DALILI ZA KUKUJULISHA UNASHAMBULIWA KIROHO || PST. GEORGE MUKABWA || 15/06/2023

  Рет қаралды 419,998

Pastor George Mukabwa (JRC Church)

Pastor George Mukabwa (JRC Church)

Жыл бұрын

#Tanzania #jrctz #jrcchurch
Gospel Teachings for soul winning Purpose.
#jrcchurch #Tanzania #jrctz
Gospel Teachings for soul winning Purpose.
#jrcchurch #Tanzania #jrctz#youngministersconeference2023#
Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
#jrcchurch #Tanzania #jrctz #PastorGeorgeMukabwa

Пікірлер: 959
@newgeneration9524
@newgeneration9524 6 ай бұрын
Duuuuh huyu pastor ni kwere, nilikuwa simjui ila naona nimekuwa addicted na haya mahubiri, hata siwezi kulala bila kumaliza mahubiri🤔🔥🔥 Mungu ambariki sana
@Paul3G
@Paul3G 2 ай бұрын
Same thing here he's a spiritual man
@user-fq4sx7qk7j
@user-fq4sx7qk7j 4 ай бұрын
Since I heard this pastor teachings as I was scrolling you became my pastor online ,am blessed day by day ,may the Lord you
@Paul3G
@Paul3G 2 ай бұрын
Same thing here he's a spiritual man
@user-yd3qb2ne6u
@user-yd3qb2ne6u 6 ай бұрын
Jamani hawa ndio watumishi wakweli wanatufundisha neno la kweli jinsi tunavyoshambuliwa kiroho... Asante baba nimepokea neno Amen
@furahaangos7222
@furahaangos7222 3 ай бұрын
Ameen amina mungu akubariki sana mtumishi wa mungu, yote uliyohubiri mjungaji ni kama ni mimi ulinihubiria ubarikiwe sana kwa kunifungua amina ubarikiwe
@doricaedisson5182
@doricaedisson5182 6 ай бұрын
Nimebarikiwa kuliko kawaida nahisi waumini wako wanafaidi Sana, Endelea kutenda kazi ya Bwana vyema. Baraka za Mungu zikufuate popote pale uendako mtumishi wa Mungu.
@olphanyamweya3154
@olphanyamweya3154 3 ай бұрын
Thanks JESUS, nimebarikiwa hakika nitainuka niendelee na safari ya Imani.
@erickmahindu9198
@erickmahindu9198 5 күн бұрын
Plz pastor pray for me Niko na kitu Cha kusoms najikumbusha inafaa nisome but nilimaliza kazi nasahau kusoma, au nilisoma sielewi neno na ninapatwa na ucngizi,,,but kuomba naomba na ninaona ndoto za ajabu sana plz I need your prayers
@KaswahiliMgongomalo
@KaswahiliMgongomalo 13 күн бұрын
Amina mtumishi Mungu azidi kukufunulia zaidi na zaidi
@anjelakigava3887
@anjelakigava3887 7 ай бұрын
Hili somo ni langu asante Yesu kwa kibali umeruhusu nisikililize apa
@elizabethchima8098
@elizabethchima8098 10 ай бұрын
Hili somo unaongea na mimi🙌🙌🙌🙌🙌
@AgnesJonas-jz5oo
@AgnesJonas-jz5oo 9 күн бұрын
Barikiwa sana mtumish neno hili limekuja kwangu wakat sahihi ahimidiwe Mungu anaetuwazia mema
@mbanzaviolette1367
@mbanzaviolette1367 11 күн бұрын
Ubarikiwe sana baba aya mafundisho ya na nifaa mimi kwa kweli nime saidiwa
@user-hp3zx5lu5b
@user-hp3zx5lu5b 8 ай бұрын
Hakika umenena vyema Mtumishi wa MUNGU, Ubarikiwe sana✍️🙏🙏
@user-ur2ip7ds9o
@user-ur2ip7ds9o 3 ай бұрын
Kabisa mtumishi WA mungu Mimi nimagojwa na hospitalini haionekani ugojwa chest pain
@user-bl2jj5lo4q
@user-bl2jj5lo4q Ай бұрын
Amina napokea baraka kwa jina na kwa Damu ya YESU KRISTO
@jenipharobert9694
@jenipharobert9694 Ай бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji yaan sijui kwann sukukufaham siku nyingi. Mafundisho yako ni mazuri sana unaongozwa na Roho Mtakatifu mchungaji. Mungu akuinue sana.
