ALIKAMWE AMJIBU AHMED ALLY IMEKUUMA CHAMA TUMEMCHUKUA YANGA/ TUNDA MAN AKASIRIKA KABADILI WIMBO

  Рет қаралды 59,668

BONGO TRENDY TV

BONGO TRENDY TV

3 күн бұрын

Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania
Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV
Na kulike facebook page Bongo trendy online

Пікірлер: 47
@user-nm2jq7xo5f
@user-nm2jq7xo5f Күн бұрын
Uongozi ukomakini akifanya vizuri ataongezewa mkataba
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw 2 күн бұрын
anamiliki anacheza asante yanga lakni chama apewe hata miaka 2 au zaidi chama ni levo ya juu
@ShekhMufyd-mn9zn
@ShekhMufyd-mn9zn Күн бұрын
Sawa kaeni na lizee lenu
@sebastiankaole702
@sebastiankaole702 Күн бұрын
Ukiona watu wanapambana kuchukua wachezaji toka kwenye timu yako uje ulikuwa na kikosi bora sana ila kama hukupata matokeo mazuri sababu ilikuwa sio shida ya uwezo was wachezaji,cha msingi zama sehemu nyingine usajili wengine wazuri zaidi hadi wawatamani tena.Simba ilikuwa na wachezaji wenye uwezo sana
@user-bl9og1vx8j
@user-bl9og1vx8j 2 күн бұрын
Mbna mlisema wazeee leo ten vp
@user-pv2eu3rb7x
@user-pv2eu3rb7x Күн бұрын
Aly acha maneno kwani wakati tunafugwa huyo chama hakuwepo?
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot 2 күн бұрын
We pux hujui mpila ximba Haina mpango na chama
@law93king
@law93king Күн бұрын
tunda anaonekana kabisa bado ana maumivu😭
@mustafamustafa5039
@mustafamustafa5039 Күн бұрын
we Ally Kamwe wacha kuwalisha watu ujinga Chama kuachwa Simba umechukua wazee
@MackrinyDonard
@MackrinyDonard 2 күн бұрын
Hata chama kabla hatua simba alikuwa hatambuliki
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 2 күн бұрын
Avitaji kukasilika baba
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 күн бұрын
KUSEMA UKWELI SIO KUKASIRIKA UKWELI HUWO
@reinfridlipili5666
@reinfridlipili5666 Күн бұрын
Simba yenyewe kabla ya Yanga haikujulikana.
@mikidadiramadhani3553
@mikidadiramadhani3553 Күн бұрын
Nikweli Kabisa ila Hata Wewe Pia Kabla hujawa Shabiki Ulikua Hautambuliki
@user-yd1pc8uy8x
@user-yd1pc8uy8x 23 сағат бұрын
Sio kweli sema baadhi yetu ndio hatukumjua Ila fuatilia cosafa cup utaona watu.
@omarymzuri8012
@omarymzuri8012 2 күн бұрын
Wa Kwanza.....
@sebastiankaole702
@sebastiankaole702 Күн бұрын
Simba mtashangaza watu,mtatwaa ubingwa!
@AlexMkude
@AlexMkude Күн бұрын
Bongo bwana mnasema mchezaj Mzee kisha mfrahia kumsajili Vp kwenu amekua kijana?
@gililwise
@gililwise Күн бұрын
Yaani Ally Kamwe unakera jamanii hadi rahaa
@FranciscG-lp1uz
@FranciscG-lp1uz 2 күн бұрын
Tuna msubiri rasta😂
@alphoncembassa6401
@alphoncembassa6401 Күн бұрын
Hatasimba walimchukua chama akitokea timu nyingine nao wasemebwamezaa naye?
@WinnifridaMhonda
@WinnifridaMhonda Күн бұрын
Hhaaa kumbe mnajua kama simba ni shamba linatamaniwa na wengiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot 2 күн бұрын
