No video

BONGO DAR ES SALAAM S02 EP05 - MZEE WA BANDARI

  Рет қаралды 99,527

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

BONGO DAR ES SALAAM S02 EP05 - MZEE WA BANDARI

Пікірлер: 114
@feysalhamisi3459
@feysalhamisi3459 4 жыл бұрын
Uko pa1, naomba like 15 tu. By HK
@pastorheri715
@pastorheri715 4 жыл бұрын
Dude muongo 😂😂😂 eti "Mwarabu hakuamini"
@sumathedony8245
@sumathedony8245 4 жыл бұрын
Na mm nikiwa mkubwa nataka kuwa dude#🤣🤣🤣🤣🤣
@shekinahfaymatatiana5875
@shekinahfaymatatiana5875 4 жыл бұрын
Mwana kuya tafuta mwana kuyapata jiandae kuchomwa moto🤣🤣🤣🤣
@zuberikamote2078
@zuberikamote2078 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 4 жыл бұрын
Kuna watu hawajakuelewa maana yako,,,,kuwa dude inamaana anataka kuwa muigizaji😂😂😂
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 4 жыл бұрын
Utachomwa moto
@farhanhussain7860
@farhanhussain7860 4 жыл бұрын
Bongo Dar es salaam mnarusha mara muweke mara ipoteee
@mamalaozphilemon.8800
@mamalaozphilemon.8800 4 жыл бұрын
like za dude kama unamelewa🔥🔥 🇰🇪🇰🇪
@jumamohamedkidiaunga9224
@jumamohamedkidiaunga9224 4 жыл бұрын
Mwarabu Master plan kwel kwel nimekuelewa sanaa
@emelicknchimbi1411
@emelicknchimbi1411 4 жыл бұрын
Junior Kid yupo good sana mwalabu
@ramarite4841
@ramarite4841 4 жыл бұрын
😂😂😂😂apo ndio kashaliwa dada 🙌
@godfreyally7787
@godfreyally7787 4 жыл бұрын
Mwalabu dude unajulikana kufa kazi tuachie sisi hahahaaa
@rutashubanyuma4546
@rutashubanyuma4546 4 жыл бұрын
Mnatumia akili nying sana nyie watu!! endeleeni kutupa vitu!!
@masungaezekieli3490
@masungaezekieli3490 4 жыл бұрын
Mwarabu atapeliwa
@richwayne1805
@richwayne1805 4 жыл бұрын
wasafi mnatuchosha em weken vizur mipangilio ya vipind vyenu kweny tv
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 4 жыл бұрын
Bora hata mizengwe inavutia kuliko bongo dsm.mnatuchosha tu
@richwayne1805
@richwayne1805 4 жыл бұрын
@@abuyunusmohamed6961 wanaboa sana kwa hal hii huez fatilia kipind kwa raha,ukifatilia unakuta hawaonyesh,kesho unakuta wameupload youtube,c ni upuuz huu
@masungaezekieli3490
@masungaezekieli3490 4 жыл бұрын
Saut ipo chin sana jamani
@issajohn8688
@issajohn8688 4 жыл бұрын
Bro nakupenda sana dude na jamaa zako
@salehehamisi2408
@salehehamisi2408 4 жыл бұрын
Bongo darisalam mzuri sana
@antoinea.katembo5326
@antoinea.katembo5326 4 жыл бұрын
Much love all way kutoka States! Moja ya kipindi ninachopendelea sana kutazama!
@robertsamweli1213
@robertsamweli1213 2 жыл бұрын
safi sanaaa nakukubali dude
@seiphkaira5372
@seiphkaira5372 4 жыл бұрын
Asee nipo hosptal nimelazwa lakin ckuacha nipitwe na hili balaa la bongo💪
@veronicagershomu484
@veronicagershomu484 4 жыл бұрын
Poleeeee
@aziywizy1060
@aziywizy1060 4 жыл бұрын
Yaan mi kitendo cha kumuona tu dude huwa nachek ata km na stress znakata chap hongera xana kk kwa kipind kizuri aisee
@neemamayco3238
@neemamayco3238 3 жыл бұрын
Yaan nampendaga sana act zake
@kondegangfans7368
@kondegangfans7368 4 жыл бұрын
Kipindi pendwa 🔥🔥 together we can
@kibwanamaulid9981
@kibwanamaulid9981 4 жыл бұрын
Nice bro
@justinemalekela5269
@justinemalekela5269 4 жыл бұрын
Amejaaa kiboya Kweli...
@abdullatifsuleiman8760
@abdullatifsuleiman8760 4 жыл бұрын
Tisha sana wanaiba Kama wamarekani hahaha
@hilalmohammed168
@hilalmohammed168 4 жыл бұрын
Hahahaaaa.... Yaani dude we noma.
@badmanno.1650
@badmanno.1650 4 жыл бұрын
Huyo makala kafanana na Joseph kusaga kabisa...
@zuberikamote2078
@zuberikamote2078 4 жыл бұрын
Kabisa hujakosea
@akhitalibsheha2434
@akhitalibsheha2434 4 жыл бұрын
