Wapenzi wa mbwela mukowapi mbona comment nindogo musimufanyiye ivo mbwela plus ❤❤❤❤
@ubahamisi4316 ай бұрын
Umependeza mbwela kwa vazi la dini🎉
@user-hm6hy6rr1h6 ай бұрын
Pol kaka mbwela ila ap wan wak tujifunzen jaman tuwe wastahamilivu jaman akun kubwa kwa mung jaman rizk anae toa ni mung
@GravitTaboi3 ай бұрын
Kazi safi sana Mbwela 😊😊😊
@user-og4mq8ph4yАй бұрын
Mbwela mbna kila nikikuona moyo wangu unahama penye uko na mbaya zaidi sijui hua unaenda wap, nakupenda sanaa mbwela wangu much love from kenya riadhy ❤❤❤❤❤
@HusseinNuru-zd3bf27 күн бұрын
Yani kaka mbwela keep it up tuko nyuma yako bega kwa bega
@rahmasuleiman93346 ай бұрын
Hongera Mbwela umeweza kuuvaa uhusika 🎉🎉🎉🎉
@IsakaKiyalo-s3v21 күн бұрын
Kaka mungu akuongezee uishi kwa kudanya kazi za kumpendeza
@HassanMkinaАй бұрын
Umetisha sanaaa mzee mbwela muvis nzur sanaaaa
@halimadonath186212 күн бұрын
Arafaaa kuwa mvumilivu maisha yanahitaji uvumilivu katika maisha kuna kupata na kukosa rizki anapanga mwenyezi mungu
@amanchuphichuphi4725Ай бұрын
Safi sana kaka mkubwa
@user-xy5go4ks1zКүн бұрын
Tupo apa ila kwanini awakutowa sehemu yapili yataifa❤❤❤❤
@Lilly-ec4bs6 ай бұрын
Kazi nzuri🎉🎉🎉🎉🎉
@user-mf8su7us1jАй бұрын
Natamani sana nipate mume ambae ana pesa ila ana upendo nitashukulu sana inshallah yaraab
@Mamalyzzy0042 ай бұрын
Kutoka Snake boy paka hku mbwela big up bro
@aishaomar22876 ай бұрын
Hongera kwenu wote,mbwela unajua baba🎉🎉🎉
@zainaabdallah8096 ай бұрын
Big up mbwela ❤
@KomboJuma-v5u26 күн бұрын
Dunia hii kweli akuna jipya. Mimi binafsi yalinikuta haya. Hivyoo hivyoo. Yauma Sana hii msiombe.
@rechokizumbe73146 ай бұрын
Mbwela unatoaga move nzuri sana
@MkasyswallehsaidSwalleh6 ай бұрын
Imejua kuniliza hii movie...hongera mbwela ama kweli mtaka yte hukosa yte😢
@user-lc1op8vv8n6 ай бұрын
Pore sn nahc ulkua ume mkumbuka marehem Babu yako
@OrediYowasi10 күн бұрын
Huyo sio wakawaida ata kichititu akianza hivyo mwana mke nibaraa yaliyo nikuta mm nimazitoo
@user-ng7bs3ir5x6 ай бұрын
we arafa utajuta badaye from birundi
@user-vx1pw5dq7k6 ай бұрын
Imeniuma mwanaume kufukuzwa Jmn 😢😢pole
@NoelaGustave2 ай бұрын
Daaah wamama wengine bana mahibilisi tu
@abouclasic89396 ай бұрын
Maumivu makali sanaaaaa....
@jacklineindoshi18106 ай бұрын
Nimeipenda sana much love from 🇰🇪
@user-lv5iw6wn6q6 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@danielamakalu82252 ай бұрын
C❤
@HesbornObara18 күн бұрын
Mbwera n MTU wangu Sana weka comments bana
@user-xu5rh6ub5j6 ай бұрын
Nimejifunza mengi
@user-bw8un9ds6t24 күн бұрын
Mwanamke mjinga huvunja nyumba yake kw mikono yake mwenyewe... Hili n funzo kw wanawake wajinga km Arafa punguzeni tamaa