DIAMOND AMJIBU HARMONIZE - "HAKUA NA HESHIMA, ANATUMIA KIKI, UNANIFUATISHA MIMI"

  Рет қаралды 811,133

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

DIAMOND AMJIBU HARMONIZE - "HAKUA NA HESHIMA, ANATUMIA KIKI, UNANIFUATISHA MIMI"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #Diamondplatnumz #FOA

Пікірлер: 1 100
@seifjuma9769
@seifjuma9769 Жыл бұрын
Mondi wewe una utu sana,na wanaokwita KIATU wanajiongopea maana bila ya wewe wasenge toboa,,kama upa1 na mm like
@ChristopherMahuma
@ChristopherMahuma 2 ай бұрын
Umedata nin? kwhy mwanzo kabla ya mond, kulikuwa hakuna wasanii
@seifjuma9769
@seifjuma9769 Жыл бұрын
Hakuna msanii kama SIMBA Tanzania hii,,ivi nan anapinga...kama ukopamoja na mimi gonga like
@shabanichaye8255
@shabanichaye8255 Жыл бұрын
Mtoto kwa baba hakuwi Harmonize muombe msamaa Baba yako 🦁🦁🦁🦁🦁
@forcienelokoiluku
@forcienelokoiluku 11 ай бұрын
Akili una ww
@kulthummohamed101
@kulthummohamed101 11 ай бұрын
Awap
@mickidadyplanet6476
@mickidadyplanet6476 2 жыл бұрын
Kulalamika ni point ya udhaifu..I like this point...& l like you too diamond...your a baba of bongo flavor...🔥🔥🔥
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 Жыл бұрын
Mimi nilikuwa na hiyo tabia ,hahha nikishindwa jambo nasukumia lawama sehemu ,nikaja nikajielewa kumbe kukosa sio dhambi
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 2 жыл бұрын
Moja ya nyimbo natamani uimbe....ni Wimbo wa kumtukuza Mungu kupitia kipaji chako...
@salimhamad5994
@salimhamad5994 2 жыл бұрын
🤣
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 2 жыл бұрын
@@mudyyntaegatv1143 Una maana gani Bro.... kusema vile.... maana ukisikia kila eneo anamtaja Mungu kwenye maongezi yake....ni Vema amwekee wimbo Bro...Poa Sana 🙏
@mudyyntaegatv1143
@mudyyntaegatv1143 2 жыл бұрын
@@kalumbugideon4159 sorry man
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 2 жыл бұрын
@@mudyyntaegatv1143 Usijari Ndugu yangu....hila unaeza futa ulichokiandika tu.
@Othmansheby
@Othmansheby 2 жыл бұрын
Akunaga nyimba ya kumtukuza Mungu hivi bwsna yesu yy aliimbaga nyimbo gani? au alisemaga muimbe au ni oetro ndio alie wschanganya kabla ya yesu kufa miaka 600
@tigerclassic-
@tigerclassic- Жыл бұрын
Diamond is always at the top mimi kivyangu naona harmonize Hana heshima hata kidongo... mwambie kama sio Simba yeye sa hatungekuwa tunamjua..
@rehemakimako228
@rehemakimako228 2 жыл бұрын
Daimondi ww ni mkaliwaooooo
@SilaMinanda
@SilaMinanda 5 ай бұрын
Naangalia tena leo hii 2024, Aya Harmonize hyo bado anapambana. Anazidi kukua zaidi
@jeamwenda7394
@jeamwenda7394 2 жыл бұрын
Kulalamika ni udhaifu.period!!
@uwezoajaba9999
@uwezoajaba9999 Жыл бұрын
Big up sanaa diamond platnumz ni msanii wakuigwa Tanzania
@johnjonath6687
@johnjonath6687 2 жыл бұрын
Jeshii 💥🐘💥
@bluecock418
@bluecock418 2 жыл бұрын
I believe you Diamond, you are the core ray of the world,na manage na Mimi niko mkongo kutoka DRC,naishi Uganda Kama refugee na niko nime sainiwa ndani ya Black Market Records,lakini hali mbovu jamani, yaani naiitaji msaada wako kaka eh😭
@adoshabani1305
@adoshabani1305 2 жыл бұрын
Simba kama simba I love you whatever anything talked about took like anonses your our giant at all LION OF AFRICA
@rehemakigobe5447
@rehemakigobe5447 Жыл бұрын
Mondi mnafki2
@mariamma434
@mariamma434 2 жыл бұрын
Daimond tumia wAkatiwako usitishiwe nabinaadamu muhimu ni mungu akupende na mamako na mitumi wako aovipi
@sevastierkalumba5052
@sevastierkalumba5052 2 жыл бұрын
Without you platnumz Harmonize cannot write all songs that's why he keeps on looking back to you mond just focus with your work man I salute you
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 2 жыл бұрын
Kama angemjibu si ingekuwa afadhali. Kakwepa swali big time
@saumomar2017
@saumomar2017 Жыл бұрын
Kama wamkubali baba levo hapo nyma..gonga like....we. Alivyotulia 😂😂😂😂
@havyarimanaally7490
@havyarimanaally7490 Жыл бұрын
Kwel ndo hivo simba tenda wema usisubir asant Allah atakulip kwakile ulich fanya nasi mashabik tuko nyuma we love you simba God bless you for your business
@magidalenarauya4286
@magidalenarauya4286 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mwanangu nakuelewa sana,unaakilisana
@mosexdavid9126
@mosexdavid9126 2 жыл бұрын
Chawa alikua makini kwenyesofa za wasafu..sana2 mwanangu baba levo,nakukubali askali💪
@njokake6775
@njokake6775 2 жыл бұрын
Am baq to say harmonize was right
@flomenafrancis9728
@flomenafrancis9728 Жыл бұрын
Fact
@mosessarafina4844
@mosessarafina4844 2 жыл бұрын
My brother umekuwa sanaa
@ShabaniRaphael-fy4vi
@ShabaniRaphael-fy4vi 23 күн бұрын
Harmo IS my everything 🎉 n'a ningemuona ata Siku moja Hana kwa Hana
@Conshamusic
@Conshamusic 2 жыл бұрын
Nimepata Kitu Kupitia Hii interview nitayafanyia Kazi na Nitatoboa zaidi Yako Mond🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎤🎤🎤🎤
@kylesmeight4837
@kylesmeight4837 2 жыл бұрын
Konde vujisha voice za nipe mkono tushindane😃😀😀😀
@silasila3111
@silasila3111 Жыл бұрын
Good naku penda sana simba 🦁🦁🦁🔥🇨🇩
@chrisswaller960
@chrisswaller960 2 жыл бұрын
Kulalamika ni ufala kabisa well said bro , just stay calm an relax 🖐
@annajohn2488
@annajohn2488 2 жыл бұрын
Mwambie boss wenu apunguze kupanic yy sio mungu kwanini Ana force kuabudiwa mpumbavu uyu yy mbona hakumweshimu ruge anaumia sana juu ya jeshi
@owenmutale6691
@owenmutale6691 2 жыл бұрын
Mtazamo wko na unapanic nn ssa na matusi
@muhonileonard4047
@muhonileonard4047 2 жыл бұрын
Nimemsikiza Diamond kwa uchache katika video clip hapo juu. Itoshe kusema level ya maturity ya Diamond iko juu sana ukilinganisha na wasanii wengine katika kada yake. Kupitia interview hii nimepata kufahamu ana uelewa wa juu sana wa maisha na namna ya kukaa na watu na "viatu". Kwa uongozi WCB naona uwezekano mkubwa tu wa kuandika kitabu au kutengeneza filamu ya maisha yake ili kutoa mafundisho fulani hivi. Lakini pia kuna fursa ya Diamond kuongea na vijana.... ana maneno fulani hivi ya kumjenga mtu|kutia moyo. Mwisho wa yote ni hatua aliofikia ya kumiliki na kuendesha biashara kama WCB kuna mengi sana ya kujifunza kutoka kwak hasa kwa vijana.
@mathiassilwamba8279
@mathiassilwamba8279 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
@crytonmnemamayele3600
@crytonmnemamayele3600 Жыл бұрын
Xawa ni kwaeli
@abdulkadirramadhan
@abdulkadirramadhan Жыл бұрын
Ona iyo kitambi yake sasa ilivyokaa
@amiraljosefgirukwishaka7453
@amiraljosefgirukwishaka7453 2 жыл бұрын
Diamond Platnumz you're the best
@hamadrajab8042
@hamadrajab8042 2 жыл бұрын
There's a life after, for eternity, the worldly pleasure is only temporary, your action has a big concequence in the hereafter.
@kareemalamoody7760
@kareemalamoody7760 2 жыл бұрын
Wanacheza
@macvoice6098
@macvoice6098 2 жыл бұрын
wewe teseka pole pole ...and pray hard that there is indeed life after eternity or you might suffer twice!!
@user-qe6bx5iw9f
@user-qe6bx5iw9f Жыл бұрын
Mond nibaba kimziki brothes nakupenda sana
@kenadomedia8244
@kenadomedia8244 2 жыл бұрын
😆😅😆😅😆Baba levo nakucheki hapo nyuma! Chawa promax,big love from 254
@olivertsumake3212
@olivertsumake3212 2 жыл бұрын
Sema akipawa chance ya kuongea hapo maneno kama yote
@marrynoel8838
@marrynoel8838 2 жыл бұрын
Dah! Ebana katulia huyo hii 🤣🤣 kama aongei hivi
@joelteti1464
@joelteti1464 2 жыл бұрын
Nilikuwa sijamwona huyu kengeee😂😂😂 lijingalijinga lakin namkubali kinoma
@nshimpeniel9743
@nshimpeniel9743 2 жыл бұрын
Amekaa nyuma uyo umbwa
@roselyimo2952
@roselyimo2952 2 жыл бұрын
😂😂😂
@mashabikiwaharmonize
@mashabikiwaharmonize 2 жыл бұрын
Chunga JESHII 🔥 🐘 ATAKUZIKA WEWE
@nasramohamedi4095
@nasramohamedi4095 2 жыл бұрын
Thubutu🙄🙄🙄mna kichaa nyie
@user-gz4qb9wz3d
@user-gz4qb9wz3d Ай бұрын
Jeeesh n gwijii
@Conshamusic
@Conshamusic 2 жыл бұрын
Diamond PLATNUMZ u're Heroooooo Kabla sjaskiliza interview nilijua utaongea point na imekuwa ivo
@kikikingtv657
@kikikingtv657 2 жыл бұрын
Hajajibu swali hata moja Ila maelezo mengi wewe umeelewa nini Kama sio shobo
@Conshamusic
@Conshamusic 2 жыл бұрын
@@kikikingtv657 na Iyo ndo tofauti ya wasanii wenye akili na wasio na akili Lazima mtu ujibu maswali kurekebisha na kesho Usiwe mropokaji afu we unaonekana shoga unatafuta bwana Acha shobo Utaliwa ndogo
@metallicthemelodious_
@metallicthemelodious_ 2 жыл бұрын
Tazama hii pia kzfaq.info/get/bejne/b5NlarilxrichKs.html
@jamesmuthangya9843
@jamesmuthangya9843 Жыл бұрын
Simba wambie mungu ndio anatoa ata waongee vibaya kwako mungu ndio mutoanji kila kitu dont worry brow god is great we love you brow
@patrickgodfrey7230
@patrickgodfrey7230 2 жыл бұрын
Genious mond. 🔥🔥🔥🔥🔥
@dandola9323
@dandola9323 2 жыл бұрын
Harmonize alisema ukweli naatabaki kuwa juu
@salmsalmo931
@salmsalmo931 2 жыл бұрын
Umeonaaaa eeeeh
@user-pk4so6gr6q
@user-pk4so6gr6q 4 ай бұрын
Wanao rudia kuiangalia 2024??? Simba ni mmoja tu😊😊😊😊😊🦁🐐
@rajaipelly557
@rajaipelly557 2 жыл бұрын
Ivi Kiki siulianzisha wew
@009biafra8
@009biafra8 2 жыл бұрын
Hiki kichwa c cha kuzaliwa Tz Mwenyezi Mungu alituletea kama zawadi ya ukombozi wa muziki wetu EA na amefanya kazi yake
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 2 жыл бұрын
🙄🙄🙄🙄
@abbasisalehe5597
@abbasisalehe5597 2 жыл бұрын
We fara nn zawad gan hapo we mjinga kwelii rafk ang
@johnblkajay2158
@johnblkajay2158 2 жыл бұрын
Nyinyi watanzaniya akili a'mna kbisa Kinshasa tuna juwa tzt wanawasani kisa ni Steven kanumba kisha hakaja huyo diamond platnumz
@naijadotcom8970
@naijadotcom8970 2 жыл бұрын
KUMBE HUYU NDO ALIMFANYA STEVE NYERERE AJIUZURU👉 kzfaq.info/get/bejne/b9h7ZpxqydvVe4E.html
@009biafra8
@009biafra8 2 жыл бұрын
@@johnblkajay2158 Steve Kanumba n Mwanamuziki Nyoko 🖕🖕🖕
@bakariomary5781
@bakariomary5781 2 жыл бұрын
Ogopa sanaa mtu anaeongea hivyo ooh upole mwingi ila moyoni 🔥🔥🔥
@williamkeita1519
@williamkeita1519 2 жыл бұрын
Yupi ndio usiogope
@dontsto3865
@dontsto3865 2 жыл бұрын
Wacha ufala ww bila shaka utakua mmakonde au mpokomo
@jonnyhaberintwari5945
@jonnyhaberintwari5945 2 жыл бұрын
Wewe diamond uko na uchoga sana umejaaa wivu
@kudramzee5769
@kudramzee5769 2 жыл бұрын
Jeshi kama jeshi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🚒🚒🚒🚒🔥🔥🔥
@shakeelsakku1236
@shakeelsakku1236 2 жыл бұрын
True girl simple girl Wow diamond kizazi sana 4life ww twanga job songa mbele my
@johnthomasnicesongs8353
@johnthomasnicesongs8353 2 жыл бұрын
Nakubali Sana mkali wangu diamond
@sponsor7882
@sponsor7882 2 жыл бұрын
umekamtwa na chain za giza
@009biafra8
@009biafra8 2 жыл бұрын
@@sponsor7882 Ila Diamond anatesa yatima wa cloud
@metallicthemelodious_
@metallicthemelodious_ 2 жыл бұрын
Tazama hii pia kzfaq.info/get/bejne/b5NlarilxrichKs.html
@idyusuph1924
@idyusuph1924 2 жыл бұрын
Big.. Umebarikiwa sana.
@rehemathoya8754
@rehemathoya8754 2 жыл бұрын
# FOA# all songs are my best songs, 👋🏽👋🏽👋🏽
@hafsashayo1713
@hafsashayo1713 2 жыл бұрын
Mungu azid kukubarik diamond
@alfanm.8221
@alfanm.8221 2 жыл бұрын
Kwa lipi badala ya kumwombia ili amrudie mola wake na kuacha mziki maana mziki ni haramu.
@009biafra8
@009biafra8 2 жыл бұрын
Ameni huyu mwamba n nguzo
@amerix_official
@amerix_official 2 жыл бұрын
Tanzanians play Kenyan music
@slowmenino7804
@slowmenino7804 2 жыл бұрын
Who wants to hear mbogi genje tuseme ukweli bro
@Olloh_aka
@Olloh_aka 2 жыл бұрын
Umeongea point strong sana bro diamond nimejifunza kitu leo, I'm proud of you ma brother
@MJ-rr6dy
@MJ-rr6dy 2 жыл бұрын
safi sn mond umeongea vzr big up 👏👏👏👏
@sabrijuma1552
@sabrijuma1552 2 жыл бұрын
On fire 🔥🔥 WCB4LIFE
@luckyngumbi4243
@luckyngumbi4243 2 жыл бұрын
Nakubali Sana diamond wewe ni dalasa
@omahboy0012
@omahboy0012 2 жыл бұрын
Kwl,,,, umetishaaa sana
@limbomambo9728
@limbomambo9728 2 жыл бұрын
Konde gang for every body huwezi wewe tembo jeshi mnyama teacher harmonize bakhresa ni fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 2 жыл бұрын
Achana na Harmonize kwanzA wewe lily om ashakuchana kuwa uache kumshobokea na uyo sadala na radio yenu mnapenda Sana kumshusha sana Harmonize
@shijathedon5453
@shijathedon5453 2 жыл бұрын
Akili una ww
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
Wamshushe kwan lini ashawai kuwa juu
@shijathedon5453
@shijathedon5453 2 жыл бұрын
@@salim02tv24 wengine awa wanafuata mkumbo tuu mziki awafuatilii lily omy kumshobokea mmakonde never
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
@@shijathedon5453 kabisa.. Tambwe ni mkubwa kwenye ii tanisia kushida ataa uyo kilandage wao
@boythenizefrommuedanga4055
@boythenizefrommuedanga4055 2 жыл бұрын
Vizuri Simba wangu
@osiahstimah
@osiahstimah 2 жыл бұрын
Album mbovu nyimbo nzri ni fresh tuuuu
@paulojalango898
@paulojalango898 2 жыл бұрын
Mwambie baba yako aimbe yake
@osiahstimah
@osiahstimah 2 жыл бұрын
@@paulojalango898 sawa ntamwambia ila atamshirikisha mama ako
@mrramadhanimsangi7073
@mrramadhanimsangi7073 2 жыл бұрын
Imba wewe
@tanduboe
@tanduboe Жыл бұрын
Is true brother
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 2 жыл бұрын
Note. "Kulalamika Ni Point Ya Udhaifu..".. Tushikilie hapo
@jcrackcrack1669
@jcrackcrack1669 2 жыл бұрын
True
@reganmaiko1644
@reganmaiko1644 2 жыл бұрын
True
@shabanitohtv7395
@shabanitohtv7395 2 жыл бұрын
Harmonize hakulalamika,alikuwa anatapika nyongo,anatafuta peace.
@swiftsmith3100
@swiftsmith3100 2 жыл бұрын
hakika
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 2 жыл бұрын
@@shabanitohtv7395 kulalamika Ni point ya udhaifu tuishie hapo
@Mollel69
@Mollel69 2 жыл бұрын
Duuh jamaa anakwepa Sana maswali
@limbomambo9728
@limbomambo9728 2 жыл бұрын
Jeshiiii tembooooo mnyama teacher harmonize fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@arsenebisimwa8031
@arsenebisimwa8031 2 жыл бұрын
👍👍💥💥💥🔥🔥omeongeleya pointu brother
@maritinamutunga6500
@maritinamutunga6500 2 жыл бұрын
Harmonize was very true.
@mashiassenga8849
@mashiassenga8849 2 жыл бұрын
True bro Simba mtu akinena mabaya Mungu anakubariki zaidi
@ALI_ROBERT58
@ALI_ROBERT58 2 жыл бұрын
Harmonize mshamba tu
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 2 жыл бұрын
Mashaallah
@jadenjames4441
@jadenjames4441 2 жыл бұрын
Kiki zipo wasafi Kaka
@hemedyhassan6976
@hemedyhassan6976 2 жыл бұрын
kazi kweli
@kambiyusufu4994
@kambiyusufu4994 2 жыл бұрын
Namuona chawa nyuma ya boss
@frielarlmond8482
@frielarlmond8482 2 жыл бұрын
Mondi is the finest ever harmonize ni katuni tu rayvanny ni motoo🆗🆗
@morganoundo5964
@morganoundo5964 2 жыл бұрын
harmonize alisema ukweli for this yrs harmonize will be the b eat art just apologize to him achauongo najuwa unaringireti
@bintabajo1132
@bintabajo1132 2 жыл бұрын
Looking amazing ❤❤❤💯🇬🇲🇬🇲🇬🇲
@karimujuma6595
@karimujuma6595 2 жыл бұрын
We ndio heshima huna babako umemkataa watto wa watu unawachezea kila kukicha achana na tembo
@009biafra8
@009biafra8 2 жыл бұрын
Kila timamu anamheshmu kwa makubwa aliyoyafanya
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 2 жыл бұрын
Kwani wewe Karim unamjua baba yako? Uliza vizuri kwa shangazi zako watakuonyesha baba yako haswa. Acha kuparamia usiyoyajua wakati mama yako kaitunza Siri ya baba yako
@karimujuma6595
@karimujuma6595 2 жыл бұрын
@@mwikamwika4851 ndio ttzo la kufikiri kwa kutumia makalio ungefikiri kwa kutumia kichwa usingeandika upimbi km huu kula kulala mna matatizo sana
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 2 жыл бұрын
Karim,unamjua baba yako mzazi au mama yako alitunza Siri? Watu wanajua kuliko unavyofikiri
@user-qe6bx5iw9f
@user-qe6bx5iw9f Жыл бұрын
Juweni kwamba acheni kulenganisha diamond n'a kipande uyo harmoniz nibaba wamziki
@ramadhanyoungki6207
@ramadhanyoungki6207 2 жыл бұрын
Umemuona..chawa..
@mwigakatumpula6852
@mwigakatumpula6852 2 жыл бұрын
Wasafi Media ni genge la kupigia majungu tu maana hamna content za maana zaidi ya majungu majungu tu 🙌🤣
@009biafra8
@009biafra8 2 жыл бұрын
Hapo ndo kitovu cha sanaa ya Tz endelea kubweka
@edinaedward8985
@edinaedward8985 2 жыл бұрын
Mbn unawasikiliza🙄
@meaningoflife651
@meaningoflife651 2 жыл бұрын
Hasa unafanya Nn apa c ukaskilize uko kwen content
@sullehtz9327
@sullehtz9327 2 жыл бұрын
Na ww upo hapa kuangaliya hayo majungu,,maisha haya😂
@mwigakatumpula6852
@mwigakatumpula6852 2 жыл бұрын
@@sullehtz9327 eeeeeeee !!!!
@safsanjulius5829
@safsanjulius5829 2 жыл бұрын
Wewe unajifanya haukuskilza wewe loho baya jeshiiii 💥💥💥🐘💥
@samsonezekiel5239
@samsonezekiel5239 Жыл бұрын
Baba Levo katulia tuli anaburudisha sana
@user-uv2uo2ic2y
@user-uv2uo2ic2y 11 ай бұрын
baba levo katulia kama sisis kipindo chanyuma mimi na wazazi wangu nilivo kuwana nyenyekeya
@franklinrobert7727
@franklinrobert7727 2 жыл бұрын
Harmonize ❤️ alisema ukweli bwana . Juzi ulivunja kizungu at you are 31st,. wtf are you dude 😂😂💔
@AllySam-ip7uw
@AllySam-ip7uw Жыл бұрын
Utaishia kucomment
@kibonjeskit795
@kibonjeskit795 2 жыл бұрын
Chawa ako kilamahali💯
@dizzohmwinjilisti2549
@dizzohmwinjilisti2549 2 жыл бұрын
Nakupenda Diamondy.....wcb4life. 254 in the building....
@tungushaha8261
@tungushaha8261 2 жыл бұрын
Diamond hoyeeee....
@ntakilutandato
@ntakilutandato 2 жыл бұрын
Mimi nakupenda tu kwa sababu unajiamini na ni kweli hunaga Tabia za kuwajibu wanaokusema vibaya wakati nafasi ya kujibu unayo na hadhi ya kusikilizwa unayo kwa sababu wewe ni baba yao kwenye gemu, yaani hata maneno mengi huna.
@kikikingtv657
@kikikingtv657 2 жыл бұрын
Wewe ludi shule umelogwa maana Wew na shoga ako inaonekana Tabia moja
@frankkikambako9281
@frankkikambako9281 2 жыл бұрын
The true king
@DamasLehani
@DamasLehani Ай бұрын
Ila harmonize ✊
@muyumbaadrien9265
@muyumbaadrien9265 2 жыл бұрын
Naku sapoti sana kaka🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@ninjaisma7983
@ninjaisma7983 2 жыл бұрын
Jamaa anajieleza sana utajuwa wazi hormonise kabonga ukweli mtupu ile day
@nyimbompyatzmkono773
@nyimbompyatzmkono773 2 жыл бұрын
Kwel kbs
@fredjoel1350
@fredjoel1350 2 жыл бұрын
Wote wana uswahili ila wa harmonize ni umelitiliza!
@lusuwilonzowa9835
@lusuwilonzowa9835 Жыл бұрын
Acha uongo domo kubwa sema ulitaka harmonize akuabudu hayo maisha ya kizamani leo DG katusua gere zinakusumbua unajifanya mwemaaa
@joeboytz3490
@joeboytz3490 Жыл бұрын
I love you my brother
@beetechtechnologiesandserv586
@beetechtechnologiesandserv586 2 жыл бұрын
Simbaa baba lao 👏👏👏🍾🍾 wagenda uko wapige nyimbo, Zao kivyao WA hit tuwaone, ukishikwa mkono hata kuvuka mafi shukuru
@onestkasmir1534
@onestkasmir1534 2 жыл бұрын
Me nnahamn kwa mtazamo wangu bhdo huyu jamaa anayo chuki ya moyoni kwa harmo na siku zote mtu akikufanyia ubaya akiulizwa kwa nn alikufanyia huo ubaya lazima atakosa cha kuongea kama mmeona gonga like ila amoni harmonaiz alifungua wengi ni tembo mbafu walikuwa washajiwekea mungu watu ukiondka kwisho mbona mtoto wa watu bhdo yupo dar kweny gem achana na mungu bhna akitendaaa
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 2 жыл бұрын
Kichwa box
@Nikita_8017
@Nikita_8017 2 жыл бұрын
Kibinadamu lazima chuki iweko , amemtoa mabali sana
@habarinamichezo6427
@habarinamichezo6427 2 жыл бұрын
Shabiki maandazi
@selestinmhagama1538
@selestinmhagama1538 2 жыл бұрын
Huo ni mtazamo wako mana hata mondi humpendi nawaza tu
@happyglorynnko602
@happyglorynnko602 2 жыл бұрын
@@selestinmhagama1538 ata kama harmonize alisema kweli we unadhani diamond angekubali??
@phideskalungwizi6957
@phideskalungwizi6957 2 жыл бұрын
Sadala mziki umeisha kubali konde ndo top in town kam huamn njoo hku udom uone tunavyomkbl konde boy bakharesa
@fatmabhai2812
@fatmabhai2812 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa nguvu na akupandishe zaidi ya hapo.wache mahacdi waongee watakavyo. Ni shida zao sio shida zako.
@joookahjokah8430
@joookahjokah8430 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🦁
@miskyabdikadir9467
@miskyabdikadir9467 2 жыл бұрын
Harmo is the best🔥🔥🔥🔥
@tundamanase2509
@tundamanase2509 2 жыл бұрын
Bwege wewe hrmo kinyes
@assanisefu7080
@assanisefu7080 2 жыл бұрын
Kaka Simba fao inatisha Congo
@user-gz4qb9wz3d
@user-gz4qb9wz3d Ай бұрын
Harmonize n msanii mzur sana huyu Mondi nafiki sana
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 193 МЛН
DIAMOND : NALIPWA MIL. 55 KWA WIKI / MIL. 200 KWA MWEZI
5:13
Wasafi Media
Рет қаралды 826 М.
DIAMOND PLATNUMZ: ZARI ALICHEPUKA NA PETER WA P-SQUARE/ PICHA ZAO NINAZO
6:18
Studio Session KOMANDO,G nako ft Diamond Platnumz
25:35
Diamond Platnumz
Рет қаралды 438 М.
Mother Cat Drinks Lots of Coffee to Get By #funny #catlover #cuteanimals #cartoon
0:21
Super Emotional Stories
Рет қаралды 20 МЛН
Принципы...
0:23
Это точно смешно
Рет қаралды 2,6 МЛН
Waka Waka 😁 #funnyshorts #rianashow
0:14
RianaShow
Рет қаралды 26 МЛН
Моя Жена Босс!
0:40
Petya English
Рет қаралды 9 МЛН
He Used All The Sauce On 1 Slice Of Pizza🤪😂
0:12
BorisKateFamily
Рет қаралды 38 МЛН