Kibao safi kabisa,kimenituma kwa biblia tena, Hakika Mungu akikubadilishia jina, watakutambua tu. Hallelujah.
@jeycyjob20404 жыл бұрын
Amen
@davidmbatha80584 жыл бұрын
For sure that is a nice song.. Hakuna kama wewe Jehovah.🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@bettymutua27513 жыл бұрын
Bro Kai wi kuu?❤️akirejesha heshima watakutambua 💯that hit me hard
@ruthopuka14593 жыл бұрын
@@bettymutua2751 x c t
@feithgidioni68912 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@annointamani32853 жыл бұрын
MUNGU AKIKUINUA WATAKUTAMBUA ,NAUTABIRIA WIMBO HUU KUFIKA KWA WATU MAMILION NA MAMILION , MUNGU AKUINUE SANA CHIRS JEMBE LA YESU HAKUNA KURUD NYUMA NI MBELE KWA MBELE MPKA WATU WAJUE KUNA MUNGU MUAMUZI WA HATIMA YA MTU .
@lovemwanyika85366 күн бұрын
Kama wewe ni mkenya na unapenda huu wimbo weka like
@asheratieno6138 Жыл бұрын
Kumbe mungu akifanya jambo watu watakutambua🙏🙏
@oliversoi88344 жыл бұрын
From Kenya wapi likes, wimbo mzuri sana
@LawrenceYobuNdosi4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana. Weka LIKE yako hapa kuonesha jinsi wimbi huu unavyokugusa....Ubarikiwe #lawrencendosi
@jojonostress4864 жыл бұрын
Waoooooo napenda sana nyimbo zako kbs kama uko pamoja na mimi nipe like
@shazyrahim24292 жыл бұрын
Ubalikiwe Kaka jmn mungu akutie nguvu milele
@victorkiprotich78513 ай бұрын
2024- Who is here!?
@Marsemo4 жыл бұрын
Wa kwanza kutoka Kenya nawakilisha,like if you love bishop na his music
@benterakinyi71352 ай бұрын
I love this part,Mungu akiregesha heshima iliyo potea watu watakutambua , still waiting for God,🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@bintundurosy70104 жыл бұрын
Upewe sifa baba yangu yesu na jinalako lipewe sifa akuna kama wewe yesu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@joskyshams47584 жыл бұрын
Mimi ndio wa kwanza kutazama wapi likes. Wimbo wa maandiko natazama toka 🇰🇪
@chelaatabii8650 Жыл бұрын
My God nakutegemea unisaidie ujibu maombi yangu nipo chini pa miguuni pako mungu wangu nisaidie be blessed Chris mungu akuinue 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@CheerfulRecordPlayer-oz1cy22 күн бұрын
😂
@WordofGod4all.4 жыл бұрын
Kama Umeupenda gonga like Hapa ❤️🙏💪🇺🇸
@jamessabai65302 жыл бұрын
Be blessed with this kzfaq.info/get/bejne/ptaAfMx4rc63f2Q.html
@veronicaholisah7188 Жыл бұрын
I leave this comment here so that after the lord blessings I'll still come to declare his goodness and mercies..it's really a blessing
@vajulelectricalcontractors9218 Жыл бұрын
Amen
@dianamutai8265 Жыл бұрын
Ç
@jepkemboishua61186 ай бұрын
Hakuna kama wewe Mungu, i live a life full of testimonies what God did to me no man can do.Watu walinitambua baada ya Mungu kunitendea. I am now a perfect example.
@marywanyoike97903 жыл бұрын
Huu wimbo Mtamu sana na barikiwa kutoka 🇰🇪 Watanzania Twawapenda tu sana mbarikiwe mna vipawa za uimbaji🇰🇪🇰🇪one love!
@brendaawino3502 Жыл бұрын
Hii wimbo inanipea nguvu katika biashara yangu watanitambua baraka za mungu. Love from Kenya...
@princeeddyofficial8684 Жыл бұрын
I love this song so much...kwa hapo kwa "watakutambua"
@elibarikielikana18244 жыл бұрын
Hadi mwili unasisimka anointing ya wimbo na uponyaji nan is like Jesus hakuna kama Wewe Yesu
@jamessabai65302 жыл бұрын
Be blessed with this kzfaq.info/get/bejne/ptaAfMx4rc63f2Q.html
@user-co9kw3hi2i Жыл бұрын
I love this song 🎵 ❤ #Kenya 🇰🇪
@user-co9kw3hi2i Жыл бұрын
Akinifanyia jambo watu watanitambua 🙏🙏 God's great
@emmanuelstephano83354 жыл бұрын
Tumebakiza waimbaji wachache Tanzania wanaoimba neno. Huyu jamaa ni miongoni mwa wale wachache
@estamathew51673 жыл бұрын
Kwerr kabisa,,maana wengne wanaimba mamb yao tuu
@samogutu4709 Жыл бұрын
Hakika hakuna kama Mungu. Akifanya jambo juu yako watu watakutambua, akisha kubariki sana watu watakutambua. Jumbe nzuri uliojaa mafunzo ndani yake. Barikiwa sana mtumishi.
@annmmbone75252 ай бұрын
Am here 2024 MUNGU ukinibariki Watanitambua
@user-co4wi3sn9r9 ай бұрын
Hakika mtumishi ninaposikiliza nyimbo zako nafarijika sana ubarikiwe sana
@mmagdelenekareithi9091 Жыл бұрын
Hakika Bwana Mkuu akikubadilishia jina watakutambua. Halleluyah.
@ikamarpeninah Жыл бұрын
Kwa kweli ukiskia wimbo huu utabarikiwa
@emmanueltz53733 жыл бұрын
Kwakweli mmebaki wachache sana waimbaji mnaoimba nyimbo za upako kama hizi be blessed man of God 🙌🙌🙌
@emmanuelsulle58263 жыл бұрын
Abarikiwe Sanaa
@fauziah74132 жыл бұрын
Kweli kabisa
@cavinlughano98354 жыл бұрын
Nyimbo zako ni za baraka Nchini Kenya Na Tanzania....Mungu Akubariki sana
@jugerulikira16984 жыл бұрын
*Akuna kama wewe yesu*🇨🇩🇹🇿🇧🇮🇰🇪 *tujuwane*
@kilionakombusingoma29413 жыл бұрын
Aksante mpendwa kwa kukumbuka 🇨🇩
@sarahakiruserah20593 жыл бұрын
🇰🇪🙏
@nayerajovalyne937612 күн бұрын
Niko hapa nasubiri siku ambayo Mungu atabadilisha hali yangu 🥺
@richmondkarani56713 жыл бұрын
.....ila niki tukupacho ndicho tulicho nacho....JINA LA YESU 🙌🙌🙌🙌HAKUNA KAMA YEYE 2021..
@Wakereu3 жыл бұрын
Mungu akifanya jambo kweli watakutambua na kusema hakuna kama wewe Mungu
@cianahezron85604 жыл бұрын
@mwahangila Wimbo huu nimeuskiza mchana na usuku kwa Machozi😭😭😭😭😭na sitosheki,Limenibariki na Kunibadilisha Kuwa kiumbe kipya katika Yesu,Mungu azidi kukutumia🙏🙏🙏🙏🙏
@jyn34392 жыл бұрын
Oh.....amina....Mungu nikumbuke pia mimi....
@thedybenedictmisanga32814 жыл бұрын
Kweli nyimbo ina upako kutoka Mungu.. Asante Mungu kumtumia mtumishi wako....kuna faraja ndani yake,furaha, na kuishi ndani yake......Haleluya!!!
@merveilleajabu4 жыл бұрын
Aisee nabarikiwa hakuna kama MUNGU Wetu. Atendaye muijiza maishani mwetu mpaka watu asitutambue !!!
@peternjagi994810 ай бұрын
Tanzania Kuna talanta...Thank you mtumishi wa Mungu mwenye enzi
@NyotaBalolane.4 жыл бұрын
Amen mtumishi wa bwana mungu aku bariki sana zaidi namimi na penda kuimbiya mungu KZfaq nyota balolane
@delhidarling42854 жыл бұрын
Watanitambua tu baada ya upako wake Mungu 🙏🙏🙏. Hakuna Kama wewe Yesu. Ooh hallelujah 🙏🙏🙌
@brendakenga18403 жыл бұрын
Kwa kina la yesu....Simama uende
@allankhaguli90553 жыл бұрын
Kwa jina yesu amka uende
@humbemusa34809 ай бұрын
Ukikosa fedha au dhahabu au ukiwa navyo HAKIKISHA HUKOSI JINA LA YESU KRISTO MOYONI MWAKO NA MAISHANI MWAKO.
@MargueriteKanzi3 ай бұрын
Mi na penda iyi myimbo ya mungu ❤❤
@felixlihutsuanduku41514 жыл бұрын
Kutoka utukufu hadi utukufu, kwa kweli hakuna mungu mwingine kama yeye, asante ndugu kwa wimbo huu
@jamessabai65302 жыл бұрын
Be blessed with this kzfaq.info/get/bejne/ptaAfMx4rc63f2Q.html
@allenmohamed24 жыл бұрын
Mwahangila Mungu akubariki, akusimamishe katika njia impasayo Nasikiliza na kuangalia nyimbo zako zanifanya nimrudie Mungu wangu, zimekuwa upatanisho na Mungu wangu
@jamessabai65302 жыл бұрын
Be blessed with this kzfaq.info/get/bejne/ptaAfMx4rc63f2Q.html
@aruaamon14092 жыл бұрын
Tunashuru sana Mungu kwa baraka hii ya huyu mtumishi wako. Asante sana Christopher, be blessed 🙌🙏
@Wakereu4 жыл бұрын
Ni kama kwamba wakenya ndio pekee hukomenti
@SheilaChemutai-oh7cu2 ай бұрын
From Kenya napenda song zako Chris
@VioletAmbuka14 күн бұрын
Amen Amen 🙏🙏🙏 Nina barikiwa sana nyimbo za mjungaji .
@consolatawamaitha48922 жыл бұрын
This song is full of annoited words and brings healing and deliverance
@carolinekadzokenga19823 жыл бұрын
Wow alipoingia hekaluni...alitambulika...tutambulishe bwana ..regesha heshima baba...regesha heshima baba yangu....ooh yesu..hakuna kama wewe
@nellykorir30058 ай бұрын
Kwa Jina la Yesu simama uende!!!! Sifa na utukufu kwa Mungu.
@josephmwakio3787 Жыл бұрын
This song Hunipandisha mpaka Mawinguni, Man of God Barikiwa sana
@RobbytheTrainer3 жыл бұрын
Baba unanibariki sana Mungu azidi kukuinua
@GloryMushy-jt8ug2 ай бұрын
Hii nyimbo inanibariki xn 😭😭😭hakuna kama MUNGU akiamua kukuinua hakuna wakupinga...barikiwa sana kaka
@eunicemuthonikariz53563 жыл бұрын
Mwahangila nyimbo zake zanipea mutisha
@leahwamwangi66333 жыл бұрын
Huu wimbo umenibariki Na pia umefanya Na tabua mungu anaishi my son is 2yrs 8month lakini anapenda nyimbo zako sana akiuskia ule wimbo Wa mungu ni mungu tu hu dance kama unavyo dance kwenye huo wimbo be blessed bro your music is a blessing to my family love from kenya
@paticiaedwin68273 жыл бұрын
Hakika nyimbo zako zipo kiroho zaid ukisikiliza kiroho unabarikiwa nakupokea ,nasikia kububujika mbele za bwana ninaposikiliza nyimbo zako Barikiwa mtumishi
@sarahmtindo237328 күн бұрын
Mungu akifanya jambo watu watakutambua 🙌
@geraldpallangyo77264 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana ujumbe kwa nyimbo
@eliyajelemia62444 жыл бұрын
Tunasha ngaa upako wa Emanuel mugogo umehamia kwako yeye kaamua kuimba kama bongofreva hongera
@mutanumunyoki82914 жыл бұрын
I am Kenyan,I always love your songs,we love you so much
@neemadastan19064 жыл бұрын
Mtumishi MUNGU akubariki tunatiwa moyo kwa nyimbo zako. Naomba umshauri ima mgogo aachane na wachezaji wasiookoka amejichafulia jina sanaaa
@user-cy9nz7vp1y6 ай бұрын
Hongera mtumishi wamungu nabarikiwa sana nanyimbo zako mungu azdi kukuta Uzma uzidi kutupa nyimbo nzur ubarikiwe sana
@kenogembo7255 Жыл бұрын
You are a blessing to me my Big brother in Christ, a very spiritual and biblical song. When God blesses you people will always recognize you. Long live and bless me more and more(from Kenya)
@benjaminndeme667 Жыл бұрын
Qqqqq
@menshitunze11 ай бұрын
your welcome.
@Mercy-jl1pn10 ай бұрын
Amen. GOD HAS RESTORED US,WANASEMA NI UCHAWI NA UGANGA
@bintundurosy70104 жыл бұрын
Ubarikiwe sana na jina la bwanayesu lipewe sifa toka congo Kinshasa 🖐🖐🖐🖐🖐👏👏👏👏👏
@dorcasmwangibonga73254 жыл бұрын
Hakuna kama wewe Mungu !👏👏
@joshuakimwogo3045 Жыл бұрын
Hakika wimbo safi hadi natamani Mungu anitendee watambue yuko
@asheratieno6138 Жыл бұрын
Kweli Mungu akikubariki watakutambua🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@asheratieno6138 Жыл бұрын
Kumbe Mungu akifanya jambo watu watakutambua 🙏🙏
@nerimanawirimiliana292810 ай бұрын
Wow wow my brother Chris this so wonderful I really love this song huu wimbo unanibariki Kila wakati Mwenyezi Mungu na Akubariki kupitia uimbaji Bro
@eddahmwampagama1154 жыл бұрын
Kazi nzuri,,,Audio imetulia
@groryfaustino1033 жыл бұрын
Inagusa sana mwenyez mungu aendelee kukutia nguvu mtush
@beckymish9453 Жыл бұрын
This song keeps me pushing this life of Gulf I know one day I make it in Jesus name 🙏
@Mercy-jl1pn10 ай бұрын
Amen
@denniceweki5724 ай бұрын
nyimbo zako zina mafunzo ya hekima na uwaasia, ubarikiwe mno Chris
@mercychelangat39759 ай бұрын
Akuna kama wewe mungu wangu🙏🙏🙏
@gracestanly69264 жыл бұрын
Hakika Hakuna Kama YESU
@scolakayanda71714 жыл бұрын
Hakika hukuna Kama wewe
@rotichhcitor4463 Жыл бұрын
From TikTok and landed here safely, blessings to anyone go through a tough time. It shall be well 🙏
@liliankemunto1349 Жыл бұрын
Me too from tiktok mos mos
@pamelamboma67254 жыл бұрын
Hakuna kama wewe Mungu. Mungu akifanya jambo watu watakutambua. Akirejesha heshima iliyopotea watakutambua oooh yes asante kwa wimbo huu
@reyaabel6623 Жыл бұрын
Hallelujah kwa jina la yesu simama uende nyimbo ina uwepo wa mungu
@revelationchuch013 ай бұрын
Ni ukweli wanadamu watakutambua wakati mungu amekuinua juu
@amosabel66084 жыл бұрын
Mungu aibariki kaz yako kaka kanz nzur🙏🙏🙏🙏🙏
@user-fe8kz6zg7bАй бұрын
Balikiwa kwa Jina la Yesu kristo.
@belyseirakoze5371 Жыл бұрын
Amen nina amini pia kuwa ipo siku watu watanitambua bada ya Mungu kubadilisha historia yang ❤️❤️❤️❤️😘😘😘😘
@josephmoshi1504 жыл бұрын
Kazi nzuri kaka kweli hakuna Mungu Kama wewe
@preneruth51103 жыл бұрын
Nmeskliza zaidi ya ten times today.... Kwel Mungu akifanya kitu anafanya kwa ukubwa na lazima watakutambua..... Barikiwa Sana mtumishi
@ibrahimuayubu933 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua mtumishi
@Eric-rg2pb Жыл бұрын
Am always blessed by your songs they give glory to God 😭😭
@taxhbadman57653 ай бұрын
Napenda hi wimbo cz inanitianguvu hatakama napitia magumu
@rosepeter37224 жыл бұрын
Wimbo maombi kwangu napokea kwa jina LA Yesu
@Mercy-jl1pn10 ай бұрын
Thank you Lord Jesus,I have a testimony for this song.Most High God,youbare worthy to be worshipped my God.receive all the glory in Jesus Precious Mighty name.Amen
@lucydarema4366 Жыл бұрын
Baba Mungu akuzidishe nyimbo zako zinanitibu
@mwangithayumusic415Ай бұрын
I love this song❤from kenyan
@simonkikwe1109 ай бұрын
Kabisa hakuna Mungu kama wewe🤲🤲🤲
@bokemmalwa25854 жыл бұрын
kazi yako nzuri sana mtumishi wa mungu
@vincentmoranga86414 жыл бұрын
Really blessing song Mr mwangila, move on with preaching to the world and revive our souls 💋💋🙏🙏🙏