DEVIL'S HOUSE |part one|.

  Рет қаралды 54,538

CHIBU FILM PRODUCTION

CHIBU FILM PRODUCTION

Ай бұрын

Nyumba ndio chanzo cha matatizo yote ya hapo kijijini, ikiwemo mauaji na watu kupotea ovyo.
Je familia hii mpya itaweza kupambana na majaribu hayo? Karibu kufatilia kisa hiki cha kusisimua.
#snakeboy22 #siriyahuba #ufuo #shetani #kicheche #bhailam #nyamayamwanangu #kipara #mwakatobe #vevowood #mwanamke #directorkakoso #kisiki #sungwi #kifochangu
Follow us on INSTAGRAM 👇 chiebway_tz...
Follow us on TIKTOK 👇
www.tiktok.com/@chiebway_tz?_...
For Bussiness WHATSAPP ONLY
+255 764 397 711

Пікірлер: 138
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Ай бұрын
❤ Rangi ya film inanifanya nijiulize hii film ni ya miezi iliyopita au yasasa!?. Kulingana na UZURI wa film napata jibu hii ni kazi mpya baada ya #UFUO. ❤ hii Film ni nzuri sana inashawishi kufatilia scene inayofata kuanzia scene ya kwanza ❤ #LAKINI Bimigomba msiwe mnampa scene hizo (........) Hizo scene hazia umuhimu ktk film. 👉 SADRA kwenye swala la ukatili na kutia uhuruma kabobea 😂 👉 CHIBU anapenda kucheza ni mume wa SADRA 😂 lakini ndie mwanamke anayefit kwenye nafasi za utata na sura yake 😂 👉 BUTUA ktk ubora wake. #ONYO Butua hakikisha unaachana na kiingereza cha uongo kinakushusha CV. Uko moto sana kwenye scene za sirious unazitendea haki sana. 💥 GANG ya CLAM VEVO sijawahi kuona mapungufu kwa msanii hata mmoja. 💥 #CHIBU kazi kwako. Hii film ni 🔥
@aishaomar2287
@aishaomar2287 Ай бұрын
Apo kwa bimigomba upo sahihi...uhusika huo haumfai😮
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Ай бұрын
@@aishaomar2287 ❤ sio uhusika haumfai tu.... scene hizo hazinaga umuhimu ktk film. Aidia zipo nyingi sana za kuandaa ambazo zinaweza kumpa mtu jina kubwa na heshima. Mifano ipo mingi kuna wasanii wa kimataifa walipata umaarufu bila filamu zao kuwa na matukio ya ajabu. Inatakiwa waandaa stori wawe makini ktk kutunga... 💥
@aishaomar2287
@aishaomar2287 Ай бұрын
@@DonMooSTUDIO_Express swadakta
@OmanMuscut-ju3xp
@OmanMuscut-ju3xp Ай бұрын
Nikwe langi siyo po yani jinsi inavyonyesha kama vile enzi zakale za mwalim nyerere
@aishaomar2287
@aishaomar2287 Ай бұрын
@@OmanMuscut-ju3xp 🤣🤣
@jimmyjeyo7255
@jimmyjeyo7255 14 күн бұрын
KAZI nzuri Sana kipara sina tabia za umbea niliachaga
@sifaraha
@sifaraha 6 күн бұрын
move nzuri baaana
@mjukuuhotelitv7736
@mjukuuhotelitv7736 11 күн бұрын
Mmefeli kwenye Rangi bhn ila kzi nzuri san
@halemasuliman-js8ug
@halemasuliman-js8ug 11 күн бұрын
Kazi mzuri
@MariamOmary-tt3fo
@MariamOmary-tt3fo Ай бұрын
Hii ndo movie sasa 🎉🎉
@RashidiMogopa
@RashidiMogopa 4 күн бұрын
rangi umezingua mzee
@tanuplus
@tanuplus Ай бұрын
Kazi kubwa sana
@Mwandola1
@Mwandola1 Ай бұрын
Kali sana
@munacute-qc8bu
@munacute-qc8bu Ай бұрын
Wow kazi nzur kipenzi📌❤❤❤❤
@MosesMboya-le9sl
@MosesMboya-le9sl 17 күн бұрын
Rangi banaaa
@Giventzmedia
@Giventzmedia 24 күн бұрын
Rangi watabadilisha jaman wala msiwe na mashaka izo rat tu kaz nzuri sana
@bongotamuonline3090
@bongotamuonline3090 Ай бұрын
Tunawapenda saana team chibu ❤
@AnaAna-rc7mh
@AnaAna-rc7mh 28 күн бұрын
Movie nzuri chukueni mauwa yenu🎉🎉🎉🎉
@aishaomar2287
@aishaomar2287 Ай бұрын
