Mashaalla mungu akubaarik akuongezeeilmu kweli Sauti ya mwanamke nitupu ila kheri ya waadhi kuliko waimbaji mm claumu bali napongeza shukran kwadarsa barakallahu fiyki
@fatimam78584 жыл бұрын
Maashaallah mke mwema mungu a jalie na mm anipe mume waheri mcha mungu anikumbushe akhera na dunia nshaallah
@hassanalihassan50734 жыл бұрын
Amin
@aminashankaroon555 жыл бұрын
Ma sha Allah ya Raab giude all Muslims women all over the world nampenda bi fatma jazak Allah kheir
@mussamwita39007 жыл бұрын
yaaa Allah nijaalie nipate mke mwenye kulingania din ya alllah kama huyu mama '" aamiin aamiin aamiin
Mussa Mwita sauti ya mwanamke uchi. sasa darsa kama wataka akusomee wewe. Amin utapata tu ngoja mi nikutafutie mdogowangu
@rahmamohammedmashaallah37907 жыл бұрын
Mussa Mwita amiin lnshaa Allah
@mimahsaid23266 жыл бұрын
inshlah mungu atakujalia
@leiylaomar93186 жыл бұрын
Mashaallah Allah nijalie mume mwema yaarab
@mimahsaid23266 жыл бұрын
Leiyla Omar amiin kwa sotee
@fatumamuhamad85706 жыл бұрын
Leiyla Omar Bii leiyla bin Omar assalaamualaykum khabar za hapo ulipo kama upo tayar nikuoe uemke wangu Wa pili in sha allah
@maryamadam90865 жыл бұрын
Mashallah. Allah akujaze kheri elimu zenye manufaa Bi Fatma u binti wako je?
@AhmedAhmed-ph3wq4 жыл бұрын
Mm
@AhmedAhmed-ph3wq4 жыл бұрын
Mm
@halishlishhalima11465 жыл бұрын
Bi Khadija apo sijaelewa manake mtume(S.A.W)alimpenda Nana Aisha sana kuliko wengine mwana mume hawezi penda wote pamoja.
@mansoorsadiq57216 жыл бұрын
Hili nijambolakheri hakuna makosa sauti yake na surayake allah amjaze heri huyu bifatma na allah ajuazaidi
@twahirisadiki5483 жыл бұрын
Ujumbe kwa wanandoa
@mira-gq3qg5 жыл бұрын
Mashallah yuko sawa nimempenda
@RIHA-qb6mx10 жыл бұрын
mashallah,mawaidha mazuri sana, Allah atupe wepesi ktk jambo hili InshaAllah,Ameen yaraab.
@tupeukwelinamasogangebwana76117 жыл бұрын
Dunia Mwisho maaaaallah mawaidha yamenisisimua
@tupeukwelinamasogangebwana76117 жыл бұрын
wenye waume muwache waumezenu waoe wajane wapungue nazinaa zipungue
@shabantatoomusafaustini12057 жыл бұрын
uchugu wamme unaujua ww kama meorewa azisha wako
@shabantatoomusafaustini12057 жыл бұрын
mashaalhla
@saharahaliki47037 жыл бұрын
mashaallah
@abughatimsalim70476 жыл бұрын
mashallah
@hassanimaka8566 жыл бұрын
allah
@awadhiabdallah64547 жыл бұрын
allah nijaalie mke mwema.
@mimahsaid23266 жыл бұрын
Awadhi Abdallah amiin inshllah mungu atkujalia
@jumacarlos752510 жыл бұрын
Deadly wrong @ Ayman Ghuzayr Bibi Aisha alikua akiwaelezea watu jinsi gan mtume alikua anakifanya ibada hapo hakuna kosa.ALLAH NI MJUZI ZAIDI
@zulfaalnabhanzulfaalnabhan86538 жыл бұрын
subhanaLLAH inaskitisha haifai mwanamke kufanya hivi ni wajibu wake kwa wanawake peke yake vp amechukuliwa na video na kuonekana dunia mzima kwani kuna wanaume wengine wana maradhi ndani ya nyoyo zao, ALLAHU AKBAR
@mwanaidiramadhan39195 жыл бұрын
Maradhi gani hayo naomba unieleweshe katika Imani
@nuiasadiki63425 жыл бұрын
allah nijalie mume mwema
@rahemarehema14904 жыл бұрын
Amin amin amin
@rajabmuhamed92644 жыл бұрын
Natafuta wa pili aliye mwema
@issangullo8048 жыл бұрын
zulfaalnabhan zulfaalnabhan wewe unasikitika kumuona Bi Fatma akiuelimisha umma kuhusiana na mambo Allah.Mimi sioni kama kunatatizo kwani kajisitiri kulingana na dini ya Kiislam iliyoelekeza.
@zulfaalnabhanzulfaalnabhan86538 жыл бұрын
bibi aysha alikua akielimisha watu wote lakini wanaume akiwaelimisha juu ya pazia not face to face like this
@aishatumbo93695 жыл бұрын
je inafaa kuweka dawa nywel na ukasal
@sulusimariam87042 жыл бұрын
Haifai kuweka dawa kweny nywele wal kali ina kam unamfut ya kupndezesha nywel zko unawek kwa sabb dawa inabdilxha asil ya nywel n kuw ambavy haikuwa
@mrsmrshassan74738 жыл бұрын
Subhanallah , hii tunachukilia kawaida kwa karne ya sasa , ndio tunaelimisha , lakin mwanamke sitara kila kiungo na sauti na hata ukijisitiri upo uwani na wanawake wenzetu lakin sio kwenye mitandaoni , na msinyanyue sauti zenu mbele za wasio maharim zenu iweje leo mitandaoni ? almuhim mwanamke haifai kutoa mhadhara kwenye mitandao , na wala mbele za wanaume , shukran ,
@aymanghuzayr37110 жыл бұрын
Huu ni msiba hata kama amezungumza maneno ya maana ameondokana na salafu swaleh kwa yule aliemchukua video na kuiweka katika youtube jee sauti ya mwanamke ni aura au tumesahau hilo hijabu yake imeshapungua kwa kujiweka hadharani. Haya ilikuwa ni kwa kwetu sisi wanawake tu na sio kwa dunia nzima hakuna stara kuanzia sauti na vyote.