No video

DAWA YA MWANAMKE ANAYERINGA 😂😂😂

  Рет қаралды 222,062

MrMwanya TV

MrMwanya TV

9 ай бұрын

tazama ujanja wa MR MWANYA dhidi ya mdada anayeringa mno mtaani kwao PIPYTIDA 😃😃😃🙌🏻 ananasa baada ya kuwekewa mtego mkubwa mno ambao sio rahisi kuuepuka 🙌🏻 #mrmwanya #comedy #ex #singeli #bandari #dpworld #danga #kikaangoni #behindthescenes

Пікірлер: 223
@Jaydannychawaboy.
@Jaydannychawaboy. 9 ай бұрын
Kwa mwanya Leo nimekua wa kwanza jamani nipeni like zangu basi ❤❤❤😢😢😢😂😂😂
@AnstitchVEVO
@AnstitchVEVO 9 ай бұрын
Nakukubal xan mwamb 👍👍👍
@Jaydannychawaboy.
@Jaydannychawaboy. 9 ай бұрын
@@AnstitchVEVO safi mbwa mimi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kladahmad3333
@kladahmad3333 9 ай бұрын
Mungu wangu❤❤❤😂😂😂
@Jaydannychawaboy.
@Jaydannychawaboy. 9 ай бұрын
@@kladahmad3333 ndio mbwa mimi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hassankalu540
@hassankalu540 8 ай бұрын
Usitoe macho kama unatongoza 😅😅😅
@roi2554
@roi2554 8 ай бұрын
Awa wadada usiwaache endelea nao waatakufaa sana kwenye kaz zako wanasawishi😂😂😂
@abuusaidy1506
@abuusaidy1506 8 ай бұрын
Weee jamaaaa hauna akili hata kidogo et ameshonwa huyooo😊😅😅
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 9 ай бұрын
Mwanya ni msenge sana huyu mbwa😄😄😄😄😄😄😄
@softtlipssTv
@softtlipssTv 9 ай бұрын
"I am the first East African to watch this TV show📺 and I liked the video. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪"
@YoungblackPeople-qf7vx
@YoungblackPeople-qf7vx 9 ай бұрын
Mwanya kafukia helaa kwenye katika alidhi😂😅😅😅
@jobsimpamba71
@jobsimpamba71 9 ай бұрын
Nimeipenda sana hio wanawake wana viburi sana wenimwamba❤❤❤❤❤
@farajyassir9822
@farajyassir9822 8 ай бұрын
Eti..shepu kama Nanasi...then BOOM 💥 EBENEZER...was chilling 😂😂😂
@RizikiZiki
@RizikiZiki 9 ай бұрын
Mwanya kama mwanya umetisha bala❤❤😂😂😂
@YohanaMARIKWA-fi3mf
@YohanaMARIKWA-fi3mf 2 ай бұрын
Wanawake wa dar kumbe ukiwa na maokoto ni rahisi sana 😂😂😂😂
@AbdallaSaidkaombwe
@AbdallaSaidkaombwe 9 ай бұрын
Wow pipytida ndan naikubal iyo pisi so pow
@judithpendo9985
@judithpendo9985 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂umeweza mwanya love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂😂
@puridangote2701
@puridangote2701 9 ай бұрын
Anavogonga sasa😂😂😂
@DimaillOfficial
@DimaillOfficial 9 ай бұрын
Dah!!Nimecheka hatari yani ingekuwaga rahisi hvi tunapata wachumba dat
@paulsylvester7877
@paulsylvester7877 8 ай бұрын
Kwakweli 😂😂😂 hakuna uhalisia kabisa
@Bad_vibes_17
@Bad_vibes_17 9 ай бұрын
Bado sijachelewa like zangu kwa mr mwanya official
@ButokeKazuba
@ButokeKazuba 5 ай бұрын
Ako hiii ap
@uchebetz7284
@uchebetz7284 9 ай бұрын
Mr mwanya mchukue mwaka Tobe.
@athumanikingi-ll9nj
@athumanikingi-ll9nj 9 ай бұрын
Director maembe huyo Dem amechemka amechemka na na vile alivyopotea duuh ilikuwa uongoo😢
@janethndunguru3538
@janethndunguru3538 9 ай бұрын
Umeonaee alivyoambiwa eberneza😂😂😂
@collinsbella8360
@collinsbella8360 9 ай бұрын
