Hongera nimerudia mara kadha bila kuchoka kwa kutazama jinsi mnavyo mtukusa mwenyezi Mungu, mola awabariki sana kwa kujitolea kueneza injili kupitia kwa wimbo yenye sifa tele
Hongereni Sana kwaya masta uko vizur Mungu awabariki Wana nit wote
@manyenyelusanamtunga51003 жыл бұрын
Hongereni sana,,Mola hatotuacha kamwe,tumtumikie katika ujana wetu.
@barikikimaro91653 жыл бұрын
Hongereni sana vijana weenzangu kwa ushindi pia kwa chaguo la nyimbo nzuri hasa mlio ingia nao ni wimbo mzuri unaobariki haswa
@merinachalinze6455 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana sana vijana wetu
@merinachalinze6455 Жыл бұрын
Nawakubali yani mfaulu wote Mungu aongoze hatua zenu
@mdzainb37223 жыл бұрын
Mlistahili kushinda🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@danielgasper11983 жыл бұрын
Hongereni Wana NIT wezangu mmewakilisha vyema na mmefanya vizuri ukweli.
@merinachalinze6455 Жыл бұрын
Hongereni sana vijanawetu
@lucasshirima28803 жыл бұрын
Peter Kisoki ndugu Hongera sana kwa utulivu
@paulinenyambura9693 Жыл бұрын
Hongera
@muzikimtamumtakatifu8973 жыл бұрын
I like the way you presented the message. Utume mwema Much congrats
@peaceisrael81582 жыл бұрын
Kwembe chuo cha nini nahisi kipya hiki🔥🔥🔥
@asinthagervas27513 жыл бұрын
Very touchable massage,, thank you a lot,,God bless you all
@regielyela97013 жыл бұрын
Hongereni sana ....nimependezwa na uimbaj wenu , Paul pius I c uh saut ya tatu kama kawa saf kaka , eng Silvia I c uh also... soprano pale gud.....Don Bosco juuuu
@josephinegravasiano88602 жыл бұрын
Congratulations
@petroteleni28623 жыл бұрын
Mmependeza na hongereni kwa utume
@neemarobert21813 жыл бұрын
Hongeren kwa wimbo mzuri
@amosepimack3993 жыл бұрын
HONGERA KWA UJUMBE ADILI KWA VIJANA!
@tesharose50413 жыл бұрын
Hongereni Sana nit 🔥🔥🔥🔥
@miriumvicent5233 жыл бұрын
Perfect
@kelvinchambulila36083 жыл бұрын
hongeren sana mt donbosco nit
@brunomyinga98953 жыл бұрын
Hongereni sana kijana uliwafunika sana sauti ya tatu ulikua ukisikika mno
@deogratiasfaustine50573 жыл бұрын
Wapendwa hongereni sana
@braviusrweyemamu68113 жыл бұрын
Hongera kwa ushindi. Ila niulize jambo moja. Hao waliokuwa wanaigiza walikuwa walikuwa wanaongozwa na nani? Maana conductor alikuwa hawaoni walikuwa nyuma yake au ndo vigezo vya mashindano vilikuwa? Kuna vitu kadhaa nimeviona kwenye uimbaji ambavyo nadhani vinahitaji kurekebishwa. Nawatakia utume mwema