Noma sana shaulin sema mizukaa ileee ya kina Fifi na Jr inahitajika sanaa
@ShaqueeBlackrapper11 ай бұрын
I told them Haya maangamizi yatakuwa ya Hatari sana, SHAULIN SENETA ni mgodi uliosheheni madini mazito, RESPECT SANA SHAULIN PIA RESPECT NYINGI KWA EAST AFRICA RADIO KUPITIA DAKIKA KUMI ZA MAANGAMIZI VICHWA VIKALI VILIVYOJIFICHA HANDAKINI VINASKIKA... #HipHopIsAlive #OkoaHipHop #HarakatiKanuni #ChemChemSaanaNawana ✊🏿✊🏿✊🏿💪🏿
@user-cd4dv7wq9g11 ай бұрын
Shauli seneta fundi kabisaaaaa umeamua Wana MBEYA tuipeleke TRENDING hii
@adamdemarch556511 ай бұрын
Wangapi waliisikiliza Simu ya Dada dodoma like hapa
@silivestamlaponi239011 ай бұрын
😂ina cover ya manyoya
@yusuphkacc623210 ай бұрын
Sibwebi na beat ....sibwebi na presenter na bwebwa na STREET 👊 ✊ WANAOMKUBALI SHAULIN 🥶🚸BUTTON ...........>>>>>>>🔋
@georgieskeneth720211 ай бұрын
Presenter Kapoa Mnooo.. Hii Dk 10 ilikuwa ya Moto sana.. Bring back Frida Amani n dullah
@pcthemaster909611 ай бұрын
Mbeya ina ma mc wakali sana. Tembeleeni pale kinasa wazi mbeya.🙌🏻
@fadhilidavid897911 ай бұрын
Hakika ukisemacho p maana uko ndiko chimbo la michango watu wanafanya maangamizi ya hatari
@eustachntayandi23411 ай бұрын
Shaulin is one of the best,ila presenter hana mzuka anaharibu radha
@jingakubwa51693 ай бұрын
Kwl sister anazingua
@jingakubwa51693 ай бұрын
Kwl sister anazingua
@barakamgonja239810 ай бұрын
Presenter hana mzuka , ila mwamba katisha sana🔥🔥🔥🙌🏾
@thomasamon379311 ай бұрын
Dizasta mtupu 🔥🔥🔥
@enockmalangwa705911 ай бұрын
Huyu mwamba kaanza gemu pamoja na dizasta vina, sema ndo vile humfatilii kaka.
@motivationalimpactstories810211 ай бұрын
presenter kapoa sanaa kamkata mizuka mwanangu shaulin senetor
@ShaqueeBlackrapper11 ай бұрын
Presenter amezingua sana ina maana yeye alikuwa haoni UNYAMA unaofanyika hapo??? ILA mwana ameshusha madude kibabe Amesomeka vyema
@user-xh7xw1pi3v11 ай бұрын
One Of The Best Mcee street verified ganster rapper✊✊
@igabamc689411 ай бұрын
Dizasta mtupu😂🔥🔥🔥🔥 Umeuwa kinoma🙌🙌
@abbacylucas962010 ай бұрын
Dj na presenter amna kitu huyu mwamba katisha pamoja na ubovu wa presenter ila kaonesha uwezo big up home boy
@alphoncesamwel697311 ай бұрын
Dizasta Inspired animal The close punch lines The same flow The same presentation The same rlycis Higher UP shaolin
@ShaqueeBlackrapper11 ай бұрын
Dizasta hajamuinspire SHAULIN, n washikaji kitambo walianza game pamoja, inaonekana ww ulikuwa humfahamu SHAULIN, nenda kazitafute nyimbo za SHAULIN msikilize KWA umakini utaona utafauti wake na Dizasta
@allycaydo986511 ай бұрын
Hawa jamaa been raping together since then. Sidhan kama kuna mmoja kamuinspire mwenzake.
