No video

Diamond na Zuchu Ugomvi Hautaisha Tatizo Nyota ZUCHU anatumia nyota ya DIAMOND Sir binladen afichua

  Рет қаралды 3,524

BINGO ONLINE TZ

BINGO ONLINE TZ

3 ай бұрын

SIR BINLADEN 0679 426 148
Unaweza kututembelea instagram @bingoonlinetz
#bingoonlinetz
#sisisiowepesi #TunakupaKwaWakati
Ahsante kwa Kuiamini na ku SUBSCRIBE BINGO ONLINE TZ Na kuifanya ifikishe Subscribers Milioni 1

Пікірлер: 22
@bingoonlinetz
@bingoonlinetz 3 ай бұрын
Sir binladen 067 942 6148
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 3 ай бұрын
Hakuna hicho problems ni daimond ni malaya ndo hawasikilizani sio udongo wa ngombe zuchu pia ana nyota zaid ya daimond kwasababu kuimba anajua sauti anayo pia ni mdogo shida iko wapi kwani daimon ameish namwanamke gani haishi na mwanamke hakuna nyota wala babaake nyota
@esperanceuwera2768
@esperanceuwera2768 3 ай бұрын
Acha kudanganya watu, umejifanya seer.
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 3 ай бұрын
Mshirikina tu ww
@salumunsabimana6502
@salumunsabimana6502 3 ай бұрын
Unasema uongo kweupe haitwi dimond jina lake nasebu
@user-jd6vr9xw1o
@user-jd6vr9xw1o 3 ай бұрын
Hapana Sheikh ,tatizo ni Diamond kupenda penda wanawake Na kuwa anazalilisha wanawake ,ilo mwanamke kuweza kulihimiri ni shida ndio mana magomvi hayaishi , wivu ndio chanson n'a wangine walitoka ndo viliwashinda
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 3 ай бұрын
Nipeni ufafanuzi wa A na A masna tunapendana tunagombana hatuwezi lala tumekasirika
@user-ff2ud4rw9t
@user-ff2ud4rw9t 3 ай бұрын
Kwahapo umechapia kamawatakapesa kwa daimondi niheliungemueleza akakupa tu kuliko kuongerea mahusiano yawatu yauongo diamond nimalaya tu anajulikana
@Rehema-uw4et
@Rehema-uw4et 3 ай бұрын
No yako ya simu sheikh ❤❤
@bingoonlinetz
@bingoonlinetz 3 ай бұрын
067 942 6148
@pengefeza2563
@pengefeza2563 3 ай бұрын
Ushirikina tu
@mamaj3120
@mamaj3120 3 ай бұрын
kweli kama zuchu zamani tulikuwa atumjui kabisa baada ya kuingia wasafi ndo tukamjua na akazidi kujajuu baada ya kuwa kimapenzi na daimond ndo ikazidi
@maryamtan682
@maryamtan682 3 ай бұрын
Sema nyota zao zinaendana, km ilivyo kuwa kwa zari na zina nguvu
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 3 ай бұрын
Imanj yako tu na mganga wako zuchu ana nyota yake siku ya 1 tu kutangazwa zuchu alipendwa na watu kabla hata bado hajaingia na diamond kwenye mahusiano
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 3 ай бұрын
Acheni ushirikina
@Shuu.A
@Shuu.A 3 ай бұрын
Wabongo kitu kidogo nyota hazi yao ushirikina tu na nashekhe wao uchwara uwongo mwingi tu shirki wakubwa zuchu nae hajitambui toka lini wazanzibar wakataka wanaume wa bongo au kuokewa na wabongo anatuzalilisha kwa ufisadi wake
@saadabakar7750
@saadabakar7750 3 ай бұрын
Zuchu amezaliwa na nyota yake inang'aa na mtu yoyote. Usijipigie prom ya kutaka kudanganya watu na kuwalia pesa zao
@SirBinLaden
@SirBinLaden 3 ай бұрын
Kabla ya zuchu kwenda kwa Diamond ulikuwa unamjua kiukubwaa wa jina kama unavyomjua sasahiv 😂 punguza kuwa mjuaji Elimu zinawenyew😂😂😂
@pengefeza2563
@pengefeza2563 3 ай бұрын
​@@SirBinLadenzuchu amejijengea jina lake mwenyewe. Ana kipaji chake cha kuimba.
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 3 ай бұрын
Unaumwa ww jinga kabsa usfnnsh Simba na vtu vy hovyo
@azizaissa4010
@azizaissa4010 3 ай бұрын
Sasa wewe mtangazaji mtu wa ajabu sana Kwa nini usiulizie watu wa familia yako
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 3 ай бұрын
Wajinga tu acha kudanganya watu audhubillah
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 35 МЛН
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 44 МЛН
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 24 МЛН
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
MAKONDA AONGEA MAZITO KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUONEKANA
13:25
BINGO ONLINE TZ
Рет қаралды 2,8 М.
Rammy:Sababu Ya kuachana Na POSH QUEEN/Aibu/Ananipigia Simu
12:54
Dizzim Online
Рет қаралды 65 М.
DIAMOND AKUTANA NA MWANAMKE WAKE ALIYEPOTEA MIAKA 15
2:38
Wasafi Media
Рет қаралды 231 М.
CHURCHILL SHOW S1E5 PART 3-3
10:24
Churchill Television
Рет қаралды 260 М.
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 35 МЛН