Рет қаралды 4,609
Hivi ndivyo Bwana Utuhurumie, misa ya Kristo Mfalme (J. Makoye) na Utukufu Misa ya Mt. Anna (Fr. G. Kayetta) zilivyoimbwa kwa pamoja katika adhimisho la misa takatifu sherehe ya Kristo Mfalme 21.11.2021. Tujuimuike kuimba pamoja.
#worthisthelamb#handelsmessiah#KristoMfalme