DSM GARI ZA BATA, KIGOMA ZA KAZI, UNAAMBIWA PROBOX KIGOMA ZINAITWA MCHOMOKO, “HADI MIZIGO TUNABEBA”

  Рет қаралды 30,663

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Inawekana kwa Mikoa mingine gari aina ya Probox ikawa inamatumizi mengine tofauti na gari aina hizi zinavyotumika kwa Mkoa wa Kigoma.
Ukifika Kigoma pengine ukiulizia Magari haya kwa jina la PROBOX unaweza usilipate kabisa, kwajina maarufu Kigoma wanaita MCHOMOKO gari lenye uwezo wakubeba abiria watano na mizigo mingi lakini inafaida kubwa kibiashara na mkombozi wa abiria.

Пікірлер: 54
@barakatv9315
@barakatv9315 3 жыл бұрын
Ukiona hivyo ujue kigoma iko juu , magari kwao Jambo la kawaida
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 3 жыл бұрын
PROBOX ....... Kwao ni KENYA zinabeba Miraa, binaadam, MBUZI, kila kitu
@marcouruva3912
@marcouruva3912 3 жыл бұрын
Kitambo xana tang niondoke pande izzo..Mungu nijalie afya niweze kurud tena mkoa wa kigoma axeee..
@DjohnSkills
@DjohnSkills 3 жыл бұрын
Karibu
@jackkisaina3980
@jackkisaina3980 2 жыл бұрын
Mimi yafika miaka 18 sasa nipite hayo maeneo , niko South Africa
@gapablessgadison6863
@gapablessgadison6863 2 жыл бұрын
Hapo ni kazi kazi🔥🔥
@pasquallungwa3517
@pasquallungwa3517 3 жыл бұрын
Sio probox tu hata toyota wish lake zone ndio kazi yake
@mkemiamagege8477
@mkemiamagege8477 3 жыл бұрын
Sio hiasi my friend. Ni Hiace!
@admerarobert3485
@admerarobert3485 3 жыл бұрын
Home hapo daaa umenikumbusha mbali Sana from Zanzibar
@dagraskaragane4730
@dagraskaragane4730 3 жыл бұрын
Millard Ayo mpaka KSL nooma saana big up
@kubyjuma4843
@kubyjuma4843 3 жыл бұрын
Dah! My home place
@egesilo8373
@egesilo8373 3 жыл бұрын
Safi
@kingmtz5740
@kingmtz5740 3 жыл бұрын
Mkoa wa mara maeneo ya nyamongo zinatumika sawa nahapo kigoma,wanaotumia kama gari za kutembelea ni wachache.
@danielmkama24
@danielmkama24 3 жыл бұрын
Hata mie cjui wanashangaa nn 7bu hizo ndo znabeba abiria Tarime
@kingmtz5740
@kingmtz5740 3 жыл бұрын
@@danielmkama24 yap
@happyjohn5882
@happyjohn5882 3 жыл бұрын
@@danielmkama24 kabisa yaan ukitka kuwai Sirari au Trime usafri wa fasta ni mchomokoo,daah nimemiss sana Sirariii
@rugenzirugenzi3562
@rugenzirugenzi3562 3 жыл бұрын
kweli kabisa magari kama hayo niya kazi
@mgedzirpm1541
@mgedzirpm1541 3 жыл бұрын
Njombe kitambo sana kaka, mpaka wakati wake umeisha, katambo sana
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 3 жыл бұрын
Daladala za Kenya, nazikubali sana
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 3 жыл бұрын
Nissan 😂😂😂
@jumaahusein2204
@jumaahusein2204 3 жыл бұрын
Kenya hayo magari ndo kazi zake hzo🙂
@neemaamosi7761
@neemaamosi7761 3 жыл бұрын
Pigeni kazi
@allthings1302
@allthings1302 3 жыл бұрын
Hata Geita zinaitwa michomoko
@piusthobias880
@piusthobias880 3 жыл бұрын
Hata hvyo ni gari imara Sana zinadum
@ramadhanbarakaonlinetv677
@ramadhanbarakaonlinetv677 2 жыл бұрын
Mzee nyumban hujiji nenda kafanye ntavyuu na Mzee mwibaizi akupe history ya kigoma ujiji yule Mzee mzawa
@kelvincray2345
@kelvincray2345 3 жыл бұрын
Hizo nazo ni gari za bata njoo geita migodini uone prado zinafanya kazi gani
@happyjohn5882
@happyjohn5882 3 жыл бұрын
Hahaaàaaa hizi gari hata SIRARII- TARIME,RORYA,NYAMONGO NK kwa upande wa Tz, ISBANIA - MIGORI Kenya au Keanja zinatumika sana Sana'a zinaitwa hivyo hivyo mchomokaa nimemiss Tarimee daah, SIRARI TO Tarime buku 3000 tuu ndiyo maana boda ya Sirari,isbania imechngamka kuliko ya Namangaa,,
@pachamc5145
@pachamc5145 3 жыл бұрын
Sio kigoma tuu
@alexbenedict5378
@alexbenedict5378 3 жыл бұрын
Duh
@officiallnobystar
@officiallnobystar 3 жыл бұрын
hizi uku njombe ni tax To ama za kukatia majani ya nguruwe
@aminaamos2778
@aminaamos2778 2 жыл бұрын
Jaman mwenye namba ya huyo mtangazaji anisaidie ndg zang
@athanaswilliam6940
@athanaswilliam6940 3 жыл бұрын
Iyo IASI ndio HIACE au?
@mkemiamagege8477
@mkemiamagege8477 3 жыл бұрын
Ndio hivyo ni Hiace na sio IASI bro. Dogo kajimix kaisha kuwa mbembe.
@alexbenedict5378
@alexbenedict5378 Жыл бұрын
Oyoooo
@mariamuewoi6836
@mariamuewoi6836 Жыл бұрын
Nikitaka kupata probox ya pesa kidogo kama 300000?
@nilansaid2927
@nilansaid2927 3 жыл бұрын
Imenichukua muda kutambua ias ndio hiace
@faruhostllc1552
@faruhostllc1552 3 жыл бұрын
Jina la Mchomoko la kitambo sana miaka ya 90 kwa watu wa Kanda ya ziwa wanalijua, haswa watu wa Mara na Kagera ndio ulikuwa usafiri mkuu kwenda nje ya miji au vijijini. Lilianzia kwenye magari ya Peugeot. Kanda ya ziwa Probox ndio daladala sasa kwenda vijijini
@yusuphabsaid8151
@yusuphabsaid8151 3 жыл бұрын
Gx 100 kigoma inabeba ndizi ukifika utashangaa
@danielmkama24
@danielmkama24 3 жыл бұрын
😆😆😆
@nilansaid2927
@nilansaid2927 3 жыл бұрын
Sasa kama barabara ni lami kwanini gari ni chache no
@kisimachamovemixzadjmackdj1555
@kisimachamovemixzadjmackdj1555 3 жыл бұрын
kwetu kasulu
@richardmajeba9309
@richardmajeba9309 3 жыл бұрын
umesaau kuuriza kwatajili wanapereka shingapi
@Nesrev95
@Nesrev95 2 жыл бұрын
GARI AINA HIYASIIII🙄
@edwinyusuph7283
@edwinyusuph7283 3 жыл бұрын
Hata huku kwetu nyamongo ndio daladala zetu
@danielmkama24
@danielmkama24 3 жыл бұрын
Wa Tarime 2juane apa
@happyjohn5882
@happyjohn5882 3 жыл бұрын
@@danielmkama24 hahaaa tupo hapaa
@baruthmussamuslim3434
@baruthmussamuslim3434 3 жыл бұрын
Mchomoko kg# kasulu
@kingsanya6860
@kingsanya6860 3 жыл бұрын
Wewe nenda tarime nying kuriko uko
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 2 жыл бұрын
Nawaza hiyo probox na hali ya barabara za huko kigoma, matengenezo siyatakuwa yakila mara? ?
@seifmohamed836
@seifmohamed836 3 жыл бұрын
Mnaishije vumbi hilo ndio mana hamko tanzania Muko wapi vile ??
@kiatu
@kiatu 3 жыл бұрын
TZ bhana, mbona jiji la Dar ni hivyo hivyo tu, mfano Tandika - shida tu.
@deoglatiaslameck3585
@deoglatiaslameck3585 2 жыл бұрын
Huyu jamaaa fara
@bakariadamhamisi8507
@bakariadamhamisi8507 Жыл бұрын
Wapi ww msenge kigoma mojb
@rachelkasole8938
@rachelkasole8938 3 жыл бұрын
😆😆😆jmn
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 30 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 5 МЛН
TAZAMA SOKO LENYE MAAJABU KIGOMA / MCHANA BARABARA , JIONI SOKO
10:26
Fresh TV Tanzania
Рет қаралды 9 М.
DOMINIQUE KAMANZI AKIWA KWENYE NGOME ZAKE MISITUNI
18:01
MTV News DRC
Рет қаралды 23
2017 Toyota Probox : A Comprehensive Review #toyota #probox
20:36