Darsa ya shekhe mselem bin aly akieleze kisa cha mitume na kutafsir ayaa tofauti
Пікірлер: 39
@josephnziokadci3 жыл бұрын
May Allah bless you and your family abundantly and grant you the best place in Janna together with our prophet Mohammad pbuh.. very powerful teachings..
@salmaalkyumi60303 жыл бұрын
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
@zubeirsalum1283 жыл бұрын
Wallahi kwa uwezo wa Allah subuhana huwataala mashehe hawa watatoka na watakuwa huru lakini tunatakiwa Waislamu tuwe na subra pia tuwaombee dua Allah awafanyie wepesi ishaallah
@zindukaonlinetvzanzibar39863 жыл бұрын
Ameen
@maymunahomar50163 жыл бұрын
Allahumma Aamin.
@is-hakabinruweikh38333 жыл бұрын
YAA ALLAH wajaalie mashekhe wetu huko uko waliko uwajaalie neema ya afya njema na yyt aliesababsha maajabu hayo umpe adhabu kali uijuayo wewe Allah na inayostahiki kwa hapa duniani na akhera kwa uwezo wako yaa RABBI
@alimsabah49213 жыл бұрын
Inshallah uatakulipa sheikh
@arafatmosha783 жыл бұрын
mashaallah,hawa ndo mashekhe wachache ambao wanasimamia uislam katika haki na wala si vibaraka wa watu fulani
@swidatyomar79633 жыл бұрын
Allah akupe subira ya kutosha.. lnshaAllah Allah atakulip malip mema siku ya kiyama🤲🤲🤲🌹🌹🌹❤️❤️
@zindukaonlinetvzanzibar39863 жыл бұрын
Ameeen
@hemedykhamis61183 жыл бұрын
Serikal ya ccm kiukwel inatuzalilisha sana ila hakimu muafilifu anashuhudia wanavyozulumiwa masheikh wetu Allah awape subra na awalipe malipo ya kheri hapa duniani na kesho akhera
Yaa ALLAH (s.w.t) wafanyie wepesi mashekhe wetu waloopo jela kwani ww ALLAh ndo muweza wa kila kitu na ndo hakimu muadilifu kuliko mahakimu wote. Ameen yaa RABBI
@zindukaonlinetvzanzibar39863 жыл бұрын
Ameen
@maymunahomar50163 жыл бұрын
Aamin Yaa Rabb.
@salehhamadi60703 жыл бұрын
Yaan wale wasomi wamewaweka ndani hii nchi vip jamani kuna nchi wanatafutwa watu kama hawa wasomi sie tunawatia gerezani unafkiri taifa litasonga mbele kweli ?
@mohamedhemed17623 жыл бұрын
Inasikitisha bro
@zaetoonahamad89153 жыл бұрын
Maaa shaaa llah
@komboomar82753 жыл бұрын
In shaAllah haki iko karibu na dhulma itazalilika
@zindukaonlinetvzanzibar39863 жыл бұрын
Ameen
@hassanmanyama83173 жыл бұрын
Hafidwaka llaah, Mungu akihifadhi,
@zindukaonlinetvzanzibar39863 жыл бұрын
Ameen
@pongakiza59603 жыл бұрын
Allah akuhifadhi
@nurathbetson73493 жыл бұрын
Allah awajaalie Subra na Mwisho Mwema🙏
@zindukaonlinetvzanzibar39863 жыл бұрын
Amiin
@hamadabdullah84533 жыл бұрын
Amin aamin rabala alamiin
@mtumwakahatan8773 жыл бұрын
Shekhee wetuuuu maashalaa
@swaloboyswaloswalo12213 жыл бұрын
Allah akuifadhi na bitimbi vya kufar
@zindukaonlinetvzanzibar39863 жыл бұрын
Ameen
@rahmasaleh19843 жыл бұрын
Mie niko kenya napenda saaana mawaidha ya hy shekh,lkn sielewi mukisema mawaidha yake ya mwisho kwann?
@zindukaonlinetvzanzibar39863 жыл бұрын
Kwasababu yupo jela saivi hapati kitoa mawaidhaa
@rahmasaleh19843 жыл бұрын
@@zindukaonlinetvzanzibar3986 innalilah wainna ilaih rajiun,hasbià Allah waneemal wakeel inahuzunisha sana Allah amuhifadh shekh wetu
@zindukaonlinetvzanzibar39863 жыл бұрын
Ameen
@chanelyetunyumbanikwetu32613 жыл бұрын
😭😭😭😭
@ahmadkabubu90993 жыл бұрын
Huwuu nimwka wangapi edekuwa kasha fudisha wangapi hapo dini inaeda mbele au unarudi nyuma
@zindukaonlinetvzanzibar39863 жыл бұрын
Kiukweli inarudi nyumaa wato wapo kwenye mambo ya dunia tuu