MISA YA DAMU TAKATIFU YA YESU, BWANA UTUHURUMIE ikiwa ni utunzi wake Boniface A. Manditi na umeibwa na Kwaya ya Pro studios.
Пікірлер: 86
@beatricemayala82173 ай бұрын
Nawapenda sana natamani kuimba nanyi ili nijifunze zaidi🥰
@mutongoreprostudios3 ай бұрын
karibu sana,
@bonifacemanditi97693 ай бұрын
Wow...Kaka Mwita Hongereni sana kwa uimbaji. Yaani Wimbo mmeuimba vizuri zaidi ya nilivyoutunga!
@mwitaisack95823 ай бұрын
Pamoja mkuu
@martinnganga3 ай бұрын
Naomba nota mkuu. Hongera kwa utunzi huu
@janethgenes10743 ай бұрын
Misa nzuri sana. Naomba nota yake tuimbe hata kanisani kwetu bosi.
@geraldncheye20943 ай бұрын
@@janethgenes1074mmeshapata nota za hii misa
@triffproductions4348Ай бұрын
Hongera sana kwa utunzi mzuri mkuu
@luisevarist48193 ай бұрын
Saut ya 2 mtunzi umeuhamon vizuri Sana
@bonifacemanditi97693 ай бұрын
Asante.Huwa napenda kuimba sauti ya pili
@deominja5323 ай бұрын
Duu kweli huu wimbo unagusa Roho zetu saana hadi unajihisi uko mbinguni hongereni saana saana Mungu azidi kuwa bariki mtunzi wa hii Nota avumbue zaidi nyimbo za Misa ili tuzidi kubarikiwa na Mungu azidi kuinuliwa juu zaidi❤❤❤❤❤❤🙏🙏
@bonifacemanditi97693 ай бұрын
Amina
@kathbetmgao75903 ай бұрын
Betha kama betha shemela nakukubali na mzeee mwita, ukimuweka na shemela mama Mtongole fire na nusuuuuuuu
@Fortunatus_Bonn3 ай бұрын
Naweza kupata mawasiliano ya Mwita
@bethermichael25743 ай бұрын
Asante 😅😊
@abelmochama6803 ай бұрын
Mimi nangoja utukufu na roho yangu itapona ❤❤❤😊
@mutongoreprostudios3 ай бұрын
Soon this week
@abelmochama6803 ай бұрын
Amen 🙏
@veronicamanoni42873 ай бұрын
Hongereni sana Wapendwa, Bwana utuhurume mmeutendea haki. Leo nimeusikiliza zaidi ya mara 10 na sichoki
@davidmwipopo27433 ай бұрын
Nikajiuliza mbona siwasikii ndugu zangu wiki 2 zunataka kupita😀. Safi sana Bwana Utuhurumie Imesimama pahala pake❤
@KwayayaMt.PetroKAKOLA3 ай бұрын
Tupo full ndugu yetu
@abelmochama6803 ай бұрын
❤❤❤❤ they were cooking 😊❤
@abelmochama6803 ай бұрын
Tamu sana watu wangu. From Nairobi Kenya 🇰🇪
@mutongoreprostudios3 ай бұрын
Shukrani sana. karibu
@waromokello3 ай бұрын
A perfect solemn Have Mercy.
@emmanueladriano2034Ай бұрын
Naombeni nota za hii utuhurumie
@AnthonyKiatu3 ай бұрын
Amina... Mwenyezi Mungu aendelee kuwainua Kwa viwango vya juu sanaaaa..
@mutongoreprostudios3 ай бұрын
asante sana
@mikekingoo35133 ай бұрын
Pro Studios🎉🎉Kazi safi kabisa 👏🏼 Natumahi kuona utukufu ya misa hii hivi karibuni.
@mutongoreprostudios3 ай бұрын
Soon this week
@user-ot3hu2oy7i3 ай бұрын
Kutoka shinyanga VIJIJINI nawapata vizurii sana kaka Mwita kazi nzuri sana msalimie saana Bro Anthony kiatu shy bugisi wanamkumbuka sana kwa utunzi wake mzurii
@mutongoreprostudios3 ай бұрын
Ubarikiwe
@user-ot3hu2oy7i3 ай бұрын
Amina sana ninyi pia
@redemptaruta16913 ай бұрын
Safi saana Pro studio. Mnafanya kazi nzuri saana na uimbaji mzuri. ❤❤❤Mungu awabariki saana.
