No video

DIRECTOR KAKOSO KUTOKA KUWA ENGINEER HADI KUWA DIRECTOR WA FILM

  Рет қаралды 20,275

DIRECTOR KAKOSO

DIRECTOR KAKOSO

Күн бұрын

#clamvevo #snakeboy #comedy #stevemweusi #apple #afrakoma #africawedeytv #akabenezer #akabenezercomedy #amaghanatv #mwanamke

Пікірлер: 154
@Kahindi51
@Kahindi51 3 ай бұрын
Mimi napenda sana movie zenu kiufupi zinatufunza mengi pia tunafrahi sana ila mimi kitu ambacho nakiona hakijakaa vizuri nikile ambacho mnakifanya mkiwa mnashuti afu mnakiweka KZfaq mfano season 22 haijatoka lakni mkiwa mnaiandaa yani kuishoot mnakua mnapost jinsi mnavyo iandaa you tube hali hiyo inapunguza kiasi fran iman kwa watazamaj ko ushaur wangu muwe mnaandaa bila kupost nibora mposti season nzima ikiwa imeiisha mana huwa tunaona mnavyo taniana mkiwa mnashoot haipendezi yan season tunaiona kabla haijatoka tuboreshe vitu vyetu kama wachina au wakorea huwez ona behinde ko nanyie behinde achen kupost itapendeza zaidi ,ni ushaur wangu tu
@abubakarikabonga7568
@abubakarikabonga7568 3 ай бұрын
Kweli kbs uko sahihi ndg
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 2 ай бұрын
👋 good
@RamboMcMzawa
@RamboMcMzawa 2 ай бұрын
😮😮wanashutiii sanaa afu bila bundukii...behind the scene inapunguza utamuu...kakoso.mwasii ndo uyuu sasa😅😅
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 3 ай бұрын
❤ Dah! Kumbe KAKOSO sio mtu mdogo kabisa. ❤ Hapa sasa nimekuelewa ❤
@bakarinamkananda2262
@bakarinamkananda2262 3 ай бұрын
Sema snake boy haikutakiwa kuitwa snake boy maana snake boy hakuna anacho kifanya kwenye snake boy katawala zinga tu 😂
@mikidadiayubu4782
@mikidadiayubu4782 2 ай бұрын
For sure😂😂
@RamboMcMzawa
@RamboMcMzawa 2 ай бұрын
Ko iitwe zinga boy auu😅😅
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 3 ай бұрын
CLAM ananidhamu sana kwamtazamo wangu. Mmeendana sana ❤❤❤❤
@kipzik8029
@kipzik8029 3 ай бұрын
Asante sana hii historia yako Director wangu kakoso imenijenga sana na kunifunza kuwa ndani ya maisha inaomba uvumilivu. Asante tena nzkushukuru kutoka Butembo/ Dr Congo 🇨🇩✔️ Success, longevity, happyness for you and your group. Thanks
@gabrielmnangala7822
@gabrielmnangala7822 3 ай бұрын
Kumbe li Kakoso lina elimu kbwa hv ndy maan kaz znaend kiprofesseional
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 3 ай бұрын
A! Maa shaa llah. Naona tunafanana vitu baadhi. Mimi mwenyewe Khamis Moshi kutoka Kigoma Kasulu. In shaa llah ntakuwa kama Director Kakoso ❤❤❤
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 3 ай бұрын
Sema umefanana na mwasi ndugu nn🎉🎉🎉🎉🎉
@narymwamba7723
@narymwamba7723 2 ай бұрын
Sure
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 2 ай бұрын
@@narymwamba7723 haaaaaaaaaaaaa
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 2 ай бұрын
Mtazame macho na mdomo ndo utajua yani usoni kwa ujumla
@alwatanndevu
@alwatanndevu 3 ай бұрын
Nakukubali saba derector kakoso huna baya
@khadijasaleh898
@khadijasaleh898 3 ай бұрын
Hongera sana Mungu akusimamie na kazi zako daiman
@Joramkatana
@Joramkatana 2 ай бұрын
Snake boy....Moto Sana....
