CHEKECHE|| Vita ya vikwazo kwa Urusi ina maana gani kwa dunia inayojitibu na athari za Corona?

  Рет қаралды 24,232

Azam TV

Azam TV

2 жыл бұрын

Ni zaidi ya wiki mbili Urusi inaendeleza uvamizi nchini Ukraine.
Kwa sasa inashuhudiwa vita ya silaha, vita ya mafuta na gesi pamoja na vita ya vikwazo vya kiuchumi.
Vita ya vikwazo ina maana gani kwa Dunia inayojitibu na athari za kiuchumi zilizotokana na Corona?

Пікірлер: 25
@innocentcassian9472
@innocentcassian9472 2 жыл бұрын
Nakulispect saaaaaaaana. Baba yangu sana Abdu shakula bood. Nakufaham kitambo sana kupitia VOA. Kiswahili.
@allykeita704
@allykeita704 2 жыл бұрын
Libya,Iraq, Afghanistan,vetnm,na Japan Ni Russia alifanya haya
@kambonamajaliwa5466
@kambonamajaliwa5466 2 жыл бұрын
Uchambuzi mzuri sana
@OmariJuma-su6fz
@OmariJuma-su6fz Ай бұрын
Ohhhh nimeona huyu mzee pamoja na huyu kijana nimashogha kbs wewe mzee ulihanza ushoga Lini?pamoja nahuyu kijana?
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 2 жыл бұрын
Unamfungia mtu anae jiweza!! Apo nikupoteza mda2 na kuumiza mataifa madogo
@hamisiramadhani8661
@hamisiramadhani8661 2 жыл бұрын
Huyu muchambuzi atakuwa chakula chawamabwenyenye
@saidmungisaphy441
@saidmungisaphy441 2 жыл бұрын
Sijapenda uchambuzi wenu vitu vingi mnavikosea kwa kuipendelea marecani
@emmanuallydeus1243
@emmanuallydeus1243 2 жыл бұрын
Piga awoooooo
@emanuelshayayi54
@emanuelshayayi54 2 жыл бұрын
Mbona marekani na uingereza waliivamia Libya ambayo nchi huru.Kusababisha mauaji kwa RAIA wasiokuwa na hati.
@allykeita704
@allykeita704 2 жыл бұрын
Huyu mchambuzi wa MCHONGO hajui chochote 🤣🤣🤣🤣
@emmanuallydeus1243
@emmanuallydeus1243 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@iamthefarmerceo2316
@iamthefarmerceo2316 2 жыл бұрын
Wachambuzi makini sanaa. Ila please wapeni mavazi mazuri guys. Thamani Yao ni kubwa sana
@amanijampion3045
@amanijampion3045 2 жыл бұрын
Wachambuzi wako na bias kubwa na s moderate thinkers
@hamisiramadhani8661
@hamisiramadhani8661 2 жыл бұрын
Uyunibwege
@manchalijob9600
@manchalijob9600 2 жыл бұрын
Mchambuzi arioko marekan ni choko hajierewi ni nyang'au kabisa Africa wasenge kama hawa hawatufai
@tajirifestocosmass2244
@tajirifestocosmass2244 2 жыл бұрын
wewe unatetea upuuzi.libya aliua putin afrighanstan ni putin? saudiarabia ni putin?
@suleimaniamadi1441
@suleimaniamadi1441 2 жыл бұрын
Wanajitoa ufaham
@superangeltv4615
@superangeltv4615 2 жыл бұрын
putin yuko sahihi ila sema marekani kwa kutumia voa na bbc ni kueneza probaganda tu
@salehmussa9371
@salehmussa9371 2 жыл бұрын
Duniani shiida tupu
@Perfect_side_tz
@Perfect_side_tz 2 жыл бұрын
Fanya mambo haya kila siku asubuhi Gusa, 👇👇👇 kzfaq.info/get/bejne/adyFrbugrc-plqM.html
@mohamedamisse9507
@mohamedamisse9507 2 жыл бұрын
Iran hana undugu na ulaya we we ndio unafosi
CHEKECHE: Mkutano wa UNGA una tija kwa dunia?
27:11
Azam TV
Рет қаралды 1,5 М.
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 23 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 37 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,6 МЛН
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 23 МЛН