Bony Mwaitege ft Sifael Mwabuka - Ni Salama'' (Official Music Video)

  Рет қаралды 1,305,046

Bony Mwaitege Official

Bony Mwaitege Official

Жыл бұрын

Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
Bony Mwaitege ft Sifael Mwabuka - Ni Salama'' (Official Music Video)
Video directed by William Ndila (Director Willy) +255 673 734 620
MUNGU AKUBARIKI SANA.

Пікірлер: 601
@moto-junior
@moto-junior 14 күн бұрын
Wale wa 2024 July 22 after kupata roumours kuwa Amefariki Gonga like
@cleahkarahi403
@cleahkarahi403 14 күн бұрын
Chenye naskia hope sio ukweli,,ATI bonnie mwaitege is no more,,njoo mniambie ni uongoo please😭😭😭
@lucimikopeleci5296
@lucimikopeleci5296 Жыл бұрын
Nimependa Sana wimbo huu jaman waliopamoja na mimi like zenu
@isaackimanzi885
@isaackimanzi885 Жыл бұрын
Ni salama kuona amani kwetu nyumbani🙌pitieni mnipee like 30 tu usininyime ju ni salama
@james008BOND7
@james008BOND7 Жыл бұрын
Neema iwabebe watumishi wa MUNGU Bony mwaitege na siffael🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪 twawapenda sana 🙏 tuwape likes kwa wingi wapendwa 🙏🙏
@vicomslenses8109
@vicomslenses8109 Жыл бұрын
Kama kawaida 🎉🇰🇪🎉 tunawapenda sana. Ni salama rohoni mwetu🇰🇪
@fatmaayoub5580
@fatmaayoub5580 Жыл бұрын
Watumishi wa Mungu mbarikiwe na kuzidi 👏 hallelujah Yesu ni Bwana,ukiwa na Yesu mambo yote ni shawari.hikika ni Salama rohoni mwangu.
@ExcitantKapindu
@ExcitantKapindu
Siku zote tuta zidi kuwa sapoti wa pendwa wa bwana❤
@WilliamPaul-nx3xm
@WilliamPaul-nx3xm
Ni salama rohoni mwangu.....ameni.ameni...nimebarikiwa mmnooooooo
@mercyndoli5296
@mercyndoli5296 Жыл бұрын
❤❤❤❤wow congrats bro hii wimbo damu sana God bless you nipe likes wangu wa kenya na team khamama mko wp❤❤❤❤
@papajuniorandphelixramirez4543
@papajuniorandphelixramirez4543 Жыл бұрын
Wapi likes ya wa Kenya👏👏....You never disappoint Bonny congratulations 🎉
@victoramwamumusic5609
@victoramwamumusic5609 Жыл бұрын
Ni salama rohoni , if u are from kenya gonga like😊😊😊
@AbedibinRamazanisalum
@AbedibinRamazanisalum 14 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe
@rebeccamaunde4085
@rebeccamaunde4085 Жыл бұрын
Kenyans never disappoint this men's of god muc love from uwarabuni originality from 🇰🇪 kenya...be blessed bony na sifaeli
@djthankskofficiel
@djthankskofficiel Жыл бұрын
Cool musique amène 🇨🇩🇨🇩🇨🇩👏👏🎉🎉🎉
@SOI254
@SOI254 Жыл бұрын
Wouw!
@StellaNeema-ve3bq
@StellaNeema-ve3bq 14 күн бұрын
Salama rohoni mwangu,kazi nzuli Sana balikiwa❤
@jacobojaks6386
@jacobojaks6386 Жыл бұрын
Boni kama ndio unaanza kuimba upya. Kwamaana moto kweli🔥🔥🔥🔥👍❤️❤️
@mmilly8952
@mmilly8952
Leo jumapili tarehe tatu 2024..na watangazia wote mjue ni salama rohoni mwangu. Ni vyema kumtegemea Mungu kwa kila jambo. Nae atakupa utulivu wa moyo.. Kumbuka Linda Sana moyo. Kuliko chochote🥰🥰🥰🥰💃💃💃💃💃🇰🇪. Team gulf. Tuko kujipanga kwa mwezi wa Ramadan
@ModestaMokeira-b1k
@ModestaMokeira-b1k Күн бұрын
Ishi ueneze neno la Bwana
Bony Mwaitege - 'Neema Imenibeba' (Official Music Video)
7:51
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 708 М.
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 11 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 49 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
THE BEST SONGS OF BONY MWAITEGE 2023 2024
1:09:11
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 45 М.
Utanitambuaje
7:36
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 139 М.
FANYA JAMBO BY PASTOR  MUSEMBI FT SIFAELI MWABUKA  SMS  SKIZA 6983057  TO 811
6:48
pastor anthony musembi
Рет қаралды 795 М.
Bony Mwaitege - 'BADO NAMPENDA'  (Official Music Video) SMS SKIZA 9840971 TO 811
7:28
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 2,5 МЛН
Bony Mwaitege - Acha Nizaliwe (Official Music Video)
6:58
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 2,8 МЛН
UNIONDOLEE MAJIVUNO [Rose Muhando cover] WATU WOTE TUBUNI TUACHE DHAMBI By Minister Danybless
23:01
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 785 М.