@lenardstar
@lenardstar 3 ай бұрын
Safiii by director kizito
@Wmalisalukelesha
@Wmalisalukelesha 3 ай бұрын
Kazi zulisana kaka,endelea ivo kaka,mm, malisa lukelesha toka mologolo nipo,Kisaki , pamoja sana
@carlauziya9087
@carlauziya9087 2 ай бұрын
Ongera sana mzee wangu kakoso napena sana kazi yako pia ma filamu zenu namifa hapo mji ya Congo Drc🇨🇩🇨🇩 natamani siku mmja nifike tanzania 🇹🇿 napendelea kumiona vraiment j'aime beaucoup vos films comprenez moi s'il vous plaît si je m'exprime en swahili c'est juste vous faire comprendre mais j'aime❤❤❤❤❤ beaucoup tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 kuna siku tafika mjini wa tanzania j'aime beaucoup clam vevo ....asante sana kwaku naelewa bonne nuit chez vous 👋👋
@dericblesser153
@dericblesser153 2 ай бұрын
This is amazing Director,hizo kazi zote umezitaja nazipenda na zimepangwa vizuri. Hongera sana ndugu,Pitisha salamu zangu Kwa Clam kutoka hapa Kenya.
@hutahuta1170
@hutahuta1170 2 ай бұрын
Hongela kakoso mwana kigoma mwenzangu mm nawakubaki sana ila msiwe mnachelewesha sana kutoa mana tunapenda sana kuona sinek boy
@user-cq4mz8wn3b
@user-cq4mz8wn3b 3 ай бұрын
Kunakitu najifunza hapo kutoka kwako kakoso, Allah akujalie InshaAllah,❤love so much kakoso my best artist
@user-hi3yb9dy3r
@user-hi3yb9dy3r 3 ай бұрын
Kakosa nimefurahi kusikia history yako napenda Kazimierz yako❤
@SaidiMshua
@SaidiMshua 2 ай бұрын
Ongera sana kaka kwa kupambana ata me natamani sana nifike apo ulipofikia
@owenyatv9142
@owenyatv9142 3 ай бұрын
congratulations kipenzi Allah akujaliye my darling Siniour Bright kakoso wangu Mungu azidi kukuinua kila itwayo leo Mungu abariki kazi ya mikono yako
@directorkakoso
@directorkakoso 3 ай бұрын
❤❤
@DIRECTORJOHN435
@DIRECTORJOHN435 3 ай бұрын
Ooooh 🎉🎉🎉🎉
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 3 ай бұрын
❤ Ninefurahi sana kuona unaanza kuweka memory namna hii. ❤ Allah akuzidishie kheri na vijana wako wote wawekee Memory namna hii hii ❤ Inapendeza sana kwakweli kama tupo kwenye channel za Madairekta wa kimataifa ❤❤
@user-jd6vr9xw1o
@user-jd6vr9xw1o 3 ай бұрын
Ulipambana broo ,bip up
@kiruishow2104
@kiruishow2104 2 ай бұрын
Thanks Director...I'm from 🇰🇪 Kenya
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 ай бұрын
Mashallah kaka, haya yote ni kwa uwezo Wa Mola na juhudi zako hivyo basi zidi Kumtegemea Mola bila kuacha ibada❤
@MR_RAMSABOYTZ
@MR_RAMSABOYTZ 3 ай бұрын
Hapo ndo vizuri kaka tunataka kujifu
@desirempawenimana2031
@desirempawenimana2031 3 ай бұрын
Nakupenda sana kakoso jinsi unavyo ongea
@SekaMaster45
@SekaMaster45 3 ай бұрын
Brother Nakukubali sana Big up sana kwako natamani siku moja tufanye kazi Bro ya 🎬🎬Action maana ndio tunapambana huko bro
@user-pj7gc2vt5t
@user-pj7gc2vt5t 3 ай бұрын
Karibu nyakanazi
@simooyusuf5729
@simooyusuf5729 3 ай бұрын