@edisonmaliva1719
@edisonmaliva1719 11 ай бұрын
Amen mtumish Nmejifunza kitu Kikubwa sana. Ila dalili ya 1 & ya 8 n Zahatari mno na Za kuziepuka kwa Kila namna MUNGU atusaidie.
@FelistaMukami-ks7fm
@FelistaMukami-ks7fm Ай бұрын
Nimependa neno lako,niko sauda Arabia huku akuna kuenda kanisa so you are my father nitakuwa nakuzikiza online Amen
@MmelaRamadhani
@MmelaRamadhani Ай бұрын
Pambana huko Mungu akutie nguvu
@jasminesungura8730
@jasminesungura8730 24 күн бұрын
MUNGU awe pamoja naweee
@user-yn3xu3nm4t
@user-yn3xu3nm4t 7 ай бұрын
Everne moris mungu akupiganie sana Kwa kaz nzuri umenijenga sana nasomo hili barikiwe na mungu mtumishi wa kweli amena
@AmAm-xt1og
@AmAm-xt1og 20 күн бұрын
Ameni! Nimekuelewa mtumishi
@obbykimbale9842
@obbykimbale9842 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi mungu amekutumia kwa ajili yangu dalili zote nimejifunza nimepitia nilikuwa karibu na kupotea hakika nimepata nguvu mpya
@fezafaustin5103
@fezafaustin5103 2 ай бұрын
Amen Mungu wangu kwa kunikutanisha na haya mafundisho ya leo,nimehisi upenyo wa roho mtakatifu ndani yangu.asante yesu.
@fatumasalehe4449
@fatumasalehe4449 Ай бұрын
Najifunza mengi sn kupitiai huyu Pastor.MunguAmtumze
@adrophwilliam3225
@adrophwilliam3225 3 ай бұрын
Ujumbe wa Mungu kwangu kupitia mtumishi wa Mungu huyu umeniweka huru.Asante sana Yesu Kristo uliye Bwana na mwokozi wangu. Hakika mwana akikuweka huru unakuwa huru kwelikweli.Amina
@elizabetty-rt7py
@elizabetty-rt7py Ай бұрын
Asant aposto kwa mafundisho mungu wetu akaubaliki
@user-ov8rr9yc7f
@user-ov8rr9yc7f 10 ай бұрын
Hallelujah glory to God..🙏🙏🙏
@MercyOgutu-oo4mh
@MercyOgutu-oo4mh 4 ай бұрын
Thanks for the message May the LORD meet you to your point of need. And remain blessed
@sylviamukabwa6804
@sylviamukabwa6804 3 ай бұрын
I have been so blessed since I started listening to you pastor you are a blessing
@user-gd5ip1dv9k
@user-gd5ip1dv9k 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu.
@jacklinenatocho2443
@jacklinenatocho2443 7 ай бұрын
Powerful revelation.. Hallelujah!
@zipporangare
@zipporangare 8 ай бұрын
Ninawochi kutoka saudia,,,pst maombi yako yamenifuza mengi,,,na nina imani nitajua kuomba na kusoma bibilia kutoka kwako,,,,,amen 🙏🙏
@user-zs9kr3tc5x
@user-zs9kr3tc5x 7 ай бұрын
Nashukuru MUNGU kwa kuniongoza moja Kwa moja Kwa mtumishi mukabwa Kwa sababu Leo nimefunguliwa naomba unisaidie na mengine yafunguliwe
@user-eg8vz4cm2n
@user-eg8vz4cm2n 7 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu na Mungu wa mbinguni akuzidishe zaidi ili izidi kutuhudumia .... Amen
@kosopa-df3io
@kosopa-df3io 9 ай бұрын
Haleluya JESUS Mungu Mukomboe watu wako
@nicolerose5112
@nicolerose5112 7 ай бұрын
Baba, yote ume huburi ndo Hali nayoishi sasa. Mwenyezi Mungu akubariki saan kwa ili neno. Tuna wafwatilia from Norway. Nashukuru Mungu maana nime elewa sasa nini inayo nisumbua na hivi nitashinda maana nimepata strategy naamini nita shinda ktk yeye atutiaye Nguvu
@MutanganaHakim
@MutanganaHakim 9 күн бұрын
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen 🇷🇼
@user-hg4py7el3i
@user-hg4py7el3i 3 күн бұрын
Ubarikiwe sana pastor
@LucySimeo-ci6jd
@LucySimeo-ci6jd Жыл бұрын
Mungu akubariki saaana, kweli wewe ni mwalimu Mungu akutunze
@mathewsmathew5280
@mathewsmathew5280 11 ай бұрын
Mtumishi ,this word has found me at the right time, kumbe nilikuwa nimevamiwa ,but after 3 days of fasting , I thank God almighty for this word .
@chipedaniel
@chipedaniel 9 ай бұрын
Mchungji umenibariki sana
@evelynmsoma764
@evelynmsoma764 7 ай бұрын
Amen
@akwadaniel5383
@akwadaniel5383 26 күн бұрын
Hii imenigusa sana Pastor @George Mukabwa 🎉Mungu abariki
@pytchenJmsBSK
@pytchenJmsBSK 8 күн бұрын
amen mtumishi mafunfisho ya muzuri sn
@SarahAbuliOtienoOtieno
@SarahAbuliOtienoOtieno 3 ай бұрын
Nashukuru kupatana na huyu mchungaji kwa kweli nabarikiwa Sana nipo kenya
@josephinelauwo4947
@josephinelauwo4947 2 ай бұрын
Mungu azid kukutumia baba nabarikiwa nafunguliwa sanaa kupitia mafundisho yako Mungu akutunze. Sanaa
@esterheri9592
@esterheri9592 10 ай бұрын
Amen baba angu 🙌 kuanzia sasa nimefunguliwa katika jina lipitalo majina yote Yesu kristo💪💪 nimepona na mashambulizi yote ya ibirisi niko huru 🙌🙌🙌🙌
@SARAHMLELWA
@SARAHMLELWA Күн бұрын
Àmen
@AgostinoSampala
@AgostinoSampala 23 күн бұрын
Amen Mungu akubariki saana mtumishi uzidi kuwa baraka kwa watu wote
@user-wn6es2wz3b
@user-wn6es2wz3b 24 күн бұрын
N'a shukuru sana mutumishi kwamahana yote ulioya sema nimahisha yangu kbsa lakini sasa Imani ndafunguliwa nili hamka sa Saba ya usiku nikafikiya mayubiri iyi kweli rho aliniongoza
@farajaramadhani5483
@farajaramadhani5483 6 ай бұрын
I use to ignore watching this video many times. I didn't know it has this wonderful message for me 😢😢😢. May the almighty God Bless you Man of God.
@user-pk7eq4uz3k
@user-pk7eq4uz3k 6 ай бұрын
😊..
@user-pk7eq4uz3k
@user-pk7eq4uz3k 6 ай бұрын
Mm😊 my
@user-he7ck4zb9b
@user-he7ck4zb9b 5 ай бұрын
😮
@pelagiadamiano
@pelagiadamiano 5 ай бұрын
Blessed mtumishi wa Mungu
@floranyefwe3464
@floranyefwe3464 2 ай бұрын
This is me. So today fifteen April I just scrolled it so many times but I decided to listen
@catherineangaufoo2530
@catherineangaufoo2530 Жыл бұрын
Amen & Amen. Ubarikiwe mtumishi.