@jamesmwita29953 ай бұрын
Kiukweli navutiwa na uimbaji wenu ,,sauti tamu
@fidelisluvanda35853 ай бұрын
Jamani em imbeni utukufu yake😢😢😢, yaani mmenifanya nibubujikwe na machizi ya furaha
@mutongoreprostudios3 ай бұрын
Utukufu yake inatoka soon
@djkuokoa23483 ай бұрын
Safi sana tunaomba na mtakatifu yake🙏🏻🙏🏻
@mutongoreprostudios3 ай бұрын
SOON
@djkuokoa23483 ай бұрын
Sawa na utukufu yake pia🙏🏻
@charlesmwas44643 ай бұрын
hii nayo nimependa sana🎉🎉🎉🎉
@kathbetmgao75903 ай бұрын
Mungu awabariki sana
@veronicanyangwilamalindila3 ай бұрын
Bwana utuhurumie safi. Hongereni sana pro studio❤
@mutongoreprostudios3 ай бұрын
Shukrani saana
@evaalute25563 ай бұрын
Hongereni sana👏👏👏
@lucasshirima28803 ай бұрын
Amina...nasubiri vipengele vya hii misa
@KwayayaMt.PetroKAKOLA3 ай бұрын
Vipengele gani?
@SirJames0653 ай бұрын
Safi sana..
@nyimbotamu3 ай бұрын
Mkuu mwita twaomba nota
@kathbetmgao75903 ай бұрын
Nicheki nikupe nmba ya mwita
@odethachambi11873 ай бұрын
Nzuri ❤
@user-kk4zu1le7qАй бұрын
Nawapenda sana ndunguzangu partition svp
@NobertMichael3 ай бұрын
Kazi nzuri
@KwayayaMt.PetroKAKOLA3 ай бұрын
Nawafuatilia kwa ukaribu sana. Hongeraaaa
@francoadam73943 ай бұрын
Oooh waaoh
@user-yw6hc4hd1k3 ай бұрын
Kazi nzuri waiting for utukufu❤❤❤❤
@ruthuushiro7893 ай бұрын
🔥🔥♥️♥️
@geraldkalinga94623 ай бұрын
Nzuri mnoooo mbarikiwe ❤️❤️
@user-rm2yl6oi3c3 ай бұрын
Waoooo nice❤🎉🎉
@yulianarichard87913 ай бұрын
Waaaaoh
@hiporituskyaruzi5879Ай бұрын
Tuwekee nota iko vzr ongeren
@jastinpeter67423 ай бұрын
Sijawai kuwapinga ninyi ata sku moja
@mutongoreprostudios3 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@bobrobert33743 ай бұрын
Hongereni
@gagnenyanjom3 ай бұрын
kazi safi sana mtunzi pia waimbaji.Mimi mkenya. Naomba nota zake tafadhali, na pia utukufu yake kama ipo.
@jescaemmanuel86713 ай бұрын
Kazi nzuri,hongereni
@mutongoreprostudios3 ай бұрын
Asante sana
@bobrobert33743 ай бұрын
Bwana utuhurumie
@remigiuskahamba74403 ай бұрын
Amina
@Arati8963 ай бұрын
Moto sana❤❤❤
@tempochoir3 ай бұрын
Hongereni sana mmetisha ❤
@sospeterthomas33423 ай бұрын
Wimbo Huu unakukufanya ujione uko mbele yaungu live ukiomba msamaha
@KwayayaMt.PetroKAKOLA3 ай бұрын
Kabisaaaa. Pro studios wako vizuri jamani
@PATRICKKYALO.SacredVoicesKenya28 күн бұрын
Yaguza moyo❤...hongereni
@laurentlugema5933 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@denisborgestvАй бұрын
Nzuri kweli
@albanTz0013 ай бұрын
❤
@masouddeule75583 ай бұрын
Kazi nzuli sana hongera sana
@Africanchildcomfoters162ACCO183 ай бұрын
Great Mungu awainue❤❤
@joanwamburaАй бұрын
❤✨
@nemeskimbe3762 ай бұрын
Utukufu yake lini?
@bonifaceelias92873 ай бұрын
Daaaa hii nzuri balaaa yaani Natamani Kesho nikutane na utukufu, matakatifu na mwanakondo mtatisha sana❤❤❤