Nafurahia kazi Yako bro 🇰🇪🇰🇪🇰🇪nasubiria season 2 ya BIG BOSS hio nayo n moto sana kama snake boy season 2
@Kifutugang913
@Kifutugang913 3 ай бұрын
Sio pow 🔥🔥🔥
@jabilimussa3835
@jabilimussa3835 3 ай бұрын
Aaaaaa!!! Kumbe wa muhula kabisa
@ronzevannyboychui1661
@ronzevannyboychui1661 3 ай бұрын
Kakoso unajua kabisa ❤
@MarryDaudi-ij4qr
@MarryDaudi-ij4qr 3 ай бұрын
Hongera kaka
@MR_RAMSABOYTZ
@MR_RAMSABOYTZ 3 ай бұрын
Good sana kaka nasisi tujue historian yenu tujifunze na sisi
@Joseph_ngei
@Joseph_ngei 3 ай бұрын
Watu hutoka bali tushukuru Mungu
@menaatz
@menaatz 3 ай бұрын
Super director 🎉🎉🎉
@user-hi3yb9dy3r
@user-hi3yb9dy3r 3 ай бұрын
Tumependa Sana snake boy kwakuongeza dakika❤
@ustadhisimbula8622
@ustadhisimbula8622 3 ай бұрын
Ila broo saluuut sana unajua hadi kero yaan eendelea kubadilisha tasnia ya filam tz tuende viwango vya juu na sisi
@lennykhan-qm6xj
@lennykhan-qm6xj 3 ай бұрын
Nakubar kazizenu wanafamilaaa😂
@amrijuma6621
@amrijuma6621 3 ай бұрын
Najua vizuri histori yaka ila I respect your work pambana mjukuu wangu
@user-op7so7wz8x
@user-op7so7wz8x 3 ай бұрын
Nice blessed
@antonymaluki33
@antonymaluki33 2 ай бұрын
"Waacha!!" Kutoka Kenya tunawashukuru kwa kazi yenu njema. Mwenyezi Mungu awabariki na awazidishie na maarifa.
@kilongofilms
@kilongofilms 3 ай бұрын
Mtoka mbali.. Hongera sana swahiba
@mg_panther
@mg_panther 2 ай бұрын
Kumbe bhana kigoma ina vipaji vingi sana sema tanzania ina tutenga sana kiasi hadi wengi wana jisikia vibaya kuzaliwa kigoma Kiukweli tz ina tubaguwa kama vile sisi sio wa tz wenzao I 💕❤ tanzania nchi mama ❤
@user-ks3kx1dn2d
@user-ks3kx1dn2d 2 ай бұрын
Bright boy 🎉🎉 keep it up 💪
@officialzengomedia
@officialzengomedia 2 ай бұрын
Nakupenda broo
@bahatikanga
@bahatikanga 3 ай бұрын
Mashallah ❤❤❤
@liz77941
@liz77941 3 ай бұрын
Hongera
@Joramkatana
@Joramkatana 2 ай бұрын
Congratulations Director kakoso...more love from 🇰🇪
@DanyMuhindo
@DanyMuhindo 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤
@BarakaSenior
@BarakaSenior 2 ай бұрын
Kazi zako ni Safi Sana,,,🎉 tuzidi
@RizikiZiki
@RizikiZiki 2 ай бұрын
Uko vizuri huna baya
@chrismuganwa8634
@chrismuganwa8634 2 ай бұрын
Asante sana Director kakosso!! Mi also I don't like those guys who asks more likes on their comments!! From Burundi 🇧🇮🇧🇮 I love so much your products!!
@ummialey6391
@ummialey6391 3 ай бұрын
Ah jman Tanzania tunasoma sana unakita sana kwenye elimu mpka unafikia advance lkin baadae unarudi mtaan sawa tu na wengine tofauti nchi za wenzetu ukitoka kazi tu
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 2 ай бұрын
Hawa ndio real men🙏🙏🙏👏👏👏
@ustadhisimbula8622
@ustadhisimbula8622 3 ай бұрын
Hahaha hata mm bro nasomaga comment sana hao watu ety mm leo wakwanza nipen hata like 10 wananiboa sanaaaa huna comment bora kinyamaza
@kudrakakoso2485
@kudrakakoso2485 3 ай бұрын
