Vyema kabisa hongera Sana kwa uchambuzi bora kila la kheri kazi njema barikiwa Sana shalom
@user-vb6zv8ov8v10 күн бұрын
Uko vzr,wajifunze kwa Nzize wa Yanga kuna mahali tulikuwa tunategemea goli anakosa lile ni suala la umri mature utamuona mwaka huu kisha zoea
@suleimanmwenyemvua99510 күн бұрын
Uko guuuud sana bwana Zubeir...😊😊😊😊
@EmmanuelBukindu10 күн бұрын
Jamaa Yuko vzr
@omarMchoya10 күн бұрын
Huyo jmaa yupo very Very point san
@KS-iw7qv10 күн бұрын
Ukweli huu naufananisha na UKWELI wa Mchome msimu ulopita.... Watu walimpinga saana hati timu ikaangukia pua....😢
@vincentkatabalo2865 күн бұрын
Big up Zuberi wewe ni mchambuzi na nusu. Uko very objective haupelekwi na hisia
@EnockKombolela10 күн бұрын
Mwl zuber big up sana
@JassonKagaruki10 күн бұрын
Huyu jamaa apewe ulinzi makolo wakiiona hii tumeisha
@Rarmba10 күн бұрын
Best mchambuzi ever,huna mbwembwe unongea fact bro,wala hauna upande,nakufuatilia sana uchambuzi wako,uchambuzi wako ni waki football zaidi hauna siasa kabisaa.congrats
@RichardAmos-eo9dh10 күн бұрын
Big up zuberi chambuzi la taifa kupitia hii exclusive nimepata madini ya kutosha na baadhi ya facts za kimpira ambazo nilikuwa napata ukakasi kuzielezea.
@bentvmedia10 күн бұрын
Karibu bentv
@kayagahamisi57210 күн бұрын
Huyu ndo mchambuzi sio chambuzi halafu shabiki wa timu fulani
@mikidadijumanne744110 күн бұрын
Uko sahihi
@NTUSOTV-xx8qe10 күн бұрын
Uko sahihi mkuu,,, simba nguvu mbili✊✊
@DarliotonTumaini10 күн бұрын
Madin mwanzo mwisho🎉🎉🎉
@mohamedikassimu70169 күн бұрын
Fact broo umenena
@anafiselemani395710 күн бұрын
Big up sana bro zuberi
@speciallvoice809110 күн бұрын
Uyu jamaa Yuko vzr sana
@user-em2sd9tm1n10 күн бұрын
Kaka shikamoo
@veelmng774610 күн бұрын
Jamaa ni mchambuzi kweli na anajua mpira
@suleimanmwenyemvua99510 күн бұрын
Mchambuzi wape hao mambumbu kicheko baada e kilio😅😅😅
@amanilupembe97889 күн бұрын
Ukopoa bro
@ezramichael703810 күн бұрын
Mpira anaujua vizuri
@fabiandanford35729 күн бұрын
Big upp umeongea kisoccer zaidi
@salumallymngumba10 күн бұрын
Umeongea point tupu.
@kibasamohamedi80297 күн бұрын
Uchambuzi mzuri
@amanilupembe97889 күн бұрын
Hupepes macho
@alphoncealmack924010 күн бұрын
Hii kichwa imetulia si mchezo jamaa ni mtaatam anajua kuchambua ball. Tunataka wachambuzi kama si kama kina jemdar,oruma,salehe,na wengine km hao
@EnockKombolela10 күн бұрын
Wewe ndio chura nini ulicho kuelewa ktk ichi anacho kiongea
@fredmbossa-kc3qn9 күн бұрын
sio morata tu hata pale barca kuna kiungo anaitwa thiago alcantara alicheza barca kipindi barca ina viungo wakina inniesta,xavi na busket na hawa wote walikuwa na umri mkubwa lkn barca hawakuwauza mapema hawa wazee ili wamuache thiago ,,mwishowe thiago anaondoka na kwenda timu zingine mpaka jana kastafu
@allysinde62088 күн бұрын
Huyu jamaa nimemkubali sanaaa... Yani anaongea points za Maana Sana na sio ushabiki.....
@vincentkatabalo2865 күн бұрын
Kocha wenyewe hawajiamini si mtoke nje mkaonyeshe maajabu
@vincentkatabalo2865 күн бұрын
Kocha awe na uwezo na uzoefu ns sio uwezo
@salagolusangija872710 күн бұрын
Bonge la mchanbuzi
@Zaynab-ny6gr9 күн бұрын
Huyu jamaa anajua sana
@user-yu1zo9pf4o2 күн бұрын
Huyu km kaka wa "K" mziwanda
@andrydengaah738910 күн бұрын
😅😅😅
@athumanmapunda10 күн бұрын
Kweli
@saidmwinyi44372 күн бұрын
Eeeh mkaraboko umeuwa
@user-lo9pb1po8l9 күн бұрын
Serikali mpeni ulinzi huyu jamaa ni tunu ya taifa😂
@kichefuchefu238210 күн бұрын
Unajua kaka
@salummbuleti604710 күн бұрын
Huyo mchambuzi wako ni chizi
@AyubuIssa-np3vc10 күн бұрын
Uyo nichura kama chula wengine
@suleymanyasinmkufu157010 күн бұрын
Amejaa wivu ,uto.
@Evance-op4jw10 күн бұрын
umasema ukweli mtupu ingawa itawauma baaddhi humu
@AyubuIssa-np3vc10 күн бұрын
Aowachezaji wa simba wanamuonekano gani
@mwanangusana10 күн бұрын
@@AyubuIssa-np3vc😂😂😂 tulia kk
@franccoz9410 күн бұрын
Wachezaji wengi wa yanga wanamsimu mmoja tuu wa kucheza baada ya hapoo n angukoo
@user-mg1yl2rl8s10 күн бұрын
Eng. Hersi sio mangungu. Yanga kila mwaka wanabalance timu kwa kuacha wachezaji wanaotegemewa kushuka kiwango na sio kusubiri hadi washuke kiwango. Watafute kina Djuma, Saidoo, Moloko, Lomalisa, Shaibu, Bangala orodha ni ndefu. Yanga ni timu kubwa inasajiri kwa mahitaji na performance.
@Evance-op4jw10 күн бұрын
nani kakwambia wewe? hawa ni wachezaji wenye uwezo unaoweza kudumu miaka mingi hadi wanakuwa na umri mkubwa zaidi bora wanaume bora kuliko wavulana wasio na uwezo
@reonardchatanda63719 күн бұрын
Pole sana. Inaonekana hufwatilii usajili.yanga imeongeza mikataba wachezaji wake wengi muhimu.
@anicethy697810 күн бұрын
Mpira wa miguu unachezwa na wavulana ukishakuwa mwanaume,"jua la jioni"huwezi tena,nimemtizama,Modrich, Pepe na CR7 wamejitahidi sana kwenye Euro lakini unaona tu anhaaa
@errydeo886510 күн бұрын
Unaongea nini wewe ,hao aliowataja umeona viwango vyao as individuals!! Umemuona pepe jinsi experience yake vijana walikua hawapiti?? Kuna wachezaji of higher level hawawafikii viwango! Timu lazima iwe mchanganyiko wa vijana na wenye experience! Unajua wenye experience kama CHAMA wanaleta nini dressing room!? Ushauri, uzoefu wa mechi kubwa, confidence,nk kwa vijana bongo shida ni kutojua mpira,as a game! Kuna kitu kinaitwa SENIOR PRAYERS Kwenye timu,unajua maana yake!? Senior players wanakua na umri mkubwa ,wana uzoefu,wamekaa mda mrefu kikosini,! Hao husaidia vijana kukua! Simba hao watoto watajifunza kwa nani!? That means watachukua mda mrefu to catchup ,to gel,to learn,and to GAIN experience! Utaona Yanga wakikutana na hao watoto! Kijana mwenye umri mdogo kumkaba mtu kama pacome, Aziz nk ni shida! Akimwangalia Aziz anataka amsalimie🤣🤣🤣Thats how football WORKS!
@AyubuIssa-np3vc10 күн бұрын
Uyo nimweu tu mpira sio umri .simba wakisajili wakubwa unasema wazee
@mwanangusana10 күн бұрын
😂😂😂 mmeleta wachezaji kwaajili ya tamasha la saba Saba
@maryjkiosa338010 күн бұрын
Huna jipya wewe ebu tupishe
@mwanangusana10 күн бұрын
Tupisheee wewe
@user-ds3oi3tt8u10 күн бұрын
Utopolo huyo hakuna Anachoongea hapo maneno meengi lengo Lake limeeleweka
@mwanangusana10 күн бұрын
😂😂😂😂 Nenda kasikilize mapambio kwa akina jemedariiii, oruma na Jeff
@gerowadamwandika66910 күн бұрын
Mchambuzi wa mchongo wewe, umetumwa na vyura kwendaaaa hukoooo
@erasmuskwayu564310 күн бұрын
Sawa tutaonana kwenye Ligi na Shirikisho Afrika tutajua huyu anajua au hajui
@user-rp8ke2nb5i10 күн бұрын
Bonge nysnya wachambuzi wa tz vinyonga
@user-cm7yl9ej7i10 күн бұрын
Kuma ya mama zenu
@KS-iw7qv10 күн бұрын
Ukweli huu naufananisha na UKWELI wa Mchome msimu ulopita.... Watu walimpinga saana hati timu ikaangukia pua....😢