kuwa star wa muzic mtamu king wangu nakubali sana #sound yako hakika unauelewa muziki🔥🔥🔥
@tokal2544 жыл бұрын
This is now the real Belle 9 I used to love!! Zile vibes zake za kitambo ndio hizi.. 🔥 🔥 🔥 🔥
@markosikudhani7993 жыл бұрын
belle 9 tangu enzi za Sumu ya penzi, nilipe nisepe, Wew ni wangu, Amerudi nanyingne nyiiiingi hadi leo umefanana nae tuko pmj kak, wew ni fundi tu na haujawahi kuni Let down.
@wideetheoneboy10113 жыл бұрын
Umefana nae sura mwendooo #Belle 9 is best singer
@fantt23034 жыл бұрын
The rnb king is back
@patrickmarco84974 жыл бұрын
🤲
@faridifriction88054 жыл бұрын
the most underated artist 🎼🎧
@bestepius29883 жыл бұрын
Mmh
@mathiaslaurent7564 жыл бұрын
Nyimbo kali mzee pamoja na kelele zote za Korona lakini tumegundua Kuna mdundo mkali kutoka kwa bele 9 usifanye mchezo
@mbukwaclassic84894 жыл бұрын
Fundi bhnaa nifundi tu .. brother Belle 9 unajua Sana brother nyimbo.kali Sanaa
@Basagamp44 жыл бұрын
Alishaniforce nimpost na nimtag🙆 Big Rhyme
@thomasrichard61694 жыл бұрын
Yea ngoma qali
@maximusalnono64254 жыл бұрын
Good music👍wasanii pekee bongo wenye sauti za ukweli
@johnchedy82264 жыл бұрын
yaani ningepat muda ningemwambia bro unajuwa tangu kitambo pindi mm nipo mdogo nasikiliza nyimbo zake and umefanananae it the hit yaani sikiliza bet vizuli yaani nilive bad Jesus Christ like this ifike 100
@betydalaurent64854 жыл бұрын
You killed it budah💯 congrats
@betydalaurent64854 жыл бұрын
✌
@brokenigga28423 жыл бұрын
Legends never disappoint..🔥🔥🔥
@juniorhasahn55454 жыл бұрын
Umeua sana bro sina neno zuri lingine zaidi ya kukupongeza kwa song Kali kama hili
@enk69124 жыл бұрын
My all time best Rnb Artist kutoka Tz. mziki umetulia hauna kelele. Hakuna chuki but sielewagi kitu wasafi wanaimbaga. labda 1/10. All they have is media attention. One Love Bele9
@goodlucktemu31494 жыл бұрын
watu kutoka morogoro na tz kwa ujumla naomba like mbili tu.
@franknnko41034 жыл бұрын
Belle 9 yaniiii hii ngoma ni kal 2020 hakuna ngoma nyingine ya kukushinda mwaka huu
@modestferdinand23574 жыл бұрын
9 is talented, bravo bro, keep the spirit.
@BenroyalPictures4 жыл бұрын
Mwenye mziki wake amerudiiiiiiiiii
@farihiayusuph64054 жыл бұрын
tangu siku ya sumu ya penz mpak leoo nakukubali sana bele9
@muniraahmed6244 жыл бұрын
Hivi hii tabia yakusoma comments za wadau ntaacha Lin?? 😁😁 Nishaurin please🙈. Mziki mzuri❤😊😢
@saidishomari11944 жыл бұрын
today
@chrisantusmtanga19184 жыл бұрын
Munira
@maungalashabani14854 жыл бұрын
Mambo
@kingkide67093 жыл бұрын
Tabia mbaya
@michaelanthony74704 жыл бұрын
ivi umetambua kuwa audio version na video version iko na tofauti kwenye ki-instruments...video ni ikonanga instrumental zaidi..
@kakengination63414 жыл бұрын
michael anthony yaaan naonaa kwenye video audio yakee ndoo nitamu Sana'a yaaan mix imekaaa poaa mnooo yaaan inasikikaa kishujaaaaa kwakweli bell 9 your fire
@michaelanthony74704 жыл бұрын
@@kakengination6341 exactly buda...the gent is good all the time,uko na wazo ka yangu vile.
@agnessjoseph90694 жыл бұрын
Aiseeeh umejua kunikosha wa ukaye Bell 9,very beautiful song
@sickeemily46334 жыл бұрын
Kama bado unaendelea kumpa saport belle 9 gonga like apa