@yohanamkumbo2488
@yohanamkumbo2488 15 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Asante sana mungu akubariki
@myalanity5207
@myalanity5207 8 күн бұрын
HUWA NABARIKIWA SAANA NA UTUMISHI WAKO🙏🙏🙏
@suzanakiwele1832
@suzanakiwele1832 8 ай бұрын
KABISA HUYU MTUMISHI JAMANI, MUNGU AMBARIKI,SANA YAANI NIMEPATA DELIVERENCE KWA KUSIKILIZA TU, MTUMISHI MUNGU AKUBARIKI SANA 🙏
@witnesskileo3552
@witnesskileo3552 4 ай бұрын
0⁰😢😢
@YvetteMandenge
@YvetteMandenge 4 ай бұрын
Ni kweli kabisa wewe uko natufunguwa vichwa mafundisho mazuri sana
@YvetteMandenge
@YvetteMandenge 4 ай бұрын
Amen amen amen amen amen amen amen
@biancaryan-jx8kl
@biancaryan-jx8kl Ай бұрын
Amen🙌
@paulineandrew5232
@paulineandrew5232 Ай бұрын
nashukuru Sana kwa mafundisho
@PastorGloryDavidRupia-mh8kt
@PastorGloryDavidRupia-mh8kt Жыл бұрын
Amenii Baba nmefunguliwa sana sana hili somo kunamahali nmetoka na Kuna mahali na kwenda Mungu wa mbinginii Akubariki Baba 🙏🙏🔥🔥
@marthaadammakatobemwakatob4246
@marthaadammakatobemwakatob4246 4 ай бұрын
Aminaa umenibariki San mtumishi wa mungu
@esteryohan290
@esteryohan290 2 ай бұрын
Amina, nimepata kitu Mungu akutumie zaidi
@ItsPasonYT
@ItsPasonYT 8 ай бұрын
Glory to the Lord. Thank you Jesus.
@marywafula2858
@marywafula2858 7 ай бұрын
Amen Amen Amen nimejifunza kwa huu ujumbe sitakubali tena kutolewa kwenye nafazi yangu💥💥🇰🇪🇰🇪roho ya uzito 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 in Jesus Name 👏👏👏
@mwendaAnnastacia-xy4ni
@mwendaAnnastacia-xy4ni 3 ай бұрын
Annastisia
@EwaldKweka
@EwaldKweka 2 ай бұрын
Yaaa,uyu ni mtumishi wa kitofauti,anatumikia kusudi la Mungu sirias.tunamuomba aje daa.
@samweliantoni7707
@samweliantoni7707 11 ай бұрын
Amina Asante mtumishi wa Mungu ubarikiwe kwakutuamsha kiroho ubarikiwe Mungu na kushukuru kwamengi uliyoyatendakwangu naunaendelea kutenda yesu wa bwana wetu Mungu mwenyezi naomba ya simamie maishayangu bwana tumainilangu na imani yanguipokwako baba wambinguni wewe shetani sinahaja ya kupigana na wewe nakukataa na kukupinga kwaneno la kiristo nenolabwana litanisimamia. Amina amina amina.
@estherawino5536
@estherawino5536 Ай бұрын
This massage is mine, all things you mentione man of,am there right now, God of mercy remember me, thank you man of God,am from Kenya
@StevenHalili
@StevenHalili 7 ай бұрын
Am so glad man of God to hearing your teachings coz am gaining so many good spiritual things .ooh God thanks so.
@rhodagwivaha8680
@rhodagwivaha8680 7 ай бұрын
God bless you! You are a man of God!
@user-pw9oj9wm5r
@user-pw9oj9wm5r 4 ай бұрын
Oooh my Lord my God you bless me pastor you teach me
@ChristinaSanga-pl5jm
@ChristinaSanga-pl5jm 10 ай бұрын
Asante kwa huu ujumbe hakika umekuja kwa wakati kwangu Mungu anifunulie hili neno lifanye mabadiliko ndani yangu
@LilianAkoth-xq1rl
@LilianAkoth-xq1rl 9 ай бұрын
Amen man of I have learned many things from this teachings
@calistuskongani4934
@calistuskongani4934 9 ай бұрын
Man of God you been blessings to me, since i started following you on KZfaq.
@user-cx4jl6wk6m
@user-cx4jl6wk6m 6 ай бұрын
Mafundisho mazuri ya kufungua mtu kwenye vifungo vya shetani Mungu akubariki sana Pst
@user-ld4pu3jg7m
@user-ld4pu3jg7m 8 ай бұрын
Mungu aendelee kukutumia Mtumishi wa Mungu, nimekuelewa, hili somo limekuwa mkuki kwangu, nami nitasimama tena ktk zamu yangu
@peaceirene8183
@peaceirene8183 10 ай бұрын
Amen, namshukuru mwenyezi Mungu Kwa kuniambatanisha pamoja na mutumishi wake ilikunieka kwenye njia sahihi ya neno la Bwana. Nabarikiwa kila wakati ninapo sikiza mafundisho ya kwako. Mungu akuzidishie afya na nguvu ya kuendelea kufanya Kazi yake Amen
@deodatasndunguru989
@deodatasndunguru989 9 ай бұрын
Mungu akubariki. Sana mtumishi hakika unagusa Sana maisha Yangu Amin
@deodatasndunguru989
@deodatasndunguru989 9 ай бұрын
Naomba tuongeee Mtumish ninashida
@happynescostat7420
@happynescostat7420 11 ай бұрын
MchungajiMungu akubariki,nimejifunza ambayo sijawai kuyasikia popote,Ubarikiwe sana,Maneno yako ni mazito!!
@lustikamlwilo7528
@lustikamlwilo7528 6 ай бұрын
December 2023 Na nmeponywa na neno La Mungu kupitia wewe Barikiwa sana baba
@ApostlealexMayebei
@ApostlealexMayebei 17 күн бұрын
Amen nimebarikiwa sana
@beatriceragak4745
@beatriceragak4745 7 ай бұрын
Amen,this message was for me surely, I,ve been under spiritual attack for long
@musungukelvin3621
@musungukelvin3621 7 ай бұрын
Amen and Amen, you don't know how much you have helped me. May the All knowing God richly shower you with His blessings. I believe that with a sincere heart, God has given me another chance to enjoy my freedom has a man and His servant in His presence and that I may also share in His blessings through offerings and testimonies. God bless you for inspiring my soul and restoring my stolen freedom of worshipping.
@user-qb8bh9lm9h
@user-qb8bh9lm9h 6 ай бұрын
Mtumish wa mungu bwana yesu asifiwe. Mafundisho yako yameniingia sana mm kunamda nashindwa kuomba nakusinzia atanikipanga malengo ningum kuyatimiza naomba uniunganishe kwenye maombi yako jaman
@joycefrank5630
@joycefrank5630 11 ай бұрын
Barikiwa baba angu mtumishi George. nilipokuwa mwanza nilijifunza mengi sana kupitia jrc ...ni zaidi ya chuo
@authurmwenda496
@authurmwenda496 Жыл бұрын
Asante yesu kwakumupa mutumishi wako neno sahiyii ,nimebali Kiwa .nakufunguliwa.
@bettykageza1964
@bettykageza1964 11 ай бұрын
God bless you pastor
@JescaFesto
@JescaFesto 2 ай бұрын
Asante mungu kwakunifungua na kufatilia mahubil haya
@saralusinde53
@saralusinde53 11 ай бұрын
Asante YESU nimeponywa leo!! i was under attack OMG GOD YO NEVER MADE MI FOOL i will prosper in JESUS NAME.
@sharonnabwilewafula1558
@sharonnabwilewafula1558 Жыл бұрын
Hallelujah mtumishi wa mungu nimepata ufunuo kupitia hilo neno 🙏
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu asante kwa somo hili
@Bernadetterehema
@Bernadetterehema Жыл бұрын
Ubalikiwesana nitaamkatenakiroho
@benedictmillinga4297
@benedictmillinga4297 Жыл бұрын
Amen, ipo hatua ninasogea
@georginanyamanga7241
@georginanyamanga7241 11 ай бұрын
@@BernadetterehemaaYYAA araYaaaeAaaayayaaA ayauaaayayayaYaaaaAyyaaaayayaaayyYAaaayaaayyaayaaayyaaayyaayyayyyayayaua
@user-qg2lz5it7q
@user-qg2lz5it7q 10 ай бұрын
Glory be to God
@JanethLukuna
@JanethLukuna 9 ай бұрын
Mungu hakika uko upande wangu umenifungua kwelkwel adui jana nafasi yote kwangu 1:32:16
@jameskyumbu6959
@jameskyumbu6959 4 ай бұрын
Well done Pastor.nimesikiza Neno la mungu kupitia kinywa chako nimebarikiwa Sana.Barikiwa Sana mchungaji George.Unaweza shngaa ujumbe ni wa kitambo lakini Neno la kiungu halizeeki nijipya kila kuchao.mimi mkenya Pwani.
