DHAMBI HIZI ALLAH ANAKULIPA HAPAHAPA //SHEIKH OTHMAN MAALIM

  Рет қаралды 130,752

arkas online tv

arkas online tv

6 ай бұрын

Kuna dhambi 2 ALLAH anakulipa hapa duniani na AKhera pia utalipwa

Пікірлер: 110
@ruyirucky
@ruyirucky 5 ай бұрын
YAALLAH NISAMEHE MAKOSA YANGU YA DHAHIR NA SHAHIR YARAABI HAKIKA NIMEIDHURUMU NAFSI YANGU YAARABU NAOMBA MSAMAHA NAOMBA MOLA WANGU MLEZI HURUMA NA REHEMA ZAKO YAARABI NISAMEHE KWA YALE NILOYATANGULIZA HAKIKA NAFSI YANGU HAIWEZI KUIHIMILI ADHABU ZAKO YAARABI YAARABI YAARAB NISAMEHE EEH MOLA WANGU MLEZI NAOMBA MSAMAHA WAKO ❤❤🥺🥺
@user-mq7gs6dn8w
@user-mq7gs6dn8w 5 ай бұрын
Ewe mollah wangu naomba wapunguzie mitihan wazazi wangu wa wili. Inshallah
@sumiymuhammad3865
@sumiymuhammad3865 6 ай бұрын
Nampend San Sheikh othman kw ajil ya Allah hakika Allah akulipe ujira mwema isha Allah ❤
@khalidsalim3952
@khalidsalim3952 3 ай бұрын
😅❤❤❤😂
@wahidamohamed9404
@wahidamohamed9404 6 ай бұрын
Mwenyezi Mungu atuongoze, atuepushe na dhulma.
@user-gh5sv6eh3i
@user-gh5sv6eh3i 2 ай бұрын
Ya Allah tumedhulumiwa sana sisi wa nyumba kubwa mama wa kambo na.wanawe wametuhangaisha sana kwa mali ya baba yetu naomba malipo wewe ndio tegemeo letu hatuna wa kutupigania yarabi🤲🤲🤲🤲
@user-ob9cd9vg5u
@user-ob9cd9vg5u 6 ай бұрын
Asante sana sheith ,Allah akulipe kila la heri , ❤
@hudaaahmed3409
@hudaaahmed3409 2 ай бұрын
Yaa Allah walipie malipo kwa wote walodhulumiwa Ameen Yaa Raabil 3alameen............na wenye kudhulumu hata habari hawana Subhana Allah
@ndalusanzekassim5902
@ndalusanzekassim5902 6 ай бұрын
Mwenyezimungu atunusuru na mitihani ya duniani na akhera yarab ameen!
@Aminamuhamed
@Aminamuhamed 6 ай бұрын
💔😭YAA ALLAH NAOMBA KWA DHULUMA HII NILOFANYIWA JASHO LANGU YAA RABIY WEWE ULINIONA NILIVYOKUWA NIKITAABIKA JUU YA KUITAFUTA YAA RABIY KAMA VILE WEWE HUPENDI DHULUMA NAKUOMBA MALIPO YAA RABIY NAWEWE UMENIONA NILIVYOUMIYA MOYO WANGU KWA KUDHULUMIWA YAA RABIY NAOMBA MALIPO🤲NAHANGAIKA ILI NISAIDIYE WAZAZI WANGU LEO MTU AJE ALE HIVI HIVI EE MLIPAJI WA HAKI NAOMBA MALIPO🤲💔😭😭😭
@nuriatkimolo-zf1zs
@nuriatkimolo-zf1zs 6 ай бұрын
😢Allah atakusaidia inshaallah
@jumahamad3723
@jumahamad3723 6 ай бұрын
Pole sana dada yangu
@Aminamuhamed
@Aminamuhamed 6 ай бұрын
Shukuran kakaangu
@user-mk5qk9kw1z
@user-mk5qk9kw1z 6 ай бұрын
Ameen
@aishaaisha9339
@aishaaisha9339 6 ай бұрын
Poleee dear 😊
@lwimboabdallah6990
@lwimboabdallah6990 Ай бұрын
Jazakumullahu khaira, vip kuhusu yule atakayejitangazia kuwa yeye ni mungu kama firaun hii haimhusu.?
@apexmombasa6809
@apexmombasa6809 6 ай бұрын
Ma sha Allah ya sheik Othman Malim
@user-zz7ep5of2m
@user-zz7ep5of2m 6 ай бұрын
Mm nilizulimiwa na mvulana Alie taka kunioa kamdhulumu adi mama yangu niliumia Ila Nish samehe kwaajili ya allah
@user-xk9gz5od9v
@user-xk9gz5od9v 6 ай бұрын
Allah atuepushe na vitu vya dhuluma Insha Allah
@user-xk9gz5od9v
@user-xk9gz5od9v 6 ай бұрын
Shekhe othuman Allah akujalie kher nyingi dunia mawaidha yako ni maxur
@maryammtumwa8278
@maryammtumwa8278 6 ай бұрын
Masha Allah hakika tuwaswamehe waliotudhulumu kwa ajili ya kutaka na kupata radhi za Allah illa ukweli dhulma inaumaaa
@homeboy2307
@homeboy2307 Ай бұрын
Hakika Mungu nisamehe
@SalmaKhatib-qv2ik
@SalmaKhatib-qv2ik 2 ай бұрын
Maashaallah
@taarabmixmart7731
@taarabmixmart7731 5 ай бұрын
Hapo kwakudhulumu wallahi namuwachiya Allah atalipa nime dhulumiwa ardhiyangu,pesa karibu elifu 80 walahi nikikumbuka huliya kila siku ila najuwa Allah yupo atanilipiya insha'Allah 😢😢
@AhAu2-oi5wn
@AhAu2-oi5wn Ай бұрын
Allah atunusur na adhabu ya akhera na dunia kwa waislam wote....nawasamehe wote walinidhulum mim isiwe sabbu. Ya wao kuadhibiwa..na allah..
@fatmajilo1513
@fatmajilo1513 6 ай бұрын
Mashallah Allah shekhe wetu mawaidha mazuri sana
@miambayankeba1084
@miambayankeba1084 3 ай бұрын
Allah atusamehe mathambi yetu,kwa yale tunayo yajuwa na tusiyo ya juwa
@mariyamh1857
@mariyamh1857 Ай бұрын
Ammiin YARABIL ALLAMIN
@pachawadoto5911
@pachawadoto5911 4 ай бұрын
Ila huyu shekhe kiila madam atayoileta " ni atakueleweshen mpaka muelewe tu.. Mwenyewe mungu akujaze kila lenye kheri na wewe
@MwajumaMkali
@MwajumaMkali Ай бұрын
Jaman tumuogopeni allah
@Aminamuhamed
@Aminamuhamed 6 ай бұрын
SHEKHE WETU NAOMBA PIA USHAURI WAKO JUU YA DHULUMA HII NILIFANYIWA MAANA MOYO WANGU UNANIAMRISHA NIMFANYIYE KISOMO LKN MOYO WANGU UNARUDI KTK SUBRA.. TAFADHALI ARKAS ONLINE TV NAOMBA NIULIZIYENI KWA SHEKHE WETU.. SHUKURAN
@batulialmass8914
@batulialmass8914 3 ай бұрын
Usimsomea albaduri ni haramu wewe kuwa tu uswali suna za usiku unamuomba Allah insha Allah utalipwa hapa hapa
@Aminamuhamed
@Aminamuhamed 3 ай бұрын
@@batulialmass8914 SHUKURAN DADABATULALMASS KWA USHAURI WAKO HAKIKA HAKUNA ZAIDI YA ALLAH ☝️ NDIYE MLIPAJI
@user-jv1ch4tr8q
@user-jv1ch4tr8q 5 ай бұрын
Yani ninapo kuskiliza niko na stress huwa nafarijika kabisa Allah akupe mwisho mwema insha
@user-yo3vh3fe7g
@user-yo3vh3fe7g 6 ай бұрын
Shukran sheikh mawaidha mazuri kuhusu dhulma allah akupanuliye kifuwa chako ilmu izidi mara dufu
@AttiyaHabib-fx7zz
@AttiyaHabib-fx7zz 5 ай бұрын
Mashallah Shikh ALLAH SUBHAANA WATAALA akuzidishie elimu na hekma na akulinde na kila shari alizoziumba amin
@NasraMussa-pm2jv
@NasraMussa-pm2jv 5 ай бұрын
Allah s.w atunusur na mitihan yarab allah tuhifadh siy viumb wak wadhaif kwak tunaelekea Othman uhibbu fiisabililaa allah atuhifadh..
@user-xz7fy4vo8l
@user-xz7fy4vo8l Ай бұрын
Subhanallah
@user-xz7fy4vo8l
@user-xz7fy4vo8l Ай бұрын
Allah akulindee sana
@Aminamuhamed
@Aminamuhamed 6 ай бұрын
WALLAH MPAKA IKAFIKIYA NAKOSA USINGIZI EE MOLA WANGU JASHO LANGU YAA RABIY BORA KAMA NINGEITOA KWENYE JAMBO LA KHERI KULIKO MTU ANIDHULUMU .MOLA WANGU HAKUNA KINACHOKUSHINDA KTK MILIKI YAKO🤲😭
@rehmakondo
@rehmakondo 5 ай бұрын
My ww sema alhamdulillah, usisome cjui albadil,sali sana Allah atakupa kwa njia nyngene mie yalinikuta,wallah sikuwaza kufanya lolote baya japo niliumia kama mwanadamu niliongea,lkn niliongea zaidi na Allah wallah Allah alinilipa zaid ya kile,kwaio ww usifanye lolote baya omba tu kwa Allah akupe subra,utasahau na Allah atakulipa badala
@Aminamuhamed
@Aminamuhamed 5 ай бұрын
@@rehmakondo ALHAMNDULLILAH RABIL AALAMIYN YAA ALLAH 🤲 SHUKURAN DADAANGU REHMAKONDO KWA USHAURI WAKO .ILA HATA MIMI WALLAH HUWA SI TABIA YANGU KUMFANYIYA BINADAMU MWENZANGU UBAYA NA NIMEULIZIYA KWA WASOMI WAMENIJIBU KUWA NI SHIRKI.KWAHIYO NIMEMKABIDHI ALLAH MJUZI WA KULIPA NA PIA AMENIPA UTULIVU WA MOYO WANGU.NIPOKWENYE DUA KWA SASA ALHAMNDULLILAH RABIL AALAMIYN 🤲❤️
@rehmakondo
@rehmakondo 5 ай бұрын
@@Aminamuhamed insha Allah utakaa sawa my,Allah atajibu kwa wkt na utasahau mpnz,me nimesahau kbsa na nna amani
@Aminamuhamed
@Aminamuhamed 5 ай бұрын
@@rehmakondo INSHAALLAH HAKIKA KWA ALLAH HAKUNA KUBWA NAMWOMBA ANISAHAULISHE NAMI NA ANIPE AMANI.SHUKURANI DADAANGU NAHIS FARAJA KWA KAULI YAKO.INSHAALLAH MPNZ UCK MWEMA WENYE AMAN NA UTULIVU 🤲🤲🤲❤️❤️❤️
@rehmakondo
@rehmakondo 5 ай бұрын
@@Aminamuhamed Nawe pia my, nakupenda kwa ajili ya Allah 😘❤
@ZainabuKudomu
@ZainabuKudomu 27 күн бұрын
Koo anamaana nasaba zako ndugu zako
@dorrnemushi8171
@dorrnemushi8171 4 ай бұрын
Mm kunamtu alinidhulumu nakunifanyia fujo yy nawatotowake wananitukana kilakukicha umwaka wa 3 matusi makubwa nakuniambia mm nikonasulambaya wananifananisha nawanyama nilimuomba mungu anipe subla nisijekujibu mtu mpaka sasa wananitukana wananizomea sijawai mjibumtu namshukulu mungu
@RamadhanMohamed-qr9mz
@RamadhanMohamed-qr9mz 6 ай бұрын
Mungu atuongoze kwa kheri
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 5 ай бұрын
Mashaallah tabarakaah Shukran sheikh wetu mawaiza mazuri Yaarabi tupe moyo wakutosheka
@user-du2fy5sd5u
@user-du2fy5sd5u 5 ай бұрын
Assallam Allaikum ustadh Allah Atupe umri tuzidi kunufaishana katika dini
@nayrahmalessa8750
@nayrahmalessa8750 6 ай бұрын
Jaman Shekh anawake wangap?? Wallah nampenda san afikishiwe hu ujumbe😢🤌
@queenlinda255
@queenlinda255 6 ай бұрын
Amebaki na mmoja ndugu yangu
@queenlinda255
@queenlinda255 6 ай бұрын
Mimi wakati nilivyokuwa mschana mdogo nina miaka mak 20-25 nilikua napenda sana macho yake walai tena
@Kondoa805
@Kondoa805 5 ай бұрын
Mashallah tabarakallah Allah ukumbusho unawafaa wenye Iman❤❤
@user-ec7ku1cy7e
@user-ec7ku1cy7e 3 ай бұрын
Allah akulinde inshaallah
@radhiyakimolo3465
@radhiyakimolo3465 5 ай бұрын
ALLAH ALISHA MLAAMI MTU ACHEBI KUZUA ZUA
@FauziahNambaka-bn2ln
@FauziahNambaka-bn2ln 6 ай бұрын
Mwenyezi mungu atuepushe name huu mtihani was dhulma
@apexmombasa6809
@apexmombasa6809 6 ай бұрын
Allahumah Amin yarabi
@CalmPottery-ww4co
@CalmPottery-ww4co 4 ай бұрын
Asalam alkm mwenye namba ya shekhe naomba anisaidie ninashida
@alibakhresa346
@alibakhresa346 5 ай бұрын
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatu Nakama arhamu zako walikukataa tangu mdogo jee hukmu yake ni vipi sheikh
@ismaelselemane5798
@ismaelselemane5798 6 ай бұрын
Othman malimu na kukbar sana allah kujalihe barak
@user-oj2vv5bh3i
@user-oj2vv5bh3i 5 ай бұрын
Mungu akujalie
@user-jv9jp5hi9q
@user-jv9jp5hi9q 3 ай бұрын
Sheikh Othman mmi nimedhulumiwa pesa na msichana Saudi Arabia so naomba kusoma albadili
@MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv
@MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv 5 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah
@badriasalem1976
@badriasalem1976 6 ай бұрын
تبارك الرحمن
@badriasalem1976
@badriasalem1976 6 ай бұрын
MashaAllah
@msellemnassir1831
@msellemnassir1831 6 ай бұрын
Mashallah mafunzo muhimu
@MwanaidyMgonja-ek5ls
@MwanaidyMgonja-ek5ls 21 күн бұрын
YARABI NAKUOMBA WAJAALIE WAZAZ FURAHA SIKU ZOTE KWA KIDOGO NTAKACHOWAPA
@khalidsalim3952
@khalidsalim3952 3 ай бұрын
😢
@user-mk1qz1mn7w
@user-mk1qz1mn7w 6 ай бұрын
Nipo Sénégal 🇸🇳
@salimmohamud5390
@salimmohamud5390 6 ай бұрын
Senegal wanaelewa kiswahili ?
@rehmakondo
@rehmakondo 5 ай бұрын
​@@salimmohamud5390hahahahahaa😂😂mswahili huyo anataka tujue alipo😅
@FemidaJuma-pw4ff
@FemidaJuma-pw4ff 4 ай бұрын
Shekh Kama Niko na mzazi mmoja ni mama Tu na Baba yangu Simjui na akuwahi ata kunitafuta je..Mimi Kama mtoto wake napataje milango ya Pepo kwake??
@user-ul7re8lo6y
@user-ul7re8lo6y 5 ай бұрын
Sheikh koo ni nini sijaelewa
@user-gp3ys2je6n
@user-gp3ys2je6n 6 ай бұрын
Polle dada angu ingawa na mim yamenikuta week moja iloyopita kikubw dada angu tusubil tu hukmu ya allah yeye ndo mwamba wa miamba
@sadunabdallah7303
@sadunabdallah7303 6 ай бұрын
Auma aminaaaa❤❤❤
@mnyorishow5050
@mnyorishow5050 6 ай бұрын
Uyu ni mtu wa Mungu kweli nahamini
@Aminamuhamed
@Aminamuhamed 6 ай бұрын
Tena yeye mwenyewe anamthibitishiya ndugu yangu kuwa kudhulum mtu haifani nami namwomba MUNGU kwa kauli yake anilipiye YAA RABIY 🤲🤲💔😭
@user-sp6sv3cg9d
@user-sp6sv3cg9d 4 ай бұрын
Asalaam aleikum
@user-ws2vu2wt3p
@user-ws2vu2wt3p 3 ай бұрын
Maneno hayo
@user-mk1qz1mn7w
@user-mk1qz1mn7w 6 ай бұрын
Gogo libahali
@user-cr8cs2qc8f
@user-cr8cs2qc8f 5 ай бұрын
Sheikh jamani kukata kooo n nni mbn sijaelewa
@jumabakari5114
@jumabakari5114 5 ай бұрын
Kuvunja undugu
@batulialmass8914
@batulialmass8914 3 ай бұрын
Kuvunja undugu
@TabuNdauka
@TabuNdauka 6 ай бұрын
Mungu aninusuru na dhuruma siitaki hata kama mtu atanudhulumu Mimi Sawa ila mm sitafhurum
@salmamfaume1073
@salmamfaume1073 6 ай бұрын
MashaAllah
DUNIANI HAKUNA FURAHA KILA KITU MTIHANI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
34:48
arkas online tv
Рет қаралды 35 М.
KWANINI KISU HAKIKUKATA SHINGO YA NABII ISMAIL  ? //SHEikh othman maalim
1:01:33
How to bring sweets anywhere 😋🍰🍫
00:32
TooTool
Рет қаралды 31 МЛН
A pack of chips with a surprise 🤣😍❤️ #demariki
00:14
Demariki
Рет қаралды 31 МЛН
ДЕНЬ РОЖДЕНИЯ БАБУШКИ #shorts
00:19
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
NI YAPI MARADHI MABAYA YA MOYO?
43:33
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 1,1 М.
UAMINIFU NIKATIKA FUNGUO ZA RIZKI / SHEIKH HASSAN AHMED
36:11
FADHAKKIR CHANNEL
Рет қаралды 42 М.
KIMETOKEA NINI BAADA YA KUFA HAMZA- SIMBA WAMUNGU - DR SULE
30:12
HAJI ONLINE TV
Рет қаралды 27 М.
Othaman Maalim - Ninani Mtu Bora. Part1  & 2
2:35:40
Saleh Ally
Рет қаралды 304 М.
MUEPUKE RAFIKI HUYU ATAMUHARIBU MTOTO WAKO //SHEIKH OTHMAN MAALIM
59:07
Универ. 13 лет спустя - ВСЕ СЕРИИ ПОДРЯД
9:7:11
Комедии 2023
Рет қаралды 3,4 МЛН
Сумел остановить эскалатор🤯
0:40
WORLD TOP
Рет қаралды 3,1 МЛН
Сумел остановить эскалатор🤯
0:40
WORLD TOP
Рет қаралды 3,1 МЛН