Ila Ben anazingua et Ebenezer wewe 😂😂😂
@Iamray_more
@Iamray_more 9 ай бұрын
Dah!!!!😂😂😂 Sema we ni kioo cha macomedian
@johnrogath1066
@johnrogath1066 8 ай бұрын
Mwanya we ni atari😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@arsenalnewsandupdates
@arsenalnewsandupdates 9 ай бұрын
Kazi safi
@BakariMtomae
@BakariMtomae 8 ай бұрын
Huy jamaa hakika sijui uwakik yan kam sio rizki yan anavyotembea kuongea kam upinde😂😂😂
@user-yx9wv3bx1i
@user-yx9wv3bx1i 8 ай бұрын
🤣🤣🤣sio riziki ausio
@emmanuelmasatu
@emmanuelmasatu 8 ай бұрын
Mmmmmh hivi inawezekana kweli.😮😮😮😮
@AngelaChalse
@AngelaChalse 7 ай бұрын
Afu me imwniuma kweli 😢😢ila 😂
@shabani_Osee_Ngena
@shabani_Osee_Ngena 9 ай бұрын
Haki hii nikubwa Mr mwanya😂😂😂😂😂
@Ruderapper-hl8ej
@Ruderapper-hl8ej 9 ай бұрын
Ila mwanya bwana😂😂😂 Never disapoint😅😅
@DelsonGerald-to6yn
@DelsonGerald-to6yn 9 ай бұрын
😂😂mwanya umetisha
@alialii-ik1xw
@alialii-ik1xw 8 ай бұрын
Kimemramba pesa zimefukiwa hahahahaa😂😂😂
@allankiragu4039
@allankiragu4039 6 ай бұрын
Ati akikumiss chumba ndicho hicho 😂😂,ww mwanya ww kwa hivyo huyataki mapenzi naye wataka ngono tu 🤣🤣 Big up from kenya 🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥
@collinsbella8360
@collinsbella8360 9 ай бұрын
Pipitdya umepatwa... 😂😂😂
@bobelichi7721
@bobelichi7721 8 ай бұрын
Shep kama nanas.....ebeneza weee😂😂😂😂
@timotheongoja8230
@timotheongoja8230 9 ай бұрын
Baada ya kumkamua inatakiwa uweke the miezi 9 mzigo juu
@SalumuSaid-ny3kc
@SalumuSaid-ny3kc 9 ай бұрын
Big up mwanya kaz nzur komaaa
@stellamwakyusa7929
@stellamwakyusa7929 9 ай бұрын
.na anatumbo atali
@FilbertHabashi-zn1qu
@FilbertHabashi-zn1qu 8 ай бұрын
Amejua una kifafa, marieta wwe
@andreangoda2244
@andreangoda2244 9 ай бұрын
Kimwanya huyo dawa yake mshoneee kwel kwel
@zulachama1067
@zulachama1067 8 ай бұрын
Ndege mjanja siku zote utua tundu bovu ameshonwa na hakashoneka.
@saumbliz8983
@saumbliz8983 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂khaaaaa nyieee nimecheka kama fala i seee
@Kidabitangassa
@Kidabitangassa 8 ай бұрын
Mwanya andaa ela yawatu tayar dem ushampata
@HasaniJuma-ew2kw
@HasaniJuma-ew2kw 9 ай бұрын
HANCY FAMILY MR MORA
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 9 ай бұрын
Kazi nzuri mwanya 😅
@mjukuuhotelitv7736
@mjukuuhotelitv7736 8 ай бұрын
😅😅😅ila akili za mwanya za kimwanyamwanya2😂😂😂
@HoseaBenard-ox7ir
@HoseaBenard-ox7ir 8 ай бұрын
😂😂😂😂 aise nakukubali sana na huo mwanya wako bor
@protaspessa8615
@protaspessa8615 3 ай бұрын
Mwanya 😅😅😅😅😅 mhuni sana
@DrogbaWilly-co6pu
@DrogbaWilly-co6pu 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂shumbwa mwitu wewe atare
@Stanislaskayumba-ve6ez
@Stanislaskayumba-ve6ez 8 ай бұрын
vidéo ni nzuri lakini watu weko nasema wote kapamoja yani kama inakuwa kelele
@Afisakigua9578
@Afisakigua9578 8 ай бұрын
𝙆𝙬𝙚𝙡𝙞 𝙖𝙙𝙞 𝙞𝙣𝙖𝙗𝙤𝙖
@Afisakigua9578
@Afisakigua9578 8 ай бұрын
𝙈𝙖𝙠𝙚𝙡𝙚𝙡𝙚 𝙢𝙖𝙩𝙪𝙥𝙪
@salimmalaka256
@salimmalaka256 8 ай бұрын
WANAWAKE WAKIGOMBEYA MBOO LAZIMA KELELE ZIFIKE MTAA WA 7 😂😂😂😂😂
