Binti Aliepigwa Risasi 7 Mwanza Mdogo wake Asimulia Tukio zima Ugomvi ulivyokua

  Рет қаралды 233,722

BINGO ONLINE TZ

BINGO ONLINE TZ

2 жыл бұрын

Пікірлер: 432
@paschaljohntz4295
@paschaljohntz4295 2 жыл бұрын
Asante bingo kwa kutuarifu
@julianalolo3840
@julianalolo3840 2 жыл бұрын
Zaa
@hassanisaidi9860
@hassanisaidi9860 2 жыл бұрын
Mwanaume unapiga vipi simu mara 38 huo wote wivu rest in peace mrembo
@alalwialalwiii8194
@alalwialalwiii8194 2 жыл бұрын
Dada anabusaraa sanaaa polen Sanaa kwamsibaa
@rizikibakar3186
@rizikibakar3186 2 жыл бұрын
Shemeji yupo smart anaelezea vizur
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 2 жыл бұрын
Innaillahi wa innaillahi rajiun polen sana family.....aisee me ndiomana niriondoka kwenye ndoa yangu pale tu niripona hamani haipo tena na kuanza kunitishia maisha na kunishikia kisu kwa jiri ya mawivu ya kijinga nikaona ndoa hii hainifai sasa nimeamua kuwa single maza na nipo oman napambana na maisha yangu lkn sasaiv hakuna ndoa wara imeni hakuna warah na kupenda kusikiriza maneno ya kuambiwa na ya majirani😭😭😭
@fatumamtasha1987
@fatumamtasha1987 2 жыл бұрын
Hi my naomba no yako mamiy
@alihamad6046
@alihamad6046 2 жыл бұрын
Ukirud oman njoo kwmgu allah ataleta kher na mwez umeandama leo
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 2 жыл бұрын
Poleni sana familia ya Swalha Mungu awatie nguvu, ila familia ya Swalha inajielewa sana, na ina mshikamano kwa sana mpaka unaona wivu, ukiwasikiliza wote wamejawa upendo na kujiamini sijui Swalha aliangukia vipi kwa Shehani yule, Poleni sana wazazi na wadogo zake Swalha na familia yenu nzuri sana na mko majasiri mnaonielewa na kujiamini,
@aaronswai6935
@aaronswai6935 2 жыл бұрын
Watu wanamhitaji Yesu. Huyu jamaa aliamini sana ushirikina. Si ajabu ni maelekezo ya kafa....!. Poleni sana wafiws
@IBRAHIMABDUonlineTV
@IBRAHIMABDUonlineTV 2 жыл бұрын
Yesu Mwenyewe alishindwa kujiokoa Msalabani kwa Imani yenu, ndio atakuokoa wewe?
@eliaichihenry9010
@eliaichihenry9010 2 жыл бұрын
@@IBRAHIMABDUonlineTV Pole sana, lengo la YESU kutokujiokoa ni kwa sababu alitufia msalabani on our behalf tunaomwamini ili atupatanishe wanadamu na MUNGU. Aliyabeba madhaifu yetu, magonjwa umaskini wetu ili sisi tupate kupona.UMEELEWA?
@joshuakinabo6861
@joshuakinabo6861 2 жыл бұрын
Ukiskia vizuri utajua mwanamke naye alikua na shidaa
@husnajuma6307
@husnajuma6307 2 жыл бұрын
Kweli
@sarahmgaya9853
@sarahmgaya9853 2 жыл бұрын
Ndugu anaolewa wote mnahamia kwa shemeji shida sanaa ndugu yenu inavyo onekana alikuwa na mambo mengi sanaa
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 2 жыл бұрын
Yan mbaka naogopa me kuelewa Allah tujarie wanaume wema na tujarie mwisho mwema 🤲🤲🤲🤲🤲😭
@jumaselemani2720
@jumaselemani2720 2 жыл бұрын
na nyie ndo muache umalaya
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 2 жыл бұрын
Hawa mashemeji wamechangia pakubwa na inaonyesha walikuwa wanamzarau na tabia za umalayaumalaya hivi
@sadamramadhan9887
@sadamramadhan9887 2 жыл бұрын
Hahaha hahaha
@eshasalim5496
@eshasalim5496 2 жыл бұрын
Poleni kwa msiba.. Allah Awape Subra Ya Rabb. Allahumma Amiin
@husnandee1533
@husnandee1533 2 жыл бұрын
polen sana jamn nimeumia sana na msiba huo
@mankakiwelu607
@mankakiwelu607 2 жыл бұрын
Uyu dada ndo mkweli.afu ukweli anao mume na mke.
