No video

Dkt. Magufuli awafichua waliozuia kujengwa kwa bwawa la Nyerere | Wanaona gere, wanaona wivu

  Рет қаралды 62,223

EastAfricaTV

EastAfricaTV

Күн бұрын

Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 106
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
Tunaheshimu sana na tutaheshimu kazi yako ya ukombozi wa kiuchumi na kifikra. Asante sana kwa zawadi hiyo baba yetu. Mungu ataturejeshea Magufuli mwingine.
@barakatimoth4567
@barakatimoth4567 2 жыл бұрын
Rest Easy Mzee wangu, upo mioyoni mwa wapenda nchi na umajumui wa Africa na waafrika wazalendo...Amina
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
The true son of Africa. Africa needs true leaders like you who understands matters and have the courage to transforma Africa without fear. We miss you papa. Africa misses you
@mafulublessedharuni4609
@mafulublessedharuni4609 3 жыл бұрын
Raisi bora Kwa karne hii mwamba
@jeffreywilliams1171
@jeffreywilliams1171 2 жыл бұрын
Mungu asante kwa ajili ya mtu huyu, tunaomba mwengine zaidi ya huyu ktk jina la yesu kristo.Amina.
@ebmmziwanda2288
@ebmmziwanda2288 2 жыл бұрын
Amina
@babalao910
@babalao910 2 жыл бұрын
Amina
@greysonmheni5176
@greysonmheni5176 2 жыл бұрын
Amen
@josephnchunga1247
@josephnchunga1247 2 жыл бұрын
Dah nikifuatilia Sauti hii machozi yananitoka kwani kifo cha Magufuli ni pengo kubwa kwa Taifa ana vitu positive sana .
@anthonynicodemus9970
@anthonynicodemus9970 3 жыл бұрын
We shall remember you JPM RIP
@bonifansimatias6951
@bonifansimatias6951 2 жыл бұрын
Leo ndiyo yamerudi kwa bi tozo RIP 🙏 JPM tunakukuumbuka sana hatuna namna
@ezirayudayuda8627
@ezirayudayuda8627 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 bitozo
@AzizKhan-si8cc
@AzizKhan-si8cc 2 жыл бұрын
Naikumbuka sana kauli yako ya kujitoa sadaka now naamin
@alphonceelias2551
@alphonceelias2551 2 жыл бұрын
Jembe wewe Magu.Mungu akulaze pema peponi.shujaa wetu.mikataba mingi inasainiwa pasipo hata kuju ni Nini Kiko kule.rest in peace daddy.asante Sana baba magu.hakuna Kama wewe.rest in peace.RIP baba.Rip baba.in our memory you shall dweli forever.mgao umerudi baba magu.mkweli ,mzalendo,uthubutu.
@eliudijamesi2253
@eliudijamesi2253 2 жыл бұрын
Ulifanya vzur mzee wetu ila kosa lako ni ulimwamini huyu bibi Tozo nchi imemshinda kabisa
@timothymikola2317
@timothymikola2317 6 ай бұрын
Kabisa Yani mistake kubwa😢😢
@anuaryally6177
@anuaryally6177 2 жыл бұрын
Ni wewe tu umeondoka umetuachia vilaza mungu akulaze mahala pema peponi amina
@angelanather9640
@angelanather9640 2 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima JPM. Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi
@furahamsabaha4238
@furahamsabaha4238 2 жыл бұрын
Jamani msema kweli mpenzi wa mungu,! Je? Mambo haya anayosema mwalimu huyu ni uongo? Kwawote tuliopo tz tulioshuhudia Zama hizi! Lakini hata TBC hawataki kabisaaa! kituwekea hotuba za kurekebisha Tabia? Kwa waovu! Lakini mungu muweza yupo aliemchukua huyu mwamba atatuleteea majibu yaliyo sahihi, watu wabaya mungu atawafanya kama alivyomfanya firauni,mungu ana adhabu kali sana kwa watu madhalimu ,
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Жыл бұрын
Kweli hatutakusahau kwenye maisha yetu baba sijui ungekuwepo sijui tungekuwa wapi
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
The best president ever in Tnaxani and a true son of Afrika. Mfano wa kuigwa na mataifa mengi ndani na nje ya afrika walikukubali na kukuheshimu jembe letu.