nimefurah kupata mwenza mwenye mawazo sawa
@tonniecruzz8268
@tonniecruzz8268 4 жыл бұрын
Nnaomba namba
@akhitalibsheha2434
@akhitalibsheha2434 4 жыл бұрын
Emmilian Stanley namba ya nn
@dominicjoachim9938
@dominicjoachim9938 4 жыл бұрын
Bado naona ni rahisi sanaa
@mulastar
@mulastar 4 жыл бұрын
18:08 Nimekubali shoo dude, hapo ndyo unanimalizaga
@simonandrew2238
@simonandrew2238 3 жыл бұрын
Kabixa an hapo kwenye 18:08 Noma xana
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 4 жыл бұрын
Huyu dudeeee co poa
@dullahdimba8423
@dullahdimba8423 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣😂😂huyu jamaa nyoko
@rosekingalu4403
@rosekingalu4403 4 жыл бұрын
Atakutia hasara au kashamtiaa hasara 🙄
@salumabdallah6680
@salumabdallah6680 4 жыл бұрын
Ya leo mmejitahidi ni wizi ambao kiuhalisia unaweza ukatokea na nyie ambao mnasema hawana ubunifu ni baada ya kuangalia ndio mnasema kua mtu huwezi ibiwa namna hio hawa wanatufundisha kiufupi tu ila mtu anaweza kua ana kuja mara kwa mara hata mwaka mzima halafu ndio anakupiga😁😆
@venancemlelwa7312
@venancemlelwa7312 4 жыл бұрын
this is dude
@hassanaloobaidan25
@hassanaloobaidan25 4 жыл бұрын
Hiii ya leo story mumeiweka poaaaa
@jasminegabriel4247
@jasminegabriel4247 3 жыл бұрын
Hii ina onyeshwa sangapi wassafi
@michaelmzava6112
@michaelmzava6112 4 жыл бұрын
Dah mama kaingizwa Chaka vibaya
@jimyjastini9995
@jimyjastini9995 4 жыл бұрын
Dude noma
@wilsonmtino827
@wilsonmtino827 2 жыл бұрын
Oyoyoooooo
@hamidyakoub6865
@hamidyakoub6865 4 жыл бұрын
Hili funzo wizi huu htr
@rosekingalu4403
@rosekingalu4403 4 жыл бұрын
Master planner
@kingbaenktop10antony51
@kingbaenktop10antony51 4 жыл бұрын
Leo watatu like zenu naomba
@megyjr8734
@megyjr8734 3 жыл бұрын
Nawakubali mazee ila issue ya kupeana pesa bila kuhoji wala kutaka details imeshusha umakin kias chake though plan ilikuwa bomba
@yudaseleman8320
@yudaseleman8320 4 жыл бұрын
Mnaharibu sana stalling anatakiwa dude
@neemamayco3238
@neemamayco3238 3 жыл бұрын
Mbn hapo ni dude maan aliepiga ni dude huyo katumia tu mbinu
@kamalujafary
@kamalujafary 4 жыл бұрын
Tuko vizuri
@aziywizy1060
@aziywizy1060 4 жыл бұрын
Dude wewe ni noumer aisee ata ingekuwa ni mm ningetoa tuu kwa hiloo taiz
@nancykenya4007
@nancykenya4007 3 жыл бұрын
Asante Sana naomba part 6
@davidngonyani5599
@davidngonyani5599 Жыл бұрын
Nipe hizo m8
@famitoissanawanda6295
@famitoissanawanda6295 4 жыл бұрын
Duuuuu aisee
@rutashubanyuma4546
@rutashubanyuma4546 4 жыл бұрын
kazi nzuri sana!!!!
@rosemaryjoseph2346
@rosemaryjoseph2346 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣eti mwarabu hakuamini
@user-xh7vw4kk7o
@user-xh7vw4kk7o 3 жыл бұрын
Mashaallah kipindi iki
@thorganmartial4321
@thorganmartial4321 4 жыл бұрын
Dude sku hzi huna mbinu unapoteza muda tu
@emmanuellaizer4548
@emmanuellaizer4548 4 жыл бұрын
oy yoooooyoo!;;;;~
@timothpius3310
@timothpius3310 4 жыл бұрын
makala wa kiss meee
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 3 жыл бұрын
Yan hili Kweli dude nishida dah yan nimwiz wa kimataifa
@hassanaloobaidan25
@hassanaloobaidan25 4 жыл бұрын
Hongera
@siremma20
@siremma20 4 жыл бұрын
niceeeeeeeeeeeeee
@mulastar
@mulastar 4 жыл бұрын
ila sauti ipo chini sana na hata ya Last week pia tatizo hilo lilikuwepo. sasa sijui kwanini hamkusoma Comment cs mgekuwa mmesoma mgerekebisha tatizo hilo
@pindabutter2736
@pindabutter2736 4 жыл бұрын
faamudi naiona kazi yako
@kabandilwafariala6093
@kabandilwafariala6093 4 жыл бұрын
Makala
@anthonymwasika5181
@anthonymwasika5181 4 жыл бұрын
