CHRISTINA SHUSHO AMEKUWA MWIBA KWENYE IMAN YA KIKRISTO

  Рет қаралды 192,543

PROPHET DR RICHARD MAGENGE

PROPHET DR RICHARD MAGENGE

2 ай бұрын

Пікірлер: 1 900
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 2 ай бұрын
Kabla Yesu Kristo arudi tutakuwa tumeisha ona mengi! Wakristo tukaze mwendo safarin bado🙏
@rehemafyumagwa8005
@rehemafyumagwa8005 2 ай бұрын
Mtawajua kwa matunda yao, pole sana mzee shusho, Mungu akutie nguvu
@ayubumbembati8658
@ayubumbembati8658 2 ай бұрын
Nilikuwa namkubali sana Christina kwa kazi zake nzuri na zaidi nilipenda sana kwa kutokuwa na skendo yoyote kwa kipindi chote. Kwa hiki kimetokea kimefanya nijiulize maswali mengi sana juu ya Dada Christina. Anyway Shetani nae yupo kazini muda wote, hivyo yeyote ajidhaniye kuwa amesimama na ajiangalie asianguke! Christina umetoa kali ya mwaka 2024! Mungu akusaidie.
@TedyanodiTedy-fp9mh
@TedyanodiTedy-fp9mh Ай бұрын
Kuna kitu kipo nyuma yapazia nyie hamuwezi kujuwa ndowa zina mambo mengi
@ramak.9587
@ramak.9587 Ай бұрын
Wakristo mmechanganyikiwa sana yaani hadi mnaingiza Mungu kwa upuzi na tamaa zenu za duniani. Ni Mungu gani anakuamrisha kuacha ndoa yako na familia yako ili umtumikie yeye? SO FANTASTIC
@user-yl4ud7gr8s
@user-yl4ud7gr8s 2 ай бұрын
Asante baba Kwa haya uliyoyaona na kuwa na ujasiri wa kuitetea Imani yetu nikuhakikishie baba, Mungu hadhihakiwi na ni mwingi wa rehema atajibu Sasa hivi.
@NeemaMeshaki-qm4ew
@NeemaMeshaki-qm4ew 2 ай бұрын
Mungu Alie Ziumba mbingu na nchi na atusaidie sana pamoja na dada etu Christina binafsi nimeumia sana na MAOMBI YANGU arudi kwa Mungu Tena Yeye Mungu Bado ni WAREHEMA SAAANA
@elishayohana6259
@elishayohana6259 Ай бұрын
Pastor umeongea kwa Uchungu sana hakika Mungu atajibu katika hili vinginevyo Mungu amrehemu huyu Dada, Amekufa Kiroho lkn kimwili yu Hai, hakika Mungu wetu amrehemu amrudie Mungu wake 🙏
@user-bv2jl7du1i
@user-bv2jl7du1i 2 ай бұрын
Asante Sana Prophet umetusaidia sana sana🙏🙏
@joycemwakilembe-lc9fx
@joycemwakilembe-lc9fx 2 ай бұрын
Asante Daktari kwa kusafisha ukristo wetu. Huyu dada kwa kweli ni limbukeni na anahitaji msaada wa haraka.
@maystellakajuna5461
@maystellakajuna5461 2 ай бұрын
Huo wito wake si wa Mungu wa Abraham na Isaka na Yakobo Bali ni wa mungu mwingine.
@MerryPhilimon-es9gz
@MerryPhilimon-es9gz 2 ай бұрын
Alienda hata Kwa yule nabii mweupe wa Arusha akapewa na mil kumi​@@maystellakajuna5461
@EstherCharo-lc3md
@EstherCharo-lc3md 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂anahitaji msada gani yeye kama hata badilika angojee jehanamu ya milele
@billmkushi849
@billmkushi849 2 ай бұрын
Hosea 4:6 IPO kazini
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 2 ай бұрын
LIMBUKENI ! Je unauhakika/
@stellamugara983
@stellamugara983 2 ай бұрын
Asante mtumishi umeweka sawa kabisa.Dada Christina usishupaze shingo kubali maonyo mrudie Mungu upone.Pole mzee Shusho Mungu akutetee.
@mossendoghwe317
@mossendoghwe317 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu umeongea kwa uchungu na maneno yaliyonyooka sana!
@salamalupenza5082
@salamalupenza5082 2 ай бұрын
Nilikuwa mpenzi sana na nyimbo zako. Kwa hili sibarikiwi nazo tena. Nakuomba urudi kwa mmeo shetani yup kazini ameshaona udhaifu yako .
@cmoshi7014
@cmoshi7014 2 ай бұрын
Mimi binafsi kaniumiza sana. Nilikuwa nikisikiliza nyimbo zake my spirit was so lifted up just find myself crying and I could fill the power of God was so heavy on me 😢😢😢 Yani nilipomuona kenda kwa madhabahu ya mtu fulani nikajua tayari amekengeuka.
@rosemarinawiliam3289
@rosemarinawiliam3289 2 ай бұрын
Alipoenda kwa Geo Dav nilisema basi Tena Yuko upande mwingine
@user-cz8lg9uz5h
@user-cz8lg9uz5h 2 ай бұрын
Amefanya Vinayak sana
@mwendwacephas5291
@mwendwacephas5291 2 ай бұрын
Christina shusho amedaganywa na mwanaume mwingine, shetani ako na uwezo pia. Christina shusho usizushe nyavu tafadhali.
@user-wr4zu4un4s
@user-wr4zu4un4s 2 ай бұрын
Baba umeeleweka Sana Mungu akutie nguvu Mimi mwenyewe nilishituka mtoko wa pasaka
@officialhopestarmusic959
@officialhopestarmusic959 2 ай бұрын
Yule mzee aliyejichubua sio ?​@@rosemarinawiliam3289
@boscoafikile4737
@boscoafikile4737 2 ай бұрын
Mungu amtie nguvu mzee shusho pamoja pamoja na watoto yake. kanisa lipo nyakati za mwisho.
