CHUCHU HANSY: Navumilia kama si MTOTO ningeachana na RAY, alisemwa, MIMBA zake nyingi ziliharibika

  Рет қаралды 64,508

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

4 жыл бұрын

Пікірлер: 172
@mohamedmzee2267
@mohamedmzee2267 4 жыл бұрын
Chu Chu uko vizuri sana, Mungu akufanyie mazuri kwa kila unalofanya, u r the best.
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 3 жыл бұрын
Mashallah, hongera sana chuchu kwa uvumilivu wako, umenifundisha kitu kwakweli, uko vizuri.
@subiradalabu6616
@subiradalabu6616 3 жыл бұрын
😁😂😂😂😂
@episawaki3240
@episawaki3240 4 жыл бұрын
Ukitaka mkamilifu mtafute umuumbe wengi siyo wakamilifu wanaume ni binadamu Kama wengne tu kikubwa kujichunguza naww unamapungufu ganiii ......wasanii mnaishi maisha ya tamthilia sanaa muwe real jmni
@dianaferdinand7546
@dianaferdinand7546 4 жыл бұрын
Hii kombo ya Sky na huyu jamaa wa kofia,bonge moja la kombo. Wote wana composure ya hali ya juu na ni smart. The interview is levels.
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 4 жыл бұрын
Chuchu mzuri afu ANAJIELEWA #SUPERWOMAN 🥰🙌TANGA MOJAAAAA.sky hapo nmekuelewaaa mwenye hobi ya mziki ni yule asochagua mziki.mziki wwte mzuri kwake almuhmu uwe mzuriii
@queenwinnie256
@queenwinnie256 4 жыл бұрын
You so great Chuchu, keep going dear, mapenzi yanachangamoto zake ila mhimu kuwa na msimamo tu,
@maryamm7765
@maryamm7765 4 жыл бұрын
Mashaa Allah 🤗🤗🤗👏👏
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 3 жыл бұрын
Amen chuchu kwa kushukuru Mungu
@saidahj2543
@saidahj2543 4 жыл бұрын
Keep going Chuchu💪💪💪💪
@halimams2127
@halimams2127 4 жыл бұрын
pole chchu wangu mungu awalinde ww na Rey wako muzid kupendana
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 3 жыл бұрын
Ray kugosi hongera kwakua baba mzuri kwa familia yako chuchu amekuongelea vizuri ata nimekufurahia sana
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 3 жыл бұрын
Chuchu is mature person, nasasa jinsi nimeelewa hawezi kuangalia tena nyuma kwamambo ya wabwana good for you
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 3 жыл бұрын
Chuchu Mimi binafsi nakupendaka sana na ninakuomba utulie kwa ndoa yako pia uvumilie Ray, maisha ya ndoa niyakuvumiliana
@heriethjonathan8732
@heriethjonathan8732 4 жыл бұрын
Nakupenda San chuchu♥️
@annajohn4377
@annajohn4377 4 жыл бұрын
Dada nakupenda bure umeongea point nikweli wanaume ukishamzalia mtt hakuheshimu Tena tofauti na wenzetu wazungu
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 3 жыл бұрын
Kama unatabia mbaya bwana hawezi kubaki nawewe inafaa kutulia kwa ndoa
@anitakamene5073
@anitakamene5073 4 жыл бұрын
Nicee
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 4 жыл бұрын
Nakupenda sana chuu chuu mungu atakufanyia wepesi
@divinebernard2624
@divinebernard2624 4 жыл бұрын
Amen namimi nampenda
@user-mm5tf7yn6p
@user-mm5tf7yn6p 4 жыл бұрын
❤❤❤❤❤chuchu🇧🇮🇧🇮
@halimams2127
@halimams2127 4 жыл бұрын
NIKWELI chuchu wanaume wetu ukizaa wanakuona kama huwezi kuishi bila yy
@Noah-se3ni
@Noah-se3ni 4 жыл бұрын
Lakini kusema Kweli huyu Dada ni mrembo Kweli kwali. Nice interview.
