Goli pekee la Freddy Michael Koublan limeipa Simba pointi tatu muhimu, wakiichapa Dodoma Jiji 1-0 kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma. Hii ni #NBCPremierLeague
Пікірлер: 78
@JosephLamau-yq1lx15 күн бұрын
Hongera Viongozi wa Simba Hongera wachezaji wa Simba, Hongera Mashabiki wa Simba munaoiunga timu yetu ya Simba. Simba nguvu mojaaaaaa 🎉🎉🎉❤❤
@emmanueltesha561215 күн бұрын
Hussein abel ni kipa mzuri sana
@mwajumaabdallah325415 күн бұрын
Waooooh,mmecheza vizuri❤❤❤❤simba oyeee.
@fabianbenardngatunga271315 күн бұрын
Hili jamaa litakujakuwa vizur fred
@hunainamudhiry15 күн бұрын
Siachi kuipend simba
@chrizostomchristian188415 күн бұрын
Naomba Coch Mgunda apewe wachezaji tuone cv yake ikue haraka❤
@bellenoe41414 күн бұрын
Natamani wamuache ili awakomaze hawa kina chasambi km watataka kuleta basi dirisha lijalo😢 tatizo akija mgeni hatakuwa na muda kuwapa watakaa benchi
@user-cq4lp5rv1l15 күн бұрын
Yani hiz mechi mbili tungepata magoal km 8 hiv
@meshackdauda431515 күн бұрын
HIYO killer pass ya Fabrice Luamba Ngoma macho yako yameona Kama Mimi like gonga hapa boss 💪🏿
@JumaFesto15 күн бұрын
Mdomdo tutafika tu Simba yetu naipenda xana
@user-yq7dm4gw6j15 күн бұрын
Simba nguvu moja💪💪
@sunwizy60814 күн бұрын
jana boli imenoga sn kwa team zote mpipa wakasiii yan ukizingua watu washafika golin kwako nilieenjoy kuona jasho la wachezaj wa simba wamepambna ❤❤❤ simba nguvu moja
@bellenoe41414 күн бұрын
Mzamiru alivyompora😂😂😂😂
@elibarikikivuyo594614 күн бұрын
Kob kob noma huyu mwamba🎉🎉🎉
@beatricembunda616814 күн бұрын
Simba nguvu moja❤❤❤
@saidmasoud900415 күн бұрын
Simba wamenyimwa Penalti.
@RemmyMluge15 күн бұрын
Eee na kwenye shida tuipende ni Simba yetu
@user-il6rm7cj1g15 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@bellenoe41414 күн бұрын
Dodoma wanacheza rafu😢
@husseinshamte712915 күн бұрын
Watoto kila wakipata boli wanataka kupiga mashuti tu Wanacheza kisifa wataharibikiwa ,,, sehem ya pasi piga pasi
@EnockMwakajila15 күн бұрын
Offside hile kibendera kapuyanga
@SimonAmon-dr8xw14 күн бұрын
Chasamb🔥🔥 🙌🙌🙌
@mahadshekh39815 күн бұрын
Kuna Utopolo hajui sheria Mchezaji akiumia kichwani tu ndio mpira unasimamishwa .Jifunze sheria za mpira wacha kukurupuka.
@Boytzlukaslodupo15 күн бұрын
Wew ndo hujui
@user-iq4bl5uf7l15 күн бұрын
Kweli
@uchebetz728415 күн бұрын
Simba tamu nyie
@salmamlokela198715 күн бұрын
😂😂😂😂hta mimi naona
@salimmalaka25615 күн бұрын
@@salmamlokela1987WEWE TOPOLO MACHOGO FC 😂😂😂😂😂
@jamesmartin702615 күн бұрын
Yanga tamu zaidi. Mabingwa wa ki historia kwa mara ya 30
@AtanasMnkondya-qq7vh15 күн бұрын
Unyama
@davidyongolo810215 күн бұрын
Simba wamenyimwa penalty ya par Omar jobe
@Dickson-su4cf14 күн бұрын
fuledy umetish🎉a
@WaziriMuthafa15 күн бұрын
Uyu mwamuz wa mchingo
@afterfull-time134815 күн бұрын
Vipi wachambuzi freddy na Gwede wanafanana?
@erikoctavian74815 күн бұрын
dahh se kuna faulo hapo aisee alaf refa yupo karibu ...😢
@user-zm1uw4me5b15 күн бұрын
Muamuzi haja tenda haki
@malietamalieta965815 күн бұрын
😂😂😂hivi yule mtenje wa dodoma jj anavyofanyaga enterview zake anakuaga na ile ya kuirudia baada ya mchezo ama
@YulithaYoram15 күн бұрын
Tun imani na simb yetu
@ukuvukiland238715 күн бұрын
Yani ni aibu tupu mchezaji kalala na maumivu na mpira unaendelea duuh mpira wa bongo Noma ,msionyeshe live aibuuu.nafasi ya pili inatafutwa na staili hii watani hamna timu hapa.
@damianmcba952515 күн бұрын
Offside hilo,, Alitoka lkn akapokea pasi kashazidi tena
@HamisiMagala-yk4cy15 күн бұрын
We fala kweli,mbona rahisi tu,basi tufanye dodoma jiji 1 - 0 Simba
@user-fs7xc2bb5d15 күн бұрын
@@HamisiMagala-yk4cysafi kaka jibu zuri Simba ikishinda offside mala wamependelewa tufanye Dodoma 1Simba 0
Hivi timu inafunga goli dakika ya 7 halafu hawafungi tena , hii timu kweli inashida
@omariaman781815 күн бұрын
Si bora imefunga lakini vp kama isingefunga kabisa
@dalluchiwinga-np2su14 күн бұрын
Na tabola Goli kama ilo mulikataa
@anthonywapaduanyampandesen230115 күн бұрын
Nakuona zimbwe oyaoya
@flaviusflavius397915 күн бұрын
Nguvu Moja
@BahatiLinje15 күн бұрын
Mapema tuuu
@simonzelote599815 күн бұрын
Hivi kwa Nini serikali isiangalie huu uwekezaji wa mo dewj kwenye club ya Simba Kama imemshinda si atafute namna mweekezaji mwingine aingie
@donaldmwahalende484115 күн бұрын
Acha ujinga
@simonzelote599815 күн бұрын
Hivi Kama timu imemshinda si aache tu anashindwa je kufuatilia pesa zake na kuhakikisha timu inasasili wachezaji wa kuisaidia club timu inasasili wachezaji hovyo
@simonzelote599815 күн бұрын
Hivi Kama timu imemshinda si aache tu anashindwa je kufuatilia pesa zake na kuhakikisha timu inasasili wachezaji wa kuisaidia club timu inasasili wachezaji hovyo
@luckygmdegela847715 күн бұрын
serikali ina husikaje hapo we uto
@simonzelote599815 күн бұрын
@@luckygmdegela8477 kwani Nini hausiki mbona serikali ya uengereza iliuza Chelsea baada ya kumnyang'anya abromovic
@deogratiouswipson844815 күн бұрын
Chasambi😂😂😂
@BabieMuni-rz8uy15 күн бұрын
chap wenye simba yetu
@pricelessintown453615 күн бұрын
Wachaa weee😊
@maryamnofli210915 күн бұрын
Waaaaaaaaoooooooo. ❤❤❤❤🦁🦁🦁🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪😍
@RobartLukas15 күн бұрын
Kwahiyo nyie makolo tuwaulize mnatafuta kombe au inakuaje😁😁😁😁🏃🏃👁️
@consolathamlimi788315 күн бұрын
😂😂😂
@Gisakijamaduda15 күн бұрын
Weeeeeeee ngogwe huna jipya kafiembele kombe la Tanganyika au Tanzania?nani analo hilo kombe?
@sangaelly854815 күн бұрын
Mjinga wewe tunatafuta bichwa lako hilo
@user-pm2ww1ir8z15 күн бұрын
Muulize babu yako anajuwa
@gustaphkadio514415 күн бұрын
Simba yetu tunaipenda hata iweje siwezi shabikia majini
@salmamlokela198715 күн бұрын
😂😂kwani umeletewa kadi ya uanachama ujiunge na Yanga...ovyoo
@salimmalaka25615 күн бұрын
@@salmamlokela1987IMEKUTACH 😂😂😂😂 MACHOGO FC WEWE
@TedyElisha15 күн бұрын
Nimtazamo wake mbna Majin fc kushoboka
@rizioniramadhan167415 күн бұрын
Kweli shida ipo tena kubwa 2 tuspoangalia mwakani tuna shika nafasi ya kimu