Sheikh Kipozeo anatoloea ufafanuzi juu ya mwanamke anaweza kumuacha mumewe kama ambavyo Shilole alipost kwenye instagram account yake, na je mwanamke anatakiwa kupigwa na mumewe, na vipi watu kuingilia ndoa za watu ni sawa?
Пікірлер: 47
@yusufjuma2644 жыл бұрын
Comment zote ni ngoma ngoma munaskiza.maneno ya Sheikh ama ngoma
@muddyaforeal11454 жыл бұрын
Huyu dada mbona mzuri mpaka chenji inabaki
@saidaally51053 жыл бұрын
huu muziki sio mahala pake
@abuibra3 жыл бұрын
Kuna hukumu ya wazinifu ambao hawajafunga ndoa na pia kunahukumu ya waliofanya zinaa wakiwa katika ndoa kwanini hufafanui hata kupiga huwezi mpiga usoni mkeo,wala kumuumiza fafanua vizuri shaikh kipozeo wengi tunakusikia mtandaoni.
@suleymanially9744 жыл бұрын
Sasa hayo magoma ya nn?
@faridahalil44563 жыл бұрын
Reduce the volume of music damn!!! Inaleta disturbance or destruction please
@manenojongo34704 жыл бұрын
Nyinyi wapuuz mziki wann xx
@hanssabiti36253 жыл бұрын
Jamani,sasa mambo ya mwenyezi Mungu mnaisindikiza kwa mziki ?
@hashtagdarling47384 жыл бұрын
Sasa iyo solo beat niyann wakati mada apo imebase kwenye dini.mbona hamna heshima na dini .?
@husseinbakromar58653 жыл бұрын
Mimi naongezea watu washa shibana kila jambo kabla ya ndoa wakiowana ndio ifae nini shida tuliambiwa tuowe wanawake wenyewe dini twaenda owa wanamuziki wacheza kigodoro ili mupate kiki mitandaoni matokeo ndio hayo
@johsea1223 жыл бұрын
Shekhe anamaneno mazuri, yakufurahisha
@khatibuhijja4594 жыл бұрын
Mm nashangaa sana, hiyo Mingoma ya nn,heshimuni mnachokiongelea na mnaeongea nae,mnakera mazungumzo ya maana mnaweka muziki washenzi nyinyi
@assoumnassor29304 жыл бұрын
By the way,nimependa ndugu ntangazaji ulivojitahidi kujistiri,umependeza sana,ila next time jitahidi kuzidi kujistiri maeneo ya shingoni,manake nakuona Masha Allah umefunika viganja ambavo ni sawa kuonekana kwa dini yetu ya kiislam,lkn kdg umeshindwa maeneo ya kwe shingo while ndi ni haram kuonekana kiislam.
@lionking30154 жыл бұрын
Mnakosea hebu jirekebisheni.. sheikhe anatoa mawaidha ya dini afu munapiga mziki background.. mawaidha yanataka utulivu ili watu wapate faida ya maneno ya Allah..
@jumamohammed53782 жыл бұрын
Inallilalahi miziki mingi ila mawaidha mazuri Allah akupeni ufahamu wakuna
@mbembelatv4 жыл бұрын
Nmeupenda muzik huo background 👏😅
@ummialey63914 жыл бұрын
Shehe umeeleweka
@ummialey63914 жыл бұрын
Mmechemsha mziki
@assoumnassor29304 жыл бұрын
Wazungu wanasema "The pen is mightier than the sword" Sasa wapenzi watazamaji na waskilizaji wenzang tushaona kdg wtaarishaji kipindi wamekosea kutuwekea music,kwnn hatujaribu kuwaambia politely hadi tutoe maneno makali makali namna hii? Siku zote maneno mazuri humtoa nyoka pangoni,lkn kwa hvi tunavofanya itakuwa hatulinganii badala yke ni tunaonesha tunataka mvutano...Tubadilikeni! Hadithi sahihi inasema (ktk uislam),ukiona uovu ktk jamii anza kwa kusema,ikishindikana ondoa uovu huo kwa mikono yako,na ikishindikana bc chukia ktk nafsi yako.Shukran
@ommygoldene36364 жыл бұрын
NAOMBA NIKUALIKE Habari naitwa Hero ni msanii wa mziki naomba nikualike kutizama na subscribe katika video ya mziki wangu mpya GUSA LINK HII KUTIZAMA kzfaq.info/get/bejne/oa6gYJyosJ-4qas.html
@bignation39594 жыл бұрын
Mnaenda kumhoji sheikh kuhusu mambo muhimu thn background mnapiga beats sijui kinanda, sijui singeli hio
@bignation39594 жыл бұрын
Haipendezi rekebisheni kdg
@aishagakurya19642 жыл бұрын
🎶music wanini kwa mawaidha
@mujyu34384 жыл бұрын
mnaongea masaili ya kidini sasa huo mziki wa nini? kwa nini hata maswala ya serious mnafanyia mzaha,? Katika editors wenu wote hamna Muislam aliyesema kuuondoa huo mziki?