@alexmdaa9523
@alexmdaa9523 11 ай бұрын
Amen nimebarikiwa sana na MAFUNDISHO ya neno hili Bali naomba kitabu chako MCHUNGAJI.
@YacoboHussain
@YacoboHussain 6 ай бұрын
Mungu akupe neema yakuishi pasta
@Kekee9595
@Kekee9595 6 ай бұрын
Huyu ndie mchungaji ambae hana utapeli ndani yake ila anahubili akiongozwa na ROHO WA MUNGU. Naomba MUNGU azidi kumuinua na kumbariki in everything.
@kareganjagi8640
@kareganjagi8640 2 ай бұрын
Ameen 🙏🏾🙏🏾
@lufapavifapavi6277
@lufapavifapavi6277 2 ай бұрын
Very true anahubilii pure ijili. May aGod fight his battles.
@user-ub8vm1go9j
@user-ub8vm1go9j 2 ай бұрын
❤❤❤
@elizabethndila
@elizabethndila Ай бұрын
Me too l love his teachings..,
@NaomyDaudi
@NaomyDaudi Ай бұрын
mungu ambariki
@user-gn8vr7ub5p
@user-gn8vr7ub5p 7 ай бұрын
Mungu abariki hii neno nimebarikiwa sana na Mungu akubariki Mchungaji.
@lydiamulusa96
@lydiamulusa96 2 ай бұрын
Feeling blessed from Kenya
@yasinthatemba1336
@yasinthatemba1336 2 ай бұрын
Yaaan haya mahubiri nilikuwa sitaki kuyasikiliza,Kumbe ni ujumbe wangu kabisa 😢, Naomba nipiganie Mungu wangu
@severinolubugo
@severinolubugo 2 ай бұрын
HIZI BATTLE NI WEWE MWENYEWE KUPIGANA! Kaa kwenye nafasi yako, pigana kwenye hii vita: kwenye kila dalili amesema nini cha kufanya!
@rachelmtweve9280
@rachelmtweve9280 Жыл бұрын
May God bless you Servant of God!
@susanjuma4340
@susanjuma4340 Ай бұрын
Amen and AMEN, Mungu wangu asante kwa mana hili ni andiko langu kabisa kabisa, Bwana naomba unisaidie kwa kweli haki, AMEN
@raymwampola5554
@raymwampola5554 6 ай бұрын
Nashukuru kwa ujumbe mzuri,mungu akubariki mtumishi wa mungu
@athumanmvung2947
@athumanmvung2947 11 ай бұрын
Hawa jamani ndio watumishi
@Rose-zz8sf
@Rose-zz8sf 7 ай бұрын
Amen
@FloralMugo
@FloralMugo 7 ай бұрын
Watumishi wa ukweri
@fff6513
@fff6513 7 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@monicahmwalozi
@monicahmwalozi 6 ай бұрын
Kabisa sio wale wa pokea nyota
@NoelaWaryoba-ql6os
@NoelaWaryoba-ql6os 6 ай бұрын
Pastor ubarikiwe sana MUNGU kukuongoza kuleta hili neno maana Dalila zote nane zimenigusa
@neemasharon4219
@neemasharon4219 3 ай бұрын
Thank uou pastor...umenifundisha neno la mungu na limenigusa sabuni haya yote nimeyapitia na leo hii nayakemea kwa Jina la yesu.....am free am delivered
@AnnWangari-xf8se
@AnnWangari-xf8se 2 ай бұрын
Mungu akurinde umeniponya Moyo furaha nikwangu amen
@wazirilikimile7776
@wazirilikimile7776 2 ай бұрын
Amina🙏🏻❤️❤️
@kakamegaingo651
@kakamegaingo651 9 ай бұрын
Amen pastor nimefunguliwa macho maana haya mahubiri ni kama yananihusu mimi nimepitia mengi mpaka roho kurudia yale niliyoyashinda inaniandama nikifikiria MUNGU ameniacha naomba MUNGU toba na naomba urejesho nishakosa naomba mtumishi unisaidie
@FelistaMukami-ks7fm
@FelistaMukami-ks7fm Ай бұрын
Thank-you man of God ,may God elevate you kwa hali ya juu,nilikuwa kwa hii hali lakini kupitia hili neno mungu amenilejeza,niko na amani thank-you Jesus
@DorcasS-sadiki
@DorcasS-sadiki 24 күн бұрын
Mtumishi wa mungu ni kweli uchofundisha na pia nikama umeona maisha yangu mungu akubaliki sana na akuinue azidi ya hapo amen
@EuniceChengu
@EuniceChengu 8 күн бұрын
Yesu akubariki sana mimi nataka kukua kiroho naomba Mungu aendelee kukupa ufunuo ili utumike kunikuza kiroho
@lucykasiga6928
@lucykasiga6928 3 ай бұрын
God sent me here🤲
@lilyg2134
@lilyg2134 5 ай бұрын
Hawa ndo wachungaji tunawataka! Hallelujah!