@DominicBwanali-xl4wj
@DominicBwanali-xl4wj 8 ай бұрын
Ashaliwa tayari ndo mambo ya mjini hayo
@NelsonChaula
@NelsonChaula 4 күн бұрын
😂😂😂😂 nimekukubliiiii
@user-ce5rg7ml3z
@user-ce5rg7ml3z 9 ай бұрын
Malieta ww😂😂
@KhadijahRamadhani-mw3wh
@KhadijahRamadhani-mw3wh 4 ай бұрын
Mwanya msenge wew papayi🍐🍐🍐🍐🍐🍐🍐
@mariotalvero
@mariotalvero 8 ай бұрын
Fara Ma 1000000 😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@HassanHassan-ix7cj
@HassanHassan-ix7cj 7 ай бұрын
Kirahisi 😅
@simonandrew1489
@simonandrew1489 9 ай бұрын
Good Job
@adolphekoko704
@adolphekoko704 7 ай бұрын
Shuba Miti umemaliza kiukweli WE ni mkali
@mzazyfashion7231
@mzazyfashion7231 9 ай бұрын
Umetisha sanaaaaaaaaa 😂😂😂😂
@sirryhmes5277
@sirryhmes5277 8 ай бұрын
Your art bro..... 🔥🔥
@user-jj3eh2oo8b
@user-jj3eh2oo8b 9 ай бұрын
Mwanya kiboko 😂😂😂😂
@user-rh6sr8eh4g
@user-rh6sr8eh4g 8 ай бұрын
Hahahaha 😂😂 shubamiti weye ninoma kabisa
@LydiaStephano
@LydiaStephano 8 ай бұрын
😂😂😂😂mwanya akili huna😂😂😂😂
@kingdeniscrocodile
@kingdeniscrocodile 2 ай бұрын
😂😂😂 shenz kabisa
@BoscoDunia-gb6co
@BoscoDunia-gb6co 5 ай бұрын
Ila Mr mwanya unajuwa kazi
@user-jf5bd9ld8c
@user-jf5bd9ld8c 8 ай бұрын
so sorry kwa sister wa watu , kama ni real basi wanaume sisi sio watu wazuri ata kidogo
@thekingteco6420
@thekingteco6420 9 ай бұрын
Kwa mwanya leo nim coment Mr 😂😂😂😂🇲🇿
@britonkanumba6828
@britonkanumba6828 9 ай бұрын
Director kaharibu haoni watu wanachungulia chungu lia?
@Ezamamadtz88869
@Ezamamadtz88869 9 ай бұрын
Mwanyaaaa
@Erickkiula
@Erickkiula 8 ай бұрын
mmechez kama peleeeee
@emmiemmi3861
@emmiemmi3861 8 ай бұрын
Huyu hakika tumbo kama mimba😂😂😂
@Alkadan757
@Alkadan757 8 ай бұрын
Ustaniwe😂
@fredkasuga9740
@fredkasuga9740 9 ай бұрын
Kita kita😂😅
@abinelikagezi9217
@abinelikagezi9217 9 ай бұрын
Ebenezer
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 6 ай бұрын
Wanawake wa dar😂na Wanaume wa dar hizi nd akili zao😂😂😂
@HassanHassan-ix7cj
@HassanHassan-ix7cj 7 ай бұрын
Umepigwa chini umevimba juu😂😂😂😂
@khamisbk8569
@khamisbk8569 8 ай бұрын
Msenge Sana Mwanya nimependa hii style😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@karasiravenuste
@karasiravenuste 8 ай бұрын
Mambo ya Wana wake wa Leo hella inaweza cocote 😂😂
@mwandisimfukwe326
@mwandisimfukwe326 8 ай бұрын
mbinu za bahariaaaa😂
@Andreamyala-ht9ef
@Andreamyala-ht9ef 2 ай бұрын
Akli mingi mr mwanya
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 8 ай бұрын
Nani kagundua kuna wadada hapo mapacha
@mwitaagness455
@mwitaagness455 8 ай бұрын
Hawajafanya pouwaa sbb wamecheka palepale, hawako serous
@elidiustudoy2640
@elidiustudoy2640 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 ILA Wanawake
@eliasnyongesa5228
@eliasnyongesa5228 9 ай бұрын
bro umewex kinoma❤❤❤
@goodluckjohn
@goodluckjohn 7 ай бұрын
mwanya unajuw bro
@EmmanuelKunzugala
@EmmanuelKunzugala 9 ай бұрын
Hakika Ruben bhana 😅🤣😂🤣🤣🤣🤣 huku Mr Mwanya 😊😊
@Thadeus97
@Thadeus97 9 ай бұрын
Chakula ya msukuma
@kebyflavour7495