Mashallah team chibu,kitu kitu🎉🎉🎉...alafu butua kumbe unakua na mahaba 😋, kipara anawaelezea kuhusu nyumba we wampapasa wife ila nmependa jibu lako kwa kipara huyo si dadako wala shemeji yake bali ni "mkeo" 👍
@user-bq6tg1bj9s
@user-bq6tg1bj9s Ай бұрын
Kubwa kuliko yani ni ya moto🎉🎉🎉🎉
@shabanimniha57
@shabanimniha57 Ай бұрын
Wa kwanza leoooo, nipeni maua yangu jaman
@user-ic8mc3bd8l
@user-ic8mc3bd8l 8 күн бұрын
Much love from Kenya 😮😢😢😮
@user-dp7ts8yk3d
@user-dp7ts8yk3d 19 күн бұрын
Iko pw sana
@issuthegoldissukijanamwema8761
@issuthegoldissukijanamwema8761 Ай бұрын
We kipara unaharibu movie, hizo steely zako ni za kizamani sana enzi za kina chili na zimwi, badilika baba uende na wakati
@user-zb7xb1lj5l
@user-zb7xb1lj5l 28 күн бұрын
Uhakik
@ArafaAmirAmir-ci7ld
@ArafaAmirAmir-ci7ld Ай бұрын
Oooooh maiiiii Butua uko vereeee❤❤❤
@user-gl2bn6ot8e
@user-gl2bn6ot8e 23 күн бұрын
Butua ilo kanzu lmekuvaa sana au umeazma😂😂😂
@user-pb2jx5zm3k.MBUZIII
@user-pb2jx5zm3k.MBUZIII Ай бұрын
KAZ ya CHIBU haiwez ikaharibika
@abdulgeuka3985
@abdulgeuka3985 Ай бұрын
Rangi miyayusho sana
@RaphiaKassamaly-sd3uk
@RaphiaKassamaly-sd3uk Ай бұрын
Nimependa
@user-ce1vh4rl5c
@user-ce1vh4rl5c Ай бұрын
Movie nzurii sana ila mmetuanqusha kwenye lanqi 😢😢😢
@MashaMbwana
@MashaMbwana Ай бұрын
Sio langi ni rangi
@SalamaFrancis-yg7sr
@SalamaFrancis-yg7sr Ай бұрын
😂😂😂watz hao hawaezi tamka R ....ni L​@@MashaMbwana
@AzizaHusein
@AzizaHusein 29 күн бұрын
😂😂😂watz ndo wep
@SalamaFrancis-yg7sr
@SalamaFrancis-yg7sr 29 күн бұрын
@@AzizaHusein Tanzania 😂😂
@mariamjuma5957
@mariamjuma5957 22 күн бұрын
Ati langi kwani ujui kutamka r ww rangi😅😅
@hamzaIlunga
@hamzaIlunga 28 күн бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲❤️
@FreddyGisa-dq5ut
@FreddyGisa-dq5ut 29 күн бұрын
Nawa penda sana
@user-vj2cm9cc8g
@user-vj2cm9cc8g 29 күн бұрын
Filamu kiza kingi
@faridamarsha9476
@faridamarsha9476 Ай бұрын
Keep pushing Emmanuel wilson
@juniorofficallmedia5486
@juniorofficallmedia5486 24 күн бұрын
Tafuta hela chibu😂😂😂
@elithomasmedia800
@elithomasmedia800 Ай бұрын
Hatariiiii hiz za wachacheee
@rukingamaboar802
@rukingamaboar802 6 күн бұрын
Bom trabalho irmão
@saidiabdalahshabani941
@saidiabdalahshabani941 28 күн бұрын
Chibu mpelekee 🔥 mam mkwe😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 move nzur snaa sem umefer kwenye upande walangi ya move😏
@SumaiyaWambui3500
@SumaiyaWambui3500 19 күн бұрын
good film lakiny hyo rangi no,,,watching from kenya❤❤
@user-wi4kr2zr7x
@user-wi4kr2zr7x 20 күн бұрын
Chibu umenichekesha kwa hicho kioo du kitanda kwisha
@paschalmtatiro9850
@paschalmtatiro9850 Ай бұрын
Keep pushing Broo @chibu
@RizikiZiki
@RizikiZiki Ай бұрын
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@GenerousAfricantours
@GenerousAfricantours 29 күн бұрын
Rangi usengeeee mkileta Tena marangi ya namna hii siangaliii
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 14 күн бұрын
Yn clam vevo gang hamjawahi kutuangusha hongerrni sana❤❤❤
@frankmuganyizi5547
@frankmuganyizi5547 Ай бұрын
🔥🔥🔥
@user-nc5vk9bo7u
@user-nc5vk9bo7u Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 hii kubwa kuliko
@jacksongodlisten3614
@jacksongodlisten3614 Ай бұрын
Tuondokeeee 🚀 kaka
@remiomar7154
@remiomar7154 Ай бұрын
Yaani heee mumekatazwa kuact uchawi 😂😂😂 sasa mumeamua kututisha n majini 😂😂😂😂 ila team chibu mpo vizuri
@user-lv5iw6wn6q
@user-lv5iw6wn6q 6 күн бұрын
❤❤🎉🎉❤❤
@user-ck7zi2rq8h
@user-ck7zi2rq8h 6 күн бұрын
Rangi ya nyumba
@user-tj1wv1xd4m
@user-tj1wv1xd4m Ай бұрын
Bonge1 la series
@martinchambala9399
@martinchambala9399 22 күн бұрын
Hivi mpaka mnaluhusu mzigo utazamwe mnakua hamkagui kama Kuna hitirafu rangi gani hizi sasa
@gabrielamrutu6277
@gabrielamrutu6277 Ай бұрын
Kazi nzuri ❤ ila shida rangi
@user-ez9jz1kp5q
@user-ez9jz1kp5q Ай бұрын
Moçambique boa tarde Tanzânia
@paulinekombe3753
@paulinekombe3753 Ай бұрын
Nice job chibu🎉🎉
@user-li4gh8rs6y
@user-li4gh8rs6y 13 күн бұрын
Nice
@fpssatanzania2782
@fpssatanzania2782 Ай бұрын
Next please 🔥 🔥
@abdalalugo5851
@abdalalugo5851 11 күн бұрын
Fanyen rangi nzur znazoonyesha vzur bc
@jimmyjeyo7255
@jimmyjeyo7255 14 күн бұрын
Rangi ya move haipendezi lakn move imeweza
@Chazmusic_official
@Chazmusic_official 29 күн бұрын
Rangi rangi
@rojaasha7024
@rojaasha7024 Ай бұрын
Saiv umewezaa na umeweza tena❤
@Zix-yb1ci
@Zix-yb1ci 29 күн бұрын
Ni nzuri ❤🎉🎉
@PeterWiliam-tn1uo
@PeterWiliam-tn1uo 5 күн бұрын
Muve nzr
@user-dp7ts8yk3d
@user-dp7ts8yk3d 19 күн бұрын
🎉❤
@RaphiaKassamaly-sd3uk
@RaphiaKassamaly-sd3uk Ай бұрын
Seen
@kidongecomedian
@kidongecomedian Ай бұрын
Kazi kubwa hii kaka
@RamazaniMustafa
@RamazaniMustafa 19 күн бұрын
Rangi mbovu sana kweli
@ViolineOnsomu
@ViolineOnsomu 28 күн бұрын
Kazi nzuri lakini rangi ndio mbaya badilisha
@machozimukucha
@machozimukucha Ай бұрын
🎉🎉🎉❤❤❤❤
@chardtz6218
@chardtz6218 Ай бұрын
🎉🎉🎉
@TantineZuzu
@TantineZuzu Ай бұрын
Big up bro kwa muzigo muzuri ❤❤❤🇧🇮🇧🇮
@Shuugan
@Shuugan Ай бұрын
❤️❤️
@RamaMkuru-qd3gc
@RamaMkuru-qd3gc Ай бұрын
Move mzuri Ila tunaomba rud kwenye rangi ya kawaida
@Mkundaviral
@Mkundaviral Ай бұрын
Twende kk
@user-xu5rh6ub5j
@user-xu5rh6ub5j Ай бұрын
Mashallah team chibu
@gugutheartist7352
@gugutheartist7352 Ай бұрын
💪💪👏
@user-jn9br9kf5y
@user-jn9br9kf5y 25 күн бұрын
🙏🙏🙏❤️❤️❤️🇧🇮
@MutranMaokola
@MutranMaokola 11 күн бұрын
Movie nzuri ila Rangi haikutoka Vizuri Chibu jitahidi kwenye Episodes Zinazokuja Ziwe na Rangi nzuri
@amosjunior6352
@amosjunior6352 28 күн бұрын
Filamu nzuri sana ila badilisheni rangi jamani
@rajabanabaswa36
@rajabanabaswa36 23 күн бұрын
Hello chibu camera yako
@jubaidamiss2409
@jubaidamiss2409 22 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@user-ll4qd3km9e
@user-ll4qd3km9e Ай бұрын
chibu dah
@user-ur4qr2bo5p
@user-ur4qr2bo5p Ай бұрын
Jmn kipara muong😂😂
@suzan2929
@suzan2929 25 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@ChimitaAssane
@ChimitaAssane Ай бұрын
Chibu tunataka ufuo
@remiomar7154
@remiomar7154 Ай бұрын
Kweli watuacha sehemu tamu
@joymkenya2359
@joymkenya2359 Ай бұрын
🎉 congratulations,,, 😅 the movie is very interesting.... 🇰🇪 Kenya we love you TZ.... Mlete pt 2 soon 👍
@mazikumange9130
@mazikumange9130 Ай бұрын
I'm sorry your breakfast😂 🔥🔥
@ericnduwimana8246
@ericnduwimana8246 Ай бұрын
Bizuri saana kabisa,mumecheza vizuri,naomba number ya Matrida please
@Mr.kigoma
@Mr.kigoma 6 күн бұрын
Watu wa hovyo sana rangi gan hii mnatuwekea?
