No video

Dereva Tax Mwanza aliejenga nyumba ya zaidi ya Milioni 20 na hajawahi kushika milioni 1 kwa mkupuo

  Рет қаралды 217,597

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Juma Mohamed Mpalang'ombe ambae ni Baba wa Watoto wanne ni Dereva Taxi wa muda mrefu Mwanza, AyoTV imevutiwa kumuhoji baada ya kumsikia akisema kajenga nyumba yenye thamani ya zaidi ya milioni 20 lakini hajawahi hata kumiliki milioni moja ya kwa mkupuo.

Пікірлер: 243
@daudm1558
@daudm1558 6 жыл бұрын
...Safi bro pesa ndogo ndogo sio za kuzarau salute
@mwajabually5404
@mwajabually5404 6 жыл бұрын
Hongera Sana kaka mungu akuzidishie na ww ni mfano wa kuigwa Amiina
@dr.hamiduibrahim1307
@dr.hamiduibrahim1307 6 жыл бұрын
Haya ndio mambo ya ku-apload na siyo kila siku Dr. Luis tuuuu,!!
@Rumishael
@Rumishael 6 жыл бұрын
Inatia moyo sana. Kila Kitu kinawezekana tukiwa na malengo na support kwa watu wetu wa karibu. Big up mzee 👏🏾
@saidmakumlo8930
@saidmakumlo8930 5 жыл бұрын
Kweli kaka
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Hongera sana my brother, uko vizur sana, big kwa kupata mke bora
@zuhrahalima5987
@zuhrahalima5987 6 жыл бұрын
Saumu Hassan kwani wewe si mke bora.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 6 жыл бұрын
Hongera kaka, Mungu azidi kukuinua. Wenye wivu, wanaongea tu hapa, wengine hawana hata kibanda hawataki kuona kama unayofanya ni maajabu kwa kazi yako ya kipato cha kawaida. Ubarikiwe, umalizie hiyo nyumba ya pili, uanze na ligorofa sasa, ipo siku watakuelewa tu.
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 5 жыл бұрын
Mungu ambarikie
@ElyasApex
@ElyasApex 6 жыл бұрын
Hongera sana, Every penny counts!! yaani kama najiona, mimi pia mdogo mdogo tu !!
@issaabdi9129
@issaabdi9129 6 жыл бұрын
Mashaaala kaka nimependa kwa uwaminifu wako na kazi yako . Mungu akubariki kaka......
@daimavlog
@daimavlog 6 жыл бұрын
mke bora ni nguzo ya familia na mtu anaweza pata maendeleo. mume wangu aliponiachia mshahara wake na wangu nivisimamie mimi maisha yetu yalibadilika ghafla. hakika wanawake tuwe mifano sema inabidi mumeo akuamini na awe muwazi.
@jackyluns8224
@jackyluns8224 3 жыл бұрын
Nimekupenda sana the wan na Mimi mume wangu kila Mara ananipea mshahara wote lakin sioni pesa inaishaje aisee nipe ushauri tayari ninakiwanja 2021 nami nahitaj nijenge
@daimavlog
@daimavlog 3 жыл бұрын
@@jackyluns8224 tuma email yako nitakutafuta mpendwa. Asante sana
@jackyluns8224
@jackyluns8224 3 жыл бұрын
@@daimavlog nishakutumia email yangu nahitaji sana mawazo yako ili 2021 nisimamishe mjengo
@daimavlog
@daimavlog 3 жыл бұрын
@@jackyluns8224 Powa dear ntakucheki. Unaweza futa sasa email yako hapa.
@aishaaisha1495
@aishaaisha1495 3 жыл бұрын
Hongera my
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 6 жыл бұрын
haba nahaba hujaza kibaba huo ndio ujengi wetu hongela
@sultanvdeo4996
@sultanvdeo4996 6 жыл бұрын
Gud interview Gonga like twende sawa
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Fun Video & Real Life Pamoja sana oweni wake bora
@extramen5534
@extramen5534 6 жыл бұрын
+Saumu Hassan wewe pia ni bora au?
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 6 жыл бұрын
Hongera sana bro,ushauri wangu changa pesa nunua gari yako utakua milionea ila boss wako akioni videoclip ata kuachisha kazi
@areslyle395
@areslyle395 3 жыл бұрын
Dont know if anyone cares but if you're stoned like me during the covid times you can watch pretty much all the latest movies and series on InstaFlixxer. Been binge watching with my gf for the last few months =)
@julioroy4498
@julioroy4498 3 жыл бұрын
@Ares Lyle definitely, been watching on InstaFlixxer for since december myself :)
@lusekelonoah8062
@lusekelonoah8062 6 жыл бұрын
Hongera sana broo, umeniamacsha, c wale wenye kipato kikubwa tu ndo wanaojenga.
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 6 жыл бұрын
Big Up man. Na wanawake mumesikia mwanamke mwenzenu mpenda maendeleo? Siyo Brazilian hear, na Chinese makucha na mkorogo🤔🤔😄😄😄
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 5 жыл бұрын
Kweli kabisa
@nassorobaraza9736
@nassorobaraza9736 4 жыл бұрын
Mbona Mimi dereva daladala na ninaho zaidi ya hio
@isayamapela5985
@isayamapela5985 3 жыл бұрын
Hogera Sana kaka
@mamuually5579
@mamuually5579 3 жыл бұрын
Alivuofanya mke ,,,,mkifanyiwa nyinyi hamtoiita support mana mkewe alijua awezy kumbe ndivyo alivyompa nguvu na mume kafnya kma kumkomoa mumewe ili amueneshe kua anaweza
@phiniasphinias8963
@phiniasphinias8963 6 жыл бұрын
daaa,,hongera sana,,timing nzur,,lakini bwana siri ya mafanikio pia giza nzito,,
@user-yi8xc6si3f
@user-yi8xc6si3f 6 жыл бұрын
Hongera sana kaka kwa mafanikio ukiwa na malengo Allah hukufanyia wepes imrad tu kile unacho kitafuta kiwe cha halali pamoja sana
@tracyjustice1600
@tracyjustice1600 6 жыл бұрын
Hongera sana kaka, Mungu akuzidishie uje shika mamilion ya pesa sio moja tuu, mm binafsi nikuwa nasemaga nitafurahi sana siku kushika milion moja ila Mungu alivyomwema sikushika moja nilishika milion 5 kwa pamoja za kwangu mwenyewe ni malengo tuu na nilikuwa na miaka 25 then
@emiliamulaki3600
@emiliamulaki3600 6 жыл бұрын
Hongera sana ndugu. umenipa moyo wa kupambana.
@halimasalim7198
@halimasalim7198 6 жыл бұрын
Kujenga ni akili wala sio kipato kikubwa malengo muhimu ukiwa mtafutaj
@lipymuscat4779
@lipymuscat4779 6 жыл бұрын
Halima Salim kabisaa
@betriceayo1059
@betriceayo1059 6 жыл бұрын
Halima Salim ni kweli
@innobugobola1694
@innobugobola1694 3 жыл бұрын
Nkwel malengo bro
@innobugobola1694
@innobugobola1694 3 жыл бұрын
Ndo hiyo nymn inayoonekana ya million 20 🙆🏻‍♀️🤭🙈🤪😜😛🤦
@mtengajr8348
@mtengajr8348 6 жыл бұрын
Nakufahamu sana mkubwa Juma kama ni mpambanaji asili na unajituma sana. Hongera sana bro
@petermgonya826
@petermgonya826 6 жыл бұрын
hongera bro!
@ahobokilemwasyika7727
@ahobokilemwasyika7727 5 жыл бұрын
Hongera brother pia Millard ayo ahsanten
@hongerakkachawasemewwkzbut4996
@hongerakkachawasemewwkzbut4996 6 жыл бұрын
masha allah hongera ndugu
@ashminaabdullah5626
@ashminaabdullah5626 6 жыл бұрын
Mashaalaah mm nashka nyingi ila cna hata banda la kuku
@aishaaisha1495
@aishaaisha1495 3 жыл бұрын
Hela nyng mamy hainaga Baraka mm mwenye nashika Pesa nyng ila cna hata ya chumba kimoja
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
@@aishaaisha1495 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mrfix6596
@mrfix6596 3 жыл бұрын
Hongera, ni jambo la kujipanga tu, mm mwenyewe nimejenga kwa kuuza housing za simu na kusajili line tu.
@cleophacemgaya1476
@cleophacemgaya1476 6 жыл бұрын
mm sielewi kila siku mtu unadislike video kama hii mtu anapambana na maisha
@nangeloibrahim713
@nangeloibrahim713 6 жыл бұрын
Cleophace Mgaya acheni wivu
@shuwehaomar6658
@shuwehaomar6658 6 жыл бұрын
itakuwa ni kina bashite siunajua hawajasoma
@bushrasalem1469
@bushrasalem1469 6 жыл бұрын
Watu wana roho ngumu hapo hata hawamjui lakin hawapend tu maendeleo yake
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 5 жыл бұрын
@@bushrasalem1469 mungu ambarikie ndugu yetu juma mohammed
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 5 жыл бұрын
.U kweli
@micamathew2595
@micamathew2595 3 жыл бұрын
Nashukuru sana!!! Ubarikiwe sana rafiki!!!
@mtctz9844
@mtctz9844 6 жыл бұрын
good interview, like
@samuelypaul5013
@samuelypaul5013 6 жыл бұрын
Safi sana Blo mimi nimeshika zaidi ya milioni kumi sina hata baiskeli
@fatwimamakungu5456
@fatwimamakungu5456 6 жыл бұрын
Mashaa Allah kumbe kaka yangu wanyumbani
@joelnassari105
@joelnassari105 6 жыл бұрын
Congratulations good
@allyhassan3580
@allyhassan3580 6 жыл бұрын
nimekuelewa kaka iyo kauli ulisema pesa ndogo ndogo mtu ukiziweka nania nzur matunda yanakua mazur
@kibongobongo4608
@kibongobongo4608 6 жыл бұрын
Kwa wale wanaoshangaa na kuuliza ajabu ya kuhojiwa labda niwakumbushe tu kuwa ni moja ya somo kwa wale watafutaji lakini hawajui kutunza pesa labda wanaona ni pesa ndogo kuziweka ila ukivumilia ukawacha tamaa basi kwa kidogo unachopata kila siku unaweza ukafanikiwa jambo kubwa
@lipymuscat4779
@lipymuscat4779 6 жыл бұрын
kibongo bongo kabisa dear
@anithashembilu6349
@anithashembilu6349 6 жыл бұрын
Hongera saaana
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 жыл бұрын
Hongera Sana Juma,
@lillianwanjiru1169
@lillianwanjiru1169 6 жыл бұрын
god bless u
@gerraldbukelebe5152
@gerraldbukelebe5152 6 жыл бұрын
Umenipa moyo sana braza maana duh!
@rukiabaybe8594
@rukiabaybe8594 4 жыл бұрын
Angekuwa ni mwanamke angeambiwa anadanga
@sharinv8864
@sharinv8864 3 жыл бұрын
Mungu akusaidie bro uchange kidogo kidogo upate gari lako nina imani unaenda kupata.
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 3 жыл бұрын
Hongera kaka. Mungu azidi kukufungulia milango mingine
@happinessmataluma1948
@happinessmataluma1948 6 жыл бұрын
duuu hata milion ujawaishika lkn upo juu kuliko wanao shika milion kwa mwez awana chochote
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 жыл бұрын
Chezea akiba Asha wewe!!! Hawapendi ujinga wachnamfu wachapakazi hutimiza malengo yao,mashallah mama said kwakumtia moyo mumeo
@heliernest8885
@heliernest8885 6 жыл бұрын
Poa saana! ila nikawaida mbona
@shupanamgala6181
@shupanamgala6181 3 жыл бұрын
Hongera sana mwanangu mungu akufanyie wapesi
@pharesnathanaely7720
@pharesnathanaely7720 6 жыл бұрын
Brother hongera sana
@victormushi866
@victormushi866 6 жыл бұрын
Motisha was nguvu kwa sisi vijiana
@shaibuali5407
@shaibuali5407 6 жыл бұрын
kuna uongoo ndani yakee, kwasisi twenye uzoefu wamamboo, kunakitu tunajua haiwezekani, Kwenye upande Wa kuezeka, kua hujawahi kumiliki 1milioni.
@selemaniamani6469
@selemaniamani6469 3 жыл бұрын
Watu wananunua vifaa k moja kmoja
@lulyehomadale9009
@lulyehomadale9009 6 жыл бұрын
Miaka 7 ni sahihi kumiliki hyo tax na nyumba
@ezlonlony3588
@ezlonlony3588 6 жыл бұрын
Darh I love it
@fredtchalewandeki1431
@fredtchalewandeki1431 6 жыл бұрын
Amani Peace 10 hours ago mkono, nanukuu AMANI PEACE. "kuna kingine kinakufanya upate hela mzee maana huwez kuwa na familia watoto wanne mwisho wa wiki unapata kama 70000 pamoja na kula na nn sjui unamlipaje bosi lkn anyway 70000×4=280000 mwezi mmoja 280000×12=3360000 kwa mwaka then miaka saba ni km 23520000 kwa mda huo Leo iweje nyumba iwe kwa million 30 haya maisha bahna sema kingine unachofanya labda mzeee "
@samjcb7896
@samjcb7896 6 жыл бұрын
hongera
@HASASON
@HASASON 6 жыл бұрын
Hongera sana hiyo njia nimepita sana kutoka nyegezi kwenda malimbe
@fredtchalewandeki1431
@fredtchalewandeki1431 6 жыл бұрын
Kwani hiyo biashara haina kodi, na mbona taxi yako ni bubu, imeionyesha mwenyewe, na namba yake au ni tours, pia ina sticker .... daah. Kaka, nawashauri kuwa makini na kujinadi kwenu, mnafungua wahusika machoooooooo ya kuona usiyoyafikiria, Careful man. Wakipiga hesabu hapo ........ sitaki kusema. USHAURI WA BURE.
@vicentflavour9992
@vicentflavour9992 3 жыл бұрын
Anaweza kua kalipia hajafunga number nyeupe
@bensonfrank643
@bensonfrank643 6 жыл бұрын
Vitu kama Hivi, Vinatia Moyo Sana ✊
@valencekavishe311
@valencekavishe311 6 жыл бұрын
nice
@veronicasarvatory9516
@veronicasarvatory9516 6 жыл бұрын
Hongera Sana kijana
@leiylaomar9318
@leiylaomar9318 6 жыл бұрын
Mungu akuzishie baraka
@zuberikulima5165
@zuberikulima5165 6 жыл бұрын
Siri ya maisha anaijua mwenyewe uwezi kujua anamichongo gani
@azzahussein5292
@azzahussein5292 6 жыл бұрын
HONGERA SANA MAANA NAJUA MADEREVA WANA ZAIDI YA MIAKA 19 LKN HAWANA HATA KIWANJA HONGERA NA POLE SANA NA MISUKO SUKO UNAYOKUTANA NAO
@alimaalima6016
@alimaalima6016 6 жыл бұрын
MASHALLAH
@kabaiyukyasnider6797
@kabaiyukyasnider6797 6 жыл бұрын
Hongera sana
@josemagoma4050
@josemagoma4050 6 жыл бұрын
I knw him
@fadhilifredrick4115
@fadhilifredrick4115 6 жыл бұрын
very nice hongera sanaaa
@SuperKibwana
@SuperKibwana 4 жыл бұрын
Hongera sana kwa kweli
@bahatielias9978
@bahatielias9978 6 жыл бұрын
Safi
@fatumaababy1281
@fatumaababy1281 6 жыл бұрын
Nice...
@hassannhembelo8534
@hassannhembelo8534 6 жыл бұрын
Poa
@saidaali9379
@saidaali9379 6 жыл бұрын
Hongera bro
@ashminaabdullah5626
@ashminaabdullah5626 6 жыл бұрын
Allah akupe nyengine nyenye vyumba vinne
@hudhud2022
@hudhud2022 6 жыл бұрын
Ashmina Abdullah Amiin madhal chumo lake halali
@almutasemalbusaidi2533
@almutasemalbusaidi2533 6 жыл бұрын
Nice
@masudinangololo3672
@masudinangololo3672 3 жыл бұрын
big up bro kazi kazi
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 3 жыл бұрын
Mashaa Allah
@jacobsimbeye3186
@jacobsimbeye3186 6 жыл бұрын
Ni kawaida Ni mwisho wa dunia
@mirajifikirini6305
@mirajifikirini6305 6 жыл бұрын
Hongela umenipa moyo sana bro
@amanipeace3771
@amanipeace3771 6 жыл бұрын
kuna kingine kinakufanya upate hela mzee maana huwez kuwa na familia watoto wanne mwisho wa wiki unapata kama 70000 pamoja na kula na nn sjui unamlipaje bosi lkn anyway 70000×4=280000 mwezi mmoja 280000×12=3360000 kwa mwaka then miaka saba ni km 23520000 kwa mda huo Leo iweje nyumba iwe kwa million 30 haya maisha bahna sema kingine unachofanya labda mzeee
@habiburamadhani6915
@habiburamadhani6915 4 жыл бұрын
Hongera sana
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 5 жыл бұрын
Mungu ambarikie
@extramen5534
@extramen5534 6 жыл бұрын
Safi sana bro
@rasvegas8991
@rasvegas8991 3 жыл бұрын
Hvo vitu vyakawaidaa Mbna mm nlishafanya vitu vya milion100 lkn cjawah Kishoka 15m
@kilala.k.5786
@kilala.k.5786 6 жыл бұрын
safi sana kijana
@asumthaagripa882
@asumthaagripa882 6 жыл бұрын
kilala k.
@agnesskassy2864
@agnesskassy2864 6 жыл бұрын
hongera sana mungu anakupenda
@HASASON
@HASASON 6 жыл бұрын
Hapo mbona ni malimbe
@gastongerald493
@gastongerald493 6 жыл бұрын
tisha man
@lydiathomas2905
@lydiathomas2905 3 жыл бұрын
Maisha ni kujipanga sio kiasi Cha pesa unachopata.
@shufaamohameed2603
@shufaamohameed2603 6 жыл бұрын
Naomba niwe mkeo wa pili😬😬😬😬aaha
@farhadimranmoodyimran5119
@farhadimranmoodyimran5119 6 жыл бұрын
Mm sina Mke Shufaa na nyumba niko nayo lkn nko Kenya
@farhadimranmoodyimran5119
@farhadimranmoodyimran5119 6 жыл бұрын
Mbna mmmh xaxa na nikujuana tu mwanzo please
@HASASON
@HASASON 6 жыл бұрын
Njoo hapa
@abdallahiddy6333
@abdallahiddy6333 6 жыл бұрын
Unatamaa na nyumba
@shufaamohameed2603
@shufaamohameed2603 6 жыл бұрын
Inaonyesha ni mwaminifu sana hongera kaka
@thomsonthomas6958
@thomsonthomas6958 6 жыл бұрын
Nice man
@kalengopeter7676
@kalengopeter7676 3 жыл бұрын
big up kwako bro
@elizanzula8375
@elizanzula8375 3 жыл бұрын
Keep up
@mourenedayness5909
@mourenedayness5909 6 жыл бұрын
Sasa miaka 7 mchezo hahahahaha
@shanisaidy5033
@shanisaidy5033 6 жыл бұрын
Ongera sana kaka
@marwachacha3865
@marwachacha3865 6 жыл бұрын
Allah akuhifadh
@issabakari1916
@issabakari1916 3 жыл бұрын
Ume umesema wapi konaaa!? 😀
@stevengerrard8724
@stevengerrard8724 6 жыл бұрын
Umezaliwa mwaka 1981 iweje uwe na miaka 38 ujajipanga bro
@abcxyz5211
@abcxyz5211 6 жыл бұрын
haha! nilidhani nipo pekee. Inakuwaje mtu mzima hujui miaka yako?
@lacksinho
@lacksinho 6 жыл бұрын
😅😅😅
@lipymuscat4779
@lipymuscat4779 6 жыл бұрын
malick juma anamiaka 36 😂
@ndishaalice2480
@ndishaalice2480 6 жыл бұрын
Lackson David msikilize vizuri ndio mana amesema Iabda inamana hajahesabu msimlaumu jamani maswali ya hapo kwa hapo lazima tu ukosee hata ingekuwa ndio wewe
@calvinmassawe5057
@calvinmassawe5057 6 жыл бұрын
malick juma we vipiiii
@jafaribagabo2728
@jafaribagabo2728 6 жыл бұрын
hongera kaka yangu
@tumasaleh4236
@tumasaleh4236 6 жыл бұрын
uko poa kaka unacho ongea upo sawa
@zayanazayana5353
@zayanazayana5353 6 жыл бұрын
Si haba
@nyangigenyabitwano1180
@nyangigenyabitwano1180 3 жыл бұрын
Wasukuma oyeee
@erenesteliasi895
@erenesteliasi895 3 жыл бұрын
nakukubali mkali unajikaz
@lulyehomadale9009
@lulyehomadale9009 6 жыл бұрын
Amejenga kwa muda gan?
@daudinambuta2024
@daudinambuta2024 6 жыл бұрын
ASANTE
@halimambwego8287
@halimambwego8287 6 жыл бұрын
Ndo Ndo Ndo si chururu
@lipymuscat4779
@lipymuscat4779 6 жыл бұрын
Halima Mbwego kweli kabisaa
@marijamganga4481
@marijamganga4481 6 жыл бұрын
Hongera! kiongozi
@yohabumlelwa2316
@yohabumlelwa2316 6 жыл бұрын
Mbona kawaida tu ilimradi badget yako uweke powa
@madirishasimon9692
@madirishasimon9692 6 жыл бұрын
Nawapenda wanawake wa kisukuma kabila langu
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 50 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 16 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 192 МЛН
الذرة أنقذت حياتي🌽😱
00:27
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 11 МЛН
Makan telur‼️@cure0721
0:24
Ayah Khanza
Рет қаралды 1,9 М.
Why is anti-immigration sentiment on the rise in Canada?
13:00
The Guardian
Рет қаралды 1,8 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 50 МЛН