COMPARISON BETWEEN KISUMU 🇰🇪 🆚 MWANZA🇹🇿

  Рет қаралды 60,014

Iam_gatie

Iam_gatie

3 жыл бұрын

Hi loves,
This video is to help you compare the 3rd most beautiful cities' of Kenya and Tanzania. I hope you enjoy the video.
Thank you for stopping by!❤❤

Пікірлер: 365
@Africa96tv
@Africa96tv 3 жыл бұрын
Nimeishi in these 2 cities. In mwanza, food is cheaper than in kisumu. Mwanza imejengeka tu mwanza mjini lakini maeneo kama pasiasi, igoma, Busisi nk bado angalau igoma kidogo.. ila kisumu bado ipo mbele ya MZA
@jumabisale9974
@jumabisale9974 3 жыл бұрын
Mwanza ameonyesha robo ya mji, mfano hotel kubwa kuliko malaika zote hajaonesha(gold cres,mwanza hotel,jb belmont hotel nk, hospital selectors, hulu nk. Masoko soko kuu mbona hajaonesha hata picha yake wakati Kisumu kaonesha zingine ameweka project. Stendi mpya ya Nyegezi na stendi mpya ya bururuga, kuna daraja kuliko madaraja yote africa mashariki na kati, madaraja ya juu yako 2 barabara, pia airport mpya hajaweka, Kweli Kisumu ni kuzuri ila sio ya kufananisha na mwanza sema Mombasa, kumbuka mwanza ni JIJI LA PILI KWA UKUBWA TANZANIA NA SIO ARUSHA
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 3 жыл бұрын
Kama hizo picha zote nilizoona ni Kisumu basi kisumu inaizidi kidogo Mwanza. Mwanza hakuna ghorofa la maana. Kama ule ujenzi uliofanyika Dodoma hii mika 3 iliyopita ndiyo ungefanyika Mwanza hapo ndiyo Mwanza tungeipita kisumu. Ukweli usemwe Mwanza ni kubwa na Mwanza mjini yaani wilaya za Nyamagana na Ilemela zinawatu wengi na majumba mengi sana kuliko mji wowote TZ ukitoa Dar lakini maghorofa na barabara nzuri za 4 ways hazipo. 4 ways ni moja tu mji mzima, uwanja wa mpira ni wa CCM hivyo hauendelezwi hauna paa hauna taa, majengo ya uwanja wa ndege hata hili linalojengwa ni kituko. TZ ina mji mmoja tu ulioendelea Dar, na mpaka sasa sioni mji wa kulingana na Dar kwa maghorofa ya maana hapa EA.
@ashurahamisi3929
@ashurahamisi3929 3 жыл бұрын
Rocky city woow beautifull tz
@heraldloshi1864
@heraldloshi1864 3 жыл бұрын
Mwanza ina hoteli nzuri sana. Looking towards visiting, mwakani.Ni vizuri ushindani wa ndani ya Afrika ukiendelea ku kuzwa, miongoni mwetu.Bila ya kuvikumbatia sana vya wazungu. Ila naomba tafadhali. Ushindani uwe wa haki, pasipo, kudharauliana. Watakao faidi kwa ushindani huu mzuri,watakuwa ni sisi tu wana wa Afrika.Let us keep encouraging each other,as we add value to our lives.
@raphaelopala6998
@raphaelopala6998 3 жыл бұрын
Your video is nice, but kindly you will to take more videos of Mwanza for the sake of the arising complaints of our lovely Brothers and Sisters from Tanzanian, me as a Kenyan i would also like to see more of Tz because i like the Tz's and we are Brothers and Sister's. Thanks in advance.
@butaguthomas3273
@butaguthomas3273 3 жыл бұрын
Mmmm
@charleschacha6876
@charleschacha6876 2 жыл бұрын
Kenyans are always behaving like clingy exes. You never want to hurt the feelings of Tanzanians even if what you're saying is true. Smh. 🤣🤣🤣🤣
@CollinsLwenge
@CollinsLwenge Ай бұрын
Mwanza big in size and population but kisumu much developed, highly industrialised and well paved in terms of road, railway and airport. Both cities are uniquely beautiful
@surusuru1994
@surusuru1994 Жыл бұрын
Masha Allah mwaza 🇹🇿🇴🇲
@benter3842
@benter3842 3 жыл бұрын
Why compare? Is there a competition? Each city has it's unique beauty.