@Edith-rq3mm
@Edith-rq3mm Ай бұрын
Mama mkwer kukutak mbon kawaida San chibu sasahiv mishangaz ndo habar ya mjinii
@user-vc6so5cb2z
@user-vc6so5cb2z Ай бұрын
Kazi nzuri ila makazi na mazingira yakazi yenu mjatendea haki
@dorakwamboka6256
@dorakwamboka6256 29 күн бұрын
Naomba pia like zenu
@user-gf9xw3hy6g
@user-gf9xw3hy6g 15 күн бұрын
Camera mmezigua kinoma
@user-cj7qm2rx4l
@user-cj7qm2rx4l Ай бұрын
Unazingua ufuo hatuelewi imeishaje mambo Gani hayo
@user-qs8bi1eq8j
@user-qs8bi1eq8j 29 күн бұрын
Kipara unakera na kizungu chako cha kipumbavu ss tunaangalia mchezo wa kiswahili msituboe
@Mwanah-cg3ie
@Mwanah-cg3ie Ай бұрын
Chibu fuo VP muendelezo
@user-lo6sy9zz2f
@user-lo6sy9zz2f Ай бұрын
I which from which ak ww Kipara ww😂😂
@mahmoudnajad217
@mahmoudnajad217 Ай бұрын
Chibuuuuu💪
@lizluvshann
@lizluvshann Ай бұрын
Naomba promotion kwa hawa vijana @Shangilia melody WA ajabu
@Yesslarry
@Yesslarry 28 күн бұрын
Rangi nzuli ila imeanza na square imekaaje
@ummialey6391
@ummialey6391 Ай бұрын
Hapo ndo mnapo tu changanya hajamaliza hili mnaanza hili haya ufuo vp
@user-jo7jr7xz7p
@user-jo7jr7xz7p Ай бұрын
Mfuo wanaleta msimu wa pili tudubilini ila chibu usitucheleweshee bas 😢😢😢😢😢
@Edith-rq3mm
@Edith-rq3mm Ай бұрын
Kwan ufuo uliishia wap maan Kila nikitafuta sipat ep ya mwisho
@joshuasakwa1548
@joshuasakwa1548 29 күн бұрын
Huyo ndio Sandra najua, sio wale sandra wanyonge wanyonge
@AbdulMadenge
@AbdulMadenge Ай бұрын
Asa ndugu ufuo hujamaliza unatutoloea nyingin
@elizabethmahenzo7220
@elizabethmahenzo7220 Ай бұрын
❤❤❤
@AllyYamkiwa
@AllyYamkiwa Ай бұрын
Team chibu
DEVIL'S HOUSE | part two, Final |.
32:36
CHIBU FILM PRODUCTION
Рет қаралды 28 М.
MWANAFUNZI SHETANI 🔥 EPISODE 1-3
29:49
MATUTU MEDIA
Рет қаралды 45 М.
Tom & Jerry !! 😂😂
00:59
Tibo InShape
Рет қаралды 66 МЛН
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 4,7 МЛН
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 11 МЛН
UFUO | EP 01 - 06 |.
1:21:20
CHIBU FILM PRODUCTION
Рет қаралды 47 М.
PLAN B _ Episode 1
40:01
kp wa Aquino
Рет қаралды 227 М.
NDOTO YANGU. EP1
16:38
HRM FILMS
Рет қаралды 2,3 М.
DEVIL'S HOUSE | Full Movie |.
1:10:32
CHIBU FILM PRODUCTION
Рет қаралды 29 М.
MSAKO | FULL MOVIE |
1:08:44
KIM VEVO
Рет қаралды 51 М.
MWANAMKE FULL MOVE #kakoso #sandra #kipara #chibu # mbwela
1:32:45
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 198 М.
SUMU | Ep 01|.
24:12
CHIBU FILM PRODUCTION
Рет қаралды 23 М.
MKOBA WA MAMA  Episode| 1 |
22:24
TANU PLUS+
Рет қаралды 218 М.