No video

COY AMPA MAKAVU LIVE JOL MASTER BAADA YA KUMRUDISHA CHEKA TU “SIJAZALIWA TUMBO MONA NA WEWE”

  Рет қаралды 138,689

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 150
@katomondorashid967
@katomondorashid967 3 жыл бұрын
Wangapi wamependa jolly kurudi tena cheka tyu tujuane tafadhali
@michaelgwimo1859
@michaelgwimo1859 3 жыл бұрын
Coy yupo sahihi 100% humbleness is one among of tougher lesson but it pay alot.
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 жыл бұрын
Ila sjapenda ulicho fanya coy uwoni km nikumtia haya mwenzio kumbuka anafamily uyo mama baba wadog ata ndg. Mchumba sio pow mara nyingine coy angalie namahali yakuzungumzia tofaut zenu si kila sehem nisahihi tu. Atakama mmembeba sio sahihi kuadhirishana mbele zawatu. Atakuchekeo uson uwezi juwa ndani yamoyo wake anajiskia vp.
@lwamihorombo709
@lwamihorombo709 3 жыл бұрын
Coy, wewe ni Mtu mzima usietumia Akili. Huwezi ongea maneno kama hayo mbele ya watu wote wale. Umetuboa wahudhuriaji unatoa hasira zako mpaka kwa mashabiki. Acha ujinga. Sio Group la kwanza kuvunjika. Nakushauri kama kijana mdogo, next time tumia busara ukiwa unatafuta unaongea, Jua sehemu ya kuongelea shida zako. Ulichokifanya umeonekana hujakuwa kiakili.
@augustinomariano1764
@augustinomariano1764 3 жыл бұрын
Coy u-star haweziii
@japhetbarton8268
@japhetbarton8268 3 жыл бұрын
Very painful kuangalia hii kitu basi tu Jol master ni very strong
@barakaamosalex9161
@barakaamosalex9161 3 жыл бұрын
Yaan ni more than pain....imagine ni wewe alafu kesho tena urud kweny stage ile ile kuwachekesha watu walewale ambao ulisemwa mbele yao..
@rachelsilvester7901
@rachelsilvester7901 2 жыл бұрын
He is very strong
@mwasimbega8712
@mwasimbega8712 3 жыл бұрын
Huy7 coy mpumbavu kweli
@mcwaya1
@mcwaya1 3 жыл бұрын
Huo ujumbe si wa Jol Master, kuna mtu kalengwa
@fredrickmsomba4123
@fredrickmsomba4123 3 жыл бұрын
😂😂😂
@lulumbwilo7302
@lulumbwilo7302 3 жыл бұрын
Let comedy be comedy on show, na siasa au uongozi uwe uongozi sehemu husika. Honest mliharibu show ilikuanzuri mlipoingiza hii ishu in the middle of show na ilikua hot. Kuna watu wengi waliboreka
@ushindimbwilo1398
@ushindimbwilo1398 3 жыл бұрын
Kiukweliii cop hayafanya vizuri kumusema hivyo kwa watu.! Mm ninavyojua kizuri kinajisema chenyewe na kibaya kinatambulika...!! Duuh maisha haya..
@upendotarimo9324
@upendotarimo9324 3 жыл бұрын
Hapo ni igizo la mond vs kondeboy
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 3 жыл бұрын
Kumbe Diamond Yupo hapo... Basi tushaelewa hili igizo limemlenga nani... Maigizo Haya 💥
@ibnahmad607
@ibnahmad607 3 жыл бұрын
Huyo anayesemwa Sasa😂😂 Ila hilo ni dongo kwa Konde Boy.
@barakanatus5676
@barakanatus5676 3 жыл бұрын
Konde ni mtu mwingine usifananishe issue
@beatusjackson3638
@beatusjackson3638 3 жыл бұрын
Acha kuchanganya mambo
@ibnahmad607
@ibnahmad607 3 жыл бұрын
@@barakanatus5676 Uelewa wako ndio umeishia hapo
@ibnahmad607
@ibnahmad607 3 жыл бұрын
@@beatusjackson3638 Uelewa wako ndio umeishia hapo.