@brendaandati3595
@brendaandati3595 2 жыл бұрын
Poleni sana
@msafirisalum8436
@msafirisalum8436 2 жыл бұрын
mungu ndo anaujua ukweli yote kwa yote marehemu hahukumiwi na mwanadamu sasa ni kazi ya mungu
@leonardoautomotivegarage9452
@leonardoautomotivegarage9452 2 жыл бұрын
Bila yesu ndani yako, hiyo roho itawamaliza, tuache dini tuishi kanuni za Mungu, pepo ndani yao mauti
@yazid1004
@yazid1004 2 жыл бұрын
Acha mikwara yako eti yesu ndani yenu hivi ww wangapi wenye huyo yesu munae sema na ni wauwaji wakubwa na wanafanya dhulma kwa maskini punguza mishauwoo kila Jambo hufanyika kwa kupenda kwa mungu na sio lolote lingine
@virginiamutisya6216
@virginiamutisya6216 2 жыл бұрын
Huyu mwanaume mali yake ni ya nguvu za Giza.
@Mazoea
@Mazoea 2 жыл бұрын
Ata mimi nimefikiria ivyo ivyo Atakua kafala ilikua insitajika
@happybakari643
@happybakari643 2 жыл бұрын
Umeona
@abufaatwmah8738
@abufaatwmah8738 2 жыл бұрын
Poleni sana kwa misiba uriowapatå
@muhammadiramadhani1497
@muhammadiramadhani1497 2 жыл бұрын
Poleni sana ndugu tuwe na subraa
@salmaamani2514
@salmaamani2514 2 жыл бұрын
Pole sana Arapha
@agnesskisima2249
@agnesskisima2249 2 жыл бұрын
Mungu awapumzishe kwaamanii shida kwa mtotoo jamanii
@malikzafarani172
@malikzafarani172 2 жыл бұрын
Poleni sana inauzunisha saana kwakwel so painful
@BenBen-it3ie
@BenBen-it3ie 2 жыл бұрын
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki wa marehemu
@HamadAdam
@HamadAdam 3 ай бұрын
Salha alikuwa narcisist. Aina hii ya mwanamke huwezi kumuowa wala kuishi naye. Sababu yeye anataka akutawale na kukucontrol. Pia akuharibie maisha kwa kukufilisi. Ndio alishaanza kumchezea said mind game , ili amtawale, kumcontrol na kumuharibia maisha. Kumfilisi. Said akashtuka. Salha ni mdangaji.
@malikzafarani172
@malikzafarani172 2 жыл бұрын
Wanae tuwe na uruma jmn daah allah aniongoze nisiwe na roho ya ivyo
@nouratykatimba1357
@nouratykatimba1357 2 жыл бұрын
allahuma ameen allah akufanyie wepesi inshaallah
@hellenamtende9505
@hellenamtende9505 2 жыл бұрын
Mh uchawi umetendeka hapa.Mungu nisamehe kama nimesema uongo
@amii2436
@amii2436 2 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/osdybKuSlcC5ZYE.html
@KUPAZAVOICE-uc8ko
@KUPAZAVOICE-uc8ko 3 ай бұрын
Hii ilikuwa na dalili mbaya muda mrefu lakini kilichofanyika hapa ni kungangania ndoa lakini angejiengua mapema tu. kuna vitu haviitaji subra hasa vile vinavyoashiria upotevu wa maisha.