Baba mang'ana ya ndizi nime kumbuka Mbali Sana keep it up blood
@directorkakoso
@directorkakoso 3 ай бұрын
Pesa haifungwi na lababand nimemkubuka mitwango mzee asie jua kubembeleza mteja 😂😂
@kudrakakoso2485
@kudrakakoso2485 3 ай бұрын
Hahaha hivi yule mwamba yupo hai kweli mtata vibaya muda wowote hua ana liamsha mdengeleko Alie vulugwa😂😂😂😂
@user-SD2super8
@user-SD2super8 3 ай бұрын
Ongera sana kakoso Mungu akubariki mana umeinuwa team Yako vizuri
@YohanaMasunga-pz7ny
@YohanaMasunga-pz7ny 2 ай бұрын
Naipeda sana kazi Yako kakoso❤❤❤❤
@vvipdnamahaja5901
@vvipdnamahaja5901 2 ай бұрын
Licha ya kuwa sikuwahi kujua kabisa Mapito na Changamoto ulizo pitia Ila nimejikuta Nakubwli sana kazi zoko Nakukubali sana kaka, Unafanya kazi nzuri sana Sijui Ma Director wapo wangapi Kwa hapa Tz lkn naomba nikuweke kwenye Top 3 Naenda sana Sanaa hususan ya uigizaji Kaka nikipata nafasi InshaAllah Natamani uwe director Nyuma ya Camera Na uhakika Bi Idhin llah Vitendo vitazungumza maneno yatakaa kimya
@SaidiMshua
@SaidiMshua 2 ай бұрын
Dah br naitaji sna nifike apoa ulipofikia
@mosesdalali7671
@mosesdalali7671 3 ай бұрын
Brother mpo vizuri sana pia umeonesha education for entrepreneurs and self reliance, safi sana kaka, then mmeongeza dakika, za clip nimependa sana
@jofreymfugale4752
@jofreymfugale4752 2 ай бұрын
Fanya mmalizie big boss
@pasiensiabel7278
@pasiensiabel7278 3 ай бұрын
Shule ni muhimu sana
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 ай бұрын
Shule haiwezi kuwa muhimu bila ya juhudi zako mwenyewe
@jkomedikaduli
@jkomedikaduli 2 ай бұрын
Nimekubaliii🎉🎉🎉🎉
@Kadesablack
@Kadesablack 3 ай бұрын
Kazi safi sana Mr Director
@aishaabeid2099
@aishaabeid2099 2 ай бұрын
Ndio maan sura yako siyo ngeni kwangu Kumbe nilikuwa nakuonag tandika 🤭🙏 Hongera kaka🙌
@binzaboor8793
@binzaboor8793 2 ай бұрын
Goood work❤
@BulongoKambale-ym7by
@BulongoKambale-ym7by 2 ай бұрын
Nitafurai sana ku Pata iyo funjo, lakini mimi kiswahili n'a English ni moto . Je una weza fundisha kwa kifarasa,? ( Français). Mimi ni mkongomani kutoka Béni
@mtotowapili6114
@mtotowapili6114 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉pamoja Sana Kaka juhud hufanya ndoto iwe
@BLACKCFILMS
@BLACKCFILMS 3 ай бұрын
Nakubali brother
@tenatanz
@tenatanz 2 ай бұрын
HYO BIG BOSS ITOKE INGNE
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf 2 ай бұрын
Uko vizur kaka
@frankditrick3109
@frankditrick3109 2 ай бұрын
Kumbe ni engineer kabisa
@starsuleshs.z6729
@starsuleshs.z6729 3 ай бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri
@AliJuma-eg8tq
@AliJuma-eg8tq 3 ай бұрын
❤❤❤❤
@MkamiSamweli
@MkamiSamweli 3 ай бұрын
Ndugu yangu naomba nije kuigiza kwakoo
@HhosnaRashid
@HhosnaRashid 3 ай бұрын
mashaallaah❤❤❤
@mwarabumbarak4342
@mwarabumbarak4342 3 ай бұрын
Mngefasiri hayo maneno ya kiswahilli kwa kiingereza hapo chini kwenye hizo movie.