@barakaisrael257
@barakaisrael257 3 жыл бұрын
Konde boy gani tena jamani 😂😂😂
@edsonerasto3951
@edsonerasto3951 3 жыл бұрын
Mkumbuke Coy Ni mhaya
@salumuandrew6775
@salumuandrew6775 3 жыл бұрын
Hahahaaa
@emxsimba4025
@emxsimba4025 3 жыл бұрын
😅😅😅
@kpetres2872
@kpetres2872 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@evamwambapa5251
@evamwambapa5251 6 ай бұрын
Sio muhaya uyo ni mkulya
@sijalikifunyo912
@sijalikifunyo912 3 жыл бұрын
Coy tatizo si mtu kumwambia ukweli, tatizo ni mahali gani na wakati gani, Kama unampenda kweli ungejali wanaomheshime kama kaka yao kama mtoto wao hata kwa mke au mchumba. Kumwambia karubuniwa mbele za halaiki kama hiyo maana hawezi kujisimamia mwenyewe, Je unadhani walokuwa wanamheshimu watafanya hivyo tena? Hayo ilibidi umwambie private sio kuanika as if wewe ndo kila kitu kwake. Halafu tafuta maana ya unyenyekevu kabla hujazungumza mbele za watu. Jifunze.
@mcheshcomedy5809
@mcheshcomedy5809 3 жыл бұрын
Yes
@janethmandari6787
@janethmandari6787 3 жыл бұрын
Well said
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 жыл бұрын
Kweli kbs coy kakosea sn
@muniraahmed624
@muniraahmed624 3 жыл бұрын
Jolly ndo mwenye cheka2 akitok mayo inakufa😁😁😁
@innocentherman5101
@innocentherman5101 3 жыл бұрын
Umefeli, wakati cheka tu inaanza ikiwa na comedian mmoja tu(coy mzungu) jol master alikuwa anasoma secondary huko!!! Na fuatilia vizuri.
@franksteven1436
@franksteven1436 3 жыл бұрын
Coy mnafiki huyu...yeye amemuuzia diamond cheka tu bila kuwaambia wenzake
@namelessunknown1377
@namelessunknown1377 3 жыл бұрын
.......
@samsonbabalao4158
@samsonbabalao4158 3 жыл бұрын
Kipindi anauza wew ulikuwepo au unajiongelesha tu
@seifzongo320
@seifzongo320 3 жыл бұрын
Du kweli au
@daveme9180
@daveme9180 3 жыл бұрын
Hahaha hatar
@upendotarimo9324
@upendotarimo9324 3 жыл бұрын
@@samsonbabalao4158 hata kama kusoma hujui picha hauoni?
@derickydeniz583
@derickydeniz583 3 жыл бұрын
Kweli kuna watu wanapoteza wenzao wasifikie ndoto zao.. ila discpline ndo kila tu Well said coy mzungu
@lamecktv4269
@lamecktv4269 3 жыл бұрын
Umenena vema brother Coy Hata kama una kipaji u have to be humble.
@zimudaniel4001
@zimudaniel4001 3 жыл бұрын
Mzungu mwenyew anajua joh master ni mwamba mbona wengine hawaangaikiii
@johnicejordan7275
@johnicejordan7275 3 жыл бұрын
Yes be humble, hashimu ulikotoka ckuzote
@Manomacho
@Manomacho 3 жыл бұрын
umezingu coy
@mikadanniel1952
@mikadanniel1952 3 жыл бұрын
Kwani alishindwa kumwambia huko pembeni? vitu vingine vinahitaji hekma huko ni kujitetea tu na kumtishia kijana
@kalufunyangenyakinyungu5087
@kalufunyangenyakinyungu5087 3 жыл бұрын
Hiyo nayo ni comedy hujajua tu mzee babaa..?
@Kal-Mary
@Kal-Mary 3 жыл бұрын
iyo ni comedy uoni byeny muambiwa iko anafanya
@frankemson
@frankemson 3 жыл бұрын
😂😂😂😂 huo ni utani tu, bro don't take it serious
@dinnocelestin1894
@dinnocelestin1894 3 жыл бұрын
Mbona huyu jamaa anaongea kama vile yeye ndio kashamaliza vile!! Nadhan hiyo humbleness angeanza kuionesha yeye hapo mbele ya halaiki. Namwona kama mtu anayetaka kuabudiwa na kuwa juu ya wengine tu
@georgeigogo9259
@georgeigogo9259 3 жыл бұрын
Nifala tuu
@georgeigogo9259
@georgeigogo9259 3 жыл бұрын
Kuchekesha kwenyewe hajui
@gwajetheentertainer363
@gwajetheentertainer363 3 жыл бұрын
Muhaya huyo
@mcheshcomedy5809
@mcheshcomedy5809 3 жыл бұрын
@@gwajetheentertainer363 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙄🙄🙄🙄
@britonngale6644
@britonngale6644 3 жыл бұрын
Jol master kichaa kweli
@dorisfabian3703
@dorisfabian3703 3 жыл бұрын
Kha huyu coy nae anajionaa anajuaaa huku walioondoka ndo wanajuaaa
@jacksonnassoro6045
@jacksonnassoro6045 3 жыл бұрын
sema Jol n kichaa nyny mnaona kma jamaa ajapafom ila Kwang ata apo jamaa alikua kazn 😂
@nickluhende
@nickluhende 3 жыл бұрын
Nimependa
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 3 жыл бұрын
Hahahaha
@kpetres2872
@kpetres2872 3 жыл бұрын
Sure🤣🤣🤣🤣
@BenCheck-jx9lo
@BenCheck-jx9lo 3 жыл бұрын
Mbona amechekesha wakati amesema hajaja kuchekesha, yani ukimuona tu lazima ukumbuke vituko vyake.
@freddieelice6377
@freddieelice6377 3 жыл бұрын
Umezinguwa. Design kama ume mdhalilisha jamaaa
@papafikiri
@papafikiri 3 жыл бұрын
Umemsema sana na kwa kweli mimi ni shabiki yako ila sijapenda kabisa hiyo approach. Hakukuwa na haja yabkumsema mtu mbele ya halaiki kuna wanaompenda zaidi ya wanavyokupenda wewe na kuna watakaokupenda kwa vile utakavyomheshimu yeye huyo. UMETUSIKITISHA SANA jukwaa lijalo litumie kuomba radhi
@samsonjacob3365
@samsonjacob3365 3 жыл бұрын
Kafanya vizuri, unajuwa asinge weka ukweli, watu wangeanza kusema coy kamnyonya joh master ndo maana kakimbia, bora kuweka ukweli wazi apo kwa mtu yeyote mwenye ufahamu mzuri atakuwa kaisha muelewa, ndo maana mpaka leo hii diamond anaonekana mbaya, kwamba walikuwa wana mnyonya harmonize, kwasababu tu, ajawai weka mambo azalani, so mpaka leo inaonekana harmoniz hana makosa, maisha ndivyo yalivyo watu wanaokushauri sio kila mtu anamalengo na ww, wengine wanataka wakupoteze, mueshimu sana mtu alie weza ona dhahabu iliyopo ndani yako na kujitoa kwa ajili yako wakati huna kitu, na waliokuzunguka walizalau, lakini yeye kakiona icho kitu.
@rajabuzaituni421
@rajabuzaituni421 3 жыл бұрын
@@samsonjacob3365 uko sahihi kabisa
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 3 жыл бұрын
Huo ni ukweli kabisa, vijana wanavimba wakifanikiwa.
