DHAMBI INAYOKUTAFUNA HARAKA

  Рет қаралды 5,089

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

5 ай бұрын

1 Kor 6:18
Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/sirizabiblia
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Пікірлер: 91
@neemakarisa1496
@neemakarisa1496 5 ай бұрын
MUNGU wangu anisamehe,.....Nisaidie Nisirudie tena uniwezeshe MUNGU wangu,uzao wangu usipitie haya katika Jina La YESU,Nisisikie ya ulimwengu huu nisikie kutoka kwako MUNGU wangu, Amen 🙏🙏🙏
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 5 ай бұрын
Mungu wetu nakushukuru kwaajili ya huyu mtumishi wako. Ndg zangu hakuna dhambi inayoturudisha nyuma km zinaa😭😭😭😭😭. Zinaa ni mbaya sana zinaleta mikosi, magonjwa na umaskini. Asante Mungu kwaajili ya huyu mtumishi wako
@catherinenguvira
@catherinenguvira 4 ай бұрын
Mungu naomb unishike mkon pekeang sitawez na uzao wangu usipitie hay nilio pitia mm na waepushie mbali san na ninaomba Mungu nisirudi nyuma na ninaomb unishike mkn nikikushika mm nitakuachia nishike Yesu wangu😢😢😢😢😢
@user-gy9bn8fh5q
@user-gy9bn8fh5q 5 ай бұрын
Asante mungu kwakuniepusha.nahii Zambi zidi.kunimarisha bwana.naitaji uwepo
@user-zg6ek5kk6z
@user-zg6ek5kk6z 5 ай бұрын
Nimekukosa sana MUNGU wangu naomba unisamehe nisijiingize tena kwenye mazingira ya dhambi ,unitakase na roho mtakatifu wako anisaidie ktk uelekezaji.NG'OA MASHINIKIZO YOTE YASINIFUATEFUATE TENA.
@arsenelucas
@arsenelucas 5 ай бұрын
Asante Mungu kwa siku mpia na neno lako kwangu
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 5 ай бұрын
Ndg zangu wapendwa huyu mtumishi kanigusa sana mimi leo😭😭😭😭😭😭. Alhamdulilah 🙏
@ezekielmwau7320
@ezekielmwau7320 2 ай бұрын
Mungu aniepushie na tamaa za ujanani🙏
@GetrudeFidelis
@GetrudeFidelis 28 күн бұрын
Mungu naomba unisaidie nisirudie tena😢😢
@sophiamwangi843
@sophiamwangi843 5 ай бұрын
Mungu nisaidie sana bwana moyo wangu nisitumike kwa shetani tena nikutumikie
@LazarokipanaKipanamosson
@LazarokipanaKipanamosson 5 ай бұрын
Amina san 🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭🙏😭
@user-li2ze2ws4l
@user-li2ze2ws4l 5 ай бұрын
Mungu msaidie mdogo mwanaisha mtoe huko muinulie mume wake pekeake
@uoendokivuyo6589
@uoendokivuyo6589 5 ай бұрын
Nisamehe Mungu wangu na naomba uniokoe na watoto wangu
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 5 ай бұрын
Ameen Ameen❤❤ Ee Bwana uniongoze katika kweli yako na kunifundisha
@kapamevenas79
@kapamevenas79 4 ай бұрын
Amen !.. Mungu mimi niko apa bwana.
@user-xv7zm2be5i
@user-xv7zm2be5i 4 ай бұрын
Asante mtumishi,Leo ndyo nagungua kwann mungu alitipendelea sana cc wanadamu kuliko viumbe vyote!kumbe nadhan sababu ni roho mtakatifu akae ndan yangu ,asante
@marymaria6544
@marymaria6544 5 ай бұрын
Amen tusaidie yesu
@Dhore-jb5pb
@Dhore-jb5pb 5 ай бұрын
Asante yesu
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 5 ай бұрын
Asante YESU
@OnesmusKitsao-yi9np
@OnesmusKitsao-yi9np 5 ай бұрын
Aaaah! Yaani mchungaji nashukuru maana jinsi unavyoelezea hili neno la mungu ni kana kwamba nakuona maana sasa naelewa hili neno la mungu vizuri sana,laiti ningalielewa na mapesa hakika ningekua tofauti zaidi ya hivi
@PolaChadi-wm8mk
@PolaChadi-wm8mk 5 ай бұрын
Asantemungu.kwakunilaza.nakuniamusha.najuwa.sikwanguvu.zangu.nikwa.nema.yako
@meggyfestus8741
@meggyfestus8741 5 ай бұрын
True hii thambi yesu atuodolee uzizi in Jesus name in pray...
@AishaJohn-qw2tt
@AishaJohn-qw2tt 5 ай бұрын
Mungu naomba niokoe niepushe na Kila roho ya uzinzi niepushe ee bwana naomba unisameh nitakase
@denisedward2983
@denisedward2983 5 ай бұрын
Amen Amen
@Lovenessimon-zz8qg1jz6j
@Lovenessimon-zz8qg1jz6j 5 ай бұрын
Amen Amen 🙏
@user-wi2kg7qb7n
@user-wi2kg7qb7n 5 ай бұрын
Asante Bwana kwa kibali hichi
@user-jv1qw8rw3k
@user-jv1qw8rw3k 5 ай бұрын
Amen
@liddydeSalt4773
@liddydeSalt4773 5 ай бұрын
Forgive me Dear Lord 🙏 😢 😞 😔
@lucymwari8612
@lucymwari8612 5 ай бұрын
Mungu nisamehe unipe rehema tena Baba stawahi tena kurudia hili kosa 😢
@SYDEYLINET
@SYDEYLINET 5 ай бұрын
Nisamehe BABA 😭 😭 😭 😭 😭 😭 mwili wangu ni hekalu la MUNGU
@tinahtinash6160
@tinahtinash6160 5 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏
@eliafisakaaya2494
@eliafisakaaya2494 5 ай бұрын
Ameen 🙏🏿
@user-vn5eg2mz3y
@user-vn5eg2mz3y 5 ай бұрын
Ameeeeen
@MonicaMinga
@MonicaMinga 5 ай бұрын
AMEN,SHALOIM
@marygregory7566
@marygregory7566 5 ай бұрын
Amen nimejifunza
@user-uz5yv6zy8u
@user-uz5yv6zy8u 5 ай бұрын
Mungu wangu naomba unisamehe makosa yangu yote nisirudiye makosa tena
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 5 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭
@kapamevenas79
@kapamevenas79 4 ай бұрын
Amen !
@evalynependo3824
@evalynependo3824 5 ай бұрын
Ameeeeeeeennnnnn
@hilarymakina3441
@hilarymakina3441 5 ай бұрын
Mungu niko hapa nisaidie pekeangu siwez niokoe kwa jina la Yesu
@alicemwaka3762
@alicemwaka3762 5 ай бұрын
Emeeen
@maqueen-rs6in
@maqueen-rs6in 5 ай бұрын
Shalom,
@user-rl6pu5hi3d
@user-rl6pu5hi3d 5 ай бұрын
Ee Mungu wa mbinguni,, nirehemu Baba ktk mapito yalio pita juu yangu.... nakuomba sana Mungu nishike Kwa mkono wako wa kuume nikutumikie na kushinda vita za ulimwengu 🤲🙌 Nia yangu ni wewe yote yatapita ila neno lako litasimama imara milele hata milele 🙏🤲😭😭
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu 5 ай бұрын
ndo maana neno linasema ni bora kila mtu awe na mke wake au mme wake mwenyewe,ubarikiwe mtu wa Mungu
@user-xk1vu6jd4l
@user-xk1vu6jd4l 5 ай бұрын
Amen eee yesu mukombozi wa maisha yangu nrehemu bwana unisaidie uniongoze katika neno lako bwana,nmejirudi nisamehe nakuhitaji wewe bwana.nitenganishe roho za thambi yeyote,watenganishe pia wanangu kwa damu ya yesu wasiandamwe na hizo roho za usherati🙏🙏
@basiloscar6167
@basiloscar6167 5 ай бұрын
I need the help of the lord for really God just help me. 🙏
@MonicaMinga
@MonicaMinga 5 ай бұрын
SHALOOM
@user-tj2oh9en9x
@user-tj2oh9en9x 5 ай бұрын
Asante bwana yesu kwa kutufunulia kupitia kwa mtumishi wko akika nimejifunza kitu Asante sn mtumishi wangu eee bwana tusamee bwana. Samehe pia uzao wangu mungu tusaidie
@mbelemmunga-ps4df
@mbelemmunga-ps4df 5 ай бұрын
Eeee! Wang nisaidie kuniepusha mungu maana bila wewe sitoweza mungu wangu kesho yangu iweyenye mbaraka mungu wangu Asante Amen 🙏 🙏🙏🤝🤝🤝
@doreenmokiwa7171
@doreenmokiwa7171 5 ай бұрын
Asante roho mtakatifu kwakusema namie......naiacha hii dhambi naikataa hii dhambi kuanzia Leo na Mungu naomba unisaidie......Amen
@aminajuma1156
@aminajuma1156 5 ай бұрын
Ameeen Ameeen eeh mungu futa kila roho ya uzizi na zinaaa mungu naomba unisamehe Mimi mwanao usiniache baba
@user-gy9bn8fh5q
@user-gy9bn8fh5q 5 ай бұрын
Asante kwai.siku
@chriskgs0130
@chriskgs0130 5 ай бұрын
Asante Paster Innocent 🙏🙏✅
@HAPPYOSCAR-nj5xq
@HAPPYOSCAR-nj5xq 5 ай бұрын
Asant Mungu kwa kuniamusha mda huu ilinihudhulie maombi haya Roho ya uziinzi naikataaa kwa damu ya Yesu Christo aliye hai ...
@BeatriceBenad
@BeatriceBenad 5 ай бұрын
Naomba bwana neema yako iwe juu yangu mwili wangu ustumike kw mtu asye sahihi kwenye maisha yangu
@najmahamisi-mr8pg
@najmahamisi-mr8pg 4 ай бұрын
Nisamehe mmm mungu wangu
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 5 ай бұрын
Ameen Yesu nisamehe kwa kutenda dhambi kwa kujua na kutojua
@user-vu4ho1jq9x
@user-vu4ho1jq9x 5 ай бұрын
Mungu wangu nisamehe na uniokoe na uniepushie na hii dhambi ya uzinzi isinipate mimi nakubali nimwenyewe nidhambi na Niko hapa naomba musamaha unisamehe na unikubali tena
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 5 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
@user-pn4wk3du3h
@user-pn4wk3du3h 5 ай бұрын
My God forgive me .......nisaidie nisirudie tena Baba yangu nisaidie na Roho mtakatifu qkaniongoze
@Ingabirenoella-zu2jd
@Ingabirenoella-zu2jd 5 ай бұрын
Niwezeshe Mungu wangu nauni samehe kwa yote,uondowe kila laana nilio ijenga
@verynicejohn7384
@verynicejohn7384 5 ай бұрын
Mungu unisamee sana nakuomba Mungu wangu nimekukosea sana😭🙏🏼
@DorothyChilembo
@DorothyChilembo 5 ай бұрын
Asante Roho mtakatiifu Kwa ulinzi wako 🙏🙏🙏
@Marianamariana181
@Marianamariana181 5 ай бұрын
Mutumishi mutumishi mungu akubariki ukweli kabisa 😭😭😭😭😭mafundisho haya naona yakinitoa katika hii dhambi mungu wangu neno hili likae ndani yangu maana wew ndiye uliamua wanao tukombolewe tusaidie na turehemu mungu usichokijua kweli n usiku wa gizaa 😭😭😭😭🙌🙌🙌tunajiangamiza wenyewe
@dorahalfayo355
@dorahalfayo355 2 ай бұрын
Pastor niombee nimeshakamatwa na uzinzi, tangu nikosane mume wangu mwaka 2011 imeniletea shida mingi sana.
@MonicaMinga
@MonicaMinga 5 ай бұрын
Asante kwa uzima Mungu
@angelitapaulo
@angelitapaulo 5 ай бұрын
MUNGU anisamehe sana maana nishafanya uzinifu bila kujua madhara yake, sitarudia tena
@rosevictor5662
@rosevictor5662 5 ай бұрын
Ameni tunamshukuru Mungu kwa Neema ya uzima🙏🙏
@margaretmumby2411
@margaretmumby2411 5 ай бұрын
Forgive us Jehovah all our sins..tupoye mfalme wa mbiguni
@user-tj2oh9en9x
@user-tj2oh9en9x 5 ай бұрын
Mungu wetu tusamee bwana na utukumbuke bwana yesu
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 5 ай бұрын
Asante sana mtumishi wa mungu mungu akubariki sana amen
@dorotheajoshua9615
@dorotheajoshua9615 5 ай бұрын
Asantee mungu! Nipe ujasiri katika kushinda hayaa
@user-ef9mr5st5t
@user-ef9mr5st5t 5 ай бұрын
Asante Yesu 🙏 🙌 🙏
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 5 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
@user-gy9bn8fh5q
@user-gy9bn8fh5q 5 ай бұрын
Amin
@verynicejohn7384
@verynicejohn7384 5 ай бұрын
Mungu ni saidie roho ya udhizi iniachie
@zahramakota2198
@zahramakota2198 5 ай бұрын
Amen 🙏 Amen 🙏 Amen 🙏
@maqueen-rs6in
@maqueen-rs6in 5 ай бұрын
Najiunganisha na maombi haya ya Asbuhi, nipokee uponyaji kwenye tumbo langu
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 5 ай бұрын
I receive I receive I receive
@doricejoel7228
@doricejoel7228 5 ай бұрын
Ameen
@BeatriceBenad
@BeatriceBenad 5 ай бұрын
Ameeen
@verynicejohn7384
@verynicejohn7384 5 ай бұрын
Amen Amen Amen🙏🏼
@hilarymakina3441
@hilarymakina3441 5 ай бұрын
Roho mtakatfu naomba unisaidie
@janehabakuki4564
@janehabakuki4564 5 ай бұрын
Roho mtakatifu tusaidie tuweke mbari na kiu ya zambi
@user-qe6ie8jv5b
@user-qe6ie8jv5b 5 ай бұрын
Amen Amen 🙏
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 5 ай бұрын
Nisamehe Mungu🙏🙏🙏🙏
@setds-ey2qs
@setds-ey2qs 5 ай бұрын
Amen
@DorothyChilembo
@DorothyChilembo 5 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 5 ай бұрын
Asante YESU
@errtyy2603
@errtyy2603 5 ай бұрын
Amen
@sophiasophia6500
@sophiasophia6500 5 ай бұрын
Amen
KWANINI MAMBO YAKO YANAISHIA NJIANI? HAYAFIKI MWISHO!! {Part 01}
16:03
MADHARA YA KUKOSA UTULIVU KIROHO // IMANI FEKI
20:54
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 4,9 М.
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47
Cat Corn?! 🙀 #cat #cute #catlover
00:54
Stocat
Рет қаралды 15 МЛН
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 6 МЛН
MAARIFA YATAKAYO KUSAIDIA MAISHANI - JOEL NANAUKA
8:49
Joel Nanauka
Рет қаралды 41 М.
KWA HABARI YA UZINZI // HUNA AKILI KABISA
7:13
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 2,3 М.
MUNGU ANAHESABU MUDA WA TOBA ALIOKUPA // UKIISHA TU!!!!!!!
13:34
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 2,3 М.
MAISHA YAKO KATIKA ULIMWENGU WA ROHO // SPIRITUAL REALM
13:31
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 5 М.
FUNGU LA KUMI LIMEBEBA BARAKA NA LAANA KIBIBLIA
51:59
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 8 М.
BWANA ATAWAPIGA ADUI ZAKO MBELE YAKO // MAOMBI
16:53
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 29 М.
USHUHUDA WA BINTI NA MAFUTA // USIAMINI KILA IMANI
27:12
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 6 М.
JIFUNZE KUOMBEA NDOTO UNAZOZIOTA KILA SIKU // DAY 7
35:50
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 22 М.
NGUVU YA KUSHINDA DHAMBI
14:46
Emes Tv
Рет қаралды 13 М.
JINSI YA KUPANGUA MIPANGO YA ADUI ZAKO // Efeso 5:14
12:09
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 5 М.