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 3 жыл бұрын
Urembo Wa mwanamke ni tabia sio sura nzuri
@sabraabdilnasir8826
@sabraabdilnasir8826 3 жыл бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh tumejisahau sahau ndugu zangu yote tumeacha mafunzo tulioagizwa ndio maana ukakuta mitihani tulionayo nimingi sana allah atuongoze kwenye njia ilionyooka
@habibatyntosso1436
@habibatyntosso1436 4 жыл бұрын
Mimi nampenda sana chuchu hanaga mambo mengi kama wadada wengine wa bongo movie
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 3 жыл бұрын
Nakupndaga kweli 🌹
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 3 жыл бұрын
Well done Chuchu
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 4 жыл бұрын
Chuchu we mrembo mashallah ila wanaume sio watu
@abubakaryalmas7673
@abubakaryalmas7673 3 жыл бұрын
Sikutukani ila nakukumbusha tu kua hata baba yako nae ni mwanaume 😂😂😂 na bila ya yeye usingekua
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 3 жыл бұрын
@@abubakaryalmas7673 kweli ila sio watu
@juxjemc5768
@juxjemc5768 4 жыл бұрын
Jaman kwa nn wanawake munapenda kuzalishwa nje halaf hamjui kama munashuka thaman yaan nyinyi munahis kama mwanaume ukimzalia ndio umemkamata kumbe umepatikana ww
@mariamdimosso621
@mariamdimosso621 4 жыл бұрын
Aaaaaah
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 4 жыл бұрын
Uko sahihi Kaka, mimi binafsi nishapendwa na mwanaume ambae haukuwa na mtoto, nilipo Pata mimba akaapa kunipenda na anahitaji mtoto, mwisho WA siku alisema mie sio type yake baada ya miaka minne, alhamdulilah mie najuwa Nisipopendwa, nikamoove on haraka Sana na yeye hadi Leo analia anasema bado ananihitaji bado kwaajili mtoto niuyouyo nilozaa nae, sikujali wala nini nimejiamini nimejikubali, alhamdulilah niko Sawa kabisa
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 4 жыл бұрын
Kweli aseeee
@fridamapunda5079
@fridamapunda5079 4 жыл бұрын
@@babyhamisi5331 shogangu had lkn nikaja pata bhana ananizingatia kila ninachotaka napata Ila nimekuwa muoga kumzalia nawaza c unajua tena
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 4 жыл бұрын
Yaan hapa hata angekuwa amefunga ndoa tungesema kweli Sasa huyu hata ndoa na huyo Rey Hana kabe
@tatumzelela5515
@tatumzelela5515 Жыл бұрын
Daaah
@siriyangu4724
@siriyangu4724 4 жыл бұрын
Mtihani wallah 😭dakika tano kumsujudia aliye kupa izo neema ulizo nazo uwai tena wacgizia mtto kwa kuendeleza furaha yngu yko ya nafc mabinti tupambane na hali zetu mtu akiwa tayari kkuowa ndio ujiweke nae lkn mnaa pamoja mnakula mnapika bila yyote apo ndio waume usema hana haja ya kunnuwa ngombe kama maziwa na nyama anapata bure
@glorianikiza6033
@glorianikiza6033 4 жыл бұрын
Studio nzuri
@chainbre275
@chainbre275 4 жыл бұрын
Chuchu 🤗🤗🤗🤗💕💕🌹❤️🌹❤️🤝🙌
@tiagolichuchu8349
@tiagolichuchu8349 4 жыл бұрын
Well educated lady.
@asiajuma8342
@asiajuma8342 4 жыл бұрын
Creez uko vizuri kuuliza maswali hongera sana yani siku ukiondoka sns nitalia bro sky muongoze mshahara 🤗😜😁
@bettyowiti397
@bettyowiti397 4 жыл бұрын
😁😁😁na Mimi natafuta ajira .