@ilomogold1715
@ilomogold1715 3 жыл бұрын
@@rajabuzaituni421 sio yy ni haonize huoni kuna action hapo
@bundukitv1322
@bundukitv1322 3 жыл бұрын
Yafahamu Makosa 10 wanayoyafanya watu wenye KZfaq channel👇👇 www.mrbunduki.com/2021/01/makosa-10-usiyafanye-kama-una-unataka.html?m=1#more
@eliabeliud490
@eliabeliud490 3 жыл бұрын
Ngoja niongeze comment moja ziwe 112 like yangu Apo Sasa naitaji like zangu🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐
@victoronesmo2251
@victoronesmo2251 3 жыл бұрын
Hiyo mond vs konde boy,muelewe ni just igizo tu
@davidjoseph9776
@davidjoseph9776 3 жыл бұрын
Una akili sana wew jamaa
@keamikel1913
@keamikel1913 3 жыл бұрын
Kashindwa kuyawaliza ofisini mpumbavu mmoja tuu
@barakaamosalex9161
@barakaamosalex9161 3 жыл бұрын
Coy anaongea fact sanaaaa
@hezronmanjegeka2978
@hezronmanjegeka2978 3 жыл бұрын
Naye huyu anajikutaaa
@joanminde7905
@joanminde7905 2 жыл бұрын
Jaman yaan huyo Joel master yaan Ni kichaa. Quoted;sis Bado wadogo we have nothing Joel:Yes🤷
@kabitotv1302
@kabitotv1302 3 жыл бұрын
Hapo ndo patamu sasa atakuwa ameelewa
@mohamedhaidar8040
@mohamedhaidar8040 3 жыл бұрын
Huyu jamaa taarabu zimezid..
@LumolaSteven
@LumolaSteven 3 жыл бұрын
Coy na wewe upo chini ya nani? Kila mtu ana riziki yake. Sikuona haja ya kumsema mbele za watu huyo Kijana
@erickelly763
@erickelly763 3 жыл бұрын
Yupo chini ya Cley.. ndiye anamlea
@cmantz8837
@cmantz8837 3 жыл бұрын
Coy wapumbavu wapumbavu wakizingua achana nao
@KukuVillage
@KukuVillage 3 жыл бұрын
I will come back for comments, but i just want to know what happened ?
@eyumededu2948
@eyumededu2948 3 жыл бұрын
Alifukuzwa cheka tu
@nuruyusuf3237
@nuruyusuf3237 3 жыл бұрын
Ilikuaje akafukuzwa
@sabasshayo8414
@sabasshayo8414 3 жыл бұрын
Hakufukuzwa aliondoka Cheka Tu baada ya Coy ku sign na Diamond na wao wakaona kuwa deal haikua inawanufaisha wao so wakatoka
@chrispinkiponda8862
@chrispinkiponda8862 3 жыл бұрын
Maisha haya ( maskini)
@kilinakoshengelo2944
@kilinakoshengelo2944 3 жыл бұрын
First time Coy naona umezingua kwa leo,
@robertmolila7545
@robertmolila7545 3 жыл бұрын
Sasa siumeshawabariki siuwache waende! No need to speak of them!
@dukecriss4910
@dukecriss4910 3 жыл бұрын
Comedy ni comedy anachkesh kwa vitend 🤣🤣
@peetahluzwilo6560
@peetahluzwilo6560 3 жыл бұрын
Mkanye mtoto hadharani kamwe sio sirini
@mwasimbega8712
@mwasimbega8712 3 жыл бұрын
WAMEPANGA WAMSEME HARMO KIJANJA🤣
@samsonbabalao4158
@samsonbabalao4158 3 жыл бұрын
Mwasi wew nae wew apo Kuna hom au apo tunaangaloa cheka ti wew unaleta ten mambo ya hom
@MctMct-tt4rq
@MctMct-tt4rq 3 жыл бұрын
UMEONA HAKUNA JENGINE WANSJIFANYA USANII WA KUINGEA
@enockrwehumbiza3555
@enockrwehumbiza3555 3 жыл бұрын
Asipige kelele tu kama alivyokuwa😅
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
Kumbe ndyo maana mondi kakupa zawadi 😂😂😂
@MS.independent8934
@MS.independent8934 3 жыл бұрын
Uyo jamaaa noma sana
@emmahngadima1193
@emmahngadima1193 3 жыл бұрын
Mtoto wa dada koma!! 😂 😂
@nadhraabdulaziz9193
@nadhraabdulaziz9193 3 жыл бұрын
Koma mtt wa dada
@vivianalex8501
@vivianalex8501 2 жыл бұрын
Harmonize anajua hajui😅😅😅
@hyasintndimbo2998
@hyasintndimbo2998 3 жыл бұрын
KWANI ALIFANYEJE ETI AD Aambiwe HVYO
@sirizamwili
@sirizamwili 3 жыл бұрын
Aliondoka(Ga) Cheka Tu.
