No video

DAR24LIVE: DEREVA WA WAZIRI JANGILI/ AWATAJA WANAJESHI WALIOHUSIKA/ AMTAJA MRAMBA

  Рет қаралды 28,543

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#wanajeshi #ujangili #mramba

Пікірлер: 72
@salehaliy7198
@salehaliy7198 Жыл бұрын
Huyu hakuwa informer bali naona alikuwa kwenye system kabisa,na hawa ndiyo walikuwa wa ukweli siyo hawa wanatuoneshea silaha
@nguyekorajabu1592
@nguyekorajabu1592 Жыл бұрын
Safi sana Mzee kwa Uzalendo uliotukuka . Watu wa aina hiyo katika nchi hii tumebaki wachache .
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 Жыл бұрын
Uzalendo umemsaidia nn ikiwa mpk leo anaishi nyumba ya kupanga!!!????
@samxx411
@samxx411 Жыл бұрын
Wazee wa zamani mlifanyakazi lakini sikuhizi vijana hawana uzalendo hata kidogo, hongera sana
@thomasnyarusanda2608
@thomasnyarusanda2608 Жыл бұрын
Hongera sana mzee kwa uzalendo wako..
@HassanRamadhani-xn3cg
@HassanRamadhani-xn3cg 6 ай бұрын
Tazama leo unaishi masikini serikali ya kuji pendekeza haina shukuruni ungekuwa kipindi cha utawala wa awamu ya nne ungekuwa adui mkubwa.
@giftmollel7788
@giftmollel7788 Жыл бұрын
Kaziii nzuri Sana hiii
@HassanRamadhani-xn3cg
@HassanRamadhani-xn3cg 6 ай бұрын
Una jiita wazee wa Dar wakati unaishi nyumba ya kupanga
@HassanRamadhani-xn3cg
@HassanRamadhani-xn3cg 6 ай бұрын
Angalia umeonyesha uzalendo serikali haina shukuruni mpaka leo unaishi nyumba za kupanga
@shijamarco2662
@shijamarco2662 Жыл бұрын
Ndugai nae alikua mpigaji sema mama amemtema tu kwasababu mama hataki upuzi
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw Жыл бұрын
Safi sana Kwa kutuletea hii Story
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 Жыл бұрын
Zamani ni zamani tu at viongozi wakwe walikuwa makini sana..waliheshimu kiapo walikuwa wazalendo hongera sana mzazi wangu...kuna mambo ya kujifunza kwa uyu mzee ...
@nawandafamito500
@nawandafamito500 Жыл бұрын
Ndo maana anakufa.masikini, huyu mzee, kweli roho mbaya kwenye maisha haifai, ona huyu babu ni masikini WA mipango na akili.
@Nicolao801
@Nicolao801 Жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😜 babu ulikuwa snitch
@paulmwakalukwa1356
@paulmwakalukwa1356 Жыл бұрын
Mzee mwenzangu lambat kudos
@EmmanuelKwayu
@EmmanuelKwayu Жыл бұрын
mmh
@Officalnaph
@Officalnaph Жыл бұрын
MZEE CHAWA
@georgeurio7581
@georgeurio7581 Жыл бұрын
Once in a game always in the game, mzee yupo vizuri kabadilisha stail tu hapo kwa wagonjwa kuna information nyingi anapata
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 Жыл бұрын
Uzalendo huu sijui kama upo tena😭😭😭😭
@happinessshilie4019
@happinessshilie4019 Жыл бұрын
Tumekuelewa mzee
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Hii kali, hiyo siri kali.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Joseph lorri mungu anataka aiokoe Tanzania atatokea binadamu kama hayati magufuli ndizo dalili zake kwa sababu nchii hii haikuptikana kwa kumwaga damu kila jambo linakwenda kwa nguvu za mungu
@shabaniiddi510
@shabaniiddi510 Жыл бұрын
Mzee mweu huyu ao uliowapa hata wao wez tu ndio mana una njaa ety umekua mganga sasa😂😂
@abdulrahmanmwadini5925
@abdulrahmanmwadini5925 Жыл бұрын
Ila ni Kosa kuoneshwa ni Risk
@user-nf5ph8vu5y
@user-nf5ph8vu5y 7 ай бұрын
tutafute hela huu sio umr wa kupanga
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 Жыл бұрын
Informer ni snotch tu😅😅😅 ukiwa snitch lazima ufe masikini hii dunia ishabadilika
@shaulitangaugulumo1597
@shaulitangaugulumo1597 Жыл бұрын
Ni kweri ilitoka ht container lenyewe lilionyeshwa kwenye gazeti la uhuru Mzigo uliuzwa na serikali ya Belgiam na pesa haijulk Ani ilikwenda wapi. ?
@HassanRamadhani-xn3cg
@HassanRamadhani-xn3cg 6 ай бұрын
Kweli ni muongo muongo atazamwe kwa hizo tiba zake akikuona una kovu kwenye tako wakati wakuku piga chale sasa hivi anakula 🐔 za wateja kiujanja ujanja analambisha wateja mavi ya 🐔
@haki4244
@haki4244 Жыл бұрын
Huyu ndio mzalendo ingawa kanjanja!
@abdulrahmanmwadini5925
@abdulrahmanmwadini5925 Жыл бұрын
Hii Story pamoja na kwamba hakukuwa na Mitandao wakati ule wa 80's ili trend sana,ila kumbukumbu yangu aliitwa Machale Makulunganya,kumbe ni Charles.hongera Mzee ila cha kusikitisha mmesahaulika.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Abdulrahman mwadini huo ndiyo wakati mungu aliompangia naamini serikali itamuaangalia kwa macho mazuri
@adamnguvu1020
@adamnguvu1020 Жыл бұрын
*Namimi kuanzia leo NIKIWA nadrive nikiona watu wanaenda zika Kisha wanakata barabara mm nakanyaga tu mana kumbe sio watu ahahahaaaaa nimecheka Sana*
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Kwa kweli serikali ikupe zawadi tena nyumba na mtaji wa kuendesha biashara
@sizwealfa5884
@sizwealfa5884 Жыл бұрын
Naitaji numbe yababu plz
@alphonceromani2337
@alphonceromani2337 Жыл бұрын
Hyu Mzee ndo maana mganga mwongomwongo
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Жыл бұрын
Kitambulisho cha informer tuliosoma cuba tumekuelewa mzee baba
@allymsafiri5574
@allymsafiri5574 Жыл бұрын
wazee wa suti
@HassanRamadhani-xn3cg
@HassanRamadhani-xn3cg 6 ай бұрын
Sema una piga majini
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
Ndugu mwandishi umefanya kazi unprofessional huyu mzee wetu ungemficha sura yake kwa mtazamo wangu tayari ushamtia matatizoni mzee wa watu RIP mzee baba Magufuli 🙏 na baba wa taifa Nyerere 😭😭😭
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Shin sasa inabidi alindwe watamuua hizo familia za viongozi hao
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Global wewe ni mwandishi mzuri sanaaaa
@rugendorunene545
@rugendorunene545 Жыл бұрын
Belgium/ubelgiji hata waleo ndio taifa ambalo huuza alumasi na madini kwa wingi sana bala ulaya.
@filbetkalembe2806
@filbetkalembe2806 Жыл бұрын
Serikal mbona mnapoteza watu mhimu mnatajirika nyinyi tuuu
@chidybwax8080
@chidybwax8080 Жыл бұрын
Duhhhh
@williamfillipatali3712
@williamfillipatali3712 Жыл бұрын
Mmmmmh
@emmanuelmasanja6040
@emmanuelmasanja6040 Жыл бұрын
hatari kutoa taarifa za informer
@annasanga9732
@annasanga9732 Жыл бұрын
Tupe namba ya huyo Babu watu wanateseka na vidonda vya tumbo
@ramadhanimbulu4941
@ramadhanimbulu4941 Жыл бұрын
Daah!! ametoa siri ya kambi
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Жыл бұрын
Hhhhhhhhhhhh
@kotadapotar5094
@kotadapotar5094 Жыл бұрын
MATOKEO YAKE MPAKA IVI SASA UNAISHI NYUMBA YA KUPANGA NA UGANGA JUU
@claudia1500
@claudia1500 Жыл бұрын
Hahhahahha
@uzimameditv8148
@uzimameditv8148 Жыл бұрын
huyo hafai kwa viongozi wetu
@kimingowameno4068
@kimingowameno4068 Жыл бұрын
Maana yake nini hii story
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Kimingo hii ndiyo ujue mungu anataka kuifungua Tanzania waarabu wamejaa Tanzania na wanakwenda kuombwa misaada na uwekezaiji kwa sababu wamejazwa zanzibar na bara mungu iokoe Tanzania
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Alimdharau kisa maskini
@jojikeneth9024
@jojikeneth9024 Жыл бұрын
Ungepiga dili usingekua upo hivyo adi leo
@emmanueltarimo892
@emmanueltarimo892 Жыл бұрын
We mzee kama vile muongo
@francistadayo1569
@francistadayo1569 Жыл бұрын
Mzee kachomoa betri
@kingkendrickk
@kingkendrickk Жыл бұрын
Mzee snitch huyu
@kaitaramadan6340
@kaitaramadan6340 Жыл бұрын
Mzee wangu kwa serikali ya Sasa Hao viongozi ndo wanaofanya hiyo biashara kwahiyo utatoa mawazo yako na hayatafanyiwa kazi uzalendo hakuna mzee wangu
@claudia1500
@claudia1500 Жыл бұрын
Na watamtungua mapema tu kwa hawa waliopo sasa
@kaitaramadan6340
@kaitaramadan6340 Жыл бұрын
@@claudia1500 wallah Tena yaani asipokaa vizuri mbona wanamuendazake
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 Жыл бұрын
Unastahili tunzo
@goodluckmelkizedeck7371
@goodluckmelkizedeck7371 Жыл бұрын
😂😂😂kpr
@filbetkalembe2806
@filbetkalembe2806 Жыл бұрын
Utauwa ww
@ndohoriomsacky445
@ndohoriomsacky445 Жыл бұрын
Kwanini ? Huku mtafuta magufuli
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Sasa waarabu wamerudishwa nyara zote zitahahamishwa haya kumekucha mwaga kila kitu waarabu hiyo ndiyo kazi yao na wameshaingizwa Tanzania tunaomba amani tu Tanzania
@shijamarco2662
@shijamarco2662 Жыл бұрын
Ndugai nae alikua mpigaji sema mama amemtema tu kwasababu mama hataki upuzi
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
Mama yako ww pumbavu we 🤣🤣🏃🏃
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@shinipapaya846 ULITAKA AWE MAMAKO YULE MUUZA MJINGA WEWE PAPAYA BOVU.
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
MAMA yako KICHECHE kiunoni mashanga ya kumwaga kiuno feni miguno ya kufa watu 🤣
@haruntongo6703
@haruntongo6703 Жыл бұрын
@@shinipapaya846 ukiwa.mwenye.haka.utakuwa.masikini.hadi.kufa.
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 160 МЛН
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 33 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 21 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
BabaJoan
Рет қаралды 154 М.
GITHAGATHAGO RURACIO-INI RWA DADA SARAH ( PART 1)
20:22
Dada Sarah
Рет қаралды 9 М.
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 160 МЛН