@maryamselemanabdalah4086
@maryamselemanabdalah4086 4 жыл бұрын
@@bettyowiti397njoo nikuajiri mimi uwe mfanyakazi wangu wa ndani
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 3 жыл бұрын
Good chuchu basi sasa utulie kwa ndoa yako
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 4 жыл бұрын
Duh wambea sio watu wazuri walikupiga pic ukiwa mjamzito wakasambaza🙌🙌
@jinaanhkareem3650
@jinaanhkareem3650 3 жыл бұрын
Yani Leo ndio nimekuelewa chuchu mtu wa Aina gani huwa Nakupenda kumbe upendo wangu kwako sijakosea naendelea kukupendaaaaaaaaaaaaaa love Sana my wangu
@chainbre275
@chainbre275 4 жыл бұрын
Kando na mtoto chuchu anapenda snaa ray
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 3 жыл бұрын
Hahaaaa umenivunjwa mbavu
@msalikemedia
@msalikemedia 4 жыл бұрын
Hahaha kwa harmorapa ni kiki ile
@ashaomina1136
@ashaomina1136 4 жыл бұрын
Chuchu kwakweli maneno yako yana busara sana, nakutakia kila la kheri katika kila hatua unayo chukua
@divinebernard2624
@divinebernard2624 4 жыл бұрын
Ndiyo kabisa tena nampenda yy mzuri ila hanaga skendo hooo Léo uyu mwanaume kesho uyu hoooo ana deti navitoto lakini anajieshimu,kwaiyi anaye mchukiya iyo nikivyake ila uyu mwanamke anastahili Big up saaaaaana
@moniccerhassan1869
@moniccerhassan1869 4 жыл бұрын
Aaaaah msitutisheee bwana na sisi uuonje utamu wa ndoa
@mwanaidikhamis5430
@mwanaidikhamis5430 4 жыл бұрын
Mm kinachoniuuuma kua tunakubali kuzalishwa nje ya ndoa huu utamaduni cjui tumeupata waaaapi.
@bahiyamachagge2885
@bahiyamachagge2885 4 жыл бұрын
bnbnj
@bahiyamachagge2885
@bahiyamachagge2885 4 жыл бұрын
j
@abubakaryalmas7673
@abubakaryalmas7673 3 жыл бұрын
Alafu mbaya zaidi amezaa na mtu dini tofauti so inakua ngumu sana apo kuoana
@mariej6962
@mariej6962 3 жыл бұрын
I pray mpate mtoto mwingine, wa kike. Mbona watu watakoma.
@hildaeliapenda3938
@hildaeliapenda3938 3 жыл бұрын
Usimzalie mwanaume ajakuoa labda iwe bahati mbaya lakini wewe siyo bahati mbaya maana una watoto nyuma mtu awezi nunua maziwa wakati ngombe ndani yuko anakamua siku ngombe atoi maziwa anaenda nje kununua kwa pesa ushaur fungeni ndoa Kama ataki chukua hamsini zako mlee mtoto atakupotezea mda na ataoa kwengine
@florameza3491
@florameza3491 4 жыл бұрын
Unakumbuka mbwembwe ulizokuwa Nazo wakati unamchukua Ray toka kwa johari?
@nyamogafamily4262
@nyamogafamily4262 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@aishajafa4139
@aishajafa4139 3 жыл бұрын
nahisi amesahau
@florameza3491
@florameza3491 3 жыл бұрын
@@aishajafa4139 mkuki kwa nguruwe ACHA ayaone maumivu yake
@abubakaryalmas7673
@abubakaryalmas7673 3 жыл бұрын
😂😂😂 Malipo ni duniani akhera kuhesabiwa wahenga walishasema
@aishajafa4139
@aishajafa4139 3 жыл бұрын
mtoto mtoto endelea kupoteza muda wangp wamezaa na ndoa walifunga na wameachana
@dainagano3656
@dainagano3656 4 жыл бұрын
Jamaaaani kachuchu.........wa pili kuangalia
@aiysharamdhan899
@aiysharamdhan899 4 жыл бұрын
Jamani mbona wanaume ndio haohao umenena
@asiahmhina9850
@asiahmhina9850 3 жыл бұрын
Kwani mtoto ndio nn, sema unampenda Ray
@abubakaryalmas7673
@abubakaryalmas7673 3 жыл бұрын
Kweli kabisa watu wanatengana wakiwa na watoto zaidi ya 2 sembuse yeye 1 😂😂😂
@asiahmhina9850
@asiahmhina9850 3 жыл бұрын
@@abubakaryalmas7673 Anampenda, sisi wakubwa wenzake bana, asitudanganye. Maana Kuna mwanamke anaishi na watoto wake watano na mwanaume yupo na Mwanamke mwingine, Na maisha tanasonga bila shida. Kwann asiwaze hilo kwa hao watoto wa mwanzo?, Leo ndio anamuogopa MUNGU, na bado wanaendelea kuzini, amshawishi wafunge ndoa Sasa. Baadhi ya wanawake tupende kuwa wakweli kidogo, khaaaa.
