No beauty yet...looks rural HAVE YOU EVER BEEN TO CITIES REALLY!??
@nasibugunda79276 ай бұрын
wow
@user-fq3bf4cd1s26 күн бұрын
Asante kwa kutuonyesha nimejihisi kama niko kwenye ndege japo naogopa kupanda ndege siku hizi
@binuvv550025 күн бұрын
Thank you.
@helladeogratias763028 күн бұрын
Beautiful by Arial view only
@othumanomari15899 ай бұрын
❤❤🇹🇿🇹🇿
@bajagihaji89239 ай бұрын
Nice
@binuvv55009 ай бұрын
Thank you
@ruthmuja77923 ай бұрын
💕
@humudrashid71823 ай бұрын
😂❤
@abdulhakimhasan767328 күн бұрын
Mkoloni Mjerumani alitandaza hila zake zote na ukorofi , akijua tanganyika ni nchi ya kiislamu sugu. Kando ya wakoloni wa Ingereza jirani.
@3mmaNo3l19 күн бұрын
Unashida kweli..Pole ndugu
@abdulhakimhasan767319 күн бұрын
@@3mmaNo3lPole na shida ni kwako kutojua hakika ya Tanganyika, kulikuwa hamna wakristo. Mjerumani alitumia lugha ya kiarabu kwa kutawala na kutumia waarabu chungu nzima.
@abdulhakimhasan767328 күн бұрын
Yaani ikiwa sumu ya mkoloni mjerumani haikufaulu , basi Tanganyika itupwe katika kanda ya ukommunisti isio hishimu dini. Ili Uislamu ukandamizwe.
@jamesmzaki604127 күн бұрын
Ndo umeandika vinini broh! Mbona hueleweki???
@abdulhakimhasan767327 күн бұрын
@@jamesmzaki6041 Wengine waelewa maandishi ya wakoloni , lakini ni sharti uelewe hofu na malengo ya wakoloni sio utajiri au biashara.
@3mmaNo3l19 күн бұрын
Umejielewa kwanza ulichoandika au umeandika tu😂
@abdulhakimhasan767319 күн бұрын
@@3mmaNo3lMkoloni muengereza anacheka baada ya kufaulu.