@vicentshonyela1710
@vicentshonyela1710 3 жыл бұрын
Japokuwa mmeionesha kdg mwanza. Is the best
@antonioalloce103
@antonioalloce103 3 жыл бұрын
Kwel
@sweetlisious
@sweetlisious 3 жыл бұрын
Wakenya wanawivu sana
@thiongomountain9863
@thiongomountain9863 3 жыл бұрын
@@sweetlisious 😂😂😂😂 mwanza ni city ama town ? Kisumu ni city hapa kenya lakini cjai skia mwanza city ,,, ata dodoma ambayo ni capital iko nyuma sana kushinda dar .Hatuna wivu ,,tuna tetea our pride Kenya
@erickrakitic9113
@erickrakitic9113 3 жыл бұрын
Rock city 🇹🇿✔️
@jaropthebilldone1652
@jaropthebilldone1652 3 жыл бұрын
Mwanza
@jaropthebilldone1652
@jaropthebilldone1652 3 жыл бұрын
Mwanza
@stephenonyango6281
@stephenonyango6281 3 жыл бұрын
The video was fair,I wonder why you guys complain alot just accept kisumu is the best
@mangerarisimmangerito2088
@mangerarisimmangerito2088 3 жыл бұрын
both are equally beautiful
@KuntukumuSadam
@KuntukumuSadam Жыл бұрын
Huyu jamaaa itakuwa n mkenya mbna mwanza sehem nyingi sana aujaonyesha
@karyori69
@karyori69 3 жыл бұрын
So Mwanza airport is all about that old PAX terminal how about most modern n the largest cargo terminal in the whole of EAC?
@geofreygeorge5086
@geofreygeorge5086 3 жыл бұрын
Mimi ni mkenya and I have been in both cities, but to be honest Mwanza is the best than Kisumu, wametuzidi
@nairobinyeusi5811
@nairobinyeusi5811 3 жыл бұрын
Ooliskia Wapi
@geofreygeorge5086
@geofreygeorge5086 3 жыл бұрын
@@nairobinyeusi5811 kwako
@sultanmswahilitv4864
@sultanmswahilitv4864 3 жыл бұрын
Wewe ni mtz
@geofreygeorge5086
@geofreygeorge5086 3 жыл бұрын
Am Kenyan en now living in Addis Ababa, Ethiopia..... Mwanza is somehow developed compared to Kisumu, it's a big city... Am nat judging based on my nationality... Am just talking the truth
@sultanmswahilitv4864
@sultanmswahilitv4864 3 жыл бұрын
@@geofreygeorge5086 nivile umeishi addis huelewi nchi yako.ricently kisumu imejengwa sana.standard ya barabara za ksumu ni zile za nairobi ila mwanza barabara bado niza chini.
@jacksonjohn4893
@jacksonjohn4893 3 жыл бұрын
Haka kachannel ni kakisenge,sana mwanza ulinganishe na utopolo wa Kenya mamae mtangzaji
@moseswere7478
@moseswere7478 3 жыл бұрын
Good but you gave your time more to Ksm than Mwanza. You only featured Malaika Beach and left three good down town hotels. I know both towns like the back of my hand.
@amanchatila2083
@amanchatila2083 3 жыл бұрын
mwanza wameonyesha sehemu ndogo sana hawajaionyesha mwanza vizuri
@dhakomodherooherokoko6037
@dhakomodherooherokoko6037 3 жыл бұрын
Ni vile mwanza ni ndogo...so utaonyesha wapi jamani
@tyris54
@tyris54 3 жыл бұрын
Hata kisumu wameonyesha sehemu ndogo
@athanacnicholauc3555
@athanacnicholauc3555 3 жыл бұрын
Ni kweli hawajaonesh gold crest hotel moja ya hotel nzuri pia kubwa mwanza pia bugando ya sasa imeboreshwa zaid. Although kisumu is also good looking we should be proud of being all africans
@samoragoodwin7309
@samoragoodwin7309 3 жыл бұрын
Mbona naona kama kisumu iko juu ukiangalia vitu vilivyopo kwa ajili ya huduma za kijamii ,hotels,hospital,supermarket, nk mtazamo Wang lakini si sehemu ndogo het ndo wameonyesha ila kwa usafi mza inaongoza kisumu pachafu
@samoragoodwin7309
@samoragoodwin7309 3 жыл бұрын
Mbona naona kama kisumu iko juu ukiangalia vitu vilivyopo kwa ajili ya huduma za kijamii ,hotels,hospital,supermarket, nk mtazamo Wang lakini si sehemu ndogo het ndo wameonyesha ila kwa usafi mza inaongoza kisumu pachafu
@damsonkelvin1215
@damsonkelvin1215 3 жыл бұрын
Usiifananishe mwanza na vitu vya ajabu
@abubatv8996
@abubatv8996 3 жыл бұрын
Kisumu iko juu
@davidmwanjela1091
@davidmwanjela1091 3 жыл бұрын
Fanyeni disvaluing kadri mtakavyo weza kuhusu tanzania lakin sisi hatuna shida ya kugombana nanyie wakenya ... Nawashauri tu tupendane achan na hayo mamb yakucompare btn us ...mbn tz hatuna shida nanyie hatujishindanishi nanyie na tunajua Kenya Mpo vizuli Mpo juu economically so what Tanzania do to u? Adi muanze kujishindania nasisi
@salahogwacha4397
@salahogwacha4397 3 жыл бұрын
Daah!!!... I can't help feeling like this was a cheap shot at TZ... Its like you gave your best photography skills for Kisumu, nice night light photos sunset pic's on the other hand you got lazy with Mwanza its cool though 😅 its all fair in love and war btn KE n TZ ausio?
@davidcharles4412
@davidcharles4412 3 жыл бұрын
Of course kwanza video imekuwa fupi kwa mwanza halfu nimeshangaa Bugando hospitla livyo display daaah locally kabisa
@saidifundi8023
@saidifundi8023 3 жыл бұрын
Wakenya wako so selfish mamae zao 😁😁😁 iyo bugando wameitoa kama choo
@nairobinyeusi5811
@nairobinyeusi5811 3 жыл бұрын
Kisumu wametumia old pictures. The Kisumu of 2021 is very advanced especially barabara na buildings.
@davidluangisa4515
@davidluangisa4515 8 ай бұрын
Mwanza is a mile ahead of Kisumu best believe me...
@francismadoshi8529
@francismadoshi8529 4 ай бұрын
Mwanza, is a city like Dar and Zanzibar if you didn't already know!
@imranndal9493
@imranndal9493 3 жыл бұрын
Mi ni mkenya,lakini hizi miji zote ni majirani,ni bora watu watembee wajionee dunia yao,kuliko kushinda ukitusiana hapo, umekalia tu wangoja uletewe picha na matusi yasiyo iisha
@sweetlisious
@sweetlisious 3 жыл бұрын
Mpumbavu ni huyu mwenye Chanel wallah
@aishaasumany561
@aishaasumany561 3 жыл бұрын
@@sweetlisious kisha nimtz anawachora Wa +254
@J4UPro
@J4UPro 3 жыл бұрын
Mwanza ni hatariiiii sana
@reubenpaulomabula6098
@reubenpaulomabula6098 3 жыл бұрын
Mwanza hujaitendea haki inavitu vzur kuliko hivyo
@collinsotieno7514
@collinsotieno7514 3 жыл бұрын
Kisumu Dala
@kenyanyafreddy23
@kenyanyafreddy23 3 жыл бұрын
In landmass mwanza is big, but the cbd of kisumu is much bigger and sophisicated than mwanza cbd
@solysalym3699
@solysalym3699 3 жыл бұрын
Anae fanya comparison ni wa kisumu😂😂😂
@blancoskitchen
@blancoskitchen 3 жыл бұрын
Chanel ya mpuuzi mmoja kutoka kenya huwa wanafanya comparison za kinga sana!!!
@StephenChama-nh2vr
@StephenChama-nh2vr 2 ай бұрын
Mwanza umeionesha kidogo kwanini
@VictorOnyangoveeckie
@VictorOnyangoveeckie 3 жыл бұрын
Hawa Sukuma si wancomplain sana. What is? Your town looks beautiful too
@kariukinganga5262
@kariukinganga5262 3 жыл бұрын
Mwanza is the best
@kigambnis9141
@kigambnis9141 3 жыл бұрын
you kenya your joy king so much you subiri sana ✅ 🇹🇿👌😜
@MrKajom
@MrKajom 3 жыл бұрын
The hotels in mwanza 👌
@user-zj5ei1kl6p
@user-zj5ei1kl6p 2 ай бұрын
Mwanza mwanza
@kisurangusa554
@kisurangusa554 3 жыл бұрын
Mimi ni mtanzania bila upendeleo kisumu wamejitahididi saana,
@fahimbakari420
@fahimbakari420 3 жыл бұрын
Video ya mwanza umechukua juu juu hujiamini au
@pauloloo1987
@pauloloo1987 3 жыл бұрын
Great presentation but you wrong music. Kisumu / Luo Nyanza is home to great music from Benga to Ohangla and our counerparts from TZ have Bongo so it would have been fitting to use the local music for this great presentation
@Iam_gatie
@Iam_gatie 3 жыл бұрын
copyright issue my dear
@zoey2635
@zoey2635 3 жыл бұрын
Ujaona sehemu zingine majengo ubaguzi tu
@EDGEHILLBBKE
@EDGEHILLBBKE 3 жыл бұрын
Next time include ladies kwa these shots to atleast flavor abit, I like seeing those miniskirts
@fednandnews2240
@fednandnews2240 3 жыл бұрын
Mmeibeba sana kisumu but bado mwanza inakuwa first so mda mwingine angalieni mda kuonesha madhari ya pande zote mbili.Huwez kuionesh kisum kwa dk 2 na sehem afu unaionesha Mwanza kwa dk 1 na sehem Ni Upumbavu.but Mwanza Tanzania 🇹🇿🇹🇿
@eriaskb9168
@eriaskb9168 3 жыл бұрын
Wanazingua marayaawa
@lebronmbando201
@lebronmbando201 3 жыл бұрын
Mwanza hakun kitu Cha kuonesha zaidi ya dakika 2 Tanzania watu wamipango miji Wana feli sana mwanza Ina jengwa hovyo hata mikoa mingine hivyo hivyo
@mkude
@mkude 3 жыл бұрын
@@lebronmbando201 hata kibera pia imejengwa hovyo hovyo mathare,halafu wametudanganya wanatujengea sgr kumbe wametujengea na kutuwekea gari moshi,yani watanzania sijui wakoje
@aishaasumany561
@aishaasumany561 3 жыл бұрын
@@lebronmbando201 Ujalio wivu omera Yawa wivu niwanni mwanza nindogo wakujua Ukatoka vijasho vyamkundu kwakubishana lnakuuusu????????????????????