@rerisamba
@rerisamba 2 ай бұрын
😭😭😭😭 anayo pitia Mungu amuwezeshe
@victoriarichard8761
@victoriarichard8761 2 ай бұрын
Yupo kwenye maumivu sana yule mzee 😢 Mungu amtie nguvu
@catherinegichiri1246
@catherinegichiri1246 2 ай бұрын
Pastor ni jina tu.Wengine ni wambaya kuliko watu wakawida
@poolkingservices6928
@poolkingservices6928 2 ай бұрын
Kanisa lilianza kufanya makosa makubwa pale lilipo futa au kukataa mafundisho ya Yesu aliyeujia ulimwengu ili aukomboe Mt 6:24. Kanisa liko wapi juu ya somo hilo? Manadhani Yesu alikuwa anatania? Amin amin ninawaambia. Fedha ndiyo chanzo cha mmomonyoko wa maadili unaolitafuna kanisa leo. Pole kanisa
@poolkingservices6928
@poolkingservices6928 2 ай бұрын
Misingi ikiharibika, mwenye haki atafanya nini. Zag 12: 1-8
@MarySanga-st5ex
@MarySanga-st5ex 2 ай бұрын
Mtumishi ubarikiwe sana,I'm very sad for Christina shush na mimi nimekuwa nikipenda sana nyimbo zake...kiukweli dada kindly deliverance muhimu kwako
@user-wb1th3gn3k
@user-wb1th3gn3k 2 ай бұрын
Lah Mungu ampe nguvu pastor shusho aendelee kumtumikia tu ,mzee shusho Mungu atakuvika taji ya uzima , hili ni jaribu utavuka kwa ushindi
@MAGDALENAURIO-jq3ip
@MAGDALENAURIO-jq3ip 2 ай бұрын
Asante sana jaman huyu dada amejidhalilisha.barikiwa mtumishi
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 2 ай бұрын
Kunamuimbaji, nilionyeshwa na Mungu,watu wanasema tunenda kumzika mwimbaji frani wakamtaja jina,kukaa kidogo ndoa ikafa,,waimbaji wengi baadhi yao wamejiunga na shetani kizimu dunia imewaza..mchane christana Mungu atampaka matope,hyu kashalanika amejunga na dunia,huyu anataka usera arishakufa kiroho zamani ,,usikute yule baba arishi kwa mateso na huyu dada.subilieni mtaona mwisho huyu dada ametudhalisha wanake hakuna wito hapo, Mungu wetu hadhiakiwi..
@barakaroman4325
@barakaroman4325 2 ай бұрын
Kazingua Sana kweli mungu haangali mwanzo wa kazi Bali mwisho (mungu anaangalia mwisho wa kazi)
@LupokeloLuvanda
@LupokeloLuvanda 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi, Neema ya Mungu imzukie huyu dada arejee na atambue mazingira yanayomzunguka. Mimi ni mmoja wa watu walikuwa wanapenda sana kazi zake. Tusiache kumuombea, the enemy is at work 24/7.
@bonifacematuku
@bonifacematuku 2 ай бұрын
So much truth. Tumuombee uyu dada. Music is spiritual, and i think this is the reason personally bado nasikiza nyimbo za Shusho za kale kidogo, lakini nyimbo anatoa siku izi nalemewa kusikiza kisa hazina mguzo spiritually The same thing na dada yetu Rose Jameni ni siku za mwisho na Shetani ameingia kwa wanaomtafuta Mungu Tuombeni sana Mungu atupee nehema ya kumkana shetani. Napenda sana dada mmoja Sarah Magesa nyimbo zake zote hadi sai ziko na upako kwa kiwango cha juu sana
@leonardmakwela5551
@leonardmakwela5551 2 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu! Wewe kwa hili hudaiwi ! Umetimiza wajibu wako ! Nasikitika kutamka kwamba KANISA LILILALA ! Wakati dunia inadai usawa wa kijinsia , kanisa lilikurupuka ! Usawa wa kijinsia ni UPINGA KRISTO! Upinga Kristo maana yake nini ? Upinga Kristo ni "Kinyume na Kristo" (Yaani kinyume na Mungu). Maandiko yako wazi kwamba mume ni kichwa cha mke ! Mwanaume atamtawala mwanamke ! Haya ndiyo maandiko ! Kanisa lilikubalije huu usawa? Unajua dini nyingi zilianzia kwa wenzetu huko Ulaya ! Wenzetu hawa walishakengeuka ! Hawa jamaa ndio waanzilishi wa FREEMANSORY ! Kwa kifupi usawa wa kijinsia ni u freemason ! Never trust a woman !!! Nasikitika kusema hivyo ! Ndivyo walivyo tangu mwanzo
@jentamwadime5910
@jentamwadime5910 2 ай бұрын
I love his speech
@tabyngugi9424
@tabyngugi9424 2 ай бұрын
Oo
@jacksonmwasibila9310
@jacksonmwasibila9310 2 ай бұрын
Ni tupu mtumishi
@dolvinshao6956
@dolvinshao6956 2 ай бұрын
Very good speach
@shemkaiglory6982
@shemkaiglory6982 2 ай бұрын
Ukwel nimeumia sana sikutegemea kua hata Tina utavunja ndoa Yako jamani😭😭 ww ni barua , ni kioo unasomwa na Kila mtu ...hapa umeharibu ushuhuda wako
@tagcdcchurch6031
@tagcdcchurch6031 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana kwa kuweka wazi kweli hii ya Mungu pia Mungu amsaidie Christina aweze kurejea maana ukweli amemkosea Mungu amelikosea kanisa ameikosea kazi ya msalaba wa Yesu.
