BILIONEA LAIZER ALIVYOUZA JIWE LINGINE LENYE THAMANI YA BILLION 4.8 MIRERANI

  Рет қаралды 66,119

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 86
@georgeisdory9998
@georgeisdory9998 4 жыл бұрын
God is good Anae amini huyu jamaa anamadini mengi zaidi ya hayo👍👍
@bzbthebarber2055
@bzbthebarber2055 4 жыл бұрын
Sikukuambie uwaambie
@msetikebwasi6895
@msetikebwasi6895 4 жыл бұрын
saaana
@dasilvajunior3016
@dasilvajunior3016 4 жыл бұрын
kama kuna mtu amegundua jiwe la tatu jamaa alikuwa amelificha ndani kusikilizia bei ya mawe ya mwanzo agonge like 😄😄
@salomemchewa5187
@salomemchewa5187 4 жыл бұрын
Huyu Mzee naona anayo ndani hongera zake
@barakaoriginal9792
@barakaoriginal9792 4 жыл бұрын
madini siyo gololi yawekwe ndani
@temkezatv4381
@temkezatv4381 4 жыл бұрын
"Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@tumaininerei5948
@tumaininerei5948 4 жыл бұрын
Hongereni Laizer na Kakaa pia aliyehudumia mgodi mpaka akatoa mawe makubwa.
@gallousgosbert4993
@gallousgosbert4993 4 жыл бұрын
Mzee saniniu laizer naomba unitumie shilingi millioni mbili biashara yangu imeyumba sana tafadhali
@salomemchewa5187
@salomemchewa5187 4 жыл бұрын
Kweli mungu akiamua kukupa hakuna mpizani
@shabbymakapane1910
@shabbymakapane1910 4 жыл бұрын
😃😃😃
@msetikebwasi6895
@msetikebwasi6895 4 жыл бұрын
Laiza ninunulie detector hata ya 2000000,nikaokotee madini sehemu nikuletee.
@starcostantine6250
@starcostantine6250 4 жыл бұрын
Du lingine tena hongera zake itabidi nimtafute Kwa kweli 😄😄😄😙😄
@khamisinyandikila7342
@khamisinyandikila7342 4 жыл бұрын
Huyu jamaa anayo kama yote maaana c kwa mijiwehyo
@francomanmusic2906
@francomanmusic2906 4 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/m8eKY66prbPYqX0.html naomba subascrbers
@neemamturi3273
@neemamturi3273 4 жыл бұрын
Itabidi niende nikachimbe na mimi ivi wanawake wanaruhusiwa kweli🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila Mungu azidi kukunua zaidi maana huu mwaka ni wako wa mafanikio zaidi 🙏🙏🙏🙏🙏
@dintazdintaz7311
@dintazdintaz7311 4 жыл бұрын
We njoo uolewe tu
@barakaluvanda7941
@barakaluvanda7941 4 жыл бұрын
😂😂😂 we nenda
@neemamturi3273
@neemamturi3273 4 жыл бұрын
@@dintazdintaz7311 kuolewa hapana labda nikafagie hata mgodi 🤣🤣🤣🤣🤣
@dintazdintaz7311
@dintazdintaz7311 4 жыл бұрын
@@neemamturi3273 ukifangia unahc utapata hata kitu utaishia kupata mafua kama kondoo tu wa mtaan
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 жыл бұрын
@@dintazdintaz7311 😃😃😃😃
@nawihadj6674
@nawihadj6674 4 жыл бұрын
Ni yeye ni yeye
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 4 жыл бұрын
Wamasai mwaka wenu huu...!!
@dasilvajunior3016
@dasilvajunior3016 4 жыл бұрын
😁😁😁😁
@ibrahimjobu9141
@ibrahimjobu9141 4 жыл бұрын
Huyu dingi wamchunguze vizuri anayo mengi ndani anatuvuna tu huyooooooooh yapo mengi ndani
@eshynassor5666
@eshynassor5666 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema siku zote
@Tiffany340
@Tiffany340 4 жыл бұрын
Duuh.. hongera billionaire
@elliottrahema
@elliottrahema 4 жыл бұрын
Huyu mzee ataendelea kupewa ajili ya roho nzuri
@jonaspatrick2871
@jonaspatrick2871 4 жыл бұрын
Ana roho nzuri ndio maana Mungu anamjalia zaidi.