@aishaasumany561
@aishaasumany561 3 жыл бұрын
@@mkude Wakenya kwa sifa Mmejaaliwa na ujinga lkni mnafuujo namnaishi kwakutegemea wahindi wamipe unga wa sima kira jumanne jumamos wake zenu wanaenda kupew. mobali ya unga wa sima mtandaoni mwajishauwa sijui nazani kenya ni Dubai????????
@fredymkanza
@fredymkanza 3 жыл бұрын
I'm Tanzanian but what I can say .....Kisumu iko zaidi kidogo. 1. Kisumu stadium ni ya kisasa 2. Buildings ni za kisasa zaidi kuliko mwanza 3. Hotels ni poa sana kuliko Mwanza 4. Mji uko busy than Mwanza Nimesema ukweli bila kuwa shabiki wa upande wowote ...Ingawa Mwanza umeonyesha kidogo sana ila napajua phiscally
@dangacha146
@dangacha146 3 жыл бұрын
Kweli kbsa
@jacksonhamis4720
@jacksonhamis4720 3 жыл бұрын
icho sio kiswahili chetu. we ni mkenya
@anordpamba9343
@anordpamba9343 9 ай бұрын
@@jacksonhamis4720 kwel huyu ni Mkenya anajifanya mtanzania na Mwanza anaijua,,,Tanzania hatuna Kiswahili kama cha kwako😂😂😂
@luhendesoloshija9502
@luhendesoloshija9502 Жыл бұрын
Ww matako kweli mbona umeonyesha kidogo mwanza
@simonoboku6684
@simonoboku6684 3 жыл бұрын
Both are east african cities and also neibours.They are doing more changes that's great.😁
@natureworld295
@natureworld295 3 жыл бұрын
Towns , not cities
@deepsavannah9723
@deepsavannah9723 3 жыл бұрын
EA ....KENIA
@sabraali9941
@sabraali9941 3 жыл бұрын
Sijawahi kuona kenya wakashindanisha na Uganda kila siku Tz inamana Uganda amuwapendi mnapenda Tz tu🥺🙄🙄🙄🙄
@jayboyfesto116
@jayboyfesto116 3 жыл бұрын
Tz ndo Kuna mambo mzr
@natureworld295
@natureworld295 3 жыл бұрын
Uganda hakuna kitu , afadhali nyinyi 😂😂
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 3 жыл бұрын
Mwanza is great than Kisumu.
@dhakomodherooherokoko6037
@dhakomodherooherokoko6037 3 жыл бұрын
Mwanza ni kijiji tu
@lebronmbando201
@lebronmbando201 3 жыл бұрын
Mwanza takataka
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 3 жыл бұрын
@@dhakomodherooherokoko6037 Kenyan bwana kwani mmekula nn kibaya
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 3 жыл бұрын
@@lebronmbando201 mna tabu nyie
@ilovejesus666
@ilovejesus666 3 жыл бұрын
Bugando ndo iko ivyo nyie ni mikundu
@ilovejesus666
@ilovejesus666 3 жыл бұрын
Nyie ni mikundu kenye editi nyingi lakin mwanza amna ediyi
@amonobiero9776
@amonobiero9776 3 жыл бұрын
Sasa kasarani stadium.iko.kisumu? And y show the port of mombasa and parts of mombasa city as kisumu??
@tahergohar1913
@tahergohar1913 3 жыл бұрын
Worst comparison video ever
@shanialucas1532
@shanialucas1532 3 жыл бұрын
MB zimeeda bure uongo mwingi ukweli kidogo
@onelife7850
@onelife7850 3 жыл бұрын
I am from Kenya, but Mwanza has certainly developed more than Kisumu. It has a lot to offer. I know it like the back of my hand. In this video, they have not done justice to the beauty of growth of Mwanza
@kenyandamu
@kenyandamu 3 жыл бұрын
I am from Kenya and Mogadishu is certainly more developed than Nairobi
@onelife7850
@onelife7850 3 жыл бұрын
@@kenyandamu THEN GO LIVE THERE
@kenyandamu
@kenyandamu 3 жыл бұрын
@@onelife7850 Hata wewe nenda uishi Mwanza au sio mshikaji 😂😂😂. Unafiki ukome mwenzangu!