@ShaqueeBlackrapper11 ай бұрын
@@allycaydo9865 safi sana kumbe ww unawafatilia kitambo tuko pamoja ✊🏿
@makantaafrika11 ай бұрын
One of the best rappers in TZ right now! SHAULIN SENATOR ✊🏿🖤 EATV wekeni watu wenye mzuka wa RAP kwenye kipindi kama hiki! Sio Kila presenter na DJ wanaweza nogesha hii mizuka 💪🏿💯
@Gmafic11 ай бұрын
Hichi ndicho kimeniangusha kwenye pindi la leo kwakweli, Shaulin ana hasira na anachokifanya ila mzuka wa presenter uko chini sana yani hana vibe wakati kinachofanyika hapo ni unyama tupu. Shado 🔞🔞🔞🔞
@ShaqueeBlackrapper11 ай бұрын
Madam sijui ameachwa maana AMEPOOZA SANA tofauti na session nyingine anakuwaga na vibes
@Gmafic11 ай бұрын
Au wanawake mpaka wawezeshwe maana hizo session nyingine anapataga vibes akiwa na Dullah Planet 😂
@ShaqueeBlackrapper11 ай бұрын
@@Gmafic 🤣🤣🤣
@kaJEMBEvip11 ай бұрын
Sure apoo n JR JUNIOR ndio anamzuka
@nakali7911 ай бұрын
Simu ya dada, hata uwe mwizi vipi huuibi"... Ila nasikia namba ya tigo alipewa wiz kid"
GOAT!!! meeeeeeehmeeeeh, motto umewaka apo ndan, sema hao ma-presenter wapewe session nyingine
@ShaqueeBlackrapper11 ай бұрын
Madam amepooza sana hajampa mwana vibes kama nilivyomzoea, ila mwana ni kamanda ameshusha madini kibabe Amesomeka vyema
@venturebown698311 ай бұрын
Namskia Dizasta vina...but all in all Bravo's buda
@ShaqueeBlackrapper11 ай бұрын
Walianza game na Dizasta pia n Wana sana ukimsikiliza vizuri utaujua utofauti wao
@TimothMwalwebo3 күн бұрын
Mamae we msenge ni noma
@joowzeyboyjoowzee447410 ай бұрын
Angekuwepo mwanangu dulla planet au jr pindi kubwa ilo
@mathiasmwakibuja172811 ай бұрын
Mbeya begani.... noooma saana
@fadhilmohamoud10 ай бұрын
Mtangazaji apo akuna aisee mrudishen Jr junior anawapatia sana awa vijana
@OVMiNG11 ай бұрын
My second best rapper after Dizasta
@kaJEMBEvip11 ай бұрын
1.dizasta 2.nacha 3.shaulini 4.bando/manengo 5.?
@rajabkipanda876411 ай бұрын
Makini sana from green city
@francyfanuel128611 ай бұрын
Sema dj wa hip hop ni Dj dea peke yake huyu wa leo fala tu... 2.presenter pia kapooza kisenge hajui punch line wala nini?hiki kipindi kitammisi sana Jr junior na Fifi,wale walikua wanajua wana wanachofanya......huyu bonge leo hapana kwa kweli huyo mwamba anayechana sio mdogo sana kwenye kinasa ana balaa lake
@hobabukipaka125011 ай бұрын
Naona amekua inspired na dizasta vina
@ShaqueeBlackrapper11 ай бұрын
Hajawa inspired na Dizasta vina usiwe una comment kama HUJUI, SHAULIN na Dizasta walianza game pamoja nenda kazitafute nyimbo za SHAULIN msikilize KWA umakini utaona utafauti wake na Dizasta SAWA
@bonfacemsokwa-yc9to11 ай бұрын
mdogo angu Shaulin seneta umetisha kinoma noma , Mbeya city halla
Huyu ni moja ya mc ninaemkubar pamoja Dizasta Vina. Mbeya kuna vichwa hatar sana.
