BMG TV: Maajabu ya mtoto Yunis Ogot anayeponya kwa maji, akamilisha ujenzi wa Goroto kanisani

  Рет қаралды 119,896

BMG ONLINE TV

BMG ONLINE TV

2 жыл бұрын

BMG Online Media- Pamoja Daima!
Tovuti www.bmgblog.co.tz/
Facebook / bmghabari
Twitter / bmghabari
Instagram / bmghabari
#BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI Pamoja Daima BMG

Пікірлер: 217
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Wanaohitaji mawasiliano ya mtoto Yunis kzfaq.info/get/bejne/p9Nzost9sd7Qf3U.html namba iko kwenye hii video.
@mercymwangangi9415
@mercymwangangi9415 Жыл бұрын
Nikiwa Nairobi nitapitia Namanga Boda
@bernardmwenda5186
@bernardmwenda5186 2 жыл бұрын
Si ajabu, usipomjua Yesu mwokozi, kila litakalokuja kwako litakuwa ni mungu. Kwa kweli Mungu atusaidie sana nyakati hizi za mwisho, tunapokaribia unyakuo.
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Amen
@threebrothers..
@threebrothers.. 2 жыл бұрын
Nakwambia huu ni uchawi ila watu hawajui,sababu hawasomi bibilia,,,halafu nabii mgani anatumiwa na mungu ako katoliki,,maajabu haya watu hata Hawatii sabatu ya mungu,,,uchawi tu
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
@@threebrothers.. njoo usali, kajenga nyumba ya Ibada kzfaq.info/get/bejne/g7WEiN17rMynqok.html
@honestlyadela5070
@honestlyadela5070 Жыл бұрын
@@threebrothers.. kwa hiyo hadi awe kwenye dini ya majini wesilam duh 🙄 kwendra
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 жыл бұрын
Neno,la YESU linasema wAtu wangu wanaangamia kWa kukosa maalifa,shetani mwenyewe hujifanya , kama Malaika wA Nuru,si ajabu na watumishi wake , kufanya hivo,huduma ya Yesu Au kauli mbiu ya Yesu ulikuwa tubuni na kuiamini Injili,kwA maana ufalume wa Mungu umekalibia,
@revocatusrubaba4416
@revocatusrubaba4416 2 жыл бұрын
Kama unaona wanaangamia wewe si umeshalibaini hilo nenda ukakemee hilo pepo usikae kulalama tu nenda
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Kikubwa deal na imani yako
@victoriadaizy5277
@victoriadaizy5277 2 жыл бұрын
Wacha watu wahudumiwe na Eunice tafadhali ..
@emmanuelshayo4703
@emmanuelshayo4703 2 жыл бұрын
@@revocatusrubaba4416 hawa wenye roho za chuki na imani za watu wengine wanaweza kukumea pepo kweli? Tayari ile amri ya upendo kwake ni shida sasa atawezaje kumuombea mtu mwingine
@revocatusrubaba4416
@revocatusrubaba4416 2 жыл бұрын
@@victoriadaizy5277 walisha jikatia hati miliki ya miujiza
@kalundewilliam9927
@kalundewilliam9927 Жыл бұрын
Imani yako ndo uponaji wako Mungu hadhihakiwi. Pole usie Amini.
@tekenya92
@tekenya92 2 жыл бұрын
Natamani kufika hapo siku moja kupata huduma ya mtoto eunice 😍😍😍
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Unakaribishwa Teddy
@cyprianmsunuka8837
@cyprianmsunuka8837 Жыл бұрын
Mtoto nimtu Wa mungu, namungu aendelee kumuongezea nguvu ya uponyaji na aishi miaka mingi, Mimi msunuka toka arusha.
@janetgeorge1703
@janetgeorge1703 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kumbariki na tunamuombea kwa Mama bikira Maria Msaada wa wakristo azidi kumlinda,Amina
@muhondomusabuli1590
@muhondomusabuli1590 2 жыл бұрын
Asanti sana na mungu wambinguni a endelee kuku bariki mtoto wetu, mimi ni muhondo musabuli kutoka uganda 🇺🇬 koboko.