@fidelludemwa2943
@fidelludemwa2943 4 жыл бұрын
Hongera yake
@yarrelaisumail2580
@yarrelaisumail2580 4 жыл бұрын
Hongera sana mr laizer
@askarikamaaskari1936
@askarikamaaskari1936 4 жыл бұрын
Wamasai awapendi dhulma ndo maana Wana barikiwa
@dintazdintaz7311
@dintazdintaz7311 4 жыл бұрын
Mabeyo na siro wanalishangaa tu jiwee
@akshaydavid159
@akshaydavid159 4 жыл бұрын
Hahahaaa
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 4 жыл бұрын
Afu huyo Saniniu Kuryani atakua ana mijiwe kibao ya tanzanite kaivundika sehemu huyooo. Anafanya kuitoa moja moja. Maana Duuhh !!
@annakulanga5415
@annakulanga5415 4 жыл бұрын
Hata mm nahisi hivyo nishamshitukia mchezo wake
@josephghamaa8
@josephghamaa8 4 жыл бұрын
Mbona ada ya ukaguzi ni kubwa hivyo? Si Mil. 5 ingetosha tu. 250mil.? Sijui lakini wataalam wa mambo hayo. 🙆‍♂️🤔🤔
@shabannimbali3643
@shabannimbali3643 3 жыл бұрын
mechi ya simba na tlatnam
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 4 жыл бұрын
Mabeyo oyee
@mussajumalwambano6017
@mussajumalwambano6017 4 жыл бұрын
Safi raiza huyo bwege wa chadema eti umeonewa wakati ww umelizika yy kinamuwasha nn ww lema kazi yako ni kupinga kila kitu ni kupinga to mbona Corona mliikubali na kujifungia ndani
@mageuzisylvanus6049
@mageuzisylvanus6049 4 жыл бұрын
Ipo siku itafahamika tu
@msetikebwasi6895
@msetikebwasi6895 4 жыл бұрын
Eee sana.
@costerprima4145
@costerprima4145 4 жыл бұрын
Spendi unavyo sema hizo aa aa
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 4 жыл бұрын
Mwenye nacho uongezewa
@mussakiula7481
@mussakiula7481 4 жыл бұрын
Huyu jamaa duh
@janestanslaus2517
@janestanslaus2517 4 жыл бұрын
Hizo ada za ukaguzi hizo!!
@fridamapundasafi1862
@fridamapundasafi1862 4 жыл бұрын
Jamani kapata tena basianayomengi kayaweka
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 4 жыл бұрын
Hiyo miada sjui ya ukaguzi Sjui ya halmashaur mbona kama heavy weight mc Inaweza ikamfilisi huyo Saniniu mwenyewe Aisee.
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 4 жыл бұрын
Jamani hao mabeberu hapo pembeni yake wanatokea wapi, walituibia cha kutosha
@salomemchewa5187
@salomemchewa5187 4 жыл бұрын
Mlijiibia wenyewe mnasingizia mabeberu. Bila wao nani atanunua hayo madini .wazungu wanaweza kuingia na kuchimba madini .kama siyo wenyeji .Acha ubaguzi .waafrica tunajizurumu wenyewe ,,
@ditomwakei2288
@ditomwakei2288 4 жыл бұрын
Huyu mzee atamaliza ela ya serikali
@chauligemeka7840
@chauligemeka7840 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@ditomwakei2288
@ditomwakei2288 4 жыл бұрын
Huyu jamaa bado ana mzigo ndani anataka autoe kidogo kidogo
@samsondecoman983
@samsondecoman983 4 жыл бұрын
Sisi wama sai hatuna mbwembwe, siuna cheki nguo za Laiza hapo, nahatulagi chakula na wana wake, hivyo malaya waji pange hapa pazito.
@philosophyalen
@philosophyalen 4 жыл бұрын
Sasa wewe unasifia nguo na wanaume wenzako ...shame on you
@samsondecoman983
@samsondecoman983 4 жыл бұрын
@@philosophyalen utajua mwenyewe.