@NoelKomba-bj4yr
@NoelKomba-bj4yr 2 ай бұрын
Am so blessed Dr....
@gracyusoy9435
@gracyusoy9435 2 ай бұрын
Asante sana Mtumishi wa Mungu Ndugu Richard. umekuwa mkweli na dada tetu christina Mungu amsaidie kwa kweli arudi kwa mumewe maana ukweli anapoteza uelekeo
@mackilinakainamla8933
@mackilinakainamla8933 2 ай бұрын
Mungu amusamehe
@ebengoblbaros5078
@ebengoblbaros5078 2 ай бұрын
Mimi ndani ya simu yangu, nyimbo zake zilikuwa na chukuwa nafasi n'a kwanza, lakini kwa hili, una humbuwa dada...., Yesu angali katika kiti cha rehema.
@ashwaqhasni
@ashwaqhasni 2 ай бұрын
Nashukuru sana sana mtumishi wa Mungu Wakristo tupo kwenye maumivu makali mnoo kwa ajili ya Christian shusho anapaswa kuomba radhi kwa kanisani la Kikristo ametudhalilisha mno huyu kwa sasa tumwite tu agent kuzimu Wachungaji watumishi wa Mungu wamekaa kimnya kama vile awaoni mwingine anasimama na kusema anamtetea mtu amabaye siyo wa imani ya Kikristo Namshukuru sana Mungu kwa kukupa ujasiri wa kulisema hili Mungu akubariki sana
@michaelbenjaminsambua5349
@michaelbenjaminsambua5349 2 ай бұрын
Baba MUNGU akubariki sana BABA MTUMISHI
@petermuchiri1530
@petermuchiri1530 2 ай бұрын
mtumishi ule mungu wa christina ni mungu ule wa diamond na anayejua ajua ni mgani..
@tirigimusiba3815
@tirigimusiba3815 Ай бұрын
Inauma sana! Aache kudharirisha ukiristo.
@weremamwita8981
@weremamwita8981 2 ай бұрын
Asante mtumishi kwa kuwa mdomo wetu, inatusikitisha ki ukweli; mapataga ukakasi kila nikisikiliza clip zake za mahojiano. Mungu amrehem pst. Eveng' Christina Shushu.
@andrewmagwila1602
@andrewmagwila1602 2 ай бұрын
Very true Man of God aonywae mara nyingi akishupaza shingo atavunjika gafla .
@TawakalStorecoltd
@TawakalStorecoltd Ай бұрын
Thanks my brother for your good godly advice. May god bless you
@florasingano5859
@florasingano5859 2 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu...Mungu ndiye mwanzilishi wa ndoa...na anachukia kuachana... kweli ht mm napata ukakasi,ni bora aseme ametoka kwa mumewe kwa issue zingine na si kwa sababu ya kuitwa na Mungu...tumuombee rehema kwa Mungu...
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 2 ай бұрын
Christina shosho alipopata umaarufu alimchukia mume wake kana kwamba sio type yake
@rerisamba
@rerisamba 2 ай бұрын
Umegonga ndio anajiona mrembo nanihixo cream na nywele za mchina naakizikosa ako tu kama huyo mzee wamkumbuka Zamaridi alivyo kua rumande
@MalobeLujaga-rv1lx
@MalobeLujaga-rv1lx 2 ай бұрын
Kweli kabisa anamuona mumewe sio type yake
@christinamwangoc4779
@christinamwangoc4779 2 ай бұрын
😂😂​@@rerisamba
@faithmusyoka6439
@faithmusyoka6439 2 ай бұрын
Na mume wake anakaa humble man
@asinatimpendwa3702
@asinatimpendwa3702 2 ай бұрын
Umesema hakuna mwanaumke mwenye mamulaka juu ya mume wake; ndio unawafundisha wanaume wenzako wawanyanyeshe wanake for cheating with other women na pia unawapa umbambe wanaume wanaopiga wanawake waendelee kupiga wanawake na kuwanyima pesa za kununulia chakula cha watoto na kutumia pesa kwa Malaya. Vimada nje ya ndoa. Wanaume Malaya and cheaters.
@shadymoses5813
@shadymoses5813 2 ай бұрын
Ila Mimi Nasemaga Tanzania kwa ujumla inahitaji Baraza la kusimamia misingi na Matendo ya kikristo...Yaan Ukristo inabidi kiwepo chombo cha pamoja (achana na TEC, CCT nk) kinachoumizwa na Malpractices za watu na watumishi...na chenye uwezo wa kukataa na kuzuia endapo kanisa ama mtumishi anakengeuka, ili tubaki katika misingi ya kikristo.❤
@joycenganyule3231
@joycenganyule3231 2 ай бұрын
Kuna watu wanaonekana ni wakristo wazur tu makanisan but ni wachawi balaa so mi siamin kama Baraza linaweza kudhibiti mtu kuwa na uhusiano mzuri na Mungu, huko kote ni shida tupu
@ramadhansemvua9994
@ramadhansemvua9994 2 ай бұрын
​@@joycenganyule3231duh
@naomichallo9766
@naomichallo9766 2 ай бұрын
Huwezi kumzuia MTU aliengeuka na Imani, ni MUNGU pekee ndie awezae kumzuia katika mwanae wa pekee YESU KRISTO
@anithakisima665
@anithakisima665 Ай бұрын
Kabisa ikiwezekana hata sasa
@maystellakajuna5461
@maystellakajuna5461 2 ай бұрын
Mtazamo wangu, amemkosea sana Mungu, pili this is a spiritual matter, spiritual matters hazihitaji ushawishi, hilo ni swala la Imani ambalo kila mtu anamaamuzi yake. Hahitaji ushauri, huyo si mchanga kiroho bali amemezwa na kuingia ktk imani nyingine. It's not about us but about God! Hajatudhalilisha sisi bali Mungu. Hizi ni siku za mwisho, tuwe waangalifu sana na kuomba na kuombeana pia. Mtu yoyote anaweza kuanguka ndugu zangu, we are in the dangerous days.
