The Struggle is real Fam... Asante kwa wote mnaoendelea kutusupport ili Kuiweka HIPHOP ya BONGO mahala pale... Asante EA Radio na uongozi mzima pia ASANTE
@camillomakongwa83086 жыл бұрын
T Gwan umewakilisha vyema kusini yetu #njombe up umeua mnooooooo
@davidngimba42676 жыл бұрын
Oneloveee homeboy ngumu black.. Pumzi ya kuchebaaaa. Be blessed buddah
@Basagamp46 жыл бұрын
T Gwan Aiseeeeeeee
@abousally86866 жыл бұрын
kip up bro u can make it...heshima ndo silaha yako mkuu
@lunyatheprodigy6 жыл бұрын
you killed it mzee kama kawa kama enzi za kijiwe
@mgayamgaya6 жыл бұрын
Hip Hop ipo Kusini, Pumzi ya kutosha yan 10 Mins hakuna zile za "Nikisema Pa mnasema Pe, Paaaa Pee Paa pee" *3 . Mwanzo mwenga jamaa kaflow. Big up home boy
@nasgram5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@clementthehero7 ай бұрын
😅😅😅
@eddiedonald74836 жыл бұрын
Ukweli ni kwamba mchizi hana zile nyota na wengi tulikua hatumjui ila jamaa dakika kumi zote kachana yani ana upepo.. mi nampa 98%.. honestly hujatuyeyusha na ata wangekuongeza 10 nyingine usingetuyayusha big up bro na kila la kheri muhimu kupambana na kusali sana
@tgwan6 жыл бұрын
Amen amen Askari SALUTE
@issackmohammed080 Жыл бұрын
hizo 2 unampelekea nani sasa usiozimalizia kwake tu
@sultanhamad49246 жыл бұрын
Jamaa umetishaaaaa umefunika mastaa wote walioingia dkk10 we nimkali
@tgwan6 жыл бұрын
Asante kwa kunipa Nguvu ya kuendelea KUKAZA...SALUTE
@shabanimdugi68136 жыл бұрын
weka likes zake mwana ameumiza kinoma
@D-Man.B-Free6 жыл бұрын
Number one ☝️ on Dakika 10 za mangamizi,daaaah ana mzuka
@brightvatta2846 жыл бұрын
Kuna midundo mingi sana maemcee wanaweza kupita, karibu midundo kadhaa kwa sasa maDJ wenu wanairudia sana! Jaribuni kufanyieni kazi hilo
@mohamedbabesh5756 жыл бұрын
HAKIKA Leo nawaeleza.... dj DEA.... HAKUNA WAKUMLINGANISHA.... YUPO VIZURI KULIKO MAELEZO... BIG UP DJ DEA.
@issaboyracka48056 жыл бұрын
Jaman wa2 kama hawa inatakiwa wachukuliwe 10 bora ya kumi za maangamiz halaf itolewe ngoma moja kama cypher flan hv itakuwa 🔥naamini
@tgwan6 жыл бұрын
Inabidi uongozi Ufanyie kazi hili braa... Tuzidi kusogea... Amani kwako though
@marymichael72456 жыл бұрын
Keep it up Unachofanya ni adimu sana kwa kizazi cha sasa bila kutukana. Makambako Nyumbani
@tgwan6 жыл бұрын
Amani Hommie... Be blessed
@kelvinmartin8633 жыл бұрын
Makambako kumekucha og
@tafawasaid47406 жыл бұрын
he kill it meeeeeen jamaaa dk 10 zote katembea na beat mwanzo mwengaa
@emmanuelskmtanzania246 жыл бұрын
#Makambako stand up ☝✌ Wakilisha boy ...🎤🎼
@oscarmwanuke74395 жыл бұрын
T gwan
@georgemartin62566 жыл бұрын
T gwan umeua kinoma noma yan dakika kumi umezitendea haki shout out to you man
@tgwan6 жыл бұрын
Amani kwako brother TUSONGE
@antonkihongosi20866 жыл бұрын
nakubali makambako boy#Tgwan
@nicholauserick71796 жыл бұрын
Haijawahi tokea kama hii. Salute t gwan
@georgenomaawejamaa44726 жыл бұрын
T jamaa mnyama sana u ko tofaut sana
@tgwan6 жыл бұрын
Amani kwako Braa TUSONGE
@petersagala77566 жыл бұрын
T Gwan umekalisha sana mzee........mtaa ushakuvika crown ya uking wa hiphop all the way from makambako reppin southern side
@tgwan6 жыл бұрын
Amen Amen Brother... Lets Kip On Moving
@godfreykyando12986 жыл бұрын
njombe juu babake t ngwana umetisha sana brza safi
@mok_njm61446 жыл бұрын
Godfrey Kyando sanaaaa
@samsonmatonya36085 жыл бұрын
Dj katulia, angekuwa Dj summer angempoteza mchizi
@alwatanafrikan59106 жыл бұрын
umenipeleka, kisha ukanirudisha, nasema niache hapa hapa... ulitisha na umetisha
@tgwan6 жыл бұрын
Amani kwako Ma Hitter TUSONGE
@mshefatv40035 жыл бұрын
Mwanagu ckuwahi ku comment lakn hapa nimekubali yuko vzur rapa baro wa dakka kumi ndio huyu hatareeeeeeeeee100%
@tgwan4 жыл бұрын
Here We Go...
@tgwan Жыл бұрын
#RESPEK ✊🏾
@kingrasdee4455 жыл бұрын
Jamaa alitsha mbaya hakka bongo 2na vpach sema uwezeshwaj ndo ttz kubw. Cjw nan wa kuwahamacsha viongoz mpak cku wajue mzik ni kaz kam kaz zngn. Jamaa ana pumz n shda.
@tgwan5 жыл бұрын
NENO...
@andrewmaurus78646 жыл бұрын
Hey hey T gwan u kill it meeeen salute to you bro.keep it up mzee
@kipungaswitzer32946 жыл бұрын
🔥🔥 umekiwasha T Gwan no yoyo yo yo bless up
@twahaismaili48115 жыл бұрын
fresh xana t gwan umetisha uko unique kimichano
@dkensmopainvevo36836 жыл бұрын
Jamaa ana bust na kuflow na word play kinoma ila Punch line sufuri 💪💪 katisha saana
@eliamwakalong61606 жыл бұрын
Jamaa anaua sana nimependa staili yake iko kivyake sana yaan full kukimbia na anapumzi
@stiviemshuza4466 жыл бұрын
Ebhana hatar sana T gwan ,keep it up
@mtokambali84906 жыл бұрын
Hip hop ni kweli ipo kusini... Anae bisha asubiri jamaa wakuitwa Mtoka mbali atimbe hapo one day 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@daboyjox79306 жыл бұрын
Mchiz mkali nimemkubali sana big up
@monyogang30046 жыл бұрын
Noma mzee #TGwaan Umeangamiza
@ibracadabra76876 жыл бұрын
Mchiz ka-flow poa sana..thumb up bro
@tgwan6 жыл бұрын
Thumb Up too Brother... TUSONGE
@meshackdanda1006 жыл бұрын
Home Boy.... Nakuona mbali, Safi sana!... Tunasubiri Midundo
@isamiloprezdent68076 жыл бұрын
Katishaa sanaaaa sema tunaomba dakika kumi ziwe angalau cku mbili ndan ya week itakua mzuka sanaaaa coz ma mcee n wengi ili tuwape nafasi
@edwinlawi65386 жыл бұрын
kweli brow
@lawichogo18616 жыл бұрын
top5 t-gwan .maarifa the bg thinker , boshoo
@davidprotas22076 жыл бұрын
Anajua mzee
@littlerealnation24536 жыл бұрын
U gat swag now put it on...#shavu sana t gwan representing south side..home boi. Rap boi
@tgwan6 жыл бұрын
TUSONGE
@erickdioniz13306 жыл бұрын
Safi sana.Bro umefanya kitu kikubwa unajua
@illushadahkid34006 жыл бұрын
Midude noma yoo... salute ninja T gwan
@tgwan6 жыл бұрын
Amani kwako Illmatic... SALUTE
@bashirisalumu86125 жыл бұрын
Nikichogundua iringa mko vizuriii ..r.I.p geeeev
@mosesrichard82406 жыл бұрын
Makambambako ndauli bee dogo ana pumzi balsa yuko vizuri
@tgwan6 жыл бұрын
Haaahaaah Amani Ma men men TUSONGE
@gervaswenceslaus61586 жыл бұрын
Hii ndo maana ya 10 za maangamiz....yan akuna mbwembwe mistar mwanzo mwishooooooo
@Basagamp46 жыл бұрын
Nomaaa kijana watu
@barakamichael46216 жыл бұрын
t gwan nomaaaaaaaa sana boi
@melikmwosotemwasote98136 жыл бұрын
Jamaaa anawezaaaaaaaa
@adv.claverymlowe47916 жыл бұрын
