No video

BREAKING: TAZAMA ZIARA YA MONDI WA INDIA NCHINI URUSI, INAVYOWAPASUA VICHWA MATAIFA MAGHARIBI

  Рет қаралды 5,398

HABARI 24

HABARI 24

Ай бұрын

If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
COPYRIGHT VIOLATION
For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.

Пікірлер: 13
@josephkostans9128
@josephkostans9128 29 күн бұрын
Russia Ndio dola lenye nguvu zaidi duniani kuliko nchi yeyote ile kwa wakati wote. Mficha maradhi kifo humuumbua na waache kusingizia Ukraine Vita ni kati ya Russia na NATO na sio Ukraine
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 29 күн бұрын
Kwa nnavyojua mm vita ya putin haishambulii watoto na ndio maana alichukua watoto wakasema amewateka. Mtihani..
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 29 күн бұрын
Vivan Russia
@Estherm309
@Estherm309 29 күн бұрын
😢😢😢😢wooooi tuliambiwa watakaa chini MUNGU mwenyezi atusaidie kumekucha
@JajiZakayo-fw9mk
@JajiZakayo-fw9mk 29 күн бұрын
mbona umeisahu Belarus na Korea ya kaskazini
@josephkostans9128
@josephkostans9128 29 күн бұрын
Vita vinaweza kuleta amani pale inapobidi hivyo pande moja itakaposhindwa ndio amani itakuwepo so acha mvua inyeshe tuone panapovuja. Acheni siasa waliomuuwa gadafi bado wapo nao lazima wafe makoloni mabepari
@abduljuma7807
@abduljuma7807 29 күн бұрын
Mashetani ninyie magharibi wajinga wakubwa nyie ndio mnaleta haya mauwaji nanyie wachambuzi wachochezi wakati wana kwenda kimuua Gadafi mlikuwa kimya tuna wachukinyi waingereza Wajerumani na baba yenu Marekani
@user-sd5hj2im4q
@user-sd5hj2im4q 29 күн бұрын
Wao yao pesa Putin yake silaha na usalama,, tyr apo mwenye pesa lazima apotezee huwezi kukaza mbele ya kifo ulaya imekwisha hawana chaguo tna wanaemuandama yupo mbele yao pakubwa sna na kila wakikaza ndo wa azidi kumpa akili na ujuzi
@AmmielNzala-fu4xu
@AmmielNzala-fu4xu 29 күн бұрын
Mmeanza kuyumba nyiee hamtoi habari,hii mnatoa leo kwani ameenda leo huko huyo mtu wa india?
@user-qh9gw2vr6k
@user-qh9gw2vr6k 29 күн бұрын
Hivi kwani kuuwa watoto nimakosa, Mimi ninaona sio makosa ndio maana Marekani anampa silaha Myahudi awauwe watoto wa Palestine Sasa iweje Kwa Urus au ndio ule msemo usemavyo,.kunya anye kuku akinya Bata ameharisha?
@Fakihikitumbali
@Fakihikitumbali 29 күн бұрын
haki za binadam kwa urus kwa Israel hakuna
@mohamedsaidalhabsi7862
@mohamedsaidalhabsi7862 25 күн бұрын
Hatuja msikia akizungumzia watoto wa gaza au wale sio binadamu
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 25 күн бұрын
Huyo modi kafiri mkubwa duniani
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 14 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 21 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 94 МЛН
RAIS Mpya wa IRAN aivimbia Marekani, asisitiza urafiki na URUSI na CHINA
2:18
Bernie Sanders Praises ICC For Issuing Arrest Warrant For Israel's PM Netanyahu
26:06
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47