Рет қаралды 154
Jumapili hii ya Pentekoste tulipata fursa kama kwaya ya kukutana pamoja kupata chakula Cha pamoja na kujipongeza kwa utume tunaofanya.
Katika tukio hilo kulikuwa na michezo mbalimbali iliyopendezesha tukio hilo, Moja ya mchezo ilikuwa ni kupima kama wanakwaya wanaweza kutofautisha Vitabu vilivyopo kwenye Agano la Kale na Agano Jipya ndani ya Muda mfupi
Na hivyo ndivyo ilivyokuwa 😅😅😅
#kmgtegeta
#pentekoste
#tegetaparish
#challenge