@naghemgonja1757
@naghemgonja1757 2 жыл бұрын
Maisha bila Yesu ni bure! Ukishakosa roho wa Mungu huwezi kufanya maamuzi sahihi,polen wafiwa
@yazid1004
@yazid1004 2 жыл бұрын
Mishauwoo mingi hio kila Jambo latendeka kwa amri yake maulana na sio vengine wacha urongo mwingi na hata wenye huyo yesu munae msingizia yupo ndani yenu sijuwi wakati yupo mbinguni na mungu wake na nyie munauwa pia
@sadamramadhan9887
@sadamramadhan9887 2 жыл бұрын
Unamatatzo yesu ndo Nani
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 2 жыл бұрын
Upofu tu huo maisha bila yesu ni bure kwani yesu ni nani acheni kulagaiwa nyinyi yesu sio mungu bali Issa mwana wa Maryam ni nabii wa mungu
@bernardzuhura4187
@bernardzuhura4187 2 жыл бұрын
We nawe yesu ndio nani
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 2 жыл бұрын
@@bernardzuhura4187 Na mm nauliza hivo hivo yesu ni nan
@samirhassan6213
@samirhassan6213 2 жыл бұрын
Wanaume mnacomment vitu vya ajabu kama vile hamuwajui wanawake hata nyinyi mngekuwa na bastola mngeshauwa..na wengi mnao comment ndoa zimevunjika nyingine ziko mashakani..
@mwanaishaali5338
@mwanaishaali5338 2 жыл бұрын
Poleni
@robertabel6984
@robertabel6984 2 жыл бұрын
KIUKWELI KWA MM NINAVYOONA HILI JAMBO HAIPASWI SANA KULIONGELEA SAANA KWANI KILA UNACHOTAMKA UNAJIKUTA UNAINGILIA KAZI YA MAHAKAMA...ILA CHA KUKATAA ZAIDI NI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI NA KUUA..NIMEMALIZA😎
@dicelwantu2192
@dicelwantu2192 2 жыл бұрын
Mpaka mtu achukue hatua ya kumpiga mkewe ivoo itakuwa huyo dada alikuwa na makosa mengi sana
@bernardomondi2632
@bernardomondi2632 2 жыл бұрын
Kuwa na akili kaka hamna ruhusa mwanaume kumpiga mwanamke hata kama asikiii mrudishe kwao kwa wazazi wake
@aminaabdulla8568
@aminaabdulla8568 2 жыл бұрын
Kweli kabisa msikuma wivu mwingi sans
@classicnewstz3733
@classicnewstz3733 2 жыл бұрын
duuuhh kwaiyo wachawi walishinda ktk vita hiyo RIP marehemu wote
@mudarisuburhan7182
@mudarisuburhan7182 2 жыл бұрын
Huyo dada ana uzowefu wa kujieleza xaxa ukwli wake na uwaongo wake 💯/ 💯 ukiona unataka kuolewa Bax acha mamb ya kizaman makundi pia mabaya xana alafu kuolewa na mtu asie kua na hofu ya Allah pia tatzo wazazi kuen makni jamn jmn ..huyo dada kisha achika ana mamb meng sana hakufaa kwa matumizi ya ndoa Tena kwa mwanaume mwenye wivu ...Allah aalam
@mejamollel512
@mejamollel512 2 жыл бұрын
Uyu dada naye kazidi wakati anajibu hiyo simu yeye alikuwepo?
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Subhannallah 😭😭
@vanessastafford5120
@vanessastafford5120 2 жыл бұрын
Huyu Mwanaume alikuwa mwehu miss call 30
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 2 жыл бұрын
Janaume akiki sifuri kabisa kichwa pumba kabisa
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 2 жыл бұрын
Wangu hata calls 50 ili akuudhi so lazma utapokea ndo atulie,, wanaumme banah...acha tu.
@elizabethdamian3164
@elizabethdamian3164 2 жыл бұрын
Ni roho ya mauti ilikua inamfuatilia huyo mkaka aiseee Mungu ailaze roho ya mwanamke pahal pema peponi🙏
@makuni3804
@makuni3804 2 жыл бұрын
Na ya mwanaume
@habibndyeshobora6848
@habibndyeshobora6848 2 жыл бұрын
Acha ubaguz was kijinsia!!!
@amosdonjohnson1643
@amosdonjohnson1643 2 жыл бұрын
Mnawahi kuolew wakat ujana bdo mnautaka ndo shda hyo na mitandao inaharib dakika mbili loction kesho ujipost uwalushe roho cjui kina nan daah
@lilianmungure8374
@lilianmungure8374 2 жыл бұрын
Dawa ni Yesu tu,waganga no
@IBRAHIMABDUonlineTV
@IBRAHIMABDUonlineTV 2 жыл бұрын
Yeye mwenyewe alitumia tope, maji , mafuta kuponya watu... Vipi dawa awe yeye?? Halafu mbona hata Yeye alishindwa kujiokoa Msalabani kwa Imani yenu?
@DanielYae-kw6dr
@DanielYae-kw6dr 7 ай бұрын
Jaman poleeeee
@jkasindi
@jkasindi 2 жыл бұрын
maganzo hapo hapo kahama badae anasubiri gari maganzo hahahaha si ushasema alienda kupamba kahama sasa amesubirije tena gari maganzo
@rizikibakar3186
@rizikibakar3186 2 жыл бұрын
Kaanzia Maganzo
@patriciamassawe5370
@patriciamassawe5370 2 жыл бұрын
😰😰😭😭😭😭😭
@leahsamson9354
@leahsamson9354 2 жыл бұрын
Bwana akiwa na mahela anahesabu ghalama mudawote,
@user-zj1ep6hn4p
@user-zj1ep6hn4p 11 күн бұрын
Nyie malaya dada yenu malaya
@masoudsigali4523
@masoudsigali4523 2 жыл бұрын
Mdogo wake marehemu pole sana na hongera kwa saut nzur na uzuri wa muonekano pia ..... .😭😭😭🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
@mjedasunday1851
@mjedasunday1851 2 жыл бұрын
Mhhh?
@masoudsigali4523
@masoudsigali4523 2 жыл бұрын
@@mjedasunday1851 😃😃😃😃😃😃😃😃
@eliaichihenry9010
@eliaichihenry9010 2 жыл бұрын
@@mjedasunday1851 Nimejikuta nacheka, wanaume loohhh
@yasinomary2147
@yasinomary2147 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kamuoe nawewe kila siku ukitoka nayeye anatoka!ukipiga cm hapokei ety anampamba bi harusi kwahyo hataki usumbufu.kibaya zaidi alivyoenda kwa huyo bi harusi hajaaga kwa mumewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@masoudsigali4523
@masoudsigali4523 2 жыл бұрын
@@yasinomary2147 Kwani na huyu nae n mpambaji wa ma biharusi au nongwa tu mshikaj wangu 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️😃😃😃
@asherasherally5808
@asherasherally5808 2 жыл бұрын
Polen sana wapendwa
@rodenyiandrea4473
@rodenyiandrea4473 2 жыл бұрын
Rest in peace .
@yakobobugesile91
@yakobobugesile91 2 жыл бұрын
Pole sana jmn
@mohammedalmugheiry4412
@mohammedalmugheiry4412 5 ай бұрын
Rapcha - 40 missed calls
@tatumandanje4871
@tatumandanje4871 2 жыл бұрын
Marehemu ilikuwa na dharau xana
@jacntandu6945
@jacntandu6945 2 жыл бұрын
Inasikitisha sana.
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 2 жыл бұрын
Ndoa ngumu jamaaanii.....ukiamua kuolewa amua kuvua kila kitu yaaani achaaa kilaa kitu cha usichanaaa
@majutomiston2250
@majutomiston2250 2 жыл бұрын
True
@neemamwalugaja3573
@neemamwalugaja3573 2 жыл бұрын
maneno ya watu sumu
@najmababy8555
@najmababy8555 2 жыл бұрын
Marehemu anajiita nani Instagram...pole kwa msiba sote njia ni moja kifo hakikosi sababu
@cmellengotila1803
@cmellengotila1803 2 жыл бұрын
Kwa maelezo ya uyu dada tunapata picha kwamba marehemu swalha alikuwa Malaya tu, sishabikii kifo Ila swalha alikuwa anamsaliti sana said
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 2 жыл бұрын
Hayo maelezo yamejitosheleza kuwa mwanamke ni kicheche .
@frankgabriel2146
@frankgabriel2146 2 жыл бұрын
@@mnyongeiddi2454 .
@allyelijah1994
@allyelijah1994 2 жыл бұрын
Huo ndio ukweli mwanamke alikuwa kicheche
@hassanisaidi9860
@hassanisaidi9860 2 жыл бұрын
hata kama alikuwa malaya unaachana nae tu istoshe una pesa wanawake wapo wengi tu kuliko kumtoa mtu uhai wake????
@habibndyeshobora6848
@habibndyeshobora6848 2 жыл бұрын
Ukicheche Kwenye Maelezo yale mbona haupo !!!??? Au na wewe no walewale!!! MNA mfumo kandamizi!!!?
@ashurahaji9115
@ashurahaji9115 2 жыл бұрын
Mukituchoka mutuache tu
@robertabel6984
@robertabel6984 2 жыл бұрын
Haachwi mtu hapa unaleta uhuni ili uachwe hapa kaz tu no kuacha mtu alaa😎
@shidashida6060
@shidashida6060 2 жыл бұрын
Lakini hili fundisho,wanawake tukisha olewa kuna mambo lazima tupuguze 😭wapumnzke Kwa Aman
@samwelsanga5339
@samwelsanga5339 2 жыл бұрын
Wivu wa kipuuz wa huyo mwanaume aiseh
@simbajumanne9718
@simbajumanne9718 2 жыл бұрын
Kwa maelezoo ya mdogo wa marehem .uyo binti alikua hajaamua kuish na mume . anapenda kaz kuliko mume wake
@neemakomba7623
@neemakomba7623 2 жыл бұрын
Kabisa
@fridabenjamin8596
@fridabenjamin8596 2 жыл бұрын
Na angeamua kukaa tu home watasema anategemea uzuri heee jameni wanadamu hawakosi neno
@idrissaissa5607
@idrissaissa5607 2 жыл бұрын
Kwer jamaa upo sahihi
@asilasalehothman7643
@asilasalehothman7643 2 жыл бұрын
Jamani wanaume siwazuri kumuuwa mkewe 😭😭😭 inasikitisha sana
@amosdonjohnson1643
@amosdonjohnson1643 2 жыл бұрын
Alaf ujue hakunaga jibu linaloumaga kama.mwanamke akutamkie tu bora tuachene yan hili jibu wanaume huwa tunajickia vby san ukiangalia bdo unampenda
@CAPTAIN_GALAXY13
@CAPTAIN_GALAXY13 2 жыл бұрын
ᴴᴬᴾᴬ ᴺᴰᴼ ᴬᴸᴵᶻᴵᴺᴳᵁᴬ ˢᴬˢᴬ.....
@josephmoses2469
@josephmoses2469 2 жыл бұрын
Kabisaaa
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 жыл бұрын
Acha kwanza nimalize ujana wangu ndio niingie katika ndoa maana mhhh mbk naogopa wallah
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 2 жыл бұрын
Nini maana ya kumaliza ujana?
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 жыл бұрын
@@swaumdodoma7591 acha kwanza nimalize ujana kabisa ili nikiingia katika ndoa niacheni na Dunia
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 2 жыл бұрын
@@ukhutfatumah1154 bado sijaelewa ukhuty
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 2 жыл бұрын
@@ukhutfatumah1154 kwaiyo ukifikisha miaka 50 ndo uolewe?
@mpetaamarijani2656
@mpetaamarijani2656 2 жыл бұрын
Yaani Ukhut ??halafu unataka ufanyejee
@elizabethmichael6736
@elizabethmichael6736 2 жыл бұрын
Marehemu swalahaa
@abeladominick2980
@abeladominick2980 2 жыл бұрын
Mmh huu ni wivu watani zangu wakurya ebu acheni utoto bwana 🙄 rip
@maswi_magige
@maswi_magige 2 жыл бұрын
Kakwambia nani kuwa hawa wakurya
@nataliakenny9499
@nataliakenny9499 2 жыл бұрын
Kwakweli ni kweli mwanaume was kisukuma ata mi nishakua nae wana wivu Sana makofi Kila mda yaani uwa wanajizima data kbsa ata kama ujakosa kipondo japo sio wote lkn wengi wao
@CAPTAIN_GALAXY13
@CAPTAIN_GALAXY13 2 жыл бұрын
Tafuta wa kichaga
@shakiraally2821
@shakiraally2821 2 жыл бұрын
Kweli wanakisilani htr
@sheilaimran6949
@sheilaimran6949 2 жыл бұрын