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 3 жыл бұрын
Nimuongo, huyo mtoto wa Ray sio wa huyo chuchu wakwanza kwahiyo anaeza achana tena na Ray kama kawaida yake
@mariej6962
@mariej6962 3 жыл бұрын
Chuchu na Ray walikuwa private tangu zamani. Sema alipozaliwa mtoto wakaja kama wazi hivi kuhusu uhusiano yao. Chuchu alimsaidia sana Ray kuhusu suala la kama ana uzazi na zile rumours kuwa ni gay. I like this lady.
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 4 жыл бұрын
Kwasababu hata wee mwanamke ukishazaa mapenzi yote unampa mtoto mume ndo basi tena
@mabyserolouchcraig2431
@mabyserolouchcraig2431 4 жыл бұрын
Hadija na harmo ni kiki tu
@frejenihalachi8016
@frejenihalachi8016 4 жыл бұрын
tunaomba interview na ray the greatest naye
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 3 жыл бұрын
Ray ako sawa hana stress
@matolakim
@matolakim 4 жыл бұрын
Wenzetu hawazaizai hovyo kama nyinyi umri huo tayari una watoto 3 wakati wenzetu hata mmoja hana
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 4 жыл бұрын
Kwaiyo siku utakapopigwa panga la shingo ukafa utasema kwasababu ya mtoto
@maryjosephat2885
@maryjosephat2885 4 жыл бұрын
Hahaaa
@Shuu.A
@Shuu.A 4 жыл бұрын
Wabongo mnapenda kuzaa njee mnaona sifa paka wee
@hamisa3447
@hamisa3447 4 жыл бұрын
Umekosa maneno yote hadi umuite mwenzio jina la mnyama? Hali ya kuwa na wewe ni mwanamke?
@mwajabukiango9891
@mwajabukiango9891 4 жыл бұрын
Kwan wewe siyo mtanzania?
@happynessjoseph8350
@happynessjoseph8350 3 жыл бұрын
Unaongea ujinga sanaaaa.
@wardawarda4515
@wardawarda4515 4 жыл бұрын
Unaongea pointy my dear had intaviw inanoga kuskiliza
@mariacassian7892
@mariacassian7892 3 жыл бұрын
Dada umeongea point kabisa kuvumilia kuchukuliana kusameheana nakukubali vyovyote vile ulivyo na kusongesha maendeleo yenu mengine tupa kuleeeeeeeeeeeeee
@fidelinejohn7094
@fidelinejohn7094 3 жыл бұрын
Nimependa sana mausiano yao wamependezea
@priscadaniel7
@priscadaniel7 3 жыл бұрын
he
@fridolinefrance1353
@fridolinefrance1353 4 жыл бұрын
Ray kasema una lia lia chuchu
@tajjudinihaji2776
@tajjudinihaji2776 4 жыл бұрын
Point ni dini ndo inawasumbua wanawake .kizazi cha adam kina mambo mengi sana .km mtu anakupenda mwambie mimi naitaji uniowe uwezi mpigie buti
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 4 жыл бұрын
Safi Sana lakini Hawa wa naogopa watu watasema nini, unaeteseka ni wewe watu hawahusiani na maisha yako
@esterkapaya6602
@esterkapaya6602 4 жыл бұрын
Ndomana tunasema ni Kiki mbona hafunguki kama ameamua kuyaweka mtandaoni sindoafunguki
@chainbre275
@chainbre275 4 жыл бұрын
Lkn kakiri kwamba bdao wapo pamoja n'a ray
@bimkubwaali1605
@bimkubwaali1605 4 жыл бұрын
wallahi nilihisi millard ayo hiyo sauti
@aishamwinyi3566
@aishamwinyi3566 4 жыл бұрын
Kwan wapendwa naomba niulize huyu dada etu ndio kwanza amizwe na mapenz mana naona kama alishawah kupenda au hata huko mwanzo pia alikuwa kama hiv mana sielew
@kibongobongo4608
@kibongobongo4608 4 жыл бұрын
Tatizo wa zamani unakuwa unamsahau pamoja na matukio 😁😁😁
@henriettenkuba7078
@henriettenkuba7078 4 жыл бұрын
Jamani watu ambao hawapo TZ kwenye swala la Swahili flux tunafanyaje?
@wonderwomentv6000
@wonderwomentv6000 3 жыл бұрын
Unalipia dear ni normal tu
@bisadibisadi6862
@bisadibisadi6862 4 жыл бұрын
Superwoman chuchu
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 3 жыл бұрын
Chuchu itabidi uwokoke ndiposa mukafanye ndoa takatifu
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 жыл бұрын
Kwel mtoto uwa anaonganisha
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 жыл бұрын
Nampendaga uyo mtangazaj aliyovaa kofia napendaga maojiano yake
@veeJesus
@veeJesus 4 жыл бұрын
@@hatamimnimempendabulejaman1596 anaitwa crez
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 жыл бұрын
Asante kwa kunikumbusha Jina ndio uwa anajitajaga, Jina yani wapo wawil wanaoji vizur uyu na mwingine Jina nimelisahau alishaoji wengi. Halafu Kuna mkaka namjuwa alikuwa anahekt kwenye six 9 recodi na kina lina siku hizi naye ana tangaza anawaoji wasanii Jina nimelisahau Lakin kavuma, naye anakaa ilala uyo kaka nayosema mwingine Sijui sinko Jina, nimelikumbuka😁
@latifahjanja6679
@latifahjanja6679 4 жыл бұрын
Tunaweza kuiona KZfaq????
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 жыл бұрын
Nice interview, Chuchu & Rey twapenda couple yenu msiachane mnapendezana sana 😉❤
@naimaabdul142
@naimaabdul142 4 жыл бұрын
Yaani unateseka kisa mtoto
@hopechidera
@hopechidera 4 жыл бұрын
Nashangaa🤔
@allyzicko8149
@allyzicko8149 3 жыл бұрын
Yuwampenda ray ila hatak kusema
@sarahogama9540
@sarahogama9540 3 жыл бұрын
Ulimuaribia johari ukifikiria kwako kutanyesha mvua ya mapenzi haahaa kula tamu yako naniii...mshenzi ww!!!!