@onelife7850
@onelife7850 3 жыл бұрын
@@kenyandamu The way you reason continues to confirm you know nothing about Mwanza. I have plots in Kisumu as well as a house in Mwanza. I have lived and worked in both places. In fact, Kisumu is my hometown. Now, I have also lived in the US for 20 years. When I say that Washington DC is more developed than Nairobi, I am not demeaning Nairobi. I am simply stating the facts. If I say Nairobi is more developed than Bomet, I am not demeaning Bomet. I am simply stating the facts. But I gather that this way of reasoning may be too much for you😂
@kenyandamu
@kenyandamu 3 жыл бұрын
@@onelife7850 Of course nearly all the 200+ Cities in AMERICA are more developed than nearly all the Cities in the AFRICA. I live in California and so don't scare me with baseless comparisons of Washington DC and Nairobi. Of course it's more developed than Nairobi. Kaongea matope na kichwa kimejaa mavi mshikaji. Acha niende forodhani nile pweza badala ya kujibizana nawe. Uchokonoaji itakupeleka wapi ... Mwehu wewe!
@elikanazacharia4905
@elikanazacharia4905 3 жыл бұрын
Mbona mwanza umeionyesha kidogo sana
@dhakomodherooherokoko6037
@dhakomodherooherokoko6037 3 жыл бұрын
Kwasababu ni ndogo
@imwamwai1347
@imwamwai1347 3 жыл бұрын
Thats all Mwanza has to offer😂
@lebronmbando201
@lebronmbando201 3 жыл бұрын
Mwanza haman kitu Cha kuonesh labda ange changanya na picha za dar Tanzania ujenzi gharama ndio maan inadumaa
@elikanazacharia4905
@elikanazacharia4905 3 жыл бұрын
@@lebronmbando201 unamawazo mgando subiri projects ziishe ndo utajua Tz gharama za ujenzi zpo juu au la
@lebronmbando201
@lebronmbando201 3 жыл бұрын
@@elikanazacharia4905 project gan ndugu Yang project zenyew zina jengwa sehemu ambayo tayar ishakuw uswahilini hakun mpangilio lio wowote watu wetu mipango miji sijui wanafany nn hawajui kupangilia miji yetu
@benardmartine244
@benardmartine244 3 жыл бұрын
Mwanza bado ipo juu tu
@naftaleobilo3126
@naftaleobilo3126 3 жыл бұрын
MWANZA HANDS DOWN.
@manikamanika5487
@manikamanika5487 3 жыл бұрын
0:54 I don't think that is Kisumu
@jrkaarl3638
@jrkaarl3638 3 жыл бұрын
my friend thats kisumu
@mikeotieno8572
@mikeotieno8572 2 жыл бұрын
That is mombasa
@dhakomodherooherokoko6037
@dhakomodherooherokoko6037 3 жыл бұрын
Linganisha mwanza na Eldoret. Kisumu imezidi hicho kijiji 😂😂😂
@eriaskb9168
@eriaskb9168 3 жыл бұрын
Auxio mmtoto wamalayaww
@natureworld295
@natureworld295 3 жыл бұрын
Eldoret imeizidi pia , kwa ukubwa tu na population is where it beats eldi. But development mwanza is far much behind
@aishaasumany561
@aishaasumany561 3 жыл бұрын
@@eriaskb9168 Wwe nimtoto wa shetani
@aishaasumany561
@aishaasumany561 3 жыл бұрын
Tatizo wakenya roho zenu chafu kama matako yenu
@dhakomodherooherokoko6037
@dhakomodherooherokoko6037 3 жыл бұрын
@@aishaasumany561 mkimwaga mboga tunamwaga ugali
@hassantandiko1943
@hassantandiko1943 6 ай бұрын
Acheni uhuninwanja wa kasarani Nairobi mumeuweka Kisumu airport ya Nairobi mumeiweka Kisumu wakenya acheni ubabaifu ndegeles
@EnockKadima-df7xs
@EnockKadima-df7xs Ай бұрын
Ki❤sumu
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 4 ай бұрын
Mwanza bado iko nyuma barabara ya Shinyanga mwanza haina hadhi ya jiji la mwanza nimashimo matupu hiyo njia iwe basi hata njia nne au sita.juhudi zipo kama ujenzi wa reli ya kisasa na daraja zake labda baada ya miaka mitano ijayo itapendeza zaidi.
@kagarukifred7372
@kagarukifred7372 9 ай бұрын
Poor shooting for Mwanza and much Egoistic for Kisumu poor
@frankdanford8245
@frankdanford8245 3 жыл бұрын
We auijui mwanza nandiomana unaonyesha hotel moja tu tena kwa picha ya malaika. Njoo ujionee nitakulipia fair ya ndege uje uione mwanza na hako kasumu kenu.
@raiswabuza3042
@raiswabuza3042 3 жыл бұрын
Huoni hata aibu. Mwanza umeonesha hotel tu. Zunguka mwanza ujionee
@mitikasitv7326
@mitikasitv7326 3 жыл бұрын
Hiyo sio mwanza tunayoijua
@denisbuchard3718
@denisbuchard3718 3 жыл бұрын
Yani tunalinganisha Mwanza city na kamji kanako tumia baiskeli kama public transport karne hii ya 21.??Wakenya wabishi utadhani walisha rahaniwa kwa ubishi tangu dunia inaumbwa.Kisimu yenyewe hailingani na manispaa mpya ya kisesa asielewa ndie anabisha.
@sultanmswahilitv4864
@sultanmswahilitv4864 3 жыл бұрын
Mkundu wewe.
@denisbuchard3718
@denisbuchard3718 3 жыл бұрын
@@sultanmswahilitv4864 😂😂😂
@mariaamabwi1854
@mariaamabwi1854 Ай бұрын
Mwanza hoteli ni mbili tu? 😂😂😂😂 am done..hii ni Mwanza ipi unayoinyesha hapa? Nadhani unahitaji kufanya utafiti vizuri kama unataka kulinganisha sehemu..hii video imevutia Kisumu, Mwanza hujapatendea haki kabisa. Pamoja na hayo, watu wa Mwanza ni wakarimu na tunakukaribisha tena 😊
@muyobozitv5622
@muyobozitv5622 3 жыл бұрын
Kisumu is the best
@eliarichard9218
@eliarichard9218 3 жыл бұрын
Umekula Bundle zangu ujue mm niko mwanzaa hapa
@mwamengele
@mwamengele 3 жыл бұрын
Hahahaaaaaa nadhani hajawahi kufika MWZ labda
@natureworld295
@natureworld295 3 жыл бұрын
Nani amekuambia hatujafika mwanza , yaaani huwezikuona hata barabara hamna , na airport pia 😂😂😂
@kingsbreezy2290
@kingsbreezy2290 3 жыл бұрын
We mkenya ni quuumaaa
@beipoaquality9159
@beipoaquality9159 3 жыл бұрын
😂😂 wewe ni wakisumu vitu vingi mwanza hujavionuesha MWANZA NI THE BEST
@nairobinyeusi5811
@nairobinyeusi5811 Жыл бұрын
Kisumu ni Kubwa. Angeweka yote na Barabara za Kisumu ungetoroka
@pius1359
@pius1359 3 жыл бұрын
Wakenya Wakikosa pakutokea.... Tz Ni stori Nyingine Duniani.....
@reinsonkibisu2056
@reinsonkibisu2056 3 жыл бұрын
Kisumu wins🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪but one Long both cities Look the same and there Neighbors
@reinsonkibisu2056
@reinsonkibisu2056 3 жыл бұрын
@@alexchrispinus3001 ok we right next door plus both cities Surround lake Victoria and also Kisumu is in Southern Kenya at the border of Kenya and Tanzania I will just drive there don’t late me down. www.distancecalculator.net/from-mwanza-to-kisumu
@almassira5948
@almassira5948 3 жыл бұрын
Umekula mb zangu bure fala ww
@ruthwanjohi6926
@ruthwanjohi6926 3 жыл бұрын
😹😹😹😹😹😹😹😹😹
@gtube4925
@gtube4925 3 жыл бұрын
Watch ur tongue nani
@raphaelmukabi1299
@raphaelmukabi1299 3 жыл бұрын
Kasarani stadium iko kisumu kweli everything is fine.
@saidifundi8023
@saidifundi8023 3 жыл бұрын
Mbn video upande wa mwanza imekua fupi ww ng'ombe 😁😁😁 the title should have been Kisumu and Kisumu comparison with single Mwanza
@geofreyalexander1382
@geofreyalexander1382 3 жыл бұрын
Ng'ombe
@johnalphonce3245
@johnalphonce3245 3 жыл бұрын
pueda ww
@faridhassan6834
@faridhassan6834 3 жыл бұрын
I have leaved in kisumu,but honestly speaking mwanza not only for kisumu but its among five fastest growing cities in Africa,its not comparison but mwanza soon can be dubai of Africa.u haven't showed even quarter beautify of great city in Africa,its unfair.