@kebyflavour7495 8 ай бұрын
Mzee wa madako😂😂😂
@WORLDWIDEVIBES
@WORLDWIDEVIBES 8 ай бұрын
Leo mwanya kanipa burudan
@mdangulesamila6626
@mdangulesamila6626 9 ай бұрын
Eti ebineza
@TalhaFahad-jj6eo
@TalhaFahad-jj6eo 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂 madako yako
@chandigamoses05
@chandigamoses05 9 ай бұрын
Wakwaza Leo ❤
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 8 ай бұрын
Congratulations keep it up good job ❤❤🎉🎉😂😂😂
@doreenkerubo7056
@doreenkerubo7056 7 ай бұрын
😂😂😂😂jamani mwanya umempajika dem w w2 mimba y ndovu au mm ndio naona vibaya😂😂😂
@mauzo_production
@mauzo_production 5 ай бұрын
kubababakeee 😂😂😂
@ElinaJohnson-xm1yi
@ElinaJohnson-xm1yi 8 ай бұрын
Ukipiga Kam hiz 7 clam atasema bro
@user-it3dc1mg5o
@user-it3dc1mg5o 8 ай бұрын
Mwanya nakupenda sanaaa
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 daaaaaaaa mwanya umeua na hao madem wrote mmeua sana
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 8 ай бұрын
Mwanya ww hatari😂😂😂😂
@rweyemamurweyemamu680
@rweyemamurweyemamu680 8 ай бұрын
😂😂😂😂iyo mimba 😂😂😂 mbona inanesa nesa😂😂😂😂
@johaneshaule4378
@johaneshaule4378 8 ай бұрын
Mwanya acha hizo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@zebedemirambi3067
@zebedemirambi3067 9 ай бұрын
Kaka unatisha hakika🤣🤣🤣♥️🇨🇩 ungeyifaa season basi
@mrmwanya
@mrmwanya 9 ай бұрын
hivi karibuni nitawaletea SEASON 🙌🏻
@Wakumbozi
@Wakumbozi 9 ай бұрын
Pamoja Sana Mr mwanya ukiwa unahitaji waigizaji wa kiume nikumbuke na Mimi Niko vizuri
@zebedemirambi3067
@zebedemirambi3067 9 ай бұрын
@@mrmwanya wooow tunasubiri kaka tunakukubali sana kabisa ♥️🔥🇨🇩
@safarimallya4536
@safarimallya4536 9 ай бұрын
@@mrmwanyana mm
@MumuzaJoseph-cq7ew
@MumuzaJoseph-cq7ew 7 ай бұрын
Mwanya atariiiiii sana 😂😂😂😂❤❤❤
@gloryphilip7980
@gloryphilip7980 9 ай бұрын
Malietha 😂😂
@kizratshenki8515
@kizratshenki8515 8 ай бұрын
Hahaha mwanya mwanya nakubal fimbo iyo kabisa ila uku kwetu Burundi 🇧🇮 hawaringi ivo 😂😂😂😂
@nassraramadhan4009
@nassraramadhan4009 8 ай бұрын
Nacheka kwa sauti 😂😂😂😂😂
MARAFIKI WA MPENZI WANGU
18:48
MrMwanya TV
Рет қаралды 66 М.
BODABODA WANGU Episode (1)
13:38
Khalist Tz
Рет қаралды 18 М.
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 60 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 8 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 23 МЛН
PENZI LA MWANAMKE MALAYA 😢💔
20:32
MrMwanya TV
Рет қаралды 311 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /24/ #love
30:52
BabaJoan
Рет қаралды 56 М.
MAKOLO wamponza mwanafunzi 😂😂😂
8:58
MrMwanya TV
Рет қаралды 22 М.
NDARO AMCHOMA STEVE MWEUSI KWA TX DULLA
14:37
Ndaro Tz
Рет қаралды 426 М.
NAPENDA MISHANGAZI 😋🍑😂
12:44
MrMwanya TV
Рет қаралды 30 М.
NDOA NDOTO YA KILA MWANAMKE 🌝❤️
15:30
MrMwanya TV
Рет қаралды 40 М.
KINGWENDU AKATWA VIDOLE ZIMBABWE 🇿🇼  AZULUMIWA PESA 🤣
21:01
KINGWENDU OG TV
Рет қаралды 1,5 МЛН
TRAFIKI MALAYA 😂😂😂😂
4:28
MrMwanya TV
Рет қаралды 53 М.
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22