Leo kipara kaongea point mbwela congratulations sanaaa🎉🎉🎉
@user-bw8un9ds6t29 күн бұрын
Hii movie ina mafunzo mazuri sn kaka mbwela mungu azidi kukuongoza ulete mafunzo kw walimwengu. Hongereni sn nyote mulioshiriki kwenye movie hii na mungu awabariki nyote
@user-eu6yd1de5mАй бұрын
Jamani nakupenda mbwela uko vizur sana kazi nzuri Ina mafunzo sana asante kaka
@MwajaambetaPandu-zp8dcАй бұрын
Iendeleze iwe na part 2 bwela achunguze ❤❤
@dedemishi3848Ай бұрын
Kuna funzo zuri hapa,don't judge the Book by its cover
@evelynoscar5104Ай бұрын
Mbwela jmn nakpenda una busara kubwa mno hakika mama ako aheshimiwe amelea mwamba
@saidmwinyi7062Ай бұрын
Mbweraaa nampendaa sana bse anajua na anabadilikaaaaa na yuko real kabisaaaaa secondly dada yake zatiti naye ni fireeee
@Emily-zr3nlАй бұрын
Mm namkubali sna bwale kwa movie zke
@user-go4uc4oe4pАй бұрын
2 nakukubali sana Bro Mbwela🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JanetRiziki-ut2isАй бұрын
Mbwela aki ww ni mwamba sana aki mungu akubarika sana.😍😍😍
@nluto17Ай бұрын
Mbwela it’s always my favorite in movie❤️😍🙏
@joselynenizi94759 күн бұрын
Muvi nzuri sana ina mafunzo mengi mungu azidi kukubaliki kipaji chako kiendelea kukua zaidi na zaidi
@ayoubballe8494Ай бұрын
Hongereni sana Kazi nzuri
@AnnaWaswaАй бұрын
Jalibuni patient 2 aki movie nzuri sana mbela💯
@HappyNicholas-be2ynАй бұрын
Jaman nimechelewa bt nimekua wa pili like zenu ❤❤🎉🎉🎉
@user-oz9zy5ck1iАй бұрын
Movie nzri Sana ila natamani mwishoni ingekuwa kujulikana walio husika na kifo then wangechukuliwa Sheria ndio mwisho 😂😂😂😂 wanao sema kama mm gonga like
@chingamunga914128 күн бұрын
Hapo umeongea kweli,hawakumalizia vizuri.
@salhamlanz980626 күн бұрын
Hiyo kazi ya serikar tuwaachie police😂😂😂😂
@salhamlanz980626 күн бұрын
Alafu nilicho gundua hujaangalia mdi mwisho mah kifo cha zatiti inajulikana kama cha kurogwa😂😂😂😂
@user-oz9zy5ck1i26 күн бұрын
@@salhamlanz9806 kwani si walijitaja na Yule mwingine aliwasikia ? Acha ubishi
@MWANAKOMBONGANGAKARISA18 күн бұрын
@@salhamlanz9806😂😂😂😂😂😂😂😂 nkwel maan serikar Ina mkono mrefu xn😂😂😂😂😂😂😂
@user-qf8rk6gf3qАй бұрын
Wow tunakukubali sana toka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@DeborahFuraha-ho4ykАй бұрын
Very good jipala ubawokowa kueri umesema kueri ❤
@MariamMusa-jz6us18 күн бұрын
Kali. Sana hii movie ❤
@lundatvonline4975Ай бұрын
Kaz Smart Sana kwa nyakat tulizo nazo hongera mbwera na hii ndo Kaz
@zuhurahamisi8687Ай бұрын
Mungu Azidi kukupa ufahamu na kutukumbusha yaliyo mema
@NathiaAmiry10 күн бұрын
Hongera👏 movie iko pow ina mafundisho kwa kweli
@FlorahKissanga-uy3xdАй бұрын
jaman mi hako kanyimbo ka ndoa kananikoshaa 🥰
@MWANAKOMBONGANGAKARISA18 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@TukaeKitamkanga14 күн бұрын
hongela kwa kazi zuri kaka ang❤
@MWEGOHAАй бұрын
Mmh movie nzuri sana ila sikutegemea imenitoa machozi mwishoni 😪😭😥😭
@mwachilungotsimba1416 күн бұрын
Hii movie ni moto sana hongera 🎉🎉🎉
@user-ss8zw7ep1zАй бұрын
big up mbwela🔥🔥
@AnnaLea-lq6obАй бұрын
Hongereni sana
@FatumaZikacompleteАй бұрын
Hii movie Kali xana ❤️❤️
@SalomeAbel-oc4mfАй бұрын
hongera sana kaka
@maiyasalenjashi2352Ай бұрын
I love ❤️ your movie
@BakariBamvuaАй бұрын
Congratulation bro...one love mm movie nzuri sna bro huwa nafatilia sana sinema zako,hongera sna bro.
