Ila Kelvin uko vinzuri movie zako nazikubali Sana unaweza❤️❤️💯
@thabitharange-vz2ru Жыл бұрын
Napenda vile loveness ameamua tu mara moja..kevo umenyakua hongera😂❤
@user-ho1lh1ly8u11 ай бұрын
Kelvin mm usalam watafia 😂😂😂😂 sema ufanye mpgo wa mwendelezo wa movie zako
@monicamsile228410 ай бұрын
Gonga like kwa Kelvin jamani,mwanaume wa zamani ana principle zake
@twaibumikidadi737711 ай бұрын
Good movie - Huyu mdada amecheza vizur kipengele chake - Huyu malaya mkaka pia amecheza vizur - mjeda bado labda part 2 - washkaji pia wamecheza vizuri Big up sanaaa ❤ Tunaweza Tz Watching from uturuki hapa istanbul( üsküdar )
@elizabethalex8555 ай бұрын
Yaani nimecheka kaambiwa asiseme yeye kalibwaga mbele ya mme wa tina yaani nimecheka pia ongela kwa kazi nzuri
@dennissagala Жыл бұрын
Autaah KENYA, Doctor nakuaminia vikali sana 👊👊
@JosephAnto-fb7ej27 күн бұрын
Ahhh kelvin we nomaa nakubal muv zako ❤❤❤
@user-oq2lp8xq1f5 ай бұрын
Sema kelvin unajua sana
@chimamyjey14798 ай бұрын
Kelvin usiseme siri ya mke wa mti😂😂😂utapasuliwaa kichwa kwa bundukiii
@marrymangaro36138 ай бұрын
Kelvin mimi siezi Pata usingizi nisipo tizama movie ❤❤❤
@ZubedaShaban-fb2dl2 ай бұрын
Mwanaume wa zamani
@shabaniabdi8 ай бұрын
Kelvin na principle zake hahaa nakubali sanaa😂
@AshaKilale5 ай бұрын
Nimekuelewa Kelvin❤❤❤❤
@HadijaJuma-vp3xe7 ай бұрын
Good job Kevin keep up
@maryd1538 Жыл бұрын
Mm wa kwanza nataka like zenu kwa wingi❤❤🎉
@Dontatv255 Жыл бұрын
Sawaaa
@TresorMwembo-tg4ce9 ай бұрын
Hello my name is Grace
@SubetiIsa6 ай бұрын
❤
@ErickaizackMwaikonyole3 ай бұрын
@@Dontatv255daa aisee 😂😂😂😂 usalama wa taifa ausio
@zachayomzury2 ай бұрын
@@Dontatv255jifuze kiswahili😅😊
@davidkiptoo4382 Жыл бұрын
Wanaume wa zamani na ni single kama kondeboy 🙆🙆
@maimunachuma79946 ай бұрын
Kelvin kwa sambusa za nyama jamani 😄😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 napenda sana muv zako ua unanifuraisha sana 😂😂😂 love mingi mingi kutoka kenya ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️👍👍🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@user-qq6mv6vh3e22 күн бұрын
Sambusa za nyana nyingi😂😂
@MariamuSaed-tk4nr8 ай бұрын
Kelvin wewe ni mwamba kweli 😂😂
@user-xl2dj8ll4n Жыл бұрын
Kelivin na sabusa za nyama zimemponza😂😂❤
@user-xm4uu7he9c10 ай бұрын
Napenda sana movie zenu Zina mafubdisho ❤❤❤❤ from kenya
@kanzemange5911 Жыл бұрын
😂😂😂😂hii nikazi nzuri ak inanfurahisha Unajua kutongoza Kelvin ❤❤
@user-bw2dt5nf7c9 ай бұрын
Hahaaa anajua kutogosa haki hogera kelvin😂❤
@tumajunior6080 Жыл бұрын
Kelvin bwana na sambusa za nyama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰🥰🥰🥰👌👌👌👌wanichokesha mbavu leo kama jogoo
@user-hg9bn7yx2r5 ай бұрын
Yaaan kelvin leo umekua na mapenzi ya kihuni hahaha
@user-tq6ic8te6l11 ай бұрын
We nakubali bna😮😮
@ZaiDolisАй бұрын
Kelvini nazipenda sana muvi zakoooo jamani upo vizuri sanaa hauna baya tajiri