@MwanaidiWesonga-pd5hg
@MwanaidiWesonga-pd5hg Ай бұрын
Kuna sababu, MUNGU anituma kusikiza huu ujumbe,Maana kila kilicho nenwa kinanihusu mimi.God have mercy upon my life ,na kila roho iliyo niandama nakataana nayo katika jina la Yesu 🙏.Mchungaji Mungu akubariki🙏
@SimiyuFaith
@SimiyuFaith Ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu..moyo nimekuwa chini sana ki imani hili somo limenirudisha kwa hali yangu ya kawaida
JINSI YA KUOMBEA BIASHARA|| PASTOR GEORGE MUKABWA || 10-08-2023
1:10:44
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 10 М.
SIRI YA MAOMBI || PASTOR GEORGE MUKABWA || 01/06/2023
1:20:34
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 391 М.
Получилось у Вики?😂 #хабибка
00:14
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН
Каха ограбил банк
01:00
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 121 МЛН
Tom & Jerry !! 😂😂
00:59
Tibo InShape
Рет қаралды 59 МЛН
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 688 М.
MFUNGO NI NINI  (WHAT IS FASTING) || PASTOR GEORGE MUKABWA || 07/01/2024
1:30:09
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 48 М.
AINA YA PILI (2) YA WATU UNAOWAHITAJI KATIKA MAISHA YAKO
21:58
Pastor Gregory Daud
Рет қаралды 4,7 М.
NGUVU YA MSALABA WA KRISTO MAISHANI || PR. DAVID MBAGA
51:52
Pizzo Online TV
Рет қаралды 10 М.
KUSHINDA ROHO YA KUKATALIWA NA KUKOSA KIBALI || PASTOR GEORGE MUKABWA || 04/01/2024
1:24:36
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 67 М.
NJIA ANAZO ZITUMIA SHETANI KUTEKA NAFSI YA MTU |NABII ESTHER MASANJA
46:03
BADO KUNA USHINDI TV
Рет қаралды 4,7 М.
MCH DANIEL MGOGO - JIFUNZE KUTUBU (OFFICIAL VIDEO)
1:02:27
Chapeo La Wokovu
Рет қаралды 1,3 МЛН
FUNGUO ZA USHINDI KATIKA MAOMBI  || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 25/08/2022
1:25:35
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 64 М.
MCHUNGAJI HANANJA AINA NNE ZA MAHUSIANO, AINA NNE ZA MKE
20:39
Tacmen Group
Рет қаралды 560 М.
Jinsi MADHABAHU inavyotenda kazi katika maisha yako || PASTOR GEORGE MUKABWA || 23/06/2024
3:05:35
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 18 М.
Technical error 🤣😂 Daily life of a couple #couple #shorts
0:25
37.First Day as a Zombie💀
0:32
Limekey0
Рет қаралды 28 МЛН
Выгнал училку 😂 #shorts
0:59
Julia Fun
Рет қаралды 3,2 МЛН