@rosekavumbi241313 күн бұрын
Hongera kaka mbwela much love from Kenya ❤❤ila tunaomba ingeendea hii movie bado haijaisha kwakwel😊😊
@user-rq8sd4zd9sАй бұрын
❤❤❤❤❤❤ pambe sana
@user-ls8xd2ji4m21 күн бұрын
Napenda kazi zako mbwela pick up bro following from Canada
@ayoubballe8494Ай бұрын
Story nzuri inafundisha sana
@EsterJoseph-tw3qsАй бұрын
Jaman hicho kinge Cha huyo kaka anaharibu movie
@JJMNOKOАй бұрын
Yooo yooo what's up my people anyways show me some love am from kenya
@halimahnakshi22Ай бұрын
Kipala hicho kingereza tena😂😂😂
@halimaamini801528 күн бұрын
Kazi nzuri inamafunzo sana hasa kwa nyakati hizi tulizonazo za kidigital safi mbwera moves ina maadili😊❤
@ELVINARANDU-ru6coАй бұрын
Sana saw
@user-qm2db2fo9wАй бұрын
Jamani tunaomba muendelezo
@Mariam-fm8vqАй бұрын
Mbwela tunataka muendelezo sio marudio 😢😢😢jaman
@user-ie5pm1cb3dАй бұрын
Imeisha vibaya
@KalamaMasha-lz8ojАй бұрын
Moving nzuri san
@saidmwinyi7062Ай бұрын
Kwanza naomba jina wimbo na muimbaji Pili movie nzuri ila imemalizia vibaya maana wauwaji hawajajulikana wakayi siri pale ilikuwa ishatokaaaa Tatu maoni hapakuwa na haja ya muhusika zatiti kufa kwasababu ujumbe aliobeba umeakisi sana kwenye jamii watu huwahukumu watu kwa mabaya yao waliyotenda nyuma alitakiwa zatiti ajifungue atambe na mumuwe iwe familiya ya kupigiwa mfano hadi watu wasahau waliyoyapitiaa
@joselynenizi94759 күн бұрын
😢nikweli ni nzuri sana ila tukumbuke kuna watu wanakufa na ukweli haujulikan
Uyo nae kaambiwa ilo jidevu lilimpendeza sana hajioni ila yuwatisha
@angeharushimana743114 күн бұрын
Yani kipara anacekesha sana😅😅😅😅😅😅😅😅anakunja uso kama rambo kapoteza kisu cake
@stevengrayson735910 күн бұрын
Mbwela ni nzuri sana hii But samahani nilikuwa nakushauri mazingira ambayo unachezea filamu zako ungekuwa unabadilisha Tanzania n kubwa mkuu nyumba tumezikalili hizi
@sophiashamimah589527 күн бұрын
Team bora kabisa hii movie yny mafunzo zaidi hongereni Sana ila kipara unanibamba jamani😂😂😂😂
@ASHAYUSSUF-bs6sy10 күн бұрын
Kiukweli humu kipara umenifurahisha sana😂😂😂😂
@user-ih5ig5gs3x2 күн бұрын
Kumbe ata kipara Yuko apa 😅😅😅😅kipara mbeyaa😅😅😅
@RoseOsiemo-cr1ntАй бұрын
❤❤
@MWANAKOMBONGANGAKARISA18 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 mambo ya kupigana tuwaachie kina donieni 😂😂😂😂😂 etieee
@mossikombo95919 күн бұрын
Tunaomba uendeleze part 2 Nice kazi
@HusseinNuru-zd3bf16 күн бұрын
Hapo hapo mbela ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MWANAKOMBONGANGAKARISA18 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂kipara ww eti kam rambo kapoteza kisu chake