Hhhhhhh mbna mchezaj wa Congo mmechemka
@user-xs3ko8pg2g
@user-xs3ko8pg2g 2 күн бұрын
yanga wanasababisha maisha ya wananchi kuwa yalivyo, kwenye usajiri wao zinatumika vibaya kodi za nchi nyuma yao kuna waziri wa mshiko a,k, tozo
@abedymtore2707
@abedymtore2707 2 күн бұрын
Unaushahid na ilo ndug
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 күн бұрын
​@@abedymtore2707NDIO ANAWO
@user-nl8ec4np1t
@user-nl8ec4np1t 2 күн бұрын
​@@abedymtore2707makasiriko😂😂
@user-nl8ec4np1t
@user-nl8ec4np1t 2 күн бұрын
Alete ushahidi kwanza
@robertphilip385
@robertphilip385 Күн бұрын
Huyu ni roho mbaya ni wivu unamsumbua Mbona MO anahusishwa na uagizaji wa sukari inche lkn sisi hatusemi Simba acheni kutafuta mchawi mchawi ninyee wenyewe
@jameschumbula7351
@jameschumbula7351 Күн бұрын
😂😂😂😂
@MasterG-dc1tx
@MasterG-dc1tx Күн бұрын
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiuuuiiuuuuuu7uuuuuuuuuuuuuu hatuna dogo
@masoudmwakoba2757
@masoudmwakoba2757 Күн бұрын
Madunduka mnateseka sana siyo?
@user-qo6bk1zs8m
@user-qo6bk1zs8m Күн бұрын
Jefu miaka32 kwa 22 unapimaje mchezaji?
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 күн бұрын
Mke miaka saba Nakula nalala nae leo naschana nae unamsifia uko nae kwa lipi hasa
@robertphilip385
@robertphilip385 Күн бұрын
Maini hayazeeki utamu uko pale pale Yani nirahatupu
@mtepaally5132
@mtepaally5132 Күн бұрын
alafu ukitoka unamuona anapika jiran
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Күн бұрын
Miuno Ya Mwanamke Aliyokuwa Akiipiga Huko Kwako. Kwasasa Anaipiga Kwangu. Kaakwa Kutulia.
@ShedyPackall-vx5vy
@ShedyPackall-vx5vy Күн бұрын
Hii kubwaaa
@AliamryBakar
@AliamryBakar Күн бұрын
Sasa iyo jazba 😂😂
@JumaKilipamwambu-kw2ln
@JumaKilipamwambu-kw2ln 2 күн бұрын
bongo kiingereza bwana five minis bongo duu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 күн бұрын
NYIE MATOPOLO MLITOWA THANKS KWA SAIDOO NA BM3?? NYANI HUUWONI MKUNDU WAKO 😂😂😂
@ramadhanimrungu5806
@ramadhanimrungu5806 Күн бұрын
Acha matusi wewe
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 2 күн бұрын
Hahahaaaah!
@tanoiddibakalbakal
@tanoiddibakalbakal 2 күн бұрын
Tunda amekiri kuumia kuondoka chama
@YussufIssa-eg3ir
@YussufIssa-eg3ir 2 күн бұрын
Lakni Kanata sofa hizo akiwa simba
Василиса наняла личного массажиста 😂 #shorts
00:22
Денис Кукояка
Рет қаралды 10 МЛН
ROCK PAPER SCISSOR! (55 MLN SUBS!) feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 42 МЛН
Эмоции💫 | Тгк: D1ashenka✨
0:22
D1ashenka
Рет қаралды 2,5 МЛН
Все мы немного НИКА!
0:17
Привет, Я Ника!
Рет қаралды 2,8 МЛН
КОГДА СОСЕД КУПИЛ ИНОМАРКУ😂#shorts
1:00
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 3 МЛН
I Can't Believe We Did This...
0:38
Stokes Twins
Рет қаралды 24 МЛН
Vampire Girls FIGHT Over Boy 😈
0:32
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 9 МЛН