@janemwakasege6687
@janemwakasege6687 3 жыл бұрын
Kweli kabisa nilipenda Sana mahusiano ya Ray na Johari lkn alivyoingilia huyu chuchu alikufa
@khamoshmikidadi9262
@khamoshmikidadi9262 4 жыл бұрын
Kiukweli uyu kaka wa kati apo nampenda sn wallah sijui t nampataje🤔
@alimairakoze3784
@alimairakoze3784 4 жыл бұрын
🤔🤔🙄
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 4 жыл бұрын
Ahhhh mfuate insta
@subirarajabu7946
@subirarajabu7946 3 жыл бұрын
Mh
@khamoshmikidadi9262
@khamoshmikidadi9262 3 жыл бұрын
@@allthingdranabeauty anatumia jina gn
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 3 жыл бұрын
Khamosh Mikidadi Nenda insta simulizi na sauti wanamposti tafuta jina lake
@zaitunijuma7831
@zaitunijuma7831 4 жыл бұрын
sikuzote hakun mwanamke anaependa kuza kila mtt na baba ake Sema wengi wetu tunakurupuk kuingia kwenye mausiano ambayo sio Salam ukija kushtuka Tyr una mtt nae mwisho wa siku mwachan na bad unaitaj kuingia ten kwenye mausiano ss kinachotakiwa nikujipanga upya ili kupat alie bora Zaid na kutulia nae lkn et nikaza nae ndo atanipenda Zaid au hatawez kuniacha so kweli hp nikujidanganya km mwanaume a nakupend ht usipo zanae bad upendo utabak plelpl
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 4 жыл бұрын
Kweli kabisa, pia kila mwanaume anapenda mwanamke kulingana na anavyo taka yeye, kama wewe sio anaekwenda nae Sawa hata uweje hawezi kukupenda
@zaitunijuma7831
@zaitunijuma7831 4 жыл бұрын
ndio
@FatmaAli-oy7yu
@FatmaAli-oy7yu 4 жыл бұрын
Kwn chuchu ana watt wengine?
@zaitunijuma7831
@zaitunijuma7831 4 жыл бұрын
ndio anao
@supertallone1902
@supertallone1902 4 жыл бұрын
Well said dear
@mwinyimatopa2283
@mwinyimatopa2283 3 жыл бұрын
Naona kama kiki tuu wanapromote movie Yao hawa
@happypius9360
@happypius9360 4 жыл бұрын
Msimsingizie mtt nyie endeleeni na uzinzi wenu
@dominakimario7651
@dominakimario7651 4 жыл бұрын
We umezini Mara ngapi acha uboyaa
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 3 жыл бұрын
Nayo mtoto amezungumuzia sio mtoto wake wa Kwanza kama hataki kuvumilia atabaki anazaa zaa kila mtoto na baba yake na hiyo sio poa, tulia tu na huyo Ray ambae amekubali kukuowa
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 4 жыл бұрын
Huyu dada anaongea km ana mafua 😶😶😑😑
@vivianlucas6389
@vivianlucas6389 4 жыл бұрын
Kabsa mm naonaga,watu kama hao
@bihizaclement9868
@bihizaclement9868 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 3 жыл бұрын
Tulia sasa chuchu kwa ndoa yako
@mabyserolouchcraig2431
@mabyserolouchcraig2431 4 жыл бұрын
Acha kujidhalilisha ws mwanamke unajishusha hadhi mmy dah😞
@yudatadeshayo4434
@yudatadeshayo4434 4 жыл бұрын
Bonge la interview
@rashdysalim5118
@rashdysalim5118 4 жыл бұрын
Unamambo mengi ndio unacha swala tano subhanallah
@halimamohamed1113
@halimamohamed1113 4 жыл бұрын
apo na mm niliposhangwazwa halafu unasema mungu akusamehe kweli jamani kwenye dini tusifanye mzaha mana ht ayo mambo mengi ni neema kutoka kwa mungu
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 4 жыл бұрын
Tena namuomba Allah anisimamie,sasa unapopata matatizo unaswali kumuomba msaada,mbona naona aibu kumuomba wakat nikiwa na amani najiona sina nafasi,Yarabi tusimamie waja wako tuwe na mwisho mwema
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 4 жыл бұрын
Je wewe unakuaga na swali au ndo yale kuingilia vyawatu tu
@upendomushi5276
@upendomushi5276 3 жыл бұрын
Hawezi hayupo kwnye ndoa anadinwa huyo mungu anaongea nae vp
@bisadibisadi6862
@bisadibisadi6862 4 жыл бұрын
Chuchu una akili sn na unajielewa Mungu akubariki
@tiamo726
@tiamo726 4 жыл бұрын
Wamefunga doa kihalali au come stay
P-Square wazinguana tena, tatizo ni pesa na Mr P kumuonea wivu Rude Boy!
6:26
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 4,7 МЛН
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 104 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 5 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /23/ #love
28:53
BabaJoan
Рет қаралды 240 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 4,7 МЛН