@erickmillanzi4391
@erickmillanzi4391 2 ай бұрын
Hakuna imani kinyume na biblia hakuna usiri juu ya utumishi usiri ni kumtumikia shetani tu kama hivyo.
@DEBORAHMASANJA-yz3go
@DEBORAHMASANJA-yz3go 2 ай бұрын
Oooh yes tumuombee rehema kwa Mungu ndugu yetu
@myself4128
@myself4128 2 ай бұрын
yeye ni kioo cha Jamii
@maystellakajuna5461
@maystellakajuna5461 2 ай бұрын
@@myself4128 kioo cha jamii kidunia sawa, lkn yeye si kioo cha Kiroho au cha Ukristo, kioo cha Ukristo ni Neno la Mungu, tukifata watu ndo wawe kioo cha Kiroho Sasa hivi hapa dunia ilipo, tutapotea sana! Sasa hivi hata Pastor wako inabidi umsimilize na kupima anachokisema kwa Neno Mungu, lkn km utamuona Pastor km kioo chako ndugu utapotea. Hayo yalikua huko nyuma.
@clarencemeena1628
@clarencemeena1628 Ай бұрын
MUNGU amsaidie kutambua na kuona sawa sawa
@stephenotieno12
@stephenotieno12 26 күн бұрын
Let's pray for our sister Christina. Bible inawaita wanawake viumbe dhaifu. Tusali kwa Mungu kwa ajili yake. Mungu amrejeshe kwake kwa Jina la Yesu Christo
@miriammollel1755
@miriammollel1755 Ай бұрын
Asante kwa kujitoa na kusema ukweli mtupu, Mungu akubariki sana .
@geraldmanyogoto1358
@geraldmanyogoto1358 2 ай бұрын
Asante Mtumishi wa Mungu kwa kumpa ukweli. Huyu ameitwa na shetani na kuitika kwa sauti kubwa!!!! Amrudie Mungu haraka vinginevyo siku zake zinahesabika! Kwa sasa ni mtumishi wa mungu wa Diamondi! Ndiyo maana anamwita mchungaji!
@RhodaMwampagama
@RhodaMwampagama Ай бұрын
Ahahahaha
@user-xx6yc3mz1w
@user-xx6yc3mz1w 8 күн бұрын
Amurudie mungu,kwa kutubu maana mungu hawezi kukupa wito kwa kuvunja ndoa,ndio maana hata nyimbo zake saivi zmekua hazina upako.
@godlistenmangowi9328
@godlistenmangowi9328 2 ай бұрын
Kuwa katika ndoa ni Kulitimiza kusudi la Mungu.Dada Christina anaitajika sanaa kuwa sehemu ya kusudi la Mungu na ni wakati wake sahihi kumshuhudia Mungu ,yaan Bwana wa Mabwana,mfalme wa wafalme!Nimesoma kitabu cha ufunuo wa Yohana milango mitatu nikashtuka sanaaaaaa. Ufunuo wa Yohana 12: Ufunuo wa yohana13: Ufunuo wa Yoha 14: Soma sura nzima ,Mungu Atupenda sanaa.
@benjamenshepa1000
@benjamenshepa1000 2 ай бұрын
Kwahyo ni halali kuvunja ndoa ili umtumikie Mungu ndugu
@onesimokivuyo4706
@onesimokivuyo4706 2 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.Hakika wakristo tumekusoma!
@user-lk1wt7hj8m
@user-lk1wt7hj8m Ай бұрын
Mimi ni Carlos kutoka Congo uyo shusho namuchukia sana anakuwa malaya sana anamutaka daimond
@NeemaMurumbi
@NeemaMurumbi 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana man of God.uko sahihi kabisa
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 2 ай бұрын
Umefanya vyema kuyasema hayo Mtumishi wa Mungu. Mungu akubaruki sana. Amemwaibisha Mungu wetu pia. Hata baadhi ya Mashekhe wamemshambulia sana Diamond kwa kushirikiana na Christina Shusho kwenye Mtoko wa Pasaka. Hii ni huduma mpya kabisa haijawahi kutokea popote. Na bila kumung'unya maneno Christina anamtumikia mungu wa herufi ndogo, siyo Mungu YEHOVA tunayemwabudu.
@troshan7844
@troshan7844 Ай бұрын
Jinga sana hilo mama..limuache mungu wetu tunaemwani..asitufarakanishe na mungu wetu..mwenyezu mungu huwa hawaiti watu wajinga kama hao
@gloriashoo3707
@gloriashoo3707 Ай бұрын
Mungu wa Mbinguni akubariki mno akuinuwe zaidi mtumishi wa Mungu Kwa kuwa mkweli Kwa ajili ya kristo
@ellentukiko5699
@ellentukiko5699 2 ай бұрын
Thank you Prophet of God, umeongea kwa HEKIMA sana, God bless you and your Ministry🙏
@prophetdr.richardgodwinmin2221
@prophetdr.richardgodwinmin2221 2 ай бұрын
Bless you
@saturinimushi4746
@saturinimushi4746 2 ай бұрын
Pastor KYABASHASA kupitia Moja ya Mafundisho yake hapa Yutube akimjibu Mw.l Isaya Benson aliyepotosha kuhusu Ndoa za Wake wengi na Kuachan a katika Ukristo Amefafanua vizuri sana kupitia Msingi wa Maandiko Matakatifu Yaani Biblia. Mfuatilie Kuna jambo Zuri utaendelea Kujifunza.
