Рет қаралды 42,862
Ugonjwa wa PID ni ugonjwa unaosumbua wanawake wengi sana wa sasa ni muhimu sana kujua chanzo, dalili na tiba za ugonjwa huu ili usikupate au kumpata mtu wako wa karibu.
usisahau kusubscribe Jaha Tv kwa muendelezo wa vipindi vingine
#kurasa_za_tiba #afyayako #jahatv