Ninja unajua mzee
@absoniluvanda10056 жыл бұрын
asante kwakazi nzuli kilosafi nimeenjoi ila chamsingi nikuendelea kukaza pamoja Makambako nyumbani
@tgwan6 жыл бұрын
Amen Amen Braa... TUSONGE
@isubamen6 жыл бұрын
kijana ni fireeeeee
@fredymbajo14856 жыл бұрын
Tisha sana t gwan iyo ndio mikato ya hiphop umechafua kipaza hakuna mfano boi
@felixkilave91716 жыл бұрын
Wanyumbani mwezangu 🙌🙌🙌
@jileckatanga47955 жыл бұрын
jaman mim kilio changu uyo dada tu nampenda alivyo
@kabindamatata16666 жыл бұрын
Huyo chalii T'gwan.. Ni kwikw ariffffff ni yeeeeeeeree!!
@tgwan6 жыл бұрын
Amini Maalim SALUTE
@odamanbarnaba65826 жыл бұрын
Southern Tz stand up ..... Tsha sana yani...
@enockngendakuriyo67596 жыл бұрын
Uyu jama nomaaa saaana nimekubali🍺👊
@benrocktz6 жыл бұрын
Unatufurahisha na kutuwakilisha saaana wa kanda ya juu kusini. Sisi ndg zako makambako tushaanza kukuombea dua soon nasi kina Benrock tunakuja kwa udhamini wa TOUCH THE SKY MUSIC na muandaaji wake KY Marz beats. Keep on moving
@tgwan6 жыл бұрын
Amani kwako Man KY Kanitumia DUDE ... Wewe ni Habari Nyingine Brother TUSONGE
@Gdjn9743 жыл бұрын
Yan umeuwa mzee vibyaa mno daaa (HMBY)
@schoblemtwltz90516 жыл бұрын
Cold City (Mk stnd up) nicee bro
@tgwan6 жыл бұрын
TUSONGE
@schoblemtwltz90516 жыл бұрын
T Gwan fanya kwel Mr
@AndroidTz6 жыл бұрын
T-Gwaraaaaa Gun... u kil de beat
@amanimgaya8236 жыл бұрын
Kutoka home.......Halaaaaaaa T-GWAN
@calvinminja29236 жыл бұрын
wa kwanza kuview na wa kwanza kucoment #Hiphop #kiswanglish
@deogratiuskombe57896 жыл бұрын
Umetishaaa Sanaa
@esaungumbi91265 ай бұрын
Five year later still hot 🔥 mzee Tgwan uliumiza humu
@lawichogo18616 жыл бұрын
kama kuna mtu atashindana na uyu aje apambane mamae kwenye mic apa
@glover25536 жыл бұрын
Dah kwa hizi floo,,hip hop inaweza kuzaliwa upya kwa ma mc wapya,,
@tgwan6 жыл бұрын
Amen
@amannziku5904 ай бұрын
T gwan mnyama killed it bro
@tulisanga20235 жыл бұрын
Jmaa anamapepo ya hip hop kimenukaaaaaa
@khatibkapire8773 жыл бұрын
25/8/2020 bado tunaifuatilia big up T gwan
@tgwan3 жыл бұрын
Heshima Kwako Mi Breda... #TUSONGE
@clavelzaddy7956 жыл бұрын
DJ unazingua kila siku kwani beay mpaka uweke za bongo hata za mbele gonga unawatoa ma MC kwenye vibe some time *****MAONI TU*****
@tunafishtunna47716 жыл бұрын
Daaamn,dopest mc on the makin,bigup bruh
@tgwan6 жыл бұрын
Amani kwako Tunna
@jeremialauden57106 жыл бұрын
Rap sourthen highland zone wakiongozwaa na mentally
@kingcharlz33256 жыл бұрын
Mleteni Naguar the durable a.k.a Kijogoo