@Suzanpaul86
@Suzanpaul86 3 ай бұрын
Bora nmeujua mapema wasifu wamarehemu jamn 😅😅😅😅😅😅
@directorkakoso
@directorkakoso 3 ай бұрын
Duh 😂
@Suzanpaul86
@Suzanpaul86 3 ай бұрын
@@directorkakoso 😂😂😂😂😂😂😂😂
@jescahaule4802
@jescahaule4802 3 ай бұрын
Nawaoenda sana Tena mmno
@mchinaVEVO1
@mchinaVEVO1 2 ай бұрын
Hii story imenigusa san mkuu
@user-yi1qp6qu4n
@user-yi1qp6qu4n 2 ай бұрын
Yani hii nchi unasoma alafu unauza matunda lkn mpambanaji achoki
@user-qt9ij8nm9t
@user-qt9ij8nm9t 2 ай бұрын
Kumbe familly waooooo kasulu moja mdogo ako nakufatilia sana wewe ni shujaa najivunia kuzaliwa kg
@ErickJonas-ie2rr
@ErickJonas-ie2rr 2 ай бұрын
Kufanya kazi na ww ni bei gan
@Milanzi6099
@Milanzi6099 2 ай бұрын
OK safi
@AyubuHamiss
@AyubuHamiss 2 ай бұрын
Kaka naitaji kujiunga katika goup lenu mm nimkazi wa kigoma ujiji but foynow ninaishi daresalaam
@SaidLamar-jq5dg
@SaidLamar-jq5dg 2 ай бұрын
Tuko pamoja kaka
@charleskibiki217
@charleskibiki217 3 ай бұрын
Kaka nimeisikia story yako imenifunza natamani nijifunze kwako ujuzi , mimi nilikua msanii kilicho tuangusha kundi kuvunjika madirecter wilituzingua nikaamua kuacha sanaa ilinitafute pesa ninunue vifaa nijifunze kazi hii ya udirecter ,kwa sasa nimenunua canon d 650 yakuanzia nalenzi ya 50 kulingana nabajet yangu ilinibana ila lengolangu niliwekeza nianze na 5d mack ii tatizo haukutosha nikaamua nianze na hii ndogo ili inipe mwongozo wakufanya kazi nakujifunzs
@wajimwakatika1521
@wajimwakatika1521 3 ай бұрын
Homeboy
@ChescoNeema
@ChescoNeema 2 ай бұрын
Bro m ni muigizaji bro natamn kufnya kazi na nyie
@AdohClassic
@AdohClassic 2 ай бұрын
Naomba kuigiza na nyinyi ata bila malipo mpk ntakapo kuwa na uwezo mkubwa
@noelgypsum
@noelgypsum 2 ай бұрын
Me nimesoma film And Television, pale UDSM na ni content creator mzuri, but niwapongeze sana kwa kile mnachokifanya, nimekuwa shabiki yenu mkubwa, labda cha kuiprove, wekezeni pesa zaidi kwenye effects, kama model nzuri za nyoka yule nyoka wenu kuna muda anaonekana wa plastic, japo sio kitu kibaya sana, naimani kwa baadae mtafanya bora zaidi, Pia jina la filamu ni la kingereza na filamu ni ya kiafrica, mahadhi yote ya story, setting, costume zote ni za kwetu ila jina ni la wazungu, so muwe makini kwenye kuchagua majina ya hadithi zenu ili kuwapa professional profile, nawakubali.
@DanielRukas
@DanielRukas 2 ай бұрын
Mha mwenzangu naomba na mm kujiunga na gang yenu
@athumannambombe4334
@athumannambombe4334 3 ай бұрын
Sasa Mi nimefanya nini mpaka mnasema Mungu sio Mimi?
@directorkakoso
@directorkakoso 3 ай бұрын
😅😅😅
@dotolinos3750
@dotolinos3750 2 ай бұрын
Kigoma hapatoki fara. Nilijua tu we niwa Kigoma.
@daudic.mpinga4606
@daudic.mpinga4606 2 ай бұрын
Movie ni nzuri ,,lakini huyo jamaa anae igiza mchawi anazingua sana kunabaadh ya maneno anayatumia sio maadili kumbuka hizi movie sinaangaliwa na lika tofauti
@FernandoPedroSualihina
@FernandoPedroSualihina 3 ай бұрын
Onguera sana mguvu mutachinda
@user-gm6kh7mi4n
@user-gm6kh7mi4n 2 ай бұрын
Tumekusikiya mze
THE GAME (5) #kakoso
18:54
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 21 М.
MORARA OR HUSSEIN, WHO IS LYING?
15:28
Iko Nini
Рет қаралды 1,3 М.
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 28 МЛН
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,5 МЛН
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 3,7 МЛН
Interviewer Ya Mwamposa ya Kuzinduwa Nyimbo Mpy
11:32
NANGADE TV ONLINE
Рет қаралды 554
LEONARDO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAFANYAKAZI WA CRDB!
17:39
Visit Tanzania
Рет қаралды 297 М.
MWANAUME   FULL MOVE
1:07:07
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 16 М.
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН