Kwani siku izi sio chawa tena..naibu wa chawa nae alienda wapi
@mstaraabusantiago74710 ай бұрын
Eti chondoni, hii lugha ata ukilazimisha n bure😂😂
@mumbiwachira939710 ай бұрын
Double standard speak .. this is the Mwajikau of kenya 🇰🇪 😂
@simonlunyelekwe552010 ай бұрын
True kasipula
@henrysimba298310 ай бұрын
Eti yote 5,,9 ninini?? Cassy pool umechemsha sheikh!!!
@jenniferkwanza947310 ай бұрын
Viewing ❤❤❤
@stevemike152210 ай бұрын
Yote tano tisa 😂
@francisca_cc10 ай бұрын
😂Cassipoll is one in a million ❤
@christineakiru700210 ай бұрын
Kasipol ni kinyonga...so long as ngano inaleta doh haina shida
@blessedfavored515410 ай бұрын
Ali got some low digs 😂😂😂😂
@kukuzambawazambanga10 ай бұрын
Maswali za presenter 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣weee Zinakuja mtiliriko ati cassypool na kitumbili wali share bed🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣that night wahenga wanalia ati siku hiyo majirani hawakulala🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hivi nani alikuwa anapigwa nyundo tunashangaa🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
@kukuzambawazambanga10 ай бұрын
Hivi siku hizi wanaume karibu wote wametoa wapi hizi tabia zakimama wameiba nyota ya wamama kusengenyana haki ya nani Jamaa anaongea bila brake😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@allenmwiwawi197010 ай бұрын
Ati KRG amekuwa mchungaji ngano 😂😂😂😂
@leonardkipronongeywo311710 ай бұрын
Am enjoying the show Ali
@allenmwiwawi197010 ай бұрын
@PresenterAli, Why are bloggers not covering JUST IMAGE AFRICA death & funeral arrangements?
@djben254710 ай бұрын
usijaribu kukosana na 2mbili nitahama kenya
@shamimaoko10 ай бұрын
Big up Cassy Pool...
@GoDannyKE10 ай бұрын
What are you saying
@samwelmithaka63164 ай бұрын
Cassy pool amefanya ile kitu tena ati kijana mshelimsheli amesota eti anauza ngano...🤣🤣🤣
@dennismuriuki706710 ай бұрын
😂😂😂😂Mwijaku mwenyewe
@shamimaoko10 ай бұрын
KRG macho zimegeuka bano 😂 😂 😂
@GoDannyKE10 ай бұрын
Krg the donkey
@IAM_GAUCHO10 ай бұрын
Huyu ni mjinga ,,, hajui hata anachoongea na ndio wasanaa wanaoangaliwa na wakenya,,, aliokuambia kiburi ni kitu muhimu ni nani???? Kama huna la kuongea ni bora unyamaze!
@GoDannyKE10 ай бұрын
What are you saying
@IAM_GAUCHO10 ай бұрын
@@GoDannyKE nasema huyu ni mtu pumbavu kabisa hafai kupewa platform kama hii kabisa,,, kwa sababu akipewa nafasi anaongea pumba tu!
@favourkenya10 ай бұрын
😅😅😅casipuuuuul
@imahimah796710 ай бұрын
Haki caccypool ati krg anachunga ngano surely????mbona umushushe hivyo?
@GoDannyKE10 ай бұрын
All day everyday clout chasers
@patoostarman10 ай бұрын
Aliacha kusifia raisi
@kennedymurithi73547 ай бұрын
Mtoto wa chiwawa
@kevinnyangena409810 ай бұрын
Za ndani
@mumosyengo-qr7lh10 ай бұрын
brand wachafu
@kennedynjuhi445210 ай бұрын
Utapandwa na wanaume😂😂
@GoDannyKE10 ай бұрын
Clout chasers
@theanalyst825710 ай бұрын
Jandoni
@johnmasha785110 ай бұрын
U guys are getting boring everyday. Similar interviews, similar ppl..we tired..go out there explore new guys
@kukuzambawazambanga10 ай бұрын
Hivi siku hizi wanaume karibu wote wametoa wapi hizi tabia zakimama wameiba nyota ya wamama kusengenyana haki ya nani Jamaa anaongea bila brake😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