@charlesmwakanandala5786
@charlesmwakanandala5786 2 жыл бұрын
Jpm mungu akujaliye hukouliko
@johnnathan7104
@johnnathan7104 2 жыл бұрын
Mungu atatenda miujiza
@hassankurwa464
@hassankurwa464 3 жыл бұрын
Wewe ndio Rais haina mashaka mitano tena
@nyamwekomatoke9951
@nyamwekomatoke9951 2 жыл бұрын
Magufuli sina namna ya kusema Mungu akulaze mahali pema peponi Hawa uliowaacha nisawa mafisi tu Mfumo umerudi kuwa kama zamani Wamerudi kutuibia Huyu mama aliyepo hana tofauti na wakoloni waliotunyonya Yani kila mtanzania analia,, na ameziba maskio
@iburahimiddi2428
@iburahimiddi2428 2 жыл бұрын
Jembe nenda inshaallah mungu akulipe stahiki yako
@willelia2554
@willelia2554 3 жыл бұрын
Tanzania ni matajiri Sana ila msimamizi anahitajika mairi sana kama.huyu RIP African brave
@fraviansweetberty8819
@fraviansweetberty8819 2 жыл бұрын
Urais wako ulikuwa sadak kwel kwetu sisi Mungu akupumzishe kwa Amani
@makulanangale588
@makulanangale588 2 жыл бұрын
Ukisikiliza hotuba za magufuli zinaonyesha wazi walioko madarakani wanahusika na kifo chake, Mungu Baba ghadhabu juu ya watu hawa na ikawatafune vizazi vyao ad vitukuu vyao
@yusuphpaulwaryoba8316
@yusuphpaulwaryoba8316 2 жыл бұрын
Amen
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 2 жыл бұрын
Lala salama mzee wangu 😭😭😭 sintakusahau maisha yangu yote
@nicolausalex7904
@nicolausalex7904 2 жыл бұрын
I don't think if we will get such a president like you RIP mzee
@martinkigua8627
@martinkigua8627 Жыл бұрын
Sure
@hassanhusseinally9805
@hassanhusseinally9805 3 жыл бұрын
Huyu angefaa kutawala Africa wazungu wangekuwa chokoraa watanzania musimwangushe rais anaegopa mungu pekee
@far_hard1301
@far_hard1301 2 жыл бұрын
Kweli baba umejitoa sadaka kwetu watanzania r. i. p baba tutakukumbuka hatuna uwezo wowote zaidi ya kukuombea ulale mahala pema peponi
@babalao910
@babalao910 2 жыл бұрын
Pole Pole tu na bashiru wangeweza kuvaa viatu vyako.
@rasammudmar5455
@rasammudmar5455 2 жыл бұрын
Sadaka yang kwenu.
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 3 жыл бұрын
Sasa serikali ilikuwa wapi madini yetu jamani inatia hasira sana
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
Kweli baba yetu JPM ulijitoa sadaka kwa ajili ya taifa lako. Ulisimamai aukweli bila kuogopa na hilo ndilo jambo muhimu zaidi kwetu. Asante kwa sadaka ya kujitoa muhanga. Mungu akuongezee na kukuongezea zaidi huko kuliko.
@lunjeramadhani1295
@lunjeramadhani1295 2 жыл бұрын
Mwenyezimungu akupunguzie azabuyakabuli
@salimdhulqfli4640
@salimdhulqfli4640 2 жыл бұрын
Hii inatufundisha kuwa usimuamini mtu sababu wote aliowaamini huyu mwamba kumbe walikua in wanafkitu hawakua kitu k1
@emmanuelbonifas2804
@emmanuelbonifas2804 2 жыл бұрын
Sauti hii imepumzika jumla magufuri tulijua ni utani kumbe kweli sasa tumekwisha umeme kila siku akuna tozo usiseme mpk kwenye vocha
@salimdhulqfli4640
@salimdhulqfli4640 2 жыл бұрын
Dah...tatakukumbuka sana mzee
@robertchacha8900
@robertchacha8900 2 жыл бұрын
Ulifanya vizuri sana ila kosa lako ni kwa baadhi ya watu uliowaamini
@alisele5299
@alisele5299 3 жыл бұрын
Jamani kama hatumuelewi huyu mzee basi tena
@dicksonmatulile1523
@dicksonmatulile1523 3 жыл бұрын
Kweli kabisa na itachukua miaka mingi sana tena sana
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 3 жыл бұрын
sijui Kama tutampataga Magu mwingine
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 2 жыл бұрын
Pumzika kwa amani
@willelia2554
@willelia2554 3 жыл бұрын
Nani atavaa kiatu.hiki why kama gadafi kawapa wananchi kuku na wakamkimbiza.na.kumuua.kama.kuku.why.tuwe.wamoja.uoga.ndo.umasikini wetu majemedali wanatoeka.why.mmm.jah.bless us tusiingie kwenye manyanyaso
@stanlaymanya687
@stanlaymanya687 Жыл бұрын
Mungu akurehemu rais wangu.
@williumkahera630
@williumkahera630 2 жыл бұрын
Magufuli magufuli magufuli magufuli 1 tz
@shabanizuberi9420
@shabanizuberi9420 2 жыл бұрын
Nitakukumbuka Sana rais wangu wa mfano.Rip mh Rais John Pombe Joseph Magufuli Allah akulaze mahali pema Pepon Aminaa
@babanjuru8738
@babanjuru8738 3 жыл бұрын
Sawa sawa baba wahereze
@isibanianews1329
@isibanianews1329 2 жыл бұрын
Sasa hivi tunaona moto
@silajulius3467
@silajulius3467 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema, atatusaidia turudishe vyetu na tulinde vyetu. Aaaaaa Ni zaidi ya ubaya huu
@mwambogoafricadaaaaaah1269
@mwambogoafricadaaaaaah1269 2 жыл бұрын
Ulaleeee salamaaa ulale salamaaaaaa,jpm,nalia kila nionapo vidio zako
@magesachilimila1104
@magesachilimila1104 2 жыл бұрын
Ni machozi tu nisikiapo sauti yake.
@cosmasthobias2279
@cosmasthobias2279 Жыл бұрын
Mzee Ulikuwa mwamba sana
@nappekiliakiliasalimu346
@nappekiliakiliasalimu346 2 жыл бұрын
Et Mama SAMIA watu wanasema et anaupiga mwingi..wingi gani huo
@vyuguruzumwangumwereka
@vyuguruzumwangumwereka 2 жыл бұрын
I miss you Mr. President.
@kunyaobelela4062
@kunyaobelela4062 Жыл бұрын
Umetufumbua macho tunashuhudia madudu yanayoendelea sasa
@alexsmongo1106
@alexsmongo1106 2 жыл бұрын
Ila kama magufuri alikufa kwa mkono wa m2 dhambi anayo
@hemedkupaza6314
@hemedkupaza6314 2 жыл бұрын
What should I say! Maadui wa nchi wanaoungana na mabeberu wanajidhihirisha R,I,P JPM Mzalendo wa kweli
@senseiamani4684
@senseiamani4684 Жыл бұрын
It's so paining
@hawahassan603
@hawahassan603 3 жыл бұрын
Kabisa
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 7 ай бұрын
😢😢😢 ungekuepo pala leo
@godblessmmbando6393
@godblessmmbando6393 2 жыл бұрын
Pumzika kwaamani baba mungu ajalie Kiongozi 2025 kama wewe
@abdallaali5757
@abdallaali5757 Жыл бұрын
Jembeee
@muniramohamed1730
@muniramohamed1730 2 жыл бұрын
Daaaah uongo km kweli vile.
@alfredlucas972
@alfredlucas972 Жыл бұрын
Kwa akili zako unaona mzee kadanganya
@froma3732
@froma3732 4 ай бұрын
Sura mbili utajaza mwenyewe
@benjaminmaginga4019
@benjaminmaginga4019 Жыл бұрын
MZEE PUMZIKA KWA AMANI ASEE ULIFANYA TUJISIKIE TUNA NGUVU ASEE
@storytownTv
@storytownTv 2 жыл бұрын
MAMA TOLD ME LEGENDS NEVER DIE..!!! RIP DADY
@babalao910
@babalao910 2 жыл бұрын
Sasahivi NCHI imeuzwa.
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 Жыл бұрын
Aisee mwamba tutakukumbuka sana
@nyamwekomatoke9951
@nyamwekomatoke9951 2 жыл бұрын
Laana itawamaliza
@sudimohamed7360
@sudimohamed7360 2 жыл бұрын
Mungu akulaze mahali pazuli
@mwakiosalim2914
@mwakiosalim2914 Жыл бұрын
Nko kenya lakini mpaka sai siamini kweli unacheza na malaika uko mbinguni 😭rip😭
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 7 ай бұрын
Ii sauti nimeimisi sana nchi imetulia
@khatibumwalumbunga6893
@khatibumwalumbunga6893 Жыл бұрын
Naumia sana acha mapenz ya mungu yatimizwa, ila wanadam wabaya sana kuish nao kaz sana ,
@sungimahumbi247
@sungimahumbi247 2 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima Magufuli
@2ragosntondero303
@2ragosntondero303 2 жыл бұрын
M; mmmmlinzikavaa ccm tunapotea
@elimatamumwakilasa3173
@elimatamumwakilasa3173 2 жыл бұрын
Daaah Magu unge rudi uvhungulie tuu . Tumesha rudi kwakasi ya 5g wakina Nape na Makamba wanaturudisha wanatuonesha makosa tuu hawana Maendeleo yeyote kila kitu kimesimama. Mama. Kawakumbatia tuu. Eee Mungu napata wakati mgumu 2025
@allymwadi2815
@allymwadi2815 Жыл бұрын
Achaa tuu mzee ulipojengaa mkuta wa merelani aliongea sana pumzika kwa amani mungu akupe janatu pepo yajuu
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 4 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 2 жыл бұрын
wewe ndo unafaa tangazwa matakatifu nchi hii,leo tangu uondoke debe la mahindi toka 5000 mpka 12000 mtumgi wa gesi toka 51000 mpka 59000 dhahabu inabebwa sana,adui mkubwa namba moja ni wewe,we have every reason to believe they killed you.But the seed you planted will never be uprooted,watakuja kina magufuli wapya muzungu atakimbia
@user-zx3he3lp3o
@user-zx3he3lp3o 10 ай бұрын
Rest in peace umeme sasa ni mgao muda wote
@babuumaeda7671
@babuumaeda7671 2 жыл бұрын
JPm ulale salama
@susanmsuya1862
@susanmsuya1862 2 жыл бұрын
Baba hiyo nihisitori Mambo imebadilika
@abdallahally9007
@abdallahally9007 3 жыл бұрын
Nikwel
@karimmunis8302
@karimmunis8302 2 жыл бұрын
Kwa sasa tumewekewa tozo. Kila mahala tozo na bado pesa haionekani
@josephizengo5912
@josephizengo5912 2 жыл бұрын
mwaume aliangua ili ss tusimame lkn sio kama alivyo dhania MUNGU awenae daima na milele
@emanueljoseph3705
@emanueljoseph3705 Жыл бұрын
Huwa nafurahi maneno yako hata kama haupo saiv kwenye huu upepo wa Tanzania....tutakukumbuka sana mwanachato
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 2 жыл бұрын
Tatizo la umeme lmerud baba tunaseka, tuma hata mzimu wako uje kushtua wanaohusika
@juliusdonard933
@juliusdonard933 2 жыл бұрын
Huyu raisii alikuwa baba yetuuu daaa now mmhhhh
@michaelmyinga6398
@michaelmyinga6398 Жыл бұрын
No
@bashaakumaarpandan9021
@bashaakumaarpandan9021 2 жыл бұрын
Rais kama huyu jembe laukwel hatutopata tena kiama
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 Жыл бұрын
Kila inapokuwa mgao wa umeme tunakukumbuka mzee
@josephatkiliko2546
@josephatkiliko2546 2 жыл бұрын
JPM
@enocksamwel6734
@enocksamwel6734 2 жыл бұрын
😂😂😂😂!!!z
@anthonynicodemus9970
@anthonynicodemus9970 3 жыл бұрын
We shall remember you JPM RIP
@alexsmongo1106
@alexsmongo1106 2 жыл бұрын
Aseeeee mungu akulaze mahala pema peponi kama kweli mungu alikuita kweli
@jinamabrio-duel8894
@jinamabrio-duel8894 2 жыл бұрын
Hakika ulikuwa mzalendo wa kweli.#RIP.
@stanlaymanya687
@stanlaymanya687 Жыл бұрын
Mungu akurehemu rais wangu.
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 66 МЛН
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 2,9 МЛН
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,1 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 191 МЛН
Hotuba ya Mwalimu Nyerere kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma 1995
14:17
Joseph Mabima
Рет қаралды 3,6 МЛН
Hotuba 3 za JPM zilizogusa Hisia Za Maelfu ya Watanzania
24:30
MAGUFULIFICATION OF AFRICA
Рет қаралды 194 М.
LIVE : RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI AKIWA NJIANI KURUDI DAR ES SALAAM
5:25
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 383 М.
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 66 МЛН