Tatizo wadada tunapenda maisha mazuri demu mambo yote ayo asitoke to ayha ndo wanaweza sema Kuna mengi wanaficha daa girls tafuteni pesa umaskini mbaya hata kama home Kuna njaa unateseka ivyo rudi to
@saifarafa8728
@saifarafa8728 2 жыл бұрын
Pia wanatabia zao sio wee mtu kaolewa yuko kwake ndugu mwafuata nn, mbona ndugu wa mume hawapo hapo? Au huyo mwaume hana ndugu, kupenda mtelezo
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Wanawake wa Tanzania mmezoea kitonga na umasikini unawafanya hadi muuwawe, ona kundi lote la ndugu wa mke wamejazana kwa mume, umasikini ni kitu kibaya sana na ukute huyo marehemu tamaa zimemzidi yaani chupi mkononi
@sheilaimran6949
@sheilaimran6949 2 жыл бұрын
@@kabwelasutiviraka4765 unajua marehemu uwa asemwi vibaya mwenyz mungu amsamehe madhambi yake hatujui sisi mwisho wetu ila kabira la uyo binti uwa ni hatar sana hawajatulia kabsa alafu jamaa alikuwa kama ameshasoma mazingira ya kwao maana ukimsikiliz mamayake utaelewa kitu
@sheilaimran6949
@sheilaimran6949 2 жыл бұрын
@@saifarafa8728 umaskini mbaya nani hapendi kuingia kwa gari na kutoka nani hataki kuishi kwa nyumba ina gate ndo mana wakaenda na alikuwa first kwao so alitakiwa kuwa mpole kwana fahari wawili hawishi zizi moja
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
@@sheilaimran6949 mimi sidhani kama ni sahihi kusema watu wa kabila fulani hawatulia, nadhanj kuwa kicheche ni tabia yako mwenyewe
@kelvinnyonyi9082
@kelvinnyonyi9082 2 жыл бұрын
Roho ya mauti ilikuwa inamfatilia
@neemaclement9330
@neemaclement9330 2 жыл бұрын
R.IP wapumuzike Kwa amani sisi hatuna majibu
@falidamwasenga6398
@falidamwasenga6398 2 жыл бұрын
Dada pole ila nass wanawake hapana
@alexandermalima3703
@alexandermalima3703 2 жыл бұрын
Kwa uelewa wangu mwanamke alikuwa Malaya yeye na ndugu zake wakichezea tu pesa za mme wake,kuna kazi za kafanya kwa mwanamke aliyeolewa,unazunguka tu kwenye maharusi lazima alikuwa kesha pata mwanaume mwingine
@yasinomary2147
@yasinomary2147 2 жыл бұрын
Kwakweli Dada zangu wa kirangi wanatuaibisha,mtu unampigia cm mkeo akufuate kwa gari yako uliyonunua mwenyewe hapokei cm unaamua kumpigia Baba yake,anaambiwa na mzazi wake pia hataki,ety kwanin hakunipigia mwenyewe, wakati amepigiwa simu mara38 hapokei.jamaa yetu kakosea sana kumuua.ila salha nae sio mwanamke wakuoa.
@praisesteven7742
@praisesteven7742 11 ай бұрын
mambo yakishirikina kwl aiseeeee
@lizyboyofficialy3019
@lizyboyofficialy3019 2 жыл бұрын
yani hiki kitu kinauma sana tena sana hapo yani wanafanya kila mtu kujitetea kivyake mwanaume akipatikana ataerezea ukweli wote kunakitu kiko nyuma ya pazia kitafunuka tu..
@chontichipya8036
@chontichipya8036 2 жыл бұрын
kashajiua zaman tu
@lizyboyofficialy3019
@lizyboyofficialy3019 2 жыл бұрын
@@chontichipya8036 duh kumbe
@rahmasabuni3425
@rahmasabuni3425 11 күн бұрын
Yaanindoanofumbotu
@inocentgalinoma9544
@inocentgalinoma9544 2 жыл бұрын
Mambo meng.....