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji 4 жыл бұрын
Kua makini vibaka kibao hapo
@geophreytobias3353
@geophreytobias3353 4 жыл бұрын
Hehehehehhe huyu jamaa bwana
@salimmohamedsalim4448
@salimmohamedsalim4448 4 жыл бұрын
Chafu zaher
@JlozAfrika
@JlozAfrika 4 жыл бұрын
Kuna jambo linafichwa
@francomanmusic2906
@francomanmusic2906 4 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/m8eKY66prbPYqX0.html Rizer atoa milion 5 kwa wanae angalia apa kzfaq.info/get/bejne/m8eKY66prbPYqX0.html
@rechrontv2453
@rechrontv2453 4 жыл бұрын
TAMKO KUTOKA KISUTU DAR ES SALAAM JUU YA KESI ZA TUNDU LISSU (gusa link 👇👇 kutazama) kzfaq.info/get/bejne/prqflsWAstrSj4U.html
@gabrieldenicc4502
@gabrieldenicc4502 4 жыл бұрын
Ningekua Mimi sichimbi tena na lala tu nakushukuru Mungu alafu unasema Mungu umenifanyia kufuru kama njaa Kali umezifuta kabisa sasa nikutoa sadaka kwa wasio nacho nikuwawezesha nao watoboe
@abrahamyohana4953
@abrahamyohana4953 4 жыл бұрын
Huyo jamaa lizer madini anayondani!
@naomimabula2660
@naomimabula2660 4 жыл бұрын
Inawezekana alikua anachimba na kuyahifadhi ndani, alipoona serikal imebana, akaona ngoja aweke wazi
@tanzaniaone581
@tanzaniaone581 4 жыл бұрын
tena chumban
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 4 жыл бұрын
Chini ya mto bila shaka
@jmnafaka9451
@jmnafaka9451 4 жыл бұрын
PETITMAN AFUNGUKA KUHUSU ESMA KUOLEWA TENA 💥🔥💥 LINK HII HAPA 👇👇 kzfaq.info/get/bejne/o59haK2D2pq8c6c.html
@evelynlundberg1981
@evelynlundberg1981 4 жыл бұрын
.
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema,pongezi kwake.
@salehfarid1003
@salehfarid1003 4 жыл бұрын
HUYU ANATO ZAIDI MENGINE .... anasikilizia tu
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 4 жыл бұрын
Sasa Laizer mwenye madini haoni dhuruma yeyote amesema hapa☝️☝️ Lema ambaye hajatuonyesha hata gramu 1, alisema Laizer kaibiwa🥺🥺🥺😏 Lema , acha kujifanya msemaji kwa mtu ambaye hajakutuma🤨🤨🤨🤨🤨
@jumanneibazu9086
@jumanneibazu9086 4 жыл бұрын
Lema huna chochote hapo bwege
@kambamazig02024
@kambamazig02024 4 жыл бұрын
Lema mchimbaji hewa, akachome nyama tu ndiyo kazi anayoijua :)
@kisokatvonline3704
@kisokatvonline3704 4 жыл бұрын
Suluhisho lapatikana kati ya Tanzania na Kenya Bofya link hii kujua zaidi kzfaq.info/get/bejne/a9Zxf7hku8WYZac.html
@hellowstar172
@hellowstar172 4 жыл бұрын
CHURA kzfaq.info/get/bejne/edF4rMeQqNOwgYk.html bonyeza☝️☝️ kzfaq.info/get/bejne/edF4rMeQqNOwgYk.html enjoy kzfaq.info/get/bejne/edF4rMeQqNOwgYk.html
@sultanseifu3288
@sultanseifu3288 4 жыл бұрын
Kayaficha Huyo ndani kwake
@barakaluvanda7941
@barakaluvanda7941 4 жыл бұрын
Ahahah uhakika,
@barakashadrack7695
@barakashadrack7695 4 жыл бұрын
Yawezekana maana kila siku yeye tu utadhani Hakuna wachimbaji wengine bn
@barakaluvanda7941
@barakaluvanda7941 4 жыл бұрын
@@barakashadrack7695 😂😂😂 na bado nahisi atauza sana. Hatak kuuza kwa pamoj labda
@lutulalihim1585
@lutulalihim1585 4 жыл бұрын
😁😁😁😁 mwenyewe nadhani ilo anayo mengi sana tuu
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 жыл бұрын
@@barakashadrack7695 😃😃😃😃
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 208 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 2,4 МЛН
Paulo Siria afunguka kuhusu bilionea laizer
6:23
Paulo Siria
Рет қаралды 108 М.
SELFIE YA RAIS SAMIA ‘BYE BUE MOROGORO’
1:01
Millard Ayo
Рет қаралды 35
Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA
27:07
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН