No video

Diamond kwa uchungu Asimulia Rayvann alivyotoka WCB pesa alitaka ale peke ake nikasema njoo hapa

  Рет қаралды 193,891

BINGO ONLINE TZ

BINGO ONLINE TZ

Күн бұрын

Пікірлер: 244
@roseamos4641
@roseamos4641 2 жыл бұрын
Diamond well-done my brother for lifting youths!naomba mungu akupe uzima uzidi kusimama na vjana na kukuza vipaji vyao.
@muddyshaka9017
@muddyshaka9017 2 жыл бұрын
Hahahahaha kweli mpinzani wangu Leo umeongea fact sharot for you brother kuanzia Leo sikupingi tena nimekoma. Bro..!
@praxedaandrewkato7472
@praxedaandrewkato7472 2 жыл бұрын
Big up SIMBA your the one in Tanzania who called SIMBA no copy💯 lazima tupende mtoto wetu ya tz. Anapeleka far very proud 👏. And proud and God will always continue to bless you you have good heart. Wafanya Tanzania tujulikane 🙏🙏
@veroniquemango1114
@veroniquemango1114 2 жыл бұрын
Una ongeya vizuri sana 🇨🇩🇨🇩
@rubenyshushu8184
@rubenyshushu8184 2 жыл бұрын
Diamond in the first life my brother
@alexsimon5576
@alexsimon5576 2 жыл бұрын
Umeongea point kubwa sana,mtu kaja hata begi la nguo hana,saiv anamiliki majengo na magari kibao lakn anasema unamnyonya
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣ati hana begi la nguo
@routecamino185
@routecamino185 2 жыл бұрын
big up my bro.it 's true
@laizeryvalentine2464
@laizeryvalentine2464 2 жыл бұрын
Utatokaje sehemu bila pesa, wakati usha wezeshwa aseee mbwaaaa nyieee, ukitoka sehemu umewezeshwa lipa sanaa ni biasharaa nyau nyiiiieee, simbaaaa oyeeeee
@miburoaaron1804
@miburoaaron1804 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@satobuzelengule3304
@satobuzelengule3304 2 жыл бұрын
Nakukubali sana diamond wanakuja kwako wakiwa hawajulikani unawapika unawatengeza wanakuwa Bora hafu wanaanza maruwe ruwe hiv wakati wakiwa wanahangaika wakijua wewe ndo njia pekeee kabla hawajawajuwa watanzania au hawajulikaniki waliwaaambia
@charlesotieno4410
@charlesotieno4410 2 жыл бұрын
diamond platnumz for life
@mosehkim2807
@mosehkim2807 2 жыл бұрын
What diamond don't know is even football clubs are ran like music labels. You sign, yes sometime you sign small talents to make them huge. Unfortunately in every industry you need to increase ones salary as he grows. You can't underpay me when i was joining them when i become superstar you still don't think of me
@chepkemoievaline3707
@chepkemoievaline3707 2 жыл бұрын
Hata mchezaji haezi lipwa10% ya mapato ya klabu hafiki hata asilimia tano
@mosehkim2807
@mosehkim2807 2 жыл бұрын
I know a player can not be paid as per club income. But when he keeps improving his contract still increases. Understand.
@dickensdickala6601
@dickensdickala6601 2 жыл бұрын
what you dont know is kwenye mpira unapoingia mkataba wa miaka mitatu inabidi usubiri miaka mitatu iishe ndo uombe kuongezewa hela kama mkataba wako utaongezwa muda. cjawahi ona mchezaji wa mpira ameingia mkataba wa miaka mitano halafu akaongezewa mshahara tu kwakua kipaji chake kinaongezeka(hata huko kuongezeka kumechangiwa na uwepo wake kwenye timu husika). mchezaji ataongezewa mkataba pale tu timu nyingne inamuhitaji na inamuahidi hela nyingi akisaini, au mkataba wake ukiwa umeisha. sasa ray vanny anaingia mkataba wa miaka 10 unafka miaka mitano ile million 50 uliokua unaiona kubwa akasaini haraka haraka saiv anaiona ndogo unataka upewe zaidi, thats stupidity to be fair
@pamelaanyango2234
@pamelaanyango2234 Жыл бұрын
Waah,,poleni sana rayvany na harmonize
@hafidhclassic5862
@hafidhclassic5862 2 жыл бұрын
Uwa na kukumbalisa Ninja 👊👊
@kaisamwalyosi7344
@kaisamwalyosi7344 2 жыл бұрын
Yani hawavijan hawajielew walikuja hata basikeri hawana leo wakoj
@michaelnjau741
@michaelnjau741 2 жыл бұрын
Umeeleza vizuri simba... Wabebe vijana wasafi ni brand kubwa itawapeleka duniani
@mbwanakhamis9634
@mbwanakhamis9634 2 жыл бұрын
Ur right bro.. 💪
@oneloveplatnumz5514
@oneloveplatnumz5514 2 жыл бұрын
Anae mkubari mondii like zako
@thezanzest96
@thezanzest96 2 жыл бұрын
Salutiiiiiiiiiiiiiiiiiiii simbaaaaaaaaa.........!!!!!
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 2 жыл бұрын
Ameongea ukweli kabisa Mtu aliwekeza kukufanya uwe mkubwa Halafu unataka kukimbia bila kurudisha pesa yake,huo ni uchoyo na ubinafsi,ulikuwa unauza maji mtaani choka mbaya na kila kona ulikataliwa,sasa umepata unajiona ww kidume...shenzi taipu...piga kazi mwamba wetu...muziki ni biashara
@dhahabukaingu3475
@dhahabukaingu3475 2 жыл бұрын
True simbaaa
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 2 жыл бұрын
Wabongo wengi hawajui.yaani wanataka waimbe Kama kwaya kanisani.hii ni biashara bwana.lazima walipe.mbona walipokua wanaanzawenyewe.hawakufika hapo walipo.walipe pesa hakuna kuondoka bila kulipa babuuuu.habari ndio hiyoooo.
@brianlipeya8912
@brianlipeya8912 2 жыл бұрын
Nakuunga mkono simba, hapo ni ukweli 🦁🦁🦁🦁🦁🦁🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@frolianrevelian9782
@frolianrevelian9782 2 жыл бұрын
,,,Uko sahihi #Chibudenga hata #Bank hawawezi kukukopesha bila #Riba ,,
@martinemayunga2357
@martinemayunga2357 2 жыл бұрын
Aiseeee daimond umeeleweka sana bro
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
Pole sana bro wangu yauma kiukwel😭😭
@opajumaismail8621
@opajumaismail8621 2 жыл бұрын
Simbaaa yuko sahihi
@mosempole7596
@mosempole7596 Жыл бұрын
Kazi nzuri simba mungu akakubariki
@mrokay1time958
@mrokay1time958 2 жыл бұрын
Nakubaliiiii....simbaaa....!!!! By Mr okay 1time
@meblackrover
@meblackrover Жыл бұрын
Dah!! sure bro point music is business ✊💪
@yanickmustafa7221
@yanickmustafa7221 2 жыл бұрын
Diamond platnumz 🙌🙌👑👑🇨🇩🇨🇩🦁🦁
@mchanikamc1236
@mchanikamc1236 Жыл бұрын
#$imba Baba lahooooo Ever 4Eva,,, piga kazi ukubwa #Jalala
@ephraimmahambo8516
@ephraimmahambo8516 2 жыл бұрын
Safi Sana mond piga kazi kaka
@ramadhanikhalfan7841
@ramadhanikhalfan7841 Жыл бұрын
Mondi uko vizuri sana
@freadyjackson315
@freadyjackson315 Жыл бұрын
Jamani naombeni like zenu uyu mwamba CHUIII NLM levo ♥️😀 WCB NLM ♥️🎶
@christinaonditi9341
@christinaonditi9341 2 жыл бұрын
Yani siku zote hata kabla hujaeleza hayo,mie nilikua naelewa hivo,n sawa na 🏠 girl,ukimpenda ukampamba vizuri kama Binti yako,ananishauri anataka kuchuana na mama mwenye nyumba na kumng'oa kwa kumchukia mumewe.chibu sijawahi kukosea kukuelewa,nakuelewa sana siku zote.Mungu akujaalie mpaka duniani Hadi peponi.wewe ni mdg wangu pendwa sana na mwenye akili sana,nakosa wa kukuchuanisha nae kiupeo.
@antoinebakevya8911
@antoinebakevya8911 2 жыл бұрын
Simbaaaaaaaa, the greatest
@muhundaramadhani5057
@muhundaramadhani5057 2 жыл бұрын
Gooood job kijana
@elizabethnyalenda6020
@elizabethnyalenda6020 Жыл бұрын
Kweri uyasemayo kaka kwanza unamoyo wakipekee sana unaitaji pongezi kubwa ambae hakupongezi au atoke wasafi asikushukulu hyo nimbwa kama harmonize madam Lita alimtema ww ukamchukia dah
@saidndaro6630
@saidndaro6630 2 жыл бұрын
Your very right bro
@assab3167
@assab3167 2 жыл бұрын
Kweli diamond platnumz
@nasraabdallah1494
@nasraabdallah1494 2 жыл бұрын
Maneno mazima ya diamond jaman
@boybony5103
@boybony5103 2 жыл бұрын
Kweli mkali
@estakapufi7582
@estakapufi7582 2 жыл бұрын
Tatizo wasanii wa bongo hawana elimu ya kimziki, kuingia mkataba wanaingia tu kwa kuangalia lebo ina bamba vipi auze sula na kujulikana hawaelewi mwenye lebo ile ni biashara nasio ukae kama unakaa kwa baba na mama ufanye unavyo taka.
@freadyjackson315
@freadyjackson315 2 жыл бұрын
Chuiii nexti levo misic na ravnnyn Chuiii
@salamanauthar480
@salamanauthar480 2 жыл бұрын
True kaka
@blackschooltv
@blackschooltv 2 жыл бұрын
Yaani Online Tv sasa hivi Caption Tofauti na Content kwann usiandike tu yaliyo sahii
@rehemathoya8754
@rehemathoya8754 2 жыл бұрын
Respect Diamond
@muhundaramadhani5057
@muhundaramadhani5057 2 жыл бұрын
Umewasaidia sana licha ya yoote ume wabland
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
Fact
@godwinjonathan3329
@godwinjonathan3329 2 жыл бұрын
Hii ni kwa wakubwa tuu wengine tulieni.HISA ndo mpango mkubwa duniani wakulungwa🕇
@fredynyanga1691
@fredynyanga1691 Жыл бұрын
Watu wengi hatukumbuki kutoa shukrani pale TUnaposaidiwa. Naomba uwasamehe wote walioshindwa kutoa shukrani thabiti kwako. Ila usikose hamu ya kusaidia zaidi
@kindboyjose
@kindboyjose 2 жыл бұрын
Naomba unisign kwa label kwa niaba ya Rayvanny ndugu yangu. Sitakufeli hata kidogo
@badypeople4849
@badypeople4849 2 жыл бұрын
kweri kabisa
@sly6248
@sly6248 2 жыл бұрын
Aaaaa....walipe bana. Kila mara mambo ya pesa hutokea in business, wenye wanafaa kulipa hujifanya hamnazo. Mtu anaeza kuchukua mkate dukani bila kulipa???? Waache hizo fikra duni za kurudisha maendeleo nyuma. This is 2022. Wasmame kama wanaume walipe halafu mziki uendelee tusonge mbele
@davidmpoze3836
@davidmpoze3836 Жыл бұрын
Nikweli kabisa vipi wasafi iwekeze pesa alafu ukishakuwa marufu unataka kukimbiya? Simba wambane ao
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 2 жыл бұрын
Ukweri ndio huo unapowekeza unategemea faida
@informationmwambela6065
@informationmwambela6065 2 жыл бұрын
Point
@unclecarlos7304
@unclecarlos7304 2 жыл бұрын
Wambie ukweli bro
@barakaadmin7178
@barakaadmin7178 2 жыл бұрын
Keep it up vuna ulipopanda
@rashidyally8715
@rashidyally8715 2 жыл бұрын
Kumekucha 😄😄😄
@peterndutu8885
@peterndutu8885 2 жыл бұрын
Kwerii broo
@benngailo6395
@benngailo6395 2 жыл бұрын
Senge tu Kaz kuwanyonya wasanii
@minabuelysee8
@minabuelysee8 2 жыл бұрын
@@benngailo6395 acha kusema hivo hujuw biashara, unafikiri wakitaka bila kumlipa ataendelesha nini bkazi zake!?
@ivanakamu1888
@ivanakamu1888 2 жыл бұрын
Platinumz mzazi amewalea,coz tangu waondoke wasafi mziki wao umeshuka hauko kama venye walikua wasafi, mondi babalao
@uwerauweraanicet3443
@uwerauweraanicet3443 2 жыл бұрын
anaongea kweli
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 2 жыл бұрын
Angekua ananyonywa angemiliki golofa na magari mazuri atarudi mbeya kulima viazi
@farijanibakari9018
@farijanibakari9018 2 жыл бұрын
Kweli simba binadamu masinichi
@Totozuna_comedy
@Totozuna_comedy 2 жыл бұрын
Kwel kbsaaaa kk upoo sahihiiii
@imankilingo1255
@imankilingo1255 2 жыл бұрын
Ata ww ulimuona marehemu Ruge tapeli kwa aina hiyo hiyo. Vizuri kama umeanza kuelewa somo
@mlachakeofficial8289
@mlachakeofficial8289 2 жыл бұрын
Hii comment hatari
@jacobngonde14
@jacobngonde14 2 жыл бұрын
Nae alijua na Lebo?
@imankilingo1255
@imankilingo1255 2 жыл бұрын
@@jacobngonde14 Alitumia pesa zake kumtoa sehemu moja kumfikisha sehemu nyingine lkn baadae kwenye mzigo jamaa akaja kuonekana mnyonyaji.
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 2 жыл бұрын
Dawa inaanza kumuuingia pole pole
@joshuajofrey9832
@joshuajofrey9832 2 жыл бұрын
Ruge kulikuwa hamna mtu pale
@zahoromuhamed3317
@zahoromuhamed3317 2 жыл бұрын
Kweli simba
@verymnyakiwele8299
@verymnyakiwele8299 2 жыл бұрын
Wewe ni simbaaa hawana shukurani hao
@thezanzest96
@thezanzest96 2 жыл бұрын
Ndiooooo hapo nimekukubali ungemzudishia at milioni elfu tatu
@babahairatykonfebabahairat5458
@babahairatykonfebabahairat5458 2 жыл бұрын
Ila kweliiiiiiii bg up bg man
@richardmsoka9217
@richardmsoka9217 2 жыл бұрын
Kweli kabisa simba
@rubenyshushu8184
@rubenyshushu8184 2 жыл бұрын
Duniani apa Kuna mambo daaaaah
@ndera_boy_tz_acter4578
@ndera_boy_tz_acter4578 Жыл бұрын
good point but lion
@mannash05
@mannash05 2 жыл бұрын
Baba Lao 💪
@saidihalilimikidadi1848
@saidihalilimikidadi1848 2 жыл бұрын
Shida ya wabongo,hamtaki maskini mwenzenu apate...akipata tu kabebwa...hisa ndo biashara inayolipa duniani...hata ww unaweza kuweka hisa kwenye kampuni yoyote kama unahela
@maryamtan682
@maryamtan682 2 жыл бұрын
Na kingine awo anasema eti wamefanikiwa kupitia yy, anatakiwa ajiulize uyo msanii nyuma yk Ana watu wangapi ambao yy mwenyewe km msanii ndo awalipe kupitia iyo asilimia 40 anabaki na nn, ila tu wanajibana.
@jei_Ibrahim
@jei_Ibrahim 2 жыл бұрын
Mm sio fun wa simba ila naelewa sana biashara tatizo la wasani hao hawaelewi biashara hilo tu ndio kosa lao jamani dunia anacho kifanya diamond sio kusaidia yeye ana fanya biashara hana makosa diamond hawa watoto ndio wapuuuzi na hawaelewi maana halisi ya hela
@satobuzelengule3304
@satobuzelengule3304 2 жыл бұрын
Ila usiwachoke wasaidie watakuja kujua uwepo wako badae au watasubiri mpka ufe ndo waseme mema Yako tenda wema nenda zako ila wewe ndo baba yaooo
@kaisamwalyosi7344
@kaisamwalyosi7344 2 жыл бұрын
Yani dogo ww uko saw tu ujue ww unaweka hela tena sana tu
@swifatsukimtuliaswifatsuki3730
@swifatsukimtuliaswifatsuki3730 2 жыл бұрын
Ni kweli huwezi kumtoa msanii mpaka ajulikane lazima uwekeze fedha
@alphoncio4496
@alphoncio4496 2 жыл бұрын
Very true
@elvisbuyabo5783
@elvisbuyabo5783 2 жыл бұрын
Safi sana simba
@hassandmpozhassandmpoz4759
@hassandmpozhassandmpoz4759 2 жыл бұрын
Ona sasa rayvanny 😭😭 kiko wapi? Ulikuwa unajishauwa sana na kuvimba hukujua kma Ile ilikuwa biashara ukajisahau na kuanza kumtukana konde boy ‼️ Tena konde alikwambia kmamba huu sio msaada tu bali ni biashara. Wakati munafanya biashara na wasafi huwa wanakutumia Kwa Kila njia eitha yiwe ya halali au shali mradi hao wapate hela na wakishakuchoka hawana ishu na ww Tena. Wakati wakutoka walikuambia kwamba umetoka vizuri. Kma ulitoka vizuri, mbona huyu jamaa anaanza kutoa ya moyoni? Eti ulitaka ule pekeyako? Mbosso, na lava lava heri muamue Moja tu eitha mubaki hapo kabisa au mujipange sahii.maana huyu zuchu tayari kashalipwa hadai chochote hata akitaka kutoka Leo anaruhusiwa kwenye malipo Simba amejilipa na mwili ule😭😭😭
@khanlaizerdeking
@khanlaizerdeking 2 жыл бұрын
wee kumbe hauna akili huyo harmonizer na rayvanny walienda na nini pale wasafi na unajua watu wanatumia bei gan mpka msanii anakuwa mkubwa kama vile mwambie harmonizer kiba na rayvanny wawakuze wasanii kam wao walivyokuzwa then wawaache waondoke tu mbona na wao wanaweka mikataba
@minabuelysee8
@minabuelysee8 2 жыл бұрын
Hakuna biashara bila mkataba
@khanlaizerdeking
@khanlaizerdeking 2 жыл бұрын
@@minabuelysee8 Yeah kila biashara lazma hiwe na mkataba leo Hamis bss analia kwa kukosa support Diamond na uongoz wa wasafi ulisema umpe hiyo support na hakishapata jina hatakuja kusema na yeye ananyonywa😂
@minabuelysee8
@minabuelysee8 2 жыл бұрын
@@khanlaizerdeking kabisa binadamu hatu shukran bora ufadhili mbuzi utainywa mcguzu
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Yaan hatari sana ndiyo maana tunaambiwa tuwe na akiba ya maneno
@thekingmaghla4035
@thekingmaghla4035 2 жыл бұрын
👍👍👍
@jacksonmartin8485
@jacksonmartin8485 2 жыл бұрын
Jibu kwanza huo utajiri unaoongelea ni wa kiasi gani
@mosehkim2807
@mosehkim2807 2 жыл бұрын
Diamond is a big artist. Konde is the biggest artist but rayvany ashapotea 😂
@mizukayamjinitv837
@mizukayamjinitv837 2 жыл бұрын
Unakazwa na biggest wako🖕
@philiplenardsylvester6063
@philiplenardsylvester6063 2 жыл бұрын
Kweli binadamu hatuna shukulani ulivowasaidia leo wanasema unawanyonya daaa tenda wema nenda zako
@DRIXWALKER
@DRIXWALKER 2 жыл бұрын
#NA_SI_ATI_NINI #NA_SI_ATI_NINI #NA_SI_ATI_NINI
@fatuamjafary4959
@fatuamjafary4959 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@harrykings2101
@harrykings2101 Жыл бұрын
But Jeshi ako sawa
@msimbatiboy7517
@msimbatiboy7517 2 жыл бұрын
Msanii mwenye hela ni yeye na wasanii wa wcb tu Tanzania mzima🤣🤣🤣🤣🤣
@jaquelineclavery5155
@jaquelineclavery5155 2 жыл бұрын
Ndo maana hata masta j alisema watu waache kusema mond anawapa msaada ila wanafanya biashara so mtu akitoka anatakiwa alipe lebo. So muelewe hapo sio msaada ni biashara
@juneydeatakujadaimondomar5549
@juneydeatakujadaimondomar5549 2 жыл бұрын
Jitahid utafika na hatma ya lawama zitarudi kwao
@destinys295
@destinys295 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 mimi sio tajiri.....
@baxytz1018
@baxytz1018 2 жыл бұрын
Njoo sikiliza Ngoma yangu #kupenda ipo KZfaq hujachelewa
@mchanikamc1236
@mchanikamc1236 Жыл бұрын
Kaka mkubwa 🦁🦁🦁 $Dollar maker$ Hupaswi kuwajibu watoto kwan mtoto akikunyea utaukata mkono!? Waache waende cku zote mfa maji hta kma baharia aachi kutapatapa na huyu na mwandishi wa habari ni aache maswali ya kike aje tumchumbie
@sharmakefarah5038
@sharmakefarah5038 2 жыл бұрын
Patia vijana wa nchi zengine wenye vipaji na wao pia wapate yao na wewe pia lebo yako ikuwe kubwa hapo east Africa 🌍
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 жыл бұрын
Usidanganye ulitaka kubaki no documented zake Nawakati wa alikulipa ukiwa unaenda for 3mounth ulitegemea Alisha nini wanamuziki wakenayeye mwenyewe asikudanganye muongo huyoumafya tuu naanamuonea wivu Hamo na Rayvan Sasa fikiria mwenzako katoa muziki na wewe ukatoa muziki tena miwili
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
Kumbe 🤔
@vanessajohn6046
@vanessajohn6046 2 жыл бұрын
Mwambieni awe anavaa suryali maana hiyomiguu duuuh maskini anatamani avae skuzote pens lakini mh
@meekmill7181
@meekmill7181 2 жыл бұрын
P fank choko2
@benngailo6395
@benngailo6395 2 жыл бұрын
Choko baba yako mbwa ww
@husseinhostaziy7826
@husseinhostaziy7826 2 жыл бұрын
Dell
@philipchege5093
@philipchege5093 2 жыл бұрын
Kwendeni uko,,,sasa mtu akishajiweza aishi kua chini ya mtu,,,biashara ni kuinuana alafu mtu akishajiweza anaondoka na kwenda kujitafutia riziki yake pekee yake,,,na kama yeye anaona anasaidia watu sana,,,si awache kuwasaidia,,,biashara ni kujifaidi ukifaidi wengine
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 26 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 28 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 20 МЛН
Diamond Platnumz alivyowaacha hoi wanachuo Nairobi kwenye THE TREND
28:08
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 26 МЛН