Am in class, nakufrahia Sana dada Farida naamka tu Nina notification Dah hii premier nimeielewa🔥🔥🔥🔥🔥
@user-ov5dw9uk2g6 ай бұрын
Asante sana Farida ubarikiwe
@MwajumaAbdallah-mg5jp9 ай бұрын
Mungu akubariki we dada 🙏
@gladysramadhan4008 Жыл бұрын
Unatufundisha vizuri sana my dear sister, barikiwa sana
@winniekadii2128 Жыл бұрын
Asante dada Mungu akubariki
@dorisedom7358 Жыл бұрын
Madam tunaomba kujua jinsi ya kukata zilizo bebana asante
@happineschagohe9145 Жыл бұрын
Unafundisha vizuri tu my nimependa
@amandamsangi7882 Жыл бұрын
Farida ua the best nikija dar lazima nije kusuka kwako, dodoma unamuonyesha mtu video but still hakusuki exactly.
@user-gp5dm9fv7k7 ай бұрын
uko vizur sana
@leahangelo4032 Жыл бұрын
Asante Farida uzidi kubarikiwa
@naomiakilimali9229 Жыл бұрын
Asante sana nazidi kujifunza
@mourineanyango8895 Жыл бұрын
Asante sana dadangu mungu akubariki
@Equence1239 ай бұрын
NC sana
@agnesstephano8253 Жыл бұрын
Iyo nywele uliyotumia kucroch ni aina gani ya nywele
@lilianmengere29 Жыл бұрын
Madam naomba video ya jinsi ya kusuka yebo ya zigzag
@rehemalugenge7718 Жыл бұрын
Hii dada Farida sijaelewa kwenye kukata mistari ya kubebanisha happ
@ibrahimhalafu6223 Жыл бұрын
Mungu akubariki.umesema unapatika.wapi n'a ada shingapi
@japhetjoseph6521 Жыл бұрын
Waoooh💓
@jenipherjames9328 Жыл бұрын
Dad samahan jinsi yakupishanisha hyo mistal miwili imenichangany kdog
@user-gp5dm9fv7k7 ай бұрын
sijaelawa jinsi ya kupishanisha
@nurucharles3482 Жыл бұрын
Asante sn Samahn hiz nywele ulizozisuka ndo hizohizo umezitumia kukroch? Au nitofauti
@astediyan4736 Жыл бұрын
Naomba msaada wa passion twist da farida me nikisuka inafumuka muda huohuo
@jacquelineboniphace2776 Жыл бұрын
Haujatufundisha jins ya kukata hzo zilizo bebana
@lilianauma8976 Жыл бұрын
Hi ni kipaji dadaangu,ume pewa na mungu. Nauliza hivi, nki taka kujifunza kwa WhatsApp, nta lipa ada kiasi gani? Mimi ni msusi toka Kenya, though nahitaji ujuzi my dear.
@SmilingDancers-zv8vz5 ай бұрын
Kusuka hyo bei gani
@RashMumyy-ym1dy Жыл бұрын
Hy ilokrochet n nywel gn?
@christinagavile502 Жыл бұрын
Nahitaji kujifunza kwa njia ya mtandao
@Madnay-bi9yy10 ай бұрын
Mimi ata sikuelewi kabs yani at umwonyeshi mtu unavyo anza kusuka yani tu unasuka kuazia katikat sasa apo unaelewa nini
@reginasabatele4049 Жыл бұрын
Mimi naitaj kujifunza kusuka tu ada ni shi ngapi na mda gani
@angelally8366 Жыл бұрын
Dada hauna darasa za online???? Nahitaji kujifunza ila Sina mda wa darasan