@AgredaMoyo
@AgredaMoyo 2 ай бұрын
Powerful ....kufikiri kwa kina waooh!!!
@maglanloy7644
@maglanloy7644 Ай бұрын
Amen amen mtumishi wa mbinguni,Mungu akupe muda kutosha kuwafundisha wasiojua Mungu
@user-sm7gj4mn5n
@user-sm7gj4mn5n 2 ай бұрын
Asant mchungaji ila mimi kwa mtazamo wangu mimi pia mtenda Zambi ila hawa nao waimbaji wengi wa nyimbo za injili hawajasimama
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 2 ай бұрын
Ubalikiwe kwa ushauli
@edithweddy3027
@edithweddy3027 2 ай бұрын
Amen..God bless you man of God
@Tulia-bw6kp
@Tulia-bw6kp Ай бұрын
Asante mtumishi .kuna wanawake wa jinga sana n'a wengine ni wenye akili tena wana mutumikiya Mungu n'a ku kuheshimu waume zao .ila Christina alisha kuwa mu ulimwengu mwingine.Mungu ata muweka hazarani siku moja
@angaikundenikweka7517
@angaikundenikweka7517 2 ай бұрын
“Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani; ” - 1 Timotheo 4:1 (Biblia Takatifu)
@markomgogosi6093
@markomgogosi6093 2 ай бұрын
nawashangaa sana wanaomwita pastor yule si mchungaji
@elinipasumary8885
@elinipasumary8885 2 ай бұрын
Nakushukuru sana Prophet kwa kuamua kuongea juu hili, Mimi ni miongoni mwa wanawake waliofedheheshwa sana na Christina, na bora angetoka kwenye ndoa yake akanyamaza kimnya, asimdhalilishe Mungu na Kanisa la Kristo.Anataka kutuambia kuwa Mungu ameamua kupingana na Neno lake. Nimesikitishwa na Tina. Kweli Mungu aturehemu!!!! 😢😢😢
@wahidakisingo3588
@wahidakisingo3588 2 ай бұрын
Mungu aturehemu 🙏
@RhodaMwampagama
@RhodaMwampagama Ай бұрын
Njia yake si ndefu sana Mungu atasema nae
@AsyonLayson
@AsyonLayson Ай бұрын
Loo mch mungu akubariki umeongea sana mungu atambadilisha tu tumwombee kweli wewe ni mwalimu
@josiasntakisigaye-sv4ot
@josiasntakisigaye-sv4ot 2 ай бұрын
Huyu mama Yuko kuzimu,watumishi wa Mungu tuombe Mungu ayafute matendo haya yakuzimu kupitia kwa christina
@testimony254
@testimony254 2 ай бұрын
Wakati alianza ku muhushisha diamond nilijua hapa ni basi
@peacelive3420
@peacelive3420 2 ай бұрын
Kwani Wokovu ni juu ya matendo ama Imani?
@pamelaayieta6071
@pamelaayieta6071 2 ай бұрын
​@@peacelive3420Faith with actions not vice versa.
@peacelive3420
@peacelive3420 2 ай бұрын
@@pamelaayieta6071 is it GRACE period? Or GRACE and?
@olivernyange2349
@olivernyange2349 2 ай бұрын
​@@peacelive3420grace end😅
@MediatriceBukara
@MediatriceBukara 2 ай бұрын
Tusaidie Baba.Sisi tunaompenda hajatubariki hata........."WATUMISHI MUOMBEENI SANA SI YEYE"
@Ceciliapampii
@Ceciliapampii 2 ай бұрын
Thanks for being brave. God bless you
@NeemaOberlin
@NeemaOberlin 2 ай бұрын
Asante Mtumishi wa Mungu kwa kusema kweli kuhusu huyu ndugu ubarikiwe
@Magdalene-er2ur
@Magdalene-er2ur 2 ай бұрын
Hakika hata huyo Mme atakua amevumilia huyo mama mambo mengi sana....!Kwa kweli Kwa Mimi huyo dada alishanitokaga rohoni kitambo sana Nashukuru Mungu anaendelea kuonyesha mambo yake ya kuipenda Dunia....😢
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 2 ай бұрын
shida sio Christina,shida ni tamaa,watu wengi sana kwa siri wamejiunga na taasisi za siri za shetani,kwa kupenda pesa.sasa maisha yao yana kuwa chini ya ratiba atakayopewa na taasisi hiyo.Vituko vyote si vyake anatumwa na anakuwa programmed.
@rendozrendo7804
@rendozrendo7804 2 ай бұрын
Ndo hivyo dunia hii tunapita usipo fanya maisha yako utabaki .
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 ай бұрын
Christina anakuja na AGANO JIPYA 😢😢😢😢😢
@banguha
@banguha 2 ай бұрын
Na ndiyo maana unaambiwa kama ni mtumish wa kiume hatakiw kuwa na mke kama ni mwanamke hutakiw kuolewa wamejiunga na kutaka utajir wa haraka Christiana alikuwa anafanya vzr wakat yupo na mume na alikuwa na heshima kwa sasa amekuwa kama mdananda tuu hajielew
@pastorbarnabamichael4946
@pastorbarnabamichael4946 Ай бұрын
Hizi ni siku za ukengeefu
@milicentotieno
@milicentotieno Ай бұрын
Wote wameitwa kwa utumishi
@user-ed2jz5ym9u
@user-ed2jz5ym9u 2 ай бұрын
Ubarikiwe mutumishi. Wa mungu. Anakosea. Kweli anafananishwa na vasti alie zarau mume wake
@annaamadeo-ge2dd
@annaamadeo-ge2dd 2 ай бұрын
Ahsante kwa maonyo mazuri mtumishi wa Mungu. Maana Neno linasema onyaneni, kalipieni nk
@user-wl3sv2xn9e
@user-wl3sv2xn9e 2 ай бұрын
Nilkuwa nazpenda sana nyimbo zake kumbe nishetani mtu sizitaki tena!
@peacelive3420
@peacelive3420 2 ай бұрын
tusisome Zaburi kisa Daudi alizingua, ?
@user-ee8dr9iw4t
@user-ee8dr9iw4t 2 ай бұрын
Ata lusifa anikua mwimbaji sasa matuda yake yanaonekana
@naomichallo9766
@naomichallo9766 2 ай бұрын
Zamani naona alikua akimtumikia MUNGU ndio maana nyimbo zake ulikua ukizisikia zinakugusa lakini sasa naona ametoka nje ya Imani ni huzuni tumuombe Sana
@samwelmbissa-zj1ev
@samwelmbissa-zj1ev 2 ай бұрын
Waooooow very good massage Man of God thank
@leebronkasianh5296
@leebronkasianh5296 2 ай бұрын
Shetani,huwa anaitumia pesa,kuvuruga mambo ,na sio yy tu waimbaji wengi wa injili wameshakamatwa na shetani.
@fridamallya9224
@fridamallya9224 2 ай бұрын
Asante Sana mchungaji mungu azidi kukutumia
@happymwaipaja4834
@happymwaipaja4834 2 ай бұрын
Inaumiza sana Dr...Mungu atusaidie wanawake
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 2 ай бұрын
Kwanza SAMAHANI. NINAWAPENDA WOTE HUMU. Ninamtazamo tofauti na Christina Shusho naanza na Prophet Dr. Richard .Hili suala halihitaji ushauri wa kibinadamu kwasababu huwa ndo zinapovunjika ni ngumu kujua CHANZO CHAKE ila Kwa Uwezo wa Roho Mtakatifu.Nilitegemea Prophet Ungemtafuta kwanza Christina ukaongea nae KWA FARAGHA ukiongozwa na Roho wa Mungu na akikataa ndipo ulete hii habari kwenye mitandao ya kijamii. MUNGU habadiliki BALI WANADAMU NDIO WANABADILIKA, NAOMBA TUMWACHIE MUNGU HILI SUALA. NAOMBA ASILAUMIWE YEYOTE .BARIKIWA WOTE
@jacklinemyala8194
@jacklinemyala8194 2 ай бұрын
Mimi mwenyewe namshangaa..inawezekana ana makosa na hayuko kiroho siku hizi lakini kuja kumuanika huku ..anakosea sana.. ni kama anatafuta Kiki. Kanikera sana. Na ninahisi kuna ugomvi nyuma ya pazia ..sisi hatujui chochote ila tunabwabwaja tu.
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 2 ай бұрын
@@jacklinemyala8194 USISHANGAE ndoa hazifanani MIMI NAOMBA KWA MUNGU KUSUDI LA MUNGU LITIMIE.CHRISTINA Shusho Kuandaa MTOKO wa PASAKA KWA kumshirikisha Diumond Platinum sio kosa maana ndipo watu wanamjua zaidi Yesu kwa namna mbali mbali lakini pia PESA ZOTE NI MALI YA BWANA kwa hiyo HAPO SIONI TATIZO Bali ametumia VEMA MALI ZA BWANA YESU ILI WATU WAZIDI KUMJUA YESU KRISTO WA NAZARETI.
@leahjamess9359
@leahjamess9359 2 ай бұрын
Christina aliongea umuumu lazima ajibiwe umu umu.Asante
@user-ih1pk1vs4q
@user-ih1pk1vs4q Ай бұрын
Ww unajuaje kama hajamfuata?Christina changudoa huyo
@leonardyona1462
@leonardyona1462 2 ай бұрын
Asante Prophet kwa kupiga panapouma, huyo mwanamke ni malaya tu..
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 ай бұрын
😂
@fredfandey222
@fredfandey222 2 ай бұрын
tokankitambo tu, watu walikuwa hawajui tu
@stephenkalidush5446
@stephenkalidush5446 2 ай бұрын
Ndugu kusema mtu usimjua ni tatizo kubwa sana coz ata wewe zipu ipo wazii funga zipuuu kwanzaa
@ekiliangoliga644
@ekiliangoliga644 2 ай бұрын
Big point mtumishi
@salimaechessa8933
@salimaechessa8933 2 ай бұрын
Mwenye macho haambiwi tizama,giza na nuru haviimbatani,Christina ameonyesha waziwazi mungu anayemtumia,hata madhabahu anayoyakanyaga sio mema
@Mwasame_Official1
@Mwasame_Official1 2 ай бұрын
Dada Christina rudi ulivyo kuwa mwanzo , si wewe ni shetani aliyeingia ndani yako ,, mungu akufungue macho mwanzo hukua mshamba bali ulikua unatumiwa na mungu kiu kweli
@elinisafibabarita
@elinisafibabarita 2 ай бұрын
Dada Tangu alienda Kenya ni kama kuna kitu ilimpata huko since then naona hajawa sawa
@banguha
@banguha 2 ай бұрын
Amekuwa mshamba wa dunia utadhan bint wa miaka 18 kumbe ni mtu mzima
@user-tx6nz4up5h
@user-tx6nz4up5h 2 ай бұрын
Hawezi kuwa mwiba bali anazibitisha andiko la Paulo, christina anaupenda ulimwengu na hana huduma ya Mungu aliye hai na Mungu kamfunua
@elinisafibabarita
@elinisafibabarita 2 ай бұрын
Correct!
@user-fq2jz9lm9f
@user-fq2jz9lm9f 2 ай бұрын
Sipendi tabia yako Kristina napenda tu nyimbo zako IGA tabia ya nzuri kama ya Nkone Jenipha Mgendi nk
@ruthjemson4386
@ruthjemson4386 2 ай бұрын
Kweli kabisa
@ruthmwenje8380
@ruthmwenje8380 2 ай бұрын
Rudia haya maneno ya kweli kabisa
@user-ll5qx5up8n
@user-ll5qx5up8n 2 ай бұрын
Kweli kabisa mimi ni mama Mtumishi niko German nilikwaza sana hata ile nguo aliyokuwa amevaa kwa mtoko wa pasaka haikuwa ya heshima kabisa kwa wito wake ilibana matako yametoka njenje jamani kama siafu
@jeremiahkileo6641
@jeremiahkileo6641 2 ай бұрын
Ni Mungu aliesema Ndoa na Iheshimiwe na watu wote. Iweje leo aseme amepata wito wa kumtumikia Mungu alafu wito huo huo upinge andiko la Mungu mwenyewe la kututaka tuheshimu ndoa. Hapa kuna roho ya ukengemfu imeingia ndani yake anahitaji rehema za Mungu katika hili.
@SurprisedAardvark-it7pm
@SurprisedAardvark-it7pm 2 ай бұрын
Mungu atamwadhibu christina muda siyo mrefu
@user-mr3qg9iq5k
@user-mr3qg9iq5k 2 ай бұрын
Kwakweli huyu Dada ameshapotea mm sikuhiz hata kumsikiliza naona kinyaa😢😢
@johnmwaimise2291
@johnmwaimise2291 2 ай бұрын
Sio tu mzee Shusho,hata wewe leo ukimpa mkeo nafasi akaanza kufanya huduma na kujiita mtumishi basi ujuwe huo ndio utakuwa mwisho wa ndoa Yako...
@user-nv7sf2iu2v
@user-nv7sf2iu2v 2 ай бұрын
Huo ndio ukweli sema watumishi wa siku hizi wanapotosha Neno la Mungu wanaleta hekima za kibinadamu kwenye kweli ya Mungu
@DaviVicent-eh6ev
@DaviVicent-eh6ev Ай бұрын
​@@user-nv7sf2iu2v❤
@Rizikimgaya-jk7mm
@Rizikimgaya-jk7mm 2 ай бұрын
Hongera kaka, Mungu akubariki sana. Tito 2:3-5 [3]Vivyo hivyo na wazee wa kike wawe na mwenendo wa utakatifu; wasiwe wasingiziaji, wasiwe wenye kutumia mvinyo nyingi, bali wafundishao mema; [4]ili wawatie wanawake vijana akili, wawapende waume zao, na kuwapenda watoto wao; [5]na kuwa wenye kiasi, kuwa safi, kufanya kazi nyumbani mwao, kuwa wema, kuwatii waume zao wenyewe; ili neno la Mungu lisitukanwe.
@MageniProsper
@MageniProsper 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana, nyakati hizi huduma nyingi Sana ninajutokeza hazitokani na Mungu huyu wa kweli. Na ndiyo maana wakishaingia na kuona wamefanikiwa wanatoka kabisa nje ya mpango wa Mungu na kujifanyia mambo Yao na mara zote wanaenda kimwili. Shusho anatakiwa kutubu Kwa machozi vinginevyo pigo linakuja kwake.
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 2 ай бұрын
Mtu kaanza kujibana na kina diamond atakua na Yesu kweli alishapotea mdada
@rendozrendo7804
@rendozrendo7804 2 ай бұрын
Maokoto
@johnjohnkipokola5077
@johnjohnkipokola5077 2 ай бұрын
Sasa Diamond si anajulikana amejiunga na illuminants siku nyingi? Bado Christina aliwahi kuonekana kwenye kanisa fulani kule Kisongo akipewa msaada wa fedha chafu.
@eliashibundabalinze2754
@eliashibundabalinze2754 2 ай бұрын
Kwani kama umeokoka ndo usiwe karibu na watu wasio wa kristo? Yesu akasema... "Wagonjwa wana mwitaji tabibu bali walima hawana uhitaji wa tabibu"
@fechasharon2
@fechasharon2 2 ай бұрын
​@@eliashibundabalinze2754 haikumaanisha unachokisema,fungua macho ya rohoni
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 2 ай бұрын
@@eliashibundabalinze2754 giza na nuru havichangamani
@LuckyMountainRange-lk4iq
@LuckyMountainRange-lk4iq 2 ай бұрын
Kweli kabisa Christiana amepotoka kabisa kiungu
@FAITHEDWARD-eg6du
@FAITHEDWARD-eg6du 22 күн бұрын
Unajua ukiwa ndani ya yesu unazungukwa na uwepo wa mungu. Lakini Christina amelivua vazi la utukufu, asijidanganye kwamba atakuwa kama alivyokuwa mungu amsaidie.
@shedracklaiza6827
@shedracklaiza6827 29 күн бұрын
Mtumishi mungu akubariki sana Kwa ujumbe huo kama anayo masikio ya kusikia basi angejirudi na kunyenyekea na kutubu Kwa mambo anayo yatenda
@dinahrwezaula84
@dinahrwezaula84 2 ай бұрын
Yes it makes sense Pastor tunakuelewa
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 2 ай бұрын
Ameshalifanya jina la Yesu ni kichaka cha kufichia uchafu,achague moja kusuka au kunyoa,aache kumsulubisha Yesu kwa mara ya pili,barikiwa Mtumisha
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 2 ай бұрын
Hakika ndugu
@brianngunjiri4738
@brianngunjiri4738 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 weeee
@peacelive3420
@peacelive3420 2 ай бұрын
Kwani Nini maana ya kumsulibisha Yesu mara ya pili?