@williammatondo
@williammatondo 2 жыл бұрын
Lazma yatimie yaliyo andikwa jaman jamani alikuepo babu waa lakin mhhhh
@mercyelahuya9522
@mercyelahuya9522 2 жыл бұрын
Hakuna uponyaji WA maji. Yesu ndiye jibu
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Imani yako na ikuponye
@revocatusrubaba4416
@revocatusrubaba4416 2 жыл бұрын
Yesu huyohuyo ndio anaponya anatoa tu idhini kwani huyo mchungaji wako anaye waombea mamlaka hiyo kaitoa wapi?
@annamalingi7415
@annamalingi7415 2 жыл бұрын
@@revocatusrubaba4416 sasa wewe watakakusema kaitoa kwa maji?
@revocatusrubaba4416
@revocatusrubaba4416 2 жыл бұрын
@@annamalingi7415 soma tena coment yangu utapata jibu lako
@emmanuelzani2889
@emmanuelzani2889 2 жыл бұрын
Yesu anawapenda sana, mwaminini yeye ili mpone. Acheni kudanganywa na utendaji wa shetani kupitia kwa hiyo Mtoto, hiyo ni kazi ya shetani kwa asilimia zote.
@josephineadut5122
@josephineadut5122 2 жыл бұрын
God bless her with her family in Jesus name 🙏♥️♥️💝💝💝🇺🇸 pray for me my sister of God
@edithgala1501
@edithgala1501 Жыл бұрын
May God continue to protect this wonderful girl
@gabrielogondi3987
@gabrielogondi3987 2 жыл бұрын
BMG, tafadhali mnielekeze vile nitapata hii maji, Niko Nairobi Kenya.
@emillyzeeh1173
@emillyzeeh1173 2 жыл бұрын
Mungu akubariki wewe mutoto mudogo , yunis uzidi kusaidiea watu AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏❤🤴🇪🇺🇩🇪
@emillyzeeh1173
@emillyzeeh1173 2 жыл бұрын
Mimi ni Emily kutoka germany 🇪🇺🇩🇪❤🙏🙏🙏🤴
@Miky611
@Miky611 2 жыл бұрын
I think the father is spoiling everything...with him he got the opportunity for good life😂
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 2 жыл бұрын
wacha mungu aitwe mungu much love and more blessings sista Eunice 🙏🙏🙏💕🇰🇪🇪🇺
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Mungu
@janewayua9507
@janewayua9507 2 жыл бұрын
Watanzania mtaacha ushirikina lini jameni,that's why your country is not developed
@janewayua9507
@janewayua9507 2 жыл бұрын
You need GOD in real sense
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 2 жыл бұрын
@@janewayua9507 mimi au nani?
@lenghehenriette525
@lenghehenriette525 2 жыл бұрын
Mungu akubariki nakuzidisha alicho anzisha ndani mwako
@juliemetanoia1650
@juliemetanoia1650 2 жыл бұрын
Kutoka Kenya..Leo huu nimefwatilia Sana..Naona Mungu hako na sababu ya kunileta hapa..nikona shida Mingi.. Kweli Mungu ako na nguvu kuniponya..hata kabla nifike naamini. Mungu bariki Dada Yunis.Amen.
@restitutanjau2585
@restitutanjau2585 2 жыл бұрын
Mungu anafanya miujiza kupitia kwa mwanadamu,Asante Mungu kwa wema wako kupitia kwa mtoto(malaika wako )Eunice
@elizawanarumoro6867
@elizawanarumoro6867 2 жыл бұрын
God is always good. Thankyou mother Mary
@erastotesha3489
@erastotesha3489 2 жыл бұрын
Amina utuombee na sis
@srregina5809
@srregina5809 Жыл бұрын
Sifa za mama bikira maria sizambae kote ulimwenguni halo sister Eunice ninkuomba uandike majina zetu kwa kitabu cha maombi na utukumbuke katika sala sister John mary kutoka southern Africa,sr m Regina ,sr Assumption ,sr Josepha ,sr Juanita,srDaisy sr mary Grace ubarikiwe sana
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Amen
@maurineoduah1789
@maurineoduah1789 2 жыл бұрын
Yunis naoba mama yangu ni mgonjwa macho tafathali naomba umwombe apone Niko kenya
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Amen
@philismachuma1195
@philismachuma1195 2 жыл бұрын
Mungu abariki huyu mtoto azidi kuponya watu
@BelieveMirimi-gs3fv
@BelieveMirimi-gs3fv Жыл бұрын
Please may I have latest sermons I'm following this channel everyday although I do not hear the language
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
But you understand the content?
@joxeekcvalencia1737
@joxeekcvalencia1737 Жыл бұрын
May God bless that girl in Jesus name
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Amen
@mirrykirungi2359
@mirrykirungi2359 Жыл бұрын
Kutoka dar unaendaje Mana alhamic Mungu akipenda nitakwenda
@furahasanga2534
@furahasanga2534 2 жыл бұрын
Nyakati za mwisho tutaona Mengi, changamoto zitauwa Imani sahihi za watu wengi Na kuwaingiza kwenye imani Za Miungu ya watu, HAKUNA LISILO WEZEKANA KWA MUNGU UKIAMINI.
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Mungu ni mambo yote
@petergadiye6486
@petergadiye6486 2 жыл бұрын
Huduma hiyo haitokani na Mungu
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 2 жыл бұрын
Twambie inatoka api?
@roviykamage5423
@roviykamage5423 2 жыл бұрын
Mungu mkubwa mtoto mdogo kabisa kabisaa
@miriamwanyonyi462
@miriamwanyonyi462 2 жыл бұрын
Mungu apewe sifa
@adolfinaandrea5234
@adolfinaandrea5234 2 жыл бұрын
Nakushukuru sana
@alicekumunga9477
@alicekumunga9477 2 жыл бұрын
Asante Kwa Mungu
@threebrothers..
@threebrothers.. 2 жыл бұрын
Huu ni uchawi na biashara ya mtu,
@pauomusugu4621
@pauomusugu4621 2 жыл бұрын
May God bless her
@naomymose1866
@naomymose1866 2 жыл бұрын
Bukama, Kenya kisii I will Google map from Bukama to kisii Kenya nione
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Bukama Village, in Rorya District, Mara Region/ Provinence- Tanzania.
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk NA ni kufukuru ndio kuingia motoni milele
@christinemugeni414
@christinemugeni414 2 жыл бұрын
Water is just point of contact what about maria she's mentioned more than Jesus why my opinion though
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 2 жыл бұрын
jee ukitokea Kenya na njia ya Namanga unakujaje nikirudi kenya maajaliwa naitaji kuja huko 🇪🇺
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Ulizia watakuelekeza, lakini hapo unaweza kwenda hadi Mwanza kisha Tarime ama Arusha hadi Tarime. Kikubwa ulizia ujue njia gani rahisi kati ya Namanga ama Isibani.
@amishambar3418
@amishambar3418 2 жыл бұрын
Utatoka namanga hadi Nairobi to Sirari from Sirari to tarime from tarime to bukama
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 2 жыл бұрын
@@BMGOnlineTV thanks much
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 2 жыл бұрын
@@amishambar3418 thanks much dear
@jacklineakoth1016
@jacklineakoth1016 2 жыл бұрын
@@amishambar3418 mambo unaka mwenyeji wa hapo, najua randa senta, ni umbali gani kutoka randa tafadhali niambie
@annaawinoolalaodero1672
@annaawinoolalaodero1672 Жыл бұрын
GOD is good all the times Amen Amen
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Amen
@tirahkilindo2334
@tirahkilindo2334 2 жыл бұрын
Pray for me my sister and my family's
@alphonsinesingirankabo6274
@alphonsinesingirankabo6274 2 жыл бұрын
Very beautiful
@sharonakinyi3469
@sharonakinyi3469 2 жыл бұрын
Nisadie na namba ya mamake hama ya babake pliz Niko Kenya
@WintouchLimited
@WintouchLimited Ай бұрын
Pia mm niko Kenya
@WintouchLimited
@WintouchLimited Ай бұрын
Niko Kenya naeza fika aje
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
Najua mtanipinga hila dunia imeisha jamani jamani mtiani sana asa ata babu wa loliondo alikuja ivo ivo nyinyi muogopeni yesu nyinyi jamani mwenzenu zumaridi uyo ananyea debe embu mperekeni shule uyo mtoto acheni maigizo jamani tafazalini uongo unamwisho wake nyie aya paulo mwenyewe alikataa asihitwe mtume jamani wakolinto 15:9 kisha soma yeremia 17:5 jamani kisha someni zabuli 9:10 embu tumuulize mungu munguuu kuna watu wanamfanya mwanadamu mwenzao ndio uzima wao yuda 1:4
@revocatusrubaba4416
@revocatusrubaba4416 2 жыл бұрын
Yani na wewe unatoa hoja😆😆 pambana kwanza na upofu ulio nao umfuate Yesu ndio uje usemee haya
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
@@revocatusrubaba4416 upofu unao ww ama ujinga wako ww kwaakili timamu uyo mtoto atakutibu ujinga wako ulio kua nao kwaiyo uyo ndo akuondoree zambi zako🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@marthamilaji9385
@marthamilaji9385 2 жыл бұрын
Hali ngum kwaiyo watu wameona Bora wawapange watoto wao
@harountaslima2949
@harountaslima2949 2 жыл бұрын
Upo sahihi kabsaa
@christinemugeni414
@christinemugeni414 2 жыл бұрын
@@harountaslima2949 Amen
@juliemetanoia1650
@juliemetanoia1650 2 жыл бұрын
God Bless Yunis Amen.
@YouchuangMobilGuy
@YouchuangMobilGuy 2 жыл бұрын
Huyu mtoto hajajiita nabii wala mtume, huyu mtoto hajajiita mungu kama alivyofanya zumaridi. Bado anamtii mungu na yesu kristo, na anasema kabisa pasi na imani ya mungu huwezi pona. Maji nayo yanabarikiwa tu wala sio habari za upako. Ila kila mtu ananukuu mstari mmoja wa biblia kama kweli anajua na kufuata kumbe wapi! Mungu aendelee kumpigania km sio kwa uwezo wa mungu punde atapoteza umaarufu na kama kwauwezo mungu ataendelea kutamalaki.
@nameno8608
@nameno8608 2 жыл бұрын
Akianza shule itakuwaje? atachanganyika na watoto wengine
@kenkirambi9677
@kenkirambi9677 2 жыл бұрын
pls naomba kufka uko nko Kenya n pesa ngap ya Kenya kufika uko
@emilywachaya2709
@emilywachaya2709 2 жыл бұрын
We just need to open our eyes, and see
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Do it
@domnia6980
@domnia6980 2 жыл бұрын
Bgm tembea kisumu wew ndugu yangu
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Shukurani sana, tuwasiliane
@alphonsinesingirankabo6274
@alphonsinesingirankabo6274 2 жыл бұрын
Mungu abalinde vema dads
@zipporahmosinya7280
@zipporahmosinya7280 2 жыл бұрын
Mungu amujaze roo mutakativu na nguvu avanye kasi yamungu
@abubakarsaidu5266
@abubakarsaidu5266 Жыл бұрын
Please you people should translate so that the world will understand
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Jifunze kiswahili
@eliaichraymond1215
@eliaichraymond1215 2 жыл бұрын
Kikombe Cha Babu kimeanza Tena? Watu wangu wanapotea kwakukosa maarifa!!! So sad kwakweli!!!
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Shika imani yako, wengine waachie yao
@revocatusrubaba4416
@revocatusrubaba4416 2 жыл бұрын
Wewe si umesha baini hilo nenda ukawaelimishe vinginevyo huo ni unafiki
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
@@revocatusrubaba4416 acha kila mtu ashike imani yake, usiumie!
@eliaichraymond1215
@eliaichraymond1215 2 жыл бұрын
@@BMGOnlineTV mbona unahangaika hivyo na kujibu comment yangu? Wewe endelea na biashara Yako ya online TV but kwa mtazamo wangu hicho ni another form ya kikombe Cha Babu! Point blank! Period!!!
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
@@eliaichraymond1215 Tulia katika imani yako ikiwa wewe hauhangaiki, usiwabeze unaowaona hapo, sisi jukumu letu ni kuhudumia watu wote
@beatricekaresh9493
@beatricekaresh9493 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, naje inawezekana kupata no ya mawasiliano?
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Wanaohitaji mawasiliano ya mtoto Yunis kzfaq.info/get/bejne/p9Nzost9sd7Qf3U.html namba iko kwenye hii video.
@joycekanema870
@joycekanema870 2 жыл бұрын
May God continue to bless you in your healing ministry Baby Yunis 🙏🙏🙏
@benitamusembi6685
@benitamusembi6685 2 жыл бұрын
Natokea Kenya nikijahuko itanilazimu kumbemba mtungi natokambali ama wakowanauza njelekan 🙏
@naomymose1866
@naomymose1866 2 жыл бұрын
Ukitoke Kenya unafuata njia gani, or which is the nearby town where to reach her
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Isibania-Sirari Border
@threebrothers..
@threebrothers.. 2 жыл бұрын
Masanamu tu ya Maria,Maria ni maiti ata someni historia muone
@hushaurikuhusujamiifollow1752
@hushaurikuhusujamiifollow1752 2 жыл бұрын
Ukitokea Burundi unapitia wapi?
@mujyawimanawinfred3689
@mujyawimanawinfred3689 2 жыл бұрын
Mother mary is areal Mother, keep on healing ur people ma'am.but am requesting for the phone no in english
@suzypaul4559
@suzypaul4559 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana 🙏 mtoto Yunis
@nasrasaid6672
@nasrasaid6672 2 жыл бұрын
Nj darisalamu ama ni wapi
@wadimkisi1873
@wadimkisi1873 2 жыл бұрын
Yunisi
@macozsheshe5093
@macozsheshe5093 2 жыл бұрын
Hawa ni wajaluo wa wapi
@WintouchLimited
@WintouchLimited Ай бұрын
Naweza fika aje hapo niko Kenya
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Ай бұрын
Vukia Isibania-Sirari ukifika Tarime stendi, ulizia magari ya kwenda Bukama kwao na Yunis
@penninahthegrace3036
@penninahthegrace3036 2 жыл бұрын
Sasa ni bikira Maria ana ponya watu ama nini? Nashindwa kuelewa!
@domnia6980
@domnia6980 2 жыл бұрын
Tanzania maajabu kweli mara babu wa loliondo.
@LydiaJoseph-q4w
@LydiaJoseph-q4w Ай бұрын
Naomba namba
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Ай бұрын
BMG +255757432694
@beccaaboth7290
@beccaaboth7290 2 жыл бұрын
Please numbers for call to come over they ,am in Uganda
@julietcharo5933
@julietcharo5933 2 жыл бұрын
🙄🙄🙄🙄🙄🙄
@threebrothers..
@threebrothers.. 2 жыл бұрын
Upuzi Tu,
@demicratia4071
@demicratia4071 2 жыл бұрын
Usimnnunulie vitu vya kula usije nunua vitu vya kumdhuru pse
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Hatununui vitu vilivyo wazi, bali vitu vilivyo kwenye package, pia ukienda na nia ya kumdhuru utaumbuka mwenyewe!
@lilianandungulu2360
@lilianandungulu2360 2 жыл бұрын
Hahaaa
@raphaelnkwabi9676
@raphaelnkwabi9676 2 жыл бұрын
Kwa wale tunao amini hii ni shetani na kukosa maarifa. Naomba kuuliza kwa mfano akinitibu nikaangamia kwa kukosa maarifa. Madhara yake ni nini ? Naenda jehanam au napona kidogo ugonjwa unarudi tena ? Naomba msaada
@emilywachaya2709
@emilywachaya2709 2 жыл бұрын
Stop searching miracles plz, search God who can do everything you want
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Who searching miracles? You?
@emilywachaya2709
@emilywachaya2709 2 жыл бұрын
Is any there when she /he coming from home saying that I'm going to hear want God say? Don't you see every one is l'm going to get Baraka, l'm going to get healed you wake up
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
@@emilywachaya2709 OK
@gereisishayo6511
@gereisishayo6511 2 жыл бұрын
Yan wanadam hatun akili ht ya kuazima huu ni ushetan tuache ujinga
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Imani yako si ya wengine, ya wengine pia si yako. Mvumiliane tu.
@ramazecha8862
@ramazecha8862 2 жыл бұрын
Hpna ukweli ni mtoto wa pastor hyo yutangaza biasra ya hyo pastor
@domnia6980
@domnia6980 2 жыл бұрын
Huko hamna hata lami.maendeleo yanakuja hivi karibuni.
@agnesndagijimana168
@agnesndagijimana168 2 жыл бұрын
Kama niukweri mumupereke hospital. Asante
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Utachagua mwenyewe pa kwenda ukiumwa
@obadiasapi4802
@obadiasapi4802 Жыл бұрын
Huyomtoto aniombee namimi tafazalii mwambie aniombee
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Amen
@jshsbsbjshsbsbe9483
@jshsbsbjshsbsbe9483 2 жыл бұрын
Naomba namba ya simu nkitaka kukuja iwe rahisi
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Wanaohitaji mawasiliano ya mtoto Yunis kzfaq.info/get/bejne/p9Nzost9sd7Qf3U.html namba iko kwenye hii video.
@wettykznznhuioploko1571
@wettykznznhuioploko1571 2 жыл бұрын
Kwakweli ningekuwa tz ningekuja uko
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Karibu
@elvieprieto953
@elvieprieto953 2 жыл бұрын
Translate in english
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Learn Swahili
@mafuja1991
@mafuja1991 2 жыл бұрын
Huyo alitokewa na ibirisi ndo alishamwingia ,ili akamate wote
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Achana nae
@dainaatupere7220
@dainaatupere7220 2 жыл бұрын
Kutoka dar tunafikaje
@adrianoakyoo7431
@adrianoakyoo7431 2 жыл бұрын
Wapenda miujiza kuliko kutubu dhambi na kuziacha mh Jambo usilolijua no Kama usiku wa giza poleni wapenda miujiza nitakufa na maradh yangu lakini kwa huyo Mtoto mnapoteA kiloho na kimwili
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
@@adrianoakyoo7431 Barikiwa pia kama wao wanavyobarikiwanna Imani yao
@christinenthambi4028
@christinenthambi4028 2 жыл бұрын
Loliondo sasa ni yunis ??
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
karibu
@threebrothers..
@threebrothers.. 2 жыл бұрын
Fungukeni macho wakatoliki,kuomba rosari ni uchawi pia,hakuna andiko lolote katika bibilia inatuamrisha kusali rosari na pia hakuna andiko lasema Maria alifufuka na nimwombezi wetu,bibilia umesema yesu pekee ndie mwombezi wetu,hizi ni nyakati za mwisho,kutatokea manabii WA uwongo duniani watakaokua na uwezo WA kufanya miujiza na wengi watadhani ni mungu na watapotea,huu ndio ukweli mkubali ama mkae
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Ubarikiwe, Imani yako na Ikuponye
@telesiasaga5621
@telesiasaga5621 2 жыл бұрын
Kweli
@neemataris3273
@neemataris3273 2 жыл бұрын
Ya Yunus siyajui lakini ya Maria acha tu usiseme maana kuna miujiza ila ukiwa na Imani tu
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
@@neemataris3273 Amen
@issrahayattv1356
@issrahayattv1356 2 жыл бұрын
Am a Muslim minaona bora kuliko kwenda kw waganngaa wale wenye kukupa mashariti y kutoa kafara kikubwa anatumia maji n watu wnaponya bila ata kulipa hela , MwenyeziMungu ndio mjuzii zaidi I have no problem with that
@jeremiekahindo2733
@jeremiekahindo2733 2 жыл бұрын
Number y’a simu za baba ao y’a maman y’a mtoto kwa wenye kutaka kuongeya nao
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Wanaohitaji mawasiliano ya mtoto Yunis kzfaq.info/get/bejne/p9Nzost9sd7Qf3U.html namba iko kwenye hii video.
@dodwiedwin3944
@dodwiedwin3944 2 жыл бұрын
Mkristu Kamili umeongea ukweli mtupu. Huyo mtoto ni mganga kama waganga wengine wa kienyeji. Hapo hakuna Cha Mungu Wala Nini, ni ibilisi tu ndo yupo kazini.
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Kila mtu atachagua pa kwenda kulingana na Imani yake.
@demicratia4071
@demicratia4071 2 жыл бұрын
Inabidi mfanye haraka MUENDE JAMANI
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Sawa
@afrieagle8314
@afrieagle8314 2 жыл бұрын
Wajaruo tumeanza utapel sasa🤣🤣
@bellahappy2119
@bellahappy2119 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@jacklineakoth1016
@jacklineakoth1016 2 жыл бұрын
Hapo iko karibu na randa senta ama? iko mbele, iyo eneo nikama nishawai ona.
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Sahihi
@jacklineakoth1016
@jacklineakoth1016 2 жыл бұрын
@@BMGOnlineTV sawa lkn mimi ni mkenya sahihi ndo kusema nini?
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
@@jacklineakoth1016 We are all Africans, any way, Sahihi means True!
@christellejean808
@christellejean808 2 жыл бұрын
Oh!!mon Dieu le diable est intelligent 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
@adolfinaandrea5234
@adolfinaandrea5234 2 жыл бұрын
Mama Bikira Maria wewe ni Mtakatifu wa Mungu .tunakuomba uwaponye walio wagonjwa wa kiroho na kimwili na uwaombee kwa mwanao Yesu kupitia wewe mwenye nguvu na ukimtumia mtoto wako Mpendwa aliyepata neema kutoka kwa Mama yako Bikira Maria.Eunisi umukinge na maadui wasioamini.ponya Tanzania yetu na dunia mzima.Amina
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
Uyu na yesu nani bola
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 2 жыл бұрын
tunaelewa yesu ni bora ila huyo yesu anatembea kwa njia tofauti kama wewe unaona I basi muhimu watu wanaimani na wanapona 🇪🇺
@revocatusrubaba4416
@revocatusrubaba4416 2 жыл бұрын
Kwani wewe unajua nani bora?
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
@@revocatusrubaba4416 ww unae amini ujinga kama umjui mungu wako
@neemamhume365
@neemamhume365 2 жыл бұрын
duuh😭
@esterdesmon1521
@esterdesmon1521 2 жыл бұрын
Kwani yesu anakuja kuponya kwanini a ipi ndoo umjue niyesu maana sielewi somo
@wadimkisi1873
@wadimkisi1873 2 жыл бұрын
Yunisi
@christellejean808
@christellejean808 2 жыл бұрын
Oh!!mon Dieu le diable est intelligent 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
BMG TV: Sakata la Baba na Mama Yunis lachukua sura mpya #04
46:27
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 21 М.
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 45 МЛН
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 8 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН
BMG TV:  Mtoto Yunis Ogot aanza kuongea, akiri kutokewa na Bikra Maria
37:07
Nipanguze machozi embarambamba ft mwaniki ( tinyie amariga)
6:17
Embarambamba Msanii
Рет қаралды 1,3 МЛН
JIWE MAARUFU DUNIANI LIPO NDANI YA MAJI, WATU UFIKA KUTOA SADAKA
17:40
MAPUMZIKO YA MFALME ZUMARIDI BAADA YA SHEREHE
9:29
ZumaridiNews Tv
Рет қаралды 32 М.
BMG TV: Shuhuda za maajabu ya mtoto Yunis Ogot wa Bukama Rorya (#03)
10:50
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 45 МЛН