@topaztz760111 ай бұрын
Beat liko chini sana wazee
@nzizaeric534010 ай бұрын
Fireeeee 🙈🤝🙈
@johnmmbine291611 ай бұрын
Nomaaa huyuu jamaa
@nakali7911 ай бұрын
Mwanazuoni, mbeya city boy
@mussasellemani82204 ай бұрын
Huwa namuona kama Dizast hivi
@nakali7911 ай бұрын
Mbeya imejaza ma DIZASTA vinas kila kona
@mediking861111 ай бұрын
Kati ya huyu na dizasta nani anasound kama mwenzie
@warrapgtimamuskillz687211 ай бұрын
😂😂
@homan_nkwama11 ай бұрын
The same family wajuana TANGU NYUMBANI MBEYA ni chemist au nature imefanya uhisi wanaendana ila ukizoea utajua tofauti
@valencepaul460411 ай бұрын
Wanautofauti mkubwa sana anzia midondoko hadi maandishi ,,, jamaa n mkali ila MAJANGA VINA ni level nyingne
@kaJEMBEvip11 ай бұрын
The same..lkn Dizasta n profesa
@jofreymfugale47528 ай бұрын
Tofaut maandishi ila huwezi pinga kuwa wanafanana coz flow zao zinaendana sana@@valencepaul4604
@nicksonchisunga306211 ай бұрын
Mbeya mabegani shaulin💪💪💪
@joowzeyboyjoowzee447410 ай бұрын
Mwamba kaua kijambazi😅😅😅
@YuriBoyka-jb6nf10 ай бұрын
Bro shaulin ni mbora was rapp always but presentr kazingua mzuka zirro
@kaJEMBEvip11 ай бұрын
Tofaut kat ya dizasta na seneta.kwamba dizasta n story taller so shabiki n rais kumpa sikio dizasta..seneta n mchanaji
@marcomushi-nd8ku11 ай бұрын
Jini la mistari
@marcomushi-nd8ku11 ай бұрын
Shaulin tunaomba arudi tena tafadhari
@pharergyramson591810 ай бұрын
Presenter hana hata vibe hiki kipindi kishakufa
@josephnyawanga664910 ай бұрын
shaulini master....
@soomalava122711 ай бұрын
Nimkali sana anajua aswa 💯💥
@nivogee983011 ай бұрын
Jiwe la dhahabu mnigga shauli flow 🔥
@davidmuna11 ай бұрын
Kijana umeiva mitaa inakutambua sana
@giftpatrick402911 ай бұрын
Huyu jamaa ni fundi sanaaaa
@Mzava_Tz11 ай бұрын
Simu ya dada ni nomaaaaaaaa🙌🙌🙌🙌
@uchebechata982311 ай бұрын
Shaulin master kauwaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥📢📢
@lufingodaniel885811 ай бұрын
Sio kila Mtangazaji anafaa kufanya hii session...Yaani lesa yupo busy na kuchati hawez ata itikia alichoambiwa....Ei WAAAZA...Shenzi
@ShaqueeBlackrapper11 ай бұрын
Presenter amezingua kinoma au huwa anawafagilia mabishoo ina maana alikuwa haoni UNYAMA unaofanyika hapo??? Amezingua sana angekuwepo Frida Amani hapo Show ingefana sana
@user-dl6sr6ji3q11 ай бұрын
oooh Shauliniiiii Noma sana Mzee .Maaana halisi ya Hiphop
@radimctz58210 ай бұрын
misingi imezngatiwa
@josedorothea793911 ай бұрын
Oya weeeh 🎉🎉🎉🎉 mbeya salute 🙌
@mbizepoemkid47611 ай бұрын
Always green eagles to the top. #msomi
@flowinhaule745111 ай бұрын
Madam umepoozesha session
@ShaqueeBlackrapper11 ай бұрын
N kweli madam amepoa sana ILA mwana ameshusha madude kibabe Amesomeka vyema
@chifmonger10 ай бұрын
Duuh simu haizimi ata ikilowa 😂😂😂
@nzizaeric534010 ай бұрын
Simu ya dada ina cover ya manyowa 🙈🙈🙈🙈
@amosnaqbarxanaabddallah273010 ай бұрын
Tangu mwaka 2016 nakujuaga,pia black fire bado cjamuona humu
@MKWECHEMEDIA25510 ай бұрын
Noma sana shaulin
@kastorymalila110911 ай бұрын