@natureworld295
@natureworld295 3 жыл бұрын
Tumia akili 😎
@kennedyonyango5134
@kennedyonyango5134 3 жыл бұрын
Mwanza is much more ahead compared to Kisumu...you've gathered little scenes on the beauty of Mwanza than you've done to Kisumu...a lot has been done to Mwanza even the longest bridge built on the lake Victoria though it's not completed but this talks a lot on how much Mwanza is beautiful and developed than Kisumu...go for more research
@lebronmbando201
@lebronmbando201 3 жыл бұрын
Kisumu balaa Kama mbele mwanza Ina mabanda mengi yana paa za kutu Tanzania ujenzi gharama san
@aishaasumany561
@aishaasumany561 3 жыл бұрын
Tatizo wivu. buda utakufa mdomo wazi kwa roho chafu shetani mkubwa ww
@lebronmbando201
@lebronmbando201 3 жыл бұрын
@@aishaasumany561 hakuna wivu wakenya wenzet walichelewa kuwafukuza wazungu waka achiwa ustaarab wa maendeleo sie Tanzania tume wafukuza wazungu mapema tume baki na tabia za kiswhahili tuki Jenga Barbara moja tu itaongolewa dunia nzima ndio tatizo letu bado waswahili sana
@sultanmswahilitv4864
@sultanmswahilitv4864 3 жыл бұрын
@@lebronmbando201 😆😆😆
@sylvestercharles3585
@sylvestercharles3585 3 жыл бұрын
From Texas USA, Mwanza beautiful than Kisumu
@lebronmbando201
@lebronmbando201 3 жыл бұрын
Kisumu kubwa ina Kila kitu dar yenyew haija ifikia kisumu mwanza Ina mabanda mengi angalia picha ya juu utaona majengo mengi yaki zamani paa zake za kutu kisumu noma tuache ushabiki
@aishaasumany561
@aishaasumany561 3 жыл бұрын
@@lebronmbando201 Ugiriama utakuuwa pepo wwe
@aishaasumany561
@aishaasumany561 3 жыл бұрын
@@lebronmbando201 Sinikwenu huko kwenye nyumba za kutu giriama kwani kuna hata baraba zaidi yamnazi tuu
@lebronmbando201
@lebronmbando201 3 жыл бұрын
@@aishaasumany561 Mimi sio mkenya mm ni mtanzania nime zaliwa mabibo Tanzania yetu tuna ijua labda mshamba kutoka kijijini ndio ata shangaa sisi tuliozaliwa mjin tunajua nchi yetu bado Sana miundo mbinu hapa Tanzania sehemu ambayo imaekaa imejengwa kimpangilio ni wilaya ya Moshi peke yake
@benjaminlonyaman1233
@benjaminlonyaman1233 3 жыл бұрын
Kisumu roads N buildings are more modern than Mwanza on the other hand Mwanza beaches are cool n great visiting there soon.
@josephgodfrey194
@josephgodfrey194 3 жыл бұрын
Mwanza is 100 times far from kisumu. Even arusha can beat kissumu 50 times
@dhakomodherooherokoko6037
@dhakomodherooherokoko6037 3 жыл бұрын
@@josephgodfrey194 i guess you are speaking from anger and not from expirience..right?
@sultanmswahilitv4864
@sultanmswahilitv4864 3 жыл бұрын
@@josephgodfrey194 😆😆😆ndoto
@jrkaarl3638
@jrkaarl3638 3 жыл бұрын
@@josephgodfrey194 kumbuka kisumu is the third largest city in kenya.while mwanza is second do dont compare arusha and kisumu
@nianaalphonce2309
@nianaalphonce2309 3 жыл бұрын
😂😂😂 mwanza the best
@francismadoshi8529
@francismadoshi8529 4 ай бұрын
Mwanza has more Lake Victoria than Kisumu!
@jrkaarl3638
@jrkaarl3638 3 жыл бұрын
watanzania mnapenda kulalamika niaje
@yusrababuu
@yusrababuu 3 жыл бұрын
Siyo kulalamika,mnapenda kutufatilia
@mudymudy8938
@mudymudy8938 3 жыл бұрын
Mwanza iko poa sana
@dangacha146
@dangacha146 3 жыл бұрын
Mimi nimefika kote kisumu nimekaa na mwanza nimekaa lakn kisumu ni bora kuliko mwanza kisumu imeendelea kuliko mwanza alaf ni kubwa sana kisumu kuliko mwanza
@moshantoj
@moshantoj 3 жыл бұрын
Hapana mwanza ni Kubwa kuliko Kisumu
@bilaliramadhani4934
@bilaliramadhani4934 3 жыл бұрын
Hui jui mwanza ww nyamaza tunao ijua tume kaa kimiya kawa acha wa kenya wajipe moyo ila tz ni mpelempele bendera bado ina pepea na kazi ina endelea waswahili tuna msemo wetu Tonge la mwisho ndio ukomba mboga
@japhetpamba4339
@japhetpamba4339 3 жыл бұрын
wewe fala kweli hivi unalinganisha mwanza na kisumu ,mwanza iko juu
@mephcontractors9779
@mephcontractors9779 3 жыл бұрын
Amefanya makosa Sana angelinganishaa mwanza na nakuru
@tanstudiotv
@tanstudiotv 3 жыл бұрын
Mwanza mnalinganisha na uchafu jaman??