@iambaizo
@iambaizo 2 жыл бұрын
kabla samahani kwanza ,mmmh MBNA kama ya kutunga 😢😢
@mamuuj9187
@mamuuj9187 2 жыл бұрын
Maneno jmn ya wambea ndio yamewafksha huko,,,huyo Kaka amewaskliza wanje zaid ambao ndo huwa viherehrre na maisha ya watu
@chrisjacob4057
@chrisjacob4057 2 жыл бұрын
Bora tuachane ndoa ya miez 5 tu duh
@jetrudaboniface3197
@jetrudaboniface3197 2 жыл бұрын
Polen
@maryamsongoro4541
@maryamsongoro4541 2 жыл бұрын
Na weye ushaona bastola kiunoni Kwa nini usitipoti sehemu yoyote
@amosemmanuel5401
@amosemmanuel5401 2 жыл бұрын
Huyo mwanaume alikua Hana stamina ya kua na mwanamke mrembo kama huyo
@sajidabakari9809
@sajidabakari9809 2 жыл бұрын
Huyo chaumbea ndo amesababisha majanga kusema Gari ameiona sehem, mxciiuuuu. Hlf hivi sikuhizi watu wakiishi pamoja ndo wanakuwa washaoana na inahesabika Ndoa imedumu kwa muda kadhaa?!? Tanzania bhana
@fatmaathuman9695
@fatmaathuman9695 2 жыл бұрын
Mungu atawalipa kwakweli wamesababisha kifo akii
@hieljoe1017
@hieljoe1017 2 жыл бұрын
Kabisa yaan , umbea kwenye nyumba za watu ni shida sijui anajisikiaje
@placidiasilvanus9113
@placidiasilvanus9113 2 жыл бұрын
Duu kusababisha majanga du huyu dada nae kwakweli eti shemeji yangu akunisikiliza alitaka amsikilize ili iweje mhh anamplease jmn jmn
@mutomubaya
@mutomubaya 2 жыл бұрын
Waislamu acheni kuozesha Wasichana kwa washirikina hata kama wana pesa na acheni kusherekea Birthday. Ulamaa wameshawakataza hamsikii..?
@allyyussufshuwari4508
@allyyussufshuwari4508 2 жыл бұрын
Waislam jina uislamu hauruhusu mke wa mtu kujipost ndiyo maana tumeambiwa tukitaka kuowa au kuolewa nini tutizame ila huko bars bara nasikiyaya mtu anaweza kuolewa na mtu asiyekuwa na dini hoja mshiko poleni Allah atusamehe makosa yetu kwa ujumla
@leahsamson9354
@leahsamson9354 2 жыл бұрын
Wewe bint mbona hukuoipot?
@leonardoautomotivegarage9452
@leonardoautomotivegarage9452 2 жыл бұрын
Kwa roho hiyo ya mauti mtaisha kimbilia kws yesu, mine was mtu wa nini?machozi ya mwenza ndio matokeo, mtaisha rudini kea yesu
@kondesaidi5728
@kondesaidi5728 2 жыл бұрын
Ao wengine mbona wakristo au hujasikia tena ukouko mwanza, yesu Ali lala kama kawaidayake kwenye boti😆
@KadogooKitego
@KadogooKitego 26 күн бұрын
Tt comedian
@allyelijah1994
@allyelijah1994 2 жыл бұрын
Alikuwa anampaka bibi arusi siku mbili huyo demu alikuwa kicheche
@yasyntapaul9242
@yasyntapaul9242 2 жыл бұрын
Shoga angu una sir
@brownjulius8514
@brownjulius8514 2 жыл бұрын
Hapa picha kamili itapatikana endapo mwanaume akipatikana Kuna kitu kipo nyuma ya pazia
@saladisok810
@saladisok810 2 жыл бұрын
kama kawaida mnatetea madume wenzenu🥴
@brownjulius8514
@brownjulius8514 2 жыл бұрын
@@saladisok810 mmmh
@christinamsuya5492
@christinamsuya5492 2 жыл бұрын
Mwanaume nae kashajiuwaaaa
@mazikungusa
@mazikungusa Ай бұрын
nipe namba we kadem
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 2 жыл бұрын
Akina dada kama mnaona bado amja maliza mambo yenu basi msingi kwenye ndoa. Jamaa kakosea kuuwa. R.I.P😭🇹🇿.
@hermescash9463
@hermescash9463 2 жыл бұрын
akina dada??? mbona umeandika pumba
@eunicegerminus193
@eunicegerminus193 2 жыл бұрын
@@hermescash9463 sanaaaa
@jordanjordan3935
@jordanjordan3935 2 жыл бұрын
Wakina Kaka, kama mjua hamuwezi kucontrol hasira na wivu wenu wakijinga msioe..
@mwajumaomari4699
@mwajumaomari4699 2 жыл бұрын
Umeona eee,ukisikilizq stori kwa makini,mwanke ndo chanzo Cha tatzo,hakutambua wajibu wke ktk ndoa,angeeshimu ndoa hata yasingetokea
@saladisok810
@saladisok810 2 жыл бұрын
@@mwajumaomari4699 ni mara ngapi wanaume wanakosea kwenye ndoa? kwa iyo na sisi wanawake tuwauwe wanaume zetu wakitukosea kwenye ndoa au?
@maswi_magige
@maswi_magige 2 жыл бұрын
Wanga wametoboa
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 2 жыл бұрын
Ushirikina gani huo jmn?, Mungu atuhurumie .
@saifarafa8728
@saifarafa8728 2 жыл бұрын
Kwani huyo mwaume hana family? Mbona kesi zote hizo zatatuliwa na upande moja? Kuna jambo hapa.
@joshuakinabo6861
@joshuakinabo6861 2 жыл бұрын
Umeona ehhhh
@irenewile
@irenewile 2 жыл бұрын
Itakuwa mwanaume alikuwa hasemi kwao,Ni mwanamke ndio alikuwa anasema na hawa wadogo zake alikuwa anakaa nao
@zenaal-baalawy1953
@zenaal-baalawy1953 2 жыл бұрын
Saif Arafa@ Akiwa mke ana matatizo mume ndio anatakiwa kupeleka case kwao na mke kuwekwa kitako kusemeshwa, matatizo yakizidi sana or ikishindikana ndio hapo mume anaweza kwenda kusema kwao na pande zote 2 kukaaa kitako ya mke na mume kusuluhishwa wana ndoa. Sasa na hao ndoa yao ilikua ina muda mdogo miezi 5 may be mume ndio alikua bado kwenda kupeleka case kwao yeye.
@zenaal-baalawy1953
@zenaal-baalawy1953 2 жыл бұрын
Saif Arafa@ Akiwa mke ana matatizo mume ndio anatakiwa kupeleka case kwao na mke kuwekwa kitako kusemeshwa, matatizo yakizidi sana or ikishindikana ndio hapo mume anaweza kwenda kusema kwao na pande zote 2 kukaaa kitako ya mke na mume kusuluhishwa wana ndoa. Sasa na hao ndoa yao ilikua ina muda mdogo miezi 5 may be mume ndio alikua bado kwenda kupeleka case kwao yeye.
@mariammwinyi6444
@mariammwinyi6444 2 жыл бұрын
😭😭😭
@kelvinmabembele8401
@kelvinmabembele8401 2 жыл бұрын
Ukisikiliza kwa makini mwanamke alikua na kiburi
@kelvinmabembele8401
@kelvinmabembele8401 2 жыл бұрын
Dada alikua na kiburi huyo
@neemaclement9330
@neemaclement9330 2 жыл бұрын
Pumuzikeni kwa amani
@zuu__95
@zuu__95 2 жыл бұрын
Dah jaman binadamu sisi 😰😰
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 2 жыл бұрын
Sasa makosa yapo pande zote 2,kutokupokea sm ya mumeo nikosa.
Why McDonald’s, Apple and Other U.S. Brands Are Losing in China | WSJ
6:21
The Wall Street Journal
Рет қаралды 698 М.
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 24 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 57 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 20 МЛН
Expert Explains the Hidden Crowd Engineering Behind Event Venues | WSJ Pro Perfected
6:49
Tackling online misogyny - Whose Truth? The Documentary, BBC World Service
17:29
An officer and a gen AI: the future of war
26:44
The Economist
Рет қаралды 6 М.
Rates
16:43
Reuters
Рет қаралды 306
Bidin’: will Joe go or no?
22:47
The Economist
Рет қаралды 6 М.
Sigma Girl Past #sigma #funny #comedy
0:20
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 23 МЛН
Sigma Girl Past #sigma #funny #comedy
0:20
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 23 МЛН
Не плавайте тут! 🏊🚫
0:24
Взрывная История
Рет қаралды 5 МЛН