@kmotivation1130
@kmotivation1130 3 жыл бұрын
Wahaya bhna,ndo maana wachagga tu wazidi kwenye biashara ,watakuja kumkimbia wote
@erickmichaelmugele2107
@erickmichaelmugele2107 3 жыл бұрын
Biashara gani mnazotuzidi?
@kmotivation1130
@kmotivation1130 3 жыл бұрын
@@erickmichaelmugele2107 hamjui misifa mingi na washamwacha acheni sifa za kijinga,sasa nyie mnaweza shindana na wachagga nyie jisifuni,
@danieldaudi1631
@danieldaudi1631 3 жыл бұрын
nyinyi hamjui alijua anaambiwa harmonise
@youngsimbawcb1814
@youngsimbawcb1814 3 жыл бұрын
#FACT✊🏿✊🏿✊🏿✊✊✊✊✊
@emanuelmcharo3911
@emanuelmcharo3911 3 жыл бұрын
Maneno mazito sana jamaa kaongea.
@shaluissa3184
@shaluissa3184 3 жыл бұрын
Kumbe alitoka huyu CHEKA tu
@user-un3df1sl2h
@user-un3df1sl2h 3 жыл бұрын
Una lolote apo unamsema amonaizi
@victorjoseph5039
@victorjoseph5039 3 жыл бұрын
da coy mzungu alimaindi sanaa
@allybobo1014
@allybobo1014 3 жыл бұрын
Big up
@kpetres2872
@kpetres2872 3 жыл бұрын
Dogo alijua anajua anataka awe na jiko lake
@SOJADADDYOFFICIAL99
@SOJADADDYOFFICIAL99 3 жыл бұрын
Hey guys kwan hii ishu ni serious or walikuwa wanatania
@sylivestermwasile4203
@sylivestermwasile4203 3 жыл бұрын
Kuna mtu kalengwa hata sio huyo jamaa kumbuka Kuna mondi ndani hapo nadhani ushaelewa tunamaajisha nn
@SOJADADDYOFFICIAL99
@SOJADADDYOFFICIAL99 3 жыл бұрын
Ahh ouky mekupata lakini kumbuka chibu anamkubali jol master kinyama ani
@KatuniDigital
@KatuniDigital 3 жыл бұрын
Asa anaambia mashabiki ili iweje! Kha
@youngmariootz
@youngmariootz 3 жыл бұрын
@jolmaster
@SIMULIZIZONE
@SIMULIZIZONE 3 жыл бұрын
Hawa jamaa ni balaa
@solemba595
@solemba595 3 жыл бұрын
Ndio maana ktk makampuni kunakuwa na kitengo compliance, lazima kiongozi ajue anaewaongoza Wana matatizo gani? Sio rahisi mtu kulalamikia bila sababu, hamble ni suala Moja ña transparent ni suala jingine. Huwezi kutengeneza mazingira yatakayopelezea wengine kuona kuna tatizo, let's be honest, solution yakweli inapatikana kwenye mazungumzo na mashauriano....
@tonychazzyhanger
@tonychazzyhanger 3 жыл бұрын
Huyu jmaa jol😀😀😀😀
@victoronesmo2251
@victoronesmo2251 3 жыл бұрын
Cyo kitu real
@aham5350
@aham5350 3 жыл бұрын
coy aje apitie comments huku aone vile tumechukia alichofanya kwa jol master yaan kwa kifupi kamuharibia mwenzake siku
@mr.machange1377
@mr.machange1377 3 жыл бұрын
Hii haikuwa cheka tu
@mwinjanavil
@mwinjanavil 3 жыл бұрын
wangapi wamegundua huyu coy mzungu anamkopi mc pilipili uongeaji mpaka moves on stage tujuane
@musaalfani9303
@musaalfani9303 3 жыл бұрын
Inatosha sasa mpaka unaboa
@locomedelocomede805
@locomedelocomede805 3 жыл бұрын
😭😭😭
@witneywilly
@witneywilly 3 жыл бұрын
Anayesemwa sasa🤣🤣🤣🤣
@peculiaronlinetv911
@peculiaronlinetv911 3 жыл бұрын
😂😂😂😂jolly jmn
@calvinleonard7368
@calvinleonard7368 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Jol master we nii fuuck sanaaaa
@DAVID-wp4vc
@DAVID-wp4vc 3 жыл бұрын
Ahhhahhahahaha yaani anaonekana bado anachekesha
@khanafrica22
@khanafrica22 3 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/e8dymat6m8i6Zps.html Wengine wamekaza tu na wametoboa kwani Beighali?
@barakahyoungmaster3990
@barakahyoungmaster3990 3 жыл бұрын
Weee naeee miladayo unashobo Sana acha za kwani hii? Show si ilikua inazaminiwa na wasafi media Sasa wewe shobo za Nini kupost na Kama ndio hivyo mbona hujapost vingine jitahidi sana kubalansi shobo please
@petermushi24
@petermushi24 3 жыл бұрын
Daaah.... ungebaki usubiri uangalie kwa wasafi media Mwache mwamba afanye kazi yake iliyokufanya wewe uangalie
@upendotarimo9324
@upendotarimo9324 3 жыл бұрын
@@petermushi24 Kweli
@kingshiyneshiyneboy1120
@kingshiyneshiyneboy1120 3 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/jrWcnpWrudeqmnU.html king shiyne 🌟 anawaomba support yenu Sana🙏🙏🙏kwani nmetoa nyimbo nzur yenye maadili na inazungumzia maisha ya sasa ambayo tuna yaishi na dada zetu embu twenden wote KZfaq kuitazama nyimbo nzur yenye madini yake 🙏 love Sana nawapenda Sana
@dinnocelestin1894
@dinnocelestin1894 3 жыл бұрын
Mbona huyu jamaa anaongea kama vile yeye ndio kashamaliza vile!! Nadhan hiyo humbleness angeanza kuionesha yeye hapo mbele ya halaiki. Namwona kama mtu anayetaka kuabudiwa na kuwa juu ya wengine tu
@samsonjacob3365
@samsonjacob3365 3 жыл бұрын
Ulisha wai fuatilia churchill show, kasema kweli. CHEKA TU bado ni changa wanaitaji waikuze sana tena sana, ndo kwanza stand up comedy TZ ndo imeanza mda c mrefu, leo hii wakishaanza tamaaa za kutengana ili wapate pesa, iyo inakuwa ngumu kukuza vipaji vya stand up comedy wanaitajika wakuwe, na waweze kuakikisha wana fanya Festival kubwa ya kuzunguka ata mikowa 20, wakisha anza kujitenga mwisho wa siku TZ itaonekana aina stand up comedy, na kuwaita wakina erik omond, kioko. wakati TZ wakina. joh master wanasifa zote na wanaitajika wapate mafanikio wakiwa TZ motherland
SHOW YA KWANZA YA JOL MASTER CHEKATU
7:14
ZEGUY Network
Рет қаралды 14 М.
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 16 МЛН
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 14 МЛН
Jua Kali Leo Jumatano Usiku 21- 8 -2024 High Quality
23:38
Kasai Boy Tv
Рет қаралды 24 М.
JUMA JICHO AVUNJA MBAVU MASHABIKI"NAFANANA NA DIAMOND WA 2O1O".
8:35
VITUKO VYA CHARD ETI HIZO USIVAE ZINANIUMIZAGA,  UMENIONAJE
6:11
Kimonga Pro
Рет қаралды 25 М.
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 16 МЛН