No video

CHID BENZ : SIJAONA HIYO VIDEO, MANARA HAJAKOSEA, PROFESSOR JAY NIMEMUACHISHA POMBE MIMI

  Рет қаралды 12,432

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Пікірлер: 25
@GwankoTv
@GwankoTv 8 ай бұрын
CHID NI GENIUS,WATU WANAMCHUKULIA POA.
@okangakelvin2216
@okangakelvin2216 8 ай бұрын
Miwani mpya kweli yaani hadi tag bado ipo....nakupenda Chid❤ utainuka tu
@hassanyunus4634
@hassanyunus4634 8 ай бұрын
First to comment, chidy uko vizuri, nakutafuta Kwa KZfaq sikuoni, jaribu uingize nyimbo zako KZfaq Ili tukuone..
@HamisindeeLeembo-xp7iz
@HamisindeeLeembo-xp7iz 8 ай бұрын
Kweli camera maan kazingua ameleta fezea sema kaka mkubwa umemchana safi sana chumaa
@user-lg3ru3vd2g
@user-lg3ru3vd2g 8 ай бұрын
Msera all good. Angalau umeua issue ya gigi moneey. Happy New year more blessing
@dieudonnemirindi8111
@dieudonnemirindi8111 8 ай бұрын
Mbona yuko Sawa tu uyu jama sioni tatizo lake kwa sasa
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 8 ай бұрын
Hawamjui ndmn wanapata shida
@mvungigaming
@mvungigaming 8 ай бұрын
Chid anakuja jinsi ww ulivyomjia ukimjia kichizichiz na yeye akuwa hivyo hivyo.
@jimmyhabarugira4232
@jimmyhabarugira4232 8 ай бұрын
Subirini nguvu ya methadone iishe
@mussacharlesSongo-or4wn
@mussacharlesSongo-or4wn 8 ай бұрын
Huyu bloo no kichwa saana ila bastu huyu cameraman hakili hana ila chidi kamsanua kinoma
@TaarabChannel
@TaarabChannel 8 ай бұрын
Mpitie na kwangu wapenzi ❤
@Kulindwa
@Kulindwa 8 ай бұрын
Chidi hatabiriki maana kila mazingira yupo kwa haiba yake, na hivyo wengi kumchukulia visivyo
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 8 ай бұрын
Child Kuna mambo anayo kutana nayo anayaona kabisa hii sio sawa anapotezea lakini anaumia kwandani.hakuna anaweza kuyaona anayo yaona.ila anamshikiru mungu matokeo yake.kwakua watu baadhi Yao hawayaoni anayo fanyiwa child.wao wanamlaumu tu.haitamsaidia kumlaamu.hay daimondi alimchukua kampambania matokeo yake sijui nifitn au ni mina baby fanya kazi.matokeo daimondi na child wamefarakana child atajisikiaje
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 8 ай бұрын
Mabu fanya kazi piga miba watu wanafarakana mungu anawaona.nyimbo zake zoote zinahit kama yeye hajui namna yakuweka nyimbo zake yutub msaidieni nayeye apate maokoto yake.nawale alio fanya nao kolabo hizo nyimbo wamlipe na sio kufanyia figisu.jasho ya mtu ukidhukum ipo siku utailipa.wapo watu wakifanyiwa figisu figisu anaingia ktk ulev.anaona atapata faraja kumbe ndio anaangamia.maadui za wakio kua wanamchukia ndio wanafurahi.mana jamaa anatalent sijaona anakwamishwa tu chid ili wampiteze kimziki.mungu amvue mabalaa yote hasada na sikhiri zote mungu amuondoshee.nanyie wadau msisikilize maneno ya watu msaidieni.na ninamuomba daimond amrudishe kaka yake alipo kosea kama nikweli chid alikosea ni kaka yake daimond chid ni kakiyo msamehe ulipley part yako daimond na chid akawa nafaraja kubwa basi usimtrnge mungu atakulipa mrudishe uhusiano mzuri na kaka yako.
@wafiq4
@wafiq4 8 ай бұрын
Msenge sanaaa Mr zuchu ... ile tunaishi nao amekudhulumu chumaaa yeee ngoma yake ungetia vokoo wangekufunga lkn yakwako suprise ushwaaaaaani tu .... niko na ghadhabu sanaaa .. 🐵
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 8 ай бұрын
Energy hiyo akishavutan ila baadae tukaona matokeo yake,,,ata Maradona nae alikuwa hivyo ana snif kimya kimya ,,,pamoja na Talent yake lakini coccaine ilikuwa inamsaidia kuwa na energy pia
@shamtesefu5040
@shamtesefu5040 8 ай бұрын
Sasa mbona chidi uyu na yule tofauti wakati ata mwezi bado
@mdachiog5211
@mdachiog5211 8 ай бұрын
Camera man umezingua😂
@user-fe3ff8kb8q
@user-fe3ff8kb8q 8 ай бұрын
Kaka njoo Kenya rehab awakupendi ao. we dorecovary njoo usipoteze time ww ndugu yangu waki Islam changamka haya maisha tu. after rehab tunakupa kazi
@aboudiga6381
@aboudiga6381 8 ай бұрын
Simuelewi kabisa
@allanndoro1051
@allanndoro1051 8 ай бұрын
uyu jamaa ukimchukulia teja anakupa za kiteja ukimchukulia poa nae ako poa,so kumuelewa yategemea approach yako ila nakubali kama ashawahi haribika kwa madawa
@mussajeremia9072
@mussajeremia9072 8 ай бұрын
Kameza dawa😂😂
@ismailisuleimani6183
@ismailisuleimani6183 8 ай бұрын
Chid ukitenda wema nenda zko ndg yngu usingoje shukran ndg yngu
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 8 ай бұрын
Kaamua kukoga
@hpoo5369
@hpoo5369 8 ай бұрын
kzfaq.info/get/bejne/oJyeo5yVuNGphps.htmlsi=zB0Qum7XNF-VzEuF usikili utan hii balah
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 36 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 81 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 28 МЛН
Mkasi - SO7E02 With Chidi Beenz
29:55
MkasiTV
Рет қаралды 261 М.
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 36 МЛН