@callmangumbo15526 жыл бұрын
90 Kaua hajaleta zile nichane nisichane" can I kiki" Anajua Jinsi ya dakika kumi
@aboubakarseley21225 жыл бұрын
mkali saaana jama huu hip hop yake kali sana unadhani ni 50cent kbsa
@tgwan5 жыл бұрын
Amini
@miltonemusumbah25446 жыл бұрын
Rating 7/10 Yuko sawa kufreestyle na hajasitasita ila hana uzito wa punchline. but jamaa yuko sawa
@cuthbertsafari39996 жыл бұрын
Miltone Musumbah 254 yeah
@ToyTz6 жыл бұрын
hujui mziki wewe/hiphip)
@rehemaahmed81206 жыл бұрын
Miltone Musumbah 254 kwa 255 ntajie 5 best MCs/rappers unaowakubal
@vitalismdendemi99876 жыл бұрын
soluuute t gwan ,umeangamiza kweli asee
@bentenamaz49876 жыл бұрын
nimemwelewa Sana jamaa
@African2TheWorld6 жыл бұрын
Jamal hatari sana, dakika zote zimetumika yani
@geofreymwangalika6 жыл бұрын
Ni #Konyo 🔥🔥🔥🔥🔥✌✌✊✊✊✊✊
@tgwan6 жыл бұрын
Aminia Braa Be Blessed
@zackchriss94556 жыл бұрын
Shidaa xana ani metixha toka mk .....Nj stnd up
@allymussa25326 жыл бұрын
N burudani tosha,,,unakosaje dak 10 za maangamiz
@odamanbarnaba65826 жыл бұрын
Umewakisha vyema Hom boi.... Nazan wameelewa , mana moto huo haukua moto wa kizembe
@fatumamsofe2606 жыл бұрын
Mdogo mdogo naenda town na Mataa siyashangahi t Gwan noma
@kibabulikonga42973 жыл бұрын
Imekomaa Sana hii tagama
@richardngailo63326 жыл бұрын
Pamoja hom boi umeuwa mzee
@jimmilykawia9766 жыл бұрын
t.o.d jmn mtuleteeeee
@JayLuda6 жыл бұрын
aminia sanaaaaa T hubatish
@philemonmsetule61736 жыл бұрын
big up home boy !!!
@donzaumaji5066 жыл бұрын
om boy hip hop usiiache nimeanza kukusikia kwny ile cypher na kina boshoo, kaza om boy
@tgwan6 жыл бұрын
SALUTE Home boy TUSONGE
@donzaumaji5066 жыл бұрын
sikilza fresh miruzi usije ukajimix UMBWAAA,,,,,
@tgwan6 жыл бұрын
Amani kwko Askari ...Asante kwa mrejesho braa
@cypherkongwe19106 жыл бұрын
Mitambao na mitindo 100%√√
@tgwan6 жыл бұрын
SALUTE Braa TUSONGE
@davidngimba42676 жыл бұрын
Budddah tisha sanaaaaaaaaaa
@harmoniky40006 жыл бұрын
100% naungana na @fifi.
@masika3155 жыл бұрын
Nyoa
@mohamedwilson66712 жыл бұрын
Favorite tgwan
@alumpost66314 жыл бұрын
nzuri broh
@ambrozywzanzibar4226 жыл бұрын
Uwezo unajieleza
@jaffarmakalah98346 жыл бұрын
Twagwani boy ayeeeee !!
@mullerrbn48526 жыл бұрын
Jamaa No 1
@aboubakarseley21225 жыл бұрын
kama unamkubali gonga tumpe like zake saluti kwake
@papechoarafat116 жыл бұрын
Katishaa pumzi ndugu.... Flow kali....
@clavelzaddy7956 жыл бұрын
DJ unazingua kwenye upande wa midundo kila siku tunasikia midundo jau jau ******MAONI TU*****