Shaulin flow ni🔥🔥🔥
@FadaBronx10 ай бұрын
Senetaa🎉
@fourfigure-bk1pb10 ай бұрын
Kijana ako poa but ako slow kidogo na beat
@ItsFrankKAPANDE11 ай бұрын
Been waiting for this homie for so long
@hassanidrisankingilea882710 ай бұрын
Simu ya dada🙌🙌🙌🙌
@TimothMwalwebo3 күн бұрын
Ila mbeya kuna balaaa
@harrykarua923811 ай бұрын
💯👊
@mcalphana11 ай бұрын
Jamaa yupo vzur alaf n muandishi mkal sana🔥🔥🔥
@ShaqueeBlackrapper11 ай бұрын
IRUDIWEEE HII 🔥🔥🔥
@pharergyramson591810 ай бұрын
Dizasta Alisema kwenye Nobody is safe 4
@Paplick911 ай бұрын
Hatari sana 💯💯💯💯
@jamesthomas584611 ай бұрын
Kk unaweza
@adaboyzOG201211 ай бұрын
mkali umetisha🔥🔥
@gwantadibusta11 ай бұрын
Qudadeki, Fireeeeeeee
@mkolwebrown45997 ай бұрын
Dula x queen fifi wameondoka na hichu kipindi.saizi ni bored tu-toka muda tunasema huyo dada hatoshi hapo hamsikii.sikilizeni wenyewe
@kastorgeorge74411 ай бұрын
Umetisha broo
@user-qh3lz2tu2v10 ай бұрын
usiidharau miguu ya hiyo ndyo imebeba mboga
@eliezamachaku717710 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@OchoaHomeDecor_9 ай бұрын
Mzee wa Simu ya dada
@user-zo2gj4sx1l7 ай бұрын
Kaka ww mkar sana
@LehanaBanda-uf5wh11 ай бұрын
The green city....mbeya
@ventureb209811 ай бұрын
Hiki kichwa ni laana 🙌🔥
@user-zy2vg6kl1s4 ай бұрын
CHANGAMOTO YA SHAOLIN SENETA NI KUZALIWA KWENYE KARNE MOJA NA DIZASTA ILA NINACHO AMINI WOTE WAPO DARASA MOJA
@user-zo2gj4sx1l7 ай бұрын
Kak UK pw sana
@joramkuboja479411 ай бұрын
Noma sana
@gwatanotheuniversaldonor11 ай бұрын
Hatari sana
@bakarisalim937211 ай бұрын
Yaaah! Huyu ni MC
@user-gq5kj1cl6t11 ай бұрын
Broo mkari kinoma
@teilencedevard943111 ай бұрын
Kabla yaku msikiliza na download kwanza ili iwe save kwenye cm na pc yngu
@anthonymwikamba193311 ай бұрын
Kaliii...🔥
@Pip_magician11 ай бұрын
Shaolin
@shobimzawa11 ай бұрын
SHAOOOOOLIN ✌
@innowatamaduni924811 ай бұрын
Balaaaa zito
@ShaqueeBlackrapper11 ай бұрын
Mwanetu kaua kinyama ILA Presenter amezingua hajampa mwana vibes ina maana alikuwa haoni UNYAMA unaofanyika hapo??? SHENZI SANA UYU DEMU!!!, session kama hizi sio kila presenter anaziweza EATV wanapaswa kufanya maboresho
@abdallahselemani531111 ай бұрын
presenter hajui nini maana ya kipindi anachosimamia,yupi anaua na yupi anazingua,kiufupi haelewi hata misingi ya kipoindi chake,nadhani angefuatilia historykidogo ya msanii anayekuja studio pasingekuwa na huo ukimya nagalua dullha angeweza kusupport harakati so kwa ufupi naweza sema presentor anadata na muonekano lakini hajui context za msanini nini anaimba.this man @shaulini senetor ni underground legend shoo yake haukitakiwa iwe ya kidwanzi hivi.wangempa mizuka tungejionea makubwa zaidi. hoepfully kuna haja ya kumtathimini presentor na ikiwezejkana mwana apite tena!!!nakumbuka mizuka ya jrjunir na frida amani kusingekalika leohapo studio.
@mkolwebrown45997 ай бұрын
Hichi sio kipindi .kimekua upumbavu mtupu
@BraytonMossama-zf7km11 ай бұрын
Chuma family hazijawahi kukosea shaurini umeua sana