@fatmaalnabhani36092 жыл бұрын
Mtangazaji umefanya vizuri kwa kumkabili sheikh kwa kujistiri
@azizaabdallah6491 Жыл бұрын
Mimi sijaelewa sasa nasikiliza mawaidha na nyimbo au vipi Chagueni moja basi jamani aidha mawaidha ama nyimbo.
@sarahhabib59022 жыл бұрын
Aslaamlekum. Shekh sithani kwanza Kama ni vizuri kumpiga mke wako au mwanamke bora kumu talaka ? Pia vipi huyo mwanamke atakupenda kama unampiga?
@babikirmusa69633 жыл бұрын
Nimepata mafunzo
@hmwdy_11732 жыл бұрын
Mziki wa kishenzi inaonesha nyinyi siyo wema
@walidalesry74822 жыл бұрын
Sasa yanini mziki
@sarahhabib59022 жыл бұрын
Wimbo? na mawaitha inatolewa ?
@kidjhdf75682 жыл бұрын
Maharage yambie hawana kheri 😀😀
@alithabit76172 жыл бұрын
Achen ushamba kuweka mziki wakati Sheikh anaongea vitu vya Maana
@saajasnews5763 жыл бұрын
samahani ingependeza music ikapunguzwa ili tukaweza kujifunza kutoka kwa shekh
@idrissamustafabukenya61102 жыл бұрын
Music kero
@Ab-kq7ql Жыл бұрын
Dinî ya ajabu
@ameeranassor1619 Жыл бұрын
Jat the background music for? Can't listen to this mess. Ujinga mtupu inakuje myu anaongea na background music?
@jesusislord91902 жыл бұрын
mnajadili juu ya kupigwa mwanamke wakati mwanamke alikwenda kwa muhhamad ngozi yake imebadilika imekuwa ya kijani kwa kigigo.. na muhhamad akasema anastahili... sasa unasemaje?? uislam hauruhusu.. kupiga??? pili kuna Aya..kwenye Quran inasema Allah ndio kaleta... uchawi kwaajili ya kuvunja ndoa tu.. sasa mbona anashangaa wakati Allah ndio kaushusha uchawi ili mke na mume wawe wansachana kwahiyo kwenye uislam ni kazi ya Allah
@idrissamustafabukenya61102 жыл бұрын
Music wako anakera daada.yani apana kabisa
@mayangeramadhani84972 жыл бұрын
Mdundo upuuzi mtuupu mnakera
@ommygoldene36364 жыл бұрын
NAOMBA NIKUALIKE Habari naitwa Hero ni msanii wa mziki naomba nikualike kutizama na subscribe katika video ya mziki wangu mpya GUSA LINK HII KUTIZAMA kzfaq.info/get/bejne/oa6gYJyosJ-4qas.html
@ommygoldene36364 жыл бұрын
NAOMBA NIKUALIKE Habari naitwa Hero ni msanii wa mziki naomba nikualike kutizama na subscribe katika video ya mziki wangu mpya GUSA LINK HII KUTIZAMA kzfaq.info/get/bejne/oa6gYJyosJ-4qas.html
@ommygoldene36364 жыл бұрын
NAOMBA NIKUALIKE Habari naitwa Hero ni msanii wa mziki naomba nikualike kutizama na subscribe katika video ya mziki wangu mpya GUSA LINK HII KUTIZAMA kzfaq.info/get/bejne/oa6gYJyosJ-4qas.html