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 2 ай бұрын
@@peacelive3420 Waebrania 6:4-6
@StanfordPaul-kw3cg
@StanfordPaul-kw3cg Ай бұрын
Hatimae leo mtumishi wa Mungu amekichoma kichaka ambacho malaya huyu amejificha.
@johnsonbarasa9869
@johnsonbarasa9869 2 ай бұрын
Mafundisho haya ni ukweli ila unyenyekevu na utiifu umewatoka wanawake pindi tu umarufu kihuduma,Mungu atusaidie sana
@KandidoLuvanga
@KandidoLuvanga 2 ай бұрын
Dada fanyakama mwana mpotevu tafakali sana rudi tubi kwa kwa mungu tubu kwa mumeo roho wa mungu akusaidie ili uwena amani maisha yaendelee amina
@christaloneministry1163
@christaloneministry1163 2 ай бұрын
Asante mtumishi kwa kunena kwa niaba ya MUNGU! Asante zaidi kwa kunena ukweli na ukweli kwa UPENDO MWINGI.....its high time for Christina to go back to her senses just as a prodigal son did. As early as NOW
@bokimmwamba2322
@bokimmwamba2322 2 ай бұрын
Na hiyo ndio tofauti ya mwanamke na mwanaume ktk kufanikiwa..... Mwanamke akifanikiwa kuzd mwanaume matokeo ndio hayaaaaa
@hurumasilasmwamwezi4351
@hurumasilasmwamwezi4351 2 ай бұрын
Sema kweli nayo kweli itatuw3ka huru. Suddenly kaimba mlima HARARATI BADALA YA ARARATI. Ni shida. God bless you man of God.
@estherluvanda1192
@estherluvanda1192 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@ekiliangoliga644
@ekiliangoliga644 2 ай бұрын
Kwani nini maana ya Harati na Arati sijui maanake
@nancykaseko
@nancykaseko 2 ай бұрын
yesu akutunze prophet ...umesema kwwli kuirinda imani yetu
@hakikahajo2806
@hakikahajo2806 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 ай бұрын
Christina Shusho ni bonge ya mhuni.Niliwahi kuyaandika maoni yangu zamani. Alikuwa anatem b ea na ndugu yangu.😢😢
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 2 ай бұрын
UNA UHAKIKA? SEMA uhakika wako
@itikamlagalila1911
@itikamlagalila1911 2 ай бұрын
Hii dunia ukipata kibali tu ujiandae kushambuliwa.
@SusanaSimoni
@SusanaSimoni 2 ай бұрын
Huyo hatumikii mungu nyinyi nanyi hamuoni huyo anatumikia shetani na tatizo ni wachungaji walezi wa washirika mimbara shetani ndio anazimiliki
@SusanaSimoni
@SusanaSimoni 2 ай бұрын
Leo watu Kila mtu anasema nimeitwa Kwa mjibu wa biblia mtu kuitwa na mungu muumba ni kuacha dhambi kuacha utaratibu wa kidunia ule alozaliwa nao Sasa unasema kaitwa he kuitwa ndo huko? Acheni
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 2 ай бұрын
Thibitisha hilo ili tukuamini.
@babahilimollel5254
@babahilimollel5254 2 ай бұрын
Uko Vizuri Ndugu Richard
@GladnessKaaya
@GladnessKaaya 2 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@samsoniandrew3104
@samsoniandrew3104 2 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@user-fj4kj8xc5x
@user-fj4kj8xc5x 2 ай бұрын
Asante mtumishi kwa kujitoa muhanga katika kuisema kweli maana ni watumishi wachache wanao weza kusema kweli
@benjaminshayo32
@benjaminshayo32 2 ай бұрын
Kwendeni hukoo..amelisemea Sasa Sisi limetusaidia NN? Kumbe alichokisema wewe ulikua unanifaham tangu mwanzon...Sasa kulikua na haja ya kuja kusema huku....? Hii si kusengenya? Alipaswa akamwambie mwenyew na si kusema huku maana lengo si kumuaibisha dada Christina Bali kumsaidiaa...hii ni kumuaibisha..
@rerisamba
@rerisamba 2 ай бұрын
​@@benjaminshayo32kwani dada christina sialitangaza mtandaoni na ajibiwe mtandaoni hujui maana ya kusengenya wewe
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 2 ай бұрын
​@@benjaminshayo32yaani ukisema na kumwaibisha yesu mitandaoni NI lazima ujibiwe mitandaoni
@kashindisimon5265
@kashindisimon5265 2 ай бұрын
@@benjaminshayo32 wewe nae ni malaya kama Christina
TAG MMEMDHULUMU VYOMBO VYA MUSIC MBARIKIWA? KWANI ALIWAPA NINYI VYOMBO VYENYEWE?
21:43
Shuhuda za Kikosi kazi cha Injili
Рет қаралды 21 М.
MEU IRMÃO FICOU FAMOSO
00:52
Matheus Kriwat
Рет қаралды 30 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
Which one is the best? #katebrush #shorts
00:12
Kate Brush
Рет қаралды 27 МЛН
World’s Deadliest Obstacle Course!
28:25
MrBeast
Рет қаралды 128 МЛН
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 169 М.
Ulug'bek Yulchiyev - Ko'zlari bejo (Premyera Klip)
4:39
ULUG’BEK YULCHIYEV
Рет қаралды 4,8 МЛН
Janona
4:09
Release - Topic
Рет қаралды 350 М.
Sadraddin - Jauap bar ma? | Official Music Video
2:53
SADRADDIN
Рет қаралды 1,4 МЛН
Қанат Ерлан - Сағынамын | Lyric Video
2:13
Қанат Ерлан
Рет қаралды 2,2 МЛН
6ELLUCCI - KOBELEK | ПРЕМЬЕРА (ТЕКСТ)
4:12
6ELLUCCI
Рет қаралды 881 М.