@fredrickmwazuna7342
@fredrickmwazuna7342 3 жыл бұрын
Wivu itawauwa enyi wa-TZ
@tanstudiotv
@tanstudiotv 3 жыл бұрын
@@fredrickmwazuna7342 sio wivu, anaweka hoteri tu wakati mwanza ina maeneo mazuri kibaaoo, wivu gan sasa
@dhakomodherooherokoko6037
@dhakomodherooherokoko6037 3 жыл бұрын
Hata Eldoret imeshinda mwanza
@doctorharry
@doctorharry 3 жыл бұрын
@@dhakomodherooherokoko6037 na mbali Sana 🤣😂🤣
@natureworld295
@natureworld295 3 жыл бұрын
@@tanstudiotv usidhani hatujui mwanza 😂
@tyris54
@tyris54 3 жыл бұрын
Kidogo Kisumu imezidi mwanza.. Kisumu is beautiful
@moseswere7478
@moseswere7478 3 жыл бұрын
Kisumu is nowhere near Mwanza which tends towards Msa. It has twice the population of Kisumu and has three harbours for ferries and ships like Mv Mwanza,for fish and for horticulture.
@sponcersaita2599
@sponcersaita2599 3 жыл бұрын
Ukwer unajulikana Maeneo ya mombasa umeyaeka kisumu
@rehemaaminmussa5131
@rehemaaminmussa5131 3 жыл бұрын
I don't think that a researcher has done a deep investigation concern Mwanza.listen my brethren, you can't compare Mwanza with Kisumu but Mwanza with Nairobi,And compare Dar es salaam with Dubai,Qatar,Doha because Tanzania is going to put whites under our feets,that's why no Covid 19 in Tanzania. Have you got me? But we have to feel good on our Africa. We are brethren,let us love each other
@natureworld295
@natureworld295 3 жыл бұрын
You are a fool 😂
@mustwatch5348
@mustwatch5348 3 жыл бұрын
Tanzanians are so full of themselves😂 You want to compare Dar with Dubai....
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 3 жыл бұрын
@@natureworld295 fool mama yako
@alexchui3511
@alexchui3511 3 жыл бұрын
Most foolish comment on the internet 😂😂😂😂😂😂
@kassimmwamambeya4489
@kassimmwamambeya4489 3 жыл бұрын
You're not okay upstairs
@dcampafrica
@dcampafrica 3 жыл бұрын
Mwanza is not the 3rd city in Tanzania
@mrh2812
@mrh2812 3 жыл бұрын
Mbona mnalinganish mwanza na vitu vya kijinga
@johnmagari768
@johnmagari768 3 жыл бұрын
You sound like my sister...i should confirm whether you're the one😂😂😂
@Iam_gatie
@Iam_gatie 3 жыл бұрын
😂😂
@okejapan7643
@okejapan7643 3 жыл бұрын
Channel ya kijinga na mtangazaji ni mjinga. Hali ikiendelea hivi tutaanza kuambizana watanzania tuwe tunaipuuza na kuisusia hii channel ili iwe inaangaliwa na wakenya wenyew
@pdelpie474
@pdelpie474 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 derby
@frankmlish2679
@frankmlish2679 3 жыл бұрын
Why Kenyans always do this?
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 3 жыл бұрын
Good question!.
@veeJesus
@veeJesus 3 жыл бұрын
They are so jelousy
@cefinelgon2548
@cefinelgon2548 3 жыл бұрын
Kenya is next level in any development programs
@amriharuna4236
@amriharuna4236 3 жыл бұрын
What is this nonsense?
@naureenmusa187
@naureenmusa187 3 жыл бұрын
Robo tatu ya hii video umeonyesha kisumu tu
Kisumu City, The Most Beautiful and Cleanest City in Kenya
25:52
Afrikan Traveller
Рет қаралды 87 М.
Which one of them is cooler?😎 @potapova_blog
00:45
Filaretiki
Рет қаралды 10 МЛН
ТАМАЕВ vs ВЕНГАЛБИ. ФИНАЛЬНАЯ ГОНКА! BMW M5 против CLS
47:36
WILL YOU THUMB UP KISUMU OR MWANZA?
14:59
MATHIAS SETH
Рет қаралды 1,3 М.
10 LARGEST AND BEST CITY TO STAY IN WHEN YOU VISIT TANZANIA
8:41
Afro pop TV.
Рет қаралды 11 М.
They Claim to Own Dar Es Salaam City! Magomeni Tanzania 2024
14:31
Explore with Bertin
Рет қаралды 7 М.
10 Africa Countries with the Best Quality Roads 2023
15:55
Afro Page
Рет қаралды 769 М.
Mwanza City Tanzania The Michigan Of Africa l Raw Unfiltered City Tour
35:54
KISUMU CITY: NEW LOOK 2024
21:38
ONIMI NIMII
Рет қаралды 2,8 М.
TANZANIA V/S KENYA, Utajiri Na Umasikini
7:07
Special 4 U TV
Рет қаралды 16 М.
Second Largest City in Tanzania 2024. This is Mwanza city East Africa
12:45
Explore with Bertin
Рет қаралды 21 М.
Which one of them is cooler?😎 @potapova_blog
00:45
Filaretiki
Рет қаралды 10 МЛН