Kapigwa mtuu
@mikenicoottaru8574
@mikenicoottaru8574 4 жыл бұрын
Sisi wapitia comment
@rajathedon408
@rajathedon408 4 жыл бұрын
Nakubali
@aishaaisha2957
@aishaaisha2957 4 жыл бұрын
❤❤❤❤😆😆😆
@markselby5606
@markselby5606 4 жыл бұрын
Wa kwanza leo
@hamzamussa7081
@hamzamussa7081 2 жыл бұрын
Turudishie tenA KUANZIA EPISODE 6 , TUMEMISS BONGO DSM JAMANI ...KAMA MMEWEKA PRIVATE hebu muweke public tuongeze views
@ezeshama255
@ezeshama255 4 жыл бұрын
Sio Bandali ni Bandari... kwenye Title mmeandika vizuri tu ila ndani ikawaje mkakosea
@meditaarapti6574
@meditaarapti6574 3 жыл бұрын
🔥🔥
@peterpain5594
@peterpain5594 4 жыл бұрын
Awa jamaa wanatumia akili nyingi sana
@dennismrutu732
@dennismrutu732 4 жыл бұрын
Peter Pain kama James bondi
@irenechristian3281
@irenechristian3281 4 жыл бұрын
Karokora anaboa 😏😣
@bartonfredrick5047
@bartonfredrick5047 4 жыл бұрын
Kama anaharibu kila siku kwa nn asikamatwe
@paulmwanyika7622
@paulmwanyika7622 4 жыл бұрын
Ni bandari siyo bandali
@erickmlay9783
@erickmlay9783 4 жыл бұрын
ila movie mbovu
@geraldjohn5430
@geraldjohn5430 4 жыл бұрын
Sasa chanzo cha wao kukutana kwa uyu mama ni kipi yani theme nzima kukutana hapo kwann pesa aache kwa uyo mama?hapo script wameyumba
@aishamsofe3274
@aishamsofe3274 4 жыл бұрын
Gerald John haswaa ukiwa msaniii unatakiwa ufikiri ZAIDI iii
@dennismrutu732
@dennismrutu732 4 жыл бұрын
Gerald John ata mm nilitaka niseme ivo ivo
@abuubakrachani1943
@abuubakrachani1943 4 жыл бұрын
N kweli chanzo ch uyu mama ni nini
@ndayanseleonard9299
@ndayanseleonard9299 4 жыл бұрын
Hujaona kweli chanzo au hujaimaliza kuichek
@ibrahimumduma1583
@ibrahimumduma1583 4 жыл бұрын
Kk mwarabu alijifanya ni mkongwe ktk iyo yard na akajifanya alikua anafanya kaz na mzee kabla huyo mama hajaletwa hapo na ndo akaanza kuwekeza pesa ili wamuamini mama na mfanya kaz wake wakaingia kwenye targert sababu mwarabu anaachaga pesa nyingi tu iweje yeye ashindwe kumsaidia milion nae kwa muda tu ebu fatilien vzr mbn imejieleza kabisa
@zuberhonomar4101
@zuberhonomar4101 4 жыл бұрын
Hahaha
@almasmaige3981
@almasmaige3981 4 жыл бұрын
This is dude
@mishakipogbajr3138
@mishakipogbajr3138 4 жыл бұрын
The
@phedriclhusna3949
@phedriclhusna3949 4 жыл бұрын
Yan hawa wanaibiwa kijinga kichiz yaniiii......
@fredrickfanuel3183
@fredrickfanuel3183 4 жыл бұрын
😂😂😂
@hancymziray759
@hancymziray759 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@sumatraveler1957
@sumatraveler1957 4 жыл бұрын
Kali hii
@lawrancemngazija2216
@lawrancemngazija2216 4 жыл бұрын
Bandari sio bandali
@marymasanyiwa3529
@marymasanyiwa3529 4 жыл бұрын
Lakini dude wekeni na mchezo ambao utakamatwa na ww ukitapeli
@deotv503
@deotv503 4 жыл бұрын
Haitaletaa maanaaa lengo no kujuaa watuu wanavyotapeliwaaa na xio kukamatwaaa
@neemamayco3238
@neemamayco3238 3 жыл бұрын
Akiweka hv ataonekana hana mbinu afu stalling hauawi
@zuberhonomar4101
@zuberhonomar4101 4 жыл бұрын
Hahaha
BONGO DAR ES SALAAM S02EP05 - IPHONE
29:09
Wasafi Media
Рет қаралды 99 М.
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 10 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 47 МЛН
Bongo dsm mwendelezo episode
24:33
frank narysis
Рет қаралды 11 М.
STEVE ANATAFUTA SIFA MBELE YA MADEM
8:13
Mweusi Family
Рет қаралды 223 М.
WAWILI WATIWA MBARONI KWA MAUAJI SINGIDA.
4:47
CALES TV
Рет қаралды 1,2 М.
NAWATAKA WOTE
9:13
Joti TV
Рет қаралды 309 М.
Bongo Star Search 2015 Dar Es Salaam Audition Part 2
59:47
